Nimempenda mr right akiongea anaonekana mstaarabu na hana mdomo mdomo kama wnaume wengine 😂😂😂hongera lolo umepata bwana inshaallah abadili din kweli akuoe mama
Kwanza kwa sheria ya kiislam haitakiwi mtu abadili dini kisa mapenzi sasa mapenzi yakiisha utarudi ulikotoka...unatakiwa usome dini na uingie kwa imani sio kufata kitu....Allah awaongoze na awasamehe
ukitaka upoteze mwelekeo na ukuu wako kwenye maisha jaribu kubadili dini hata kwasiku moja ,watu wanadhani ni jambo la kawaida kama vile kubadili nguo lakini kiukweli unapo badili dini unabadili yule unaemwabudu siku hii unaabudu mungu kesho unaabudu pepo(shetani), mungu wetu ni mungu mwenye wivu. mfalme sulemani mwana wa daudi aliemjengea mungu hekalu jerusalemu hadi watu toka dunia nzima wakawa wanaenda kuabudu huko kila mwaka, siku alipo oa mwanamke anae abudu miungu na suleimani akaiabudu .,Mungu akauvua uzao wake ukuu juu ya israel katika makabila 12 ya israeli akambakizia 2 mengine yote wakapewa wengine.nahiyo imetokea kwa wafalme wengi kama vile yeroboumu, belishaza, na wengine wengi. mwanaume yeyote mwenye misingi imara misingi yake inapimwa kwa uwezo wa kuitunza imani yake.
Ni tukio la kufurahisha sana, kuna golden girls wengi sana waliopita walipojijua kuwa ni golden girl maringo kibao,lkn huyu mrembo hakuwa na mengi,ningekuwa na namba uaje ningemtupia buku big LOLO❤❤❤
Nimefurahi sana na couple ya leo yaani vitu ni Boom boom ❤❤❤❤
Yaan aliyah apewe 🎉 meng na azid kwenye hiki kipind anajua kuwanyoosha hawa wadada❤❤
Kweli aisee😂😂
Yani natamani naeza mchamba
Nimempenda mr right akiongea anaonekana mstaarabu na hana mdomo mdomo kama wnaume wengine 😂😂😂hongera lolo umepata bwana inshaallah abadili din kweli akuoe mama
lolo nae pia mpole mashaAllah❤
Lolo wanafanana na nelly
Wangon ni nyoko
Hapo Greyson umepata mke. Na kuhusu dini jitahidi kumshawishi Lolo atakubali kubadilisha deni baadae
Awa wastaarabu shkamoo
Nzuli sana leo iko moja to jamani huyu Elizabeth simpendi anajisikia sana huyu kaka yuko very nice ❤😢
Lilu diva napenda unavyo cheka hadi raha my sister ❤❤🎉🎉
Mashaallah wamependezana sanaa nimependa sanaa hiyo mkaka mzurii sanaaa handsome hatimaye Lolo amepata mwenzawake jamn
Uyo eliza mtoeni ni bibi aende nje anakera na kuwaharibia kazi buana ,amejikuta jaji wa mr.right hafato protocol atolewe buana
😂
Bora angechukuliwa na yule mzee stukaaa mwananguuu 😅🤣
Eliza bibi sana na sula lake kalificha na mekapu😂😂😂
Ni bibi alafu masharit kibao atakua nawatoto wengi
For sure anabore,halafu she is too old for that stage
Yani mimi nawapenda sana.kila mara napenda kiiyangalia school kuwaona lolo ampendae.Allah awape mapenzi daima❤
Nimependa wanaendana sana 😘😘😘😘😘😘😘
Waaah! This man aki he is so sweet na for sure amemakinika.Big up bro and hope ulimpata mwenye unamuhitaji.
Huu ni mnada wawanawake kweli dunia ipo mwisho mungu tuangalie wanao tunapotea tuoneshe njia sahihi
Nimerudia mara mbili kuangalia hii .nimeipenda sana hii couple.mkaka anaupendo sana
Grayson + lolo was natural love wameendana na kupendezana
Eliza aelew bwana mtoen apo
Huyo eliza atolewe mana hasikilizi hata maongezi,anachoreka tu
That was the best couple of all this 5th season so far.That man has dignity
Naona kama eliza anamdomo sana na dharau pia. Angeenda zake na yule mzee baharia 😂
Hata kwenye ndoa hawez kudum
😂😂😂shituka mwanangu
Ahhahahahahahahah jamn jamn hatr na nusu hahahah
Fact
😂😂😂😂mzee baharia
Yan hii ndoa mtuletee humu ndani tuione😊
Woow Namupendeza ana❤❤❤❤
Imagin ndo umemchukua Eliza akawe mke wako my dear nakwambia utanyookaa 😅😅😅
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 na komwe lake uyo Eliza haha bibi akalee wajukuuu uko atolewe
Amna uyu unamwitikia afu ungya nae ndoa unamnyosha bora ndoa ife ila ajue akuna zuzuu
😂
😂😂😂😂
Eliza atakuja kumaliza hizo soda tu 😂😂😂
Hahahahaha 🤣🤣🤣
😂😂😂😂
😅😅😅😅
Hahahaaaa
@@ashamshona9321😂😂😂😂
Wamependeza na sanaa❤❤❤
Huyo Eliza anadharau na atazeekea humo anaropokwa hovyo kazi ipo ashuke stejin tu😊😊
Aliya tha best ana juwa kukweli wanaendanaaa ❤❤❤❤❤❤ kweli
Respect kaka hongera sana Grayson 🎉🎉🎉❤❤❤
Waooooo nawapenda sana ❤❤❤
Hii nimeipenda mno mungu awape maelewabo inshaallah ❤
Lovely couple ❤❤❤much love from kenya
Eliza bado niko na ww au wamtaka Gara B😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Hahahahaaaaaa
😂😂
😂😂😂😂😂
Anataka wakumpeleka Dubai ana paspot Haina muhuri na ana leseni Haina gari
🎉❤kwakweli mashaallah wamependezana
Wow kijana wa kingon mr right
He is romantic ❤❤
Huyo anajifanya mzuri halafu bibi😂😂😂
Oya mwanangu umetisha wemkali kweli uko makin sana
Wameendana jaman lolo na grayson ❤❤❤
Huyo Lolo kwq kuongea na muonekano n kamaa jamaa kapata mtu🎉🎉🎉🎉
Sio rahisi men kubadili dini, tuliosoma Cuba tumemuelewa mwamba, ila anazambi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😮niww ndy uwez kwendra uko
Hahahhahaha sanaaa
Eliza atazeekea hapo for sure pod iyo 😂😂😂😂😂
Nawapenda ndie lolo maua🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kalolo kazuri ,karembo na kasitarabuu wow good couple ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤i wish you all the best❤❤❤❤
I..like..the..couple..it's.. awesome..🎉🎉
Kaka ni gentleman saana❤️🥰
Lolo ni mzur sana hongera zake
Uyo eliza ana mambo ya kijinga siku zote haelewi ana kichwa kigumu 😂😂😂😂😂
Ni kiazi ajifanya nzuri
@@FatmaaFatoom ana uzuri gani mwenyew kama bibi
Au yeye kawekwa kwa ajili ya kuchangamsha shoo nini
Sasa bibi kizee kumbukumbuku zitoke wapi
Inasikitisha sana yaani kubadili dini kutoka Grayson mpaka shabani madobe duh 😂😂😂 huyu jamaa anatakiwa afikirie mala mbili mbili
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌
😊😊😊😊
Kama mzize alivyobadili kutoka Clement mpaka Warid
Kwanza kwa sheria ya kiislam haitakiwi mtu abadili dini kisa mapenzi sasa mapenzi yakiisha utarudi ulikotoka...unatakiwa usome dini na uingie kwa imani sio kufata kitu....Allah awaongoze na awasamehe
ukitaka upoteze mwelekeo na ukuu wako kwenye maisha jaribu kubadili dini hata kwasiku moja ,watu wanadhani ni jambo la kawaida kama vile kubadili nguo lakini kiukweli unapo badili dini unabadili yule unaemwabudu siku hii unaabudu mungu kesho unaabudu pepo(shetani), mungu wetu ni mungu mwenye wivu. mfalme sulemani mwana wa daudi aliemjengea mungu hekalu jerusalemu hadi watu toka dunia nzima wakawa wanaenda kuabudu huko kila mwaka, siku alipo oa mwanamke anae abudu miungu na suleimani akaiabudu .,Mungu akauvua uzao wake ukuu juu ya israel katika makabila 12 ya israeli akambakizia 2 mengine yote wakapewa wengine.nahiyo imetokea kwa wafalme wengi kama vile yeroboumu, belishaza, na wengine wengi. mwanaume yeyote mwenye misingi imara misingi yake inapimwa kwa uwezo wa kuitunza imani yake.
Mme pendezana hatari😂😂❤
Nipeni namba ya Mr Right😍😍😍 anajielewa sana😊
Katika Mr right zote hii n couple pendaaaaa saana
Wamependezana sana Lolo yuko mucute sana jamn najiona mm huwiiiiii😅
Pambeeèee❤❤❤❤❤
Mr right yupo straight en brain ake smart sanaaa wadada hatuna akil muda mwingine
Amesha sema hana hisia hahahah kwahyo ndo maan ame changanyikiwa na nyege bwana 🤣🤣🤣🤣
Ila nikua nakapenda kalolo Kako sweet Sana I love the couple
Ile notion ya bcz of love, nnamashaka nayo, mwamba anaenda kula mzigo nakuuacha kwenye njiapanda🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😅
Wanaendanaaa❤❤❤❤❤❤
Ni tukio la kufurahisha sana, kuna golden girls wengi sana waliopita walipojijua kuwa ni golden girl maringo kibao,lkn huyu mrembo hakuwa na mengi,ningekuwa na namba uaje ningemtupia buku big LOLO❤❤❤
Naombeni icho kibibi kieliza mkitoe pumbavu zake sanaaa
Anaongea kama kengele
Sigupendi gu eliza
@@AnethKukosi 🤣🤣🤣Yan mm Eliza na zalishi siwaelew kabc
😂😂😂😂😂kwanz kibaya kimezeeka kama queen Elizabeth 😂
@@zaitunirashidi5532 😁😁😁bila shakaaaa
Ivi uyo dada naitwa eliza uwa anajielewa kweli😂😂😂
AISEE SIJAWAI KUKOMENTI MR RIGHT , KIUKWELI HUYU DADA ELIZA MTOENI SIONI KAMA KUNA CHOCHOTE ANACHOKIFANYA HAPO.
True kuwaste tu masaa nvny sura ata akna
Kuna huyu Eliza na kuna yule Glady ni bure kabisa.... kujifanya na ujuaji mwingi😅
Maleo Umetuwakilisha Vema Kaka😊😊😊
Mkaka ana sauti tamu❤❤❤
Hatamimi kabadir kanifata mumewangu utapata baraka❤
Ndio kheir Mimi kama mwanaume si Muslim staki pressure
Je warundi wanakuja my❤😂
Waoooo wamependeza
Aliyah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂 Grayson so tapeli kweli 😅😅
Kaka handsome Mashallah nimemuhusudu
Mashaallah mapenzi yenye baraka
Yani mm story yahuyu jamaa nimeipenda kushida wote jamaa katisha sana
Mashallah wameendana 🌹
Muislamu jina haswali Mungu amjalie aswali
ukachana na ukristo ila jamaa ni muumini na nina imani kama ataslim na kua muislam kweli atazidi kua muumin mwenye imani thabit ktk maisha yke
Waauuh couple nzuri❤❤❤
Wanapendezana kinoma ❤
Huyo eliza anamaliza soda tu mfukuzen
Wifii njoo kwetu sisi wangoni tunajua kupenda😁😁😁
Eliza anakera mpaka Wanao Host 😂😂😂 Jau sana😂😂😂
Manshallah wamependezana kbsa
Lolo nakupendaaa bureeee umenifurahisha saana kbisa
Wanapendezan jaman❤❤❤
❤❤❤
Yaan Elizabeth mpaka leo upo rudi home tu unamdomo sana ukikataa mtu sema tu hpn sio kakaenda kakarurud😊
Wow nice ❤️
ana matatizo eliza aiseee😂😂😂😂 mimi ata bure simchukui
Bhanaaa hawa wadada wanataka nini lakini😢😢 alivyoita hiyo eliza......chaiiiii this guy ooo😊😊
Uyo Eliza kwanza ni mzee 😂😂😂
Dah❤
Naomba tuwe tunasomewa na wasifu wa wadada japo kwa ufupi tu ili wanaue nao wamjue mtu wanayeambatana naye, ahsante.
Ntakuja niondoke na huyo mwanamke mwenye kidomo domo Eliza jiandae nakuja kukutoa hapo 😂😂
Hakuna wanwake hapo ni matapel kama wa tuma namba hiii😅😂
Ni wa kwel kabisa ata me nimepata mume apa
😂😂
Vigezo ni vip mpka ushiriki Mr righ
Nice couple ❤ wameendana dana
Huyu Msichana Mbona Anaharibi MR.. Kwanini Hamupigia Marufuku Asije Hapo Anakera Sana....
Sana
Woow❤
Jaman huyu kaka anaonekana mstaarabu sana😊❤
Jamaa kanichukulia lolo wangu aise dahhh
Huyu eliz mtoenii kil siku yupo mbibi😅😅😅😅
Hii nimeipenda hattaryyy❤❤❤
Hivi wanakumbukaga na kupima hawa😂😂😂😂
Grayson umeshinda kwa kishindo sana, jitahidi zaidi ata dini atabadirisha tu❤❤❤
🙏🙏🙏❤❤
Nyie hiii ni couple❤️🥰
..❤Woow🎉
😂😂😂ila nguo ya aaliyah jmn, sema tunakupenda hvohvo