UTAPENDA PENZI JIPYA | MREMBO AMWAGA MACHOZI | MMOJA ATOSWA AFANYA MAAMUZI MAGUMU (MR RIGHT S6E04)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024

Комментарии • 203

  • @kharashbabar7393
    @kharashbabar7393 7 часов назад +1

    Safi mr right namba 3 niependa spichi yko....vah👌

  • @anglekimaro19
    @anglekimaro19 10 часов назад +3

    Et sijuw katembea kwa miguu…. Sijapenda kwa anatakiwa kutembea na mikono or😁😁😁

  • @NasmaKibayasi-o6s
    @NasmaKibayasi-o6s 2 дня назад +17

    Yani ilo ujue huyo sio machinga just look him yuko very comfortable an hateteleki

  • @fistonnibigira167
    @fistonnibigira167 3 дня назад +4

    Wow my brother I'm telling you you make me happy love the one you love you🇿🇦🇧🇮

  • @mariamabraham-q5x
    @mariamabraham-q5x 3 дня назад +5

    Waaooooh jamn nmependa hakika Mungu ni mwema
    Pia dr kumbuka uko vzur kwenye maombi safi sana,... Aminaaaa ❤❤❤

    • @yusuphmwanza507
      @yusuphmwanza507 4 часа назад +1

      Mmmmh 😢 dokta kumbuka na maombi wapi wapi

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741 4 дня назад +9

    Nyieee penzi jipya na mibaraka juu maombi konki Dr kumbuka❤🎉

  • @Jemesjoni
    @Jemesjoni 59 минут назад

    Hapo sio kweli namjua uyo sana sio muuza viatu

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu 3 дня назад +12

    Litul hadi nimelia pia hongera na ukamtunze huyo kaka anahofu ya mungu Mr kumbuka Asante kwa maombi

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 3 дня назад +1

    asanteeeeee kumbuka maombi nimeyapenda na kuyaelewa,,,,,,,, mashallah ❤❤❤❤

  • @khadijasayeed3381
    @khadijasayeed3381 3 дня назад +2

    Nimefurahi Nampenda sana Lituli🥰

  • @josephkigembe-ec4pq
    @josephkigembe-ec4pq 3 дня назад +3

    Asante Mungu, Kumbuka anajua kuomba

  • @VeronicaMwakatage
    @VeronicaMwakatage 7 часов назад

    Huyu kaka ni mtu wa system kabsaaaa

  • @SeplinaNgoja
    @SeplinaNgoja 3 дня назад

    Amina asante kwa maombi dr.kumbuka

  • @ZahraOman-f4m
    @ZahraOman-f4m 12 часов назад

    Maashaallah kumbeka maombi mazur

  • @bayubaheallydelly-rn2zv
    @bayubaheallydelly-rn2zv 3 дня назад +2

    Nampenda sana lithuli this nice couples kuliko zingini couples kwenye zilizo pita

  • @MussacharlesSongo
    @MussacharlesSongo 4 дня назад +22

    Huyu lituli ni mtu na ana utu saana

  • @keruboElizabeth-c4t
    @keruboElizabeth-c4t 11 часов назад

    I like you guys. Watching you from Lebanon

  • @mwanneramadan8139
    @mwanneramadan8139 9 часов назад

    Nimependa dada Yuko sahihi anaupendo

  • @samychance
    @samychance 3 дня назад +4

    Mr. Right Yuko vizuri mnooo,, he is so real mashallah mungu ampe zaidi🎉🎉

  • @HalimaLikele
    @HalimaLikele 3 дня назад +1

    ❤❤❤🎉🎉jmn kumbuka😂😂😂😂nawapenda sana jmn

  • @DianneZeberto
    @DianneZeberto 4 дня назад +1

    Uongo uho hana kazi nzuri tu

  • @sahimtv4742
    @sahimtv4742 День назад +2

    Huyo Mr right ametokelezea kinyama

  • @LucasRuben-x1t
    @LucasRuben-x1t 3 дня назад +10

    Kwa mtazamo wangu huyu siyo machinga sijui lakin hapo hakuna machinga hataaa

    • @RayChausa
      @RayChausa 3 дня назад +1

      😂😂😂😂😂😂Ameficha kazi yake

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j 2 дня назад +1

      Hata mimi nakataa huyo kijana siyo mmachinga hata kidogo huyo bwana ana akili sana yakutafuta mwanamke kawaficha ukweli wake wakipato, kwakuwa wengi wa mabinti wanaokuja hapo target yao kubwa nikutafuta wanaume wenye pesa ndo maana karibu wote wamemzimia taa baada yakuwadanganya kwamba nimtembeza viatu njiani,inasikitisha sana kwa hawa binti wasiku hizi mnakosa wanaume wamaana mnaangukia kwa watu wenye pesa zao

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 2 дня назад

      Ameficha kazi

    • @EmmanuelMwamfwandilo
      @EmmanuelMwamfwandilo 22 часа назад

      @@LucasRuben-x1t Hahahaaa huyo kaka Namfahamu Anamaisha mazuri saana tuu lakini hapendagi kujikweza

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel День назад +1

    Jamani Aliya anamigu mizuri we😳😳 Mungu hanyimanaki byote

  • @KathuyaAnna
    @KathuyaAnna 4 дня назад +1

    Nimegoja sana ❤❤❤

  • @gideonkimario7405
    @gideonkimario7405 3 дня назад +5

    Huyu ni Usalama wa Taifa kbisa. Jinsi alivyo tu na Hta kazi yke hiyo ya umachinga na kuingiz elf 50 Kwa sku hyo Ndio swagga zao. Hyu dem ajiangalie tu hpo @st bongo

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 9 часов назад

    Lithul nimependa sana

  • @AmonBora-ve5si
    @AmonBora-ve5si 4 дня назад +7

    Mm nilijua trissy atawash tok ameingia kadata

    • @DoriceEdward-l6s
      @DoriceEdward-l6s 3 дня назад +2

      Ata mimi nilijua tu maan mmh kaanza mashauz mapema sana

  • @adelakimei6015
    @adelakimei6015 7 часов назад

    Huyu jamaa nimuongo huyu sio mtembeza viatu 😅

  • @jotoentertainment9225
    @jotoentertainment9225 3 дня назад +5

    Huyu jamaa nahc kadanganya kazi ili ampate anayemfaa

    • @LuciaMsabila
      @LuciaMsabila 16 часов назад

      Ni kweli kbc kadanganya t

  • @brendahnyerere2190
    @brendahnyerere2190 3 дня назад +1

    Asante kwa maombi

  • @hawaa341
    @hawaa341 3 дня назад +1

    Ila kubuka Asante kwa maombi yako

  • @AmonBora-ve5si
    @AmonBora-ve5si 4 дня назад +2

    Niliimic nilion jumamoc kam mwakan 😂😂😂❤

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 4 дня назад +2

    JAMAA HONGERA KWA PONT 💪👍🌲🌲🌲🌲🌲

  • @ZulfatRamadhani
    @ZulfatRamadhani 3 дня назад +3

    Mr,Right anajielew san yuko na akili ya kiume tena kajingatia mafunzo

  • @asheliwakilongo150
    @asheliwakilongo150 4 дня назад +5

    Bro ni honest man. Ndo cha msingi tu.

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 4 дня назад +3

    MNAKITA SANA😂KAVAA SUTI ALAFU KAPANDA BASIKEL KAJA NAMGUU😂😂😂

  • @RichardMpanda
    @RichardMpanda 3 дня назад +3

    Huyu jamaa sio machinga uyu ni mtyu wa system SEMA anawachallenge mabinti ili kumpata mtyu sahihi anayeweza kuishi nae kwenye shida na raha

  • @mariamabraham-q5x
    @mariamabraham-q5x 3 дня назад +3

    Naomba johar asipate mwananume maan na yy anamashauzi sana😂😂

  • @ceciliajohn6329
    @ceciliajohn6329 3 дня назад +9

    Huyu namjua ni mtu wa system sio mmachinga huyo lituli nenda kale hela

  • @johnsonzuma4932
    @johnsonzuma4932 9 часов назад

    Isn't machinga this is Guy 😂😂😂 but Manyema oye...

  • @qingsongYang-v9q
    @qingsongYang-v9q 9 часов назад

    Nimempenda uyo kaka

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 4 дня назад +3

    😂😂😂😂kumbuka,umeuwa mbavu zangu

  • @isackmbade3181
    @isackmbade3181 20 часов назад

    I like that guys all the best

  • @omarsalum4052
    @omarsalum4052 12 часов назад

    Huyu jamaaa ana hela itizameni saa yake 😄 🤣

  • @EssyMellina
    @EssyMellina 2 дня назад +1

    Nzuri jamani,,ila huyo jamaa wa mwisho akai kua machinga,,

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s 3 дня назад +1

    Mmh masha mbaya

  • @SharifSadiki
    @SharifSadiki 3 дня назад +10

    Leo nimara yakwanza nimeamini kuwa kuna wanawake wanao kuja apo kutafuta wapenzi na si pesa

  • @HappinessSolomon-t5z
    @HappinessSolomon-t5z 3 дня назад +5

    Dada wataolew na podium hizo mnaochungua kupata wanaume wenye pesa, si kila naekuja kutafut mke bora basi ataweka uhalisia wake wengine wanaficha uhalisia ili kupat mtu sahihi

  • @RaiyaanRasheedRay
    @RaiyaanRasheedRay 9 часов назад

    Yaan huyu kaka ana maarifa mazur,, na ana kitu cha kujengeka uko mbele

  • @saivellybrutally2994
    @saivellybrutally2994 4 дня назад +2

    Nyie kupata viela bac shida wajua eeh mnakela sana

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 9 часов назад

    Ushauri tu Kwa MC humo ndani kitu ambacho mnatakiwa kukifanya nikufanya ushawishi hao madadaz wajue maisha ni kutafuta pamoja sio watafutiwe

  • @FrncMukwinka
    @FrncMukwinka 3 дня назад +2

    Nami nolitamani avue jamani Ila Pia kama amependwa ni atapendwa vile alivyo

  • @saivellybrutally2994
    @saivellybrutally2994 4 дня назад +1

    Mna mambo mengi sana et

  • @Shukutu
    @Shukutu 4 дня назад +1

    Kazi nzuri

  • @denicekaaya
    @denicekaaya 2 дня назад +3

    Mwamba ni mtu wa systim sema awaxemagi

  • @Felister330
    @Felister330 3 дня назад

    Super amazing

  • @MilajiHaji-f8f
    @MilajiHaji-f8f 4 дня назад +1

    Huyu dada sijui kachoka kungoja minamin kwa mazingira ya mwamba dem ata chomoka tu dem anahitaji matunzo😊😊

  • @emanuelsichone8027
    @emanuelsichone8027 2 дня назад

    Imekaa safi sana

  • @EmmanuelMwamfwandilo
    @EmmanuelMwamfwandilo 22 часа назад

    Kaka Umetishaa Mpende Añaekupenda Asiye kupenda Achana nae

  • @fedrickmichael5970
    @fedrickmichael5970 3 дня назад +1

    Kumbuka unafaha kua mchungaji kabisa😅

  • @esterbaraka1164
    @esterbaraka1164 4 дня назад +1

    Afadhar maana nimekaa naisubili 🎉🎉

  • @UwajenezaJazira-cv7et
    @UwajenezaJazira-cv7et 4 дня назад +1

    Kazi ya huyu jama ninzuri sana ina ela musizalahu

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s 3 дня назад +2

    Kalituli kazuriiii alafu ata akana mambo mengi alafu kapole

  • @SashaOscar
    @SashaOscar 20 часов назад

    Mbona kumbuka kashusha ombi la upako namna hii, tena la kichungaji jmn😊😊 nimependa

  • @AmonBora-ve5si
    @AmonBora-ve5si 4 дня назад +1

    Ety winning muhasisi😂😂atatok kweny mshangaz wa podium atakuw bibi

  • @denicekaaya
    @denicekaaya 2 дня назад +1

    Kumbuka mbona umekimbia😂😂😂

  • @RobertChacha-hb9re
    @RobertChacha-hb9re 4 дня назад +20

    Huyu jamaa kuhusu kazi ithink kuna behind

    • @EvanaFelix-cr3hj
      @EvanaFelix-cr3hj 4 дня назад +2

      Ata mi naona ila kwa mi binafsi nisingezima taaa😊

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 4 дня назад

      ​😂😂Sasaje huyu lazma kuwe na behind ​@@EvanaFelix-cr3hj

    • @LoveAron
      @LoveAron 4 дня назад +2

      Wengine wanaficha ukweli wao😂 na uhalisia kikubwa wakapendane ❤

    • @LucasRuben-x1t
      @LucasRuben-x1t 3 дня назад +2

      Hapo hakuna machinga

    • @RayChausa
      @RayChausa 3 дня назад +1

      Nimeshuku pia❤😂😂😂

  • @MonicaGombe-s5b
    @MonicaGombe-s5b 2 дня назад +1

    Uyu jamaa sio machinga anakazi nzuri

  • @perrocollection8267
    @perrocollection8267 3 дня назад

    Daah , mionekano inaficha mengi dada zangu , cha msingi ni maokotooo😅😅😅

  • @MOHAMMEDABDALLAH-w4k
    @MOHAMMEDABDALLAH-w4k 2 дня назад +3

    Nimependa kujiamini nakujielezea hali halisi ya maisha yake,na mkebora ndio atapata hapo na isitoshe pengine ela anazo na KAZI yake sio hio Ana test wadada.🎉🎉🎉

  • @Morinahypauly
    @Morinahypauly 11 часов назад

    Ety UTT ila dr kumbuka 😂😂

  • @wilfredmbussa4930
    @wilfredmbussa4930 16 часов назад

    Wanaendana sana,. Hivi niulize ni kweli huwa wanakuwa na mahusiano au ni maigizo?

  • @EdgerAdimsi
    @EdgerAdimsi 3 дня назад +2

    Jmaaa hiyo syo kazi yake genaral appearance tumepigwa

  • @RobertKajiti-pi9pw
    @RobertKajiti-pi9pw 23 часа назад

    19:52 hakika LITUL umefanya kitu sahihi.

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 4 дня назад +1

    😂😂😂😂😂uwiiiio Dk Kumbuka

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 9 часов назад

    Tunao wapenda hawatupendi hilo nalo fuzo ndiyo maana tunakwama

  • @BeatriceSonga-r2y
    @BeatriceSonga-r2y 3 дня назад +1

    Si bora huyu kavaa vizuri jaman kuliko wanavaa marapurapu huku wakisema fashion

  • @isaya43.12
    @isaya43.12 17 часов назад

    Nimesikia garabatazar au ni mimi mwenyewe😂

  • @BensonJonson-z5f
    @BensonJonson-z5f 3 дня назад

    Jamaa 😂😂😂et mwana maombi

  • @AmiryShayo
    @AmiryShayo День назад +1

    Kama mtu alie umia kama mm nimejua kulia dada anajielewa kama uko na mm gonga like😢😢😢

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 23 часа назад

    Nice 🔥

  • @Felister330
    @Felister330 3 дня назад

    Amazing

  • @Coolboycaptain-x9m
    @Coolboycaptain-x9m 19 часов назад

    Akuna machinga hapo anstumia akili kutafuta mke 😂😂😂

  • @ClementMasunga
    @ClementMasunga 3 дня назад +1

    Litul ameondoka me nimelia sana 😢😢

  • @roselinasandi6509
    @roselinasandi6509 День назад

    Amen Dr

  • @solomondanny-1507
    @solomondanny-1507 3 дня назад

    Mr Right ni mkweli sana.

  • @DeboraNgura
    @DeboraNgura 3 дня назад

    Jmn kumbukaa😂😂😂 unamaneno yan n kucheka ad kusahau madeni ya kausha damu

  • @CECILIAMAGANGA-sk8md
    @CECILIAMAGANGA-sk8md 2 дня назад +1

    Huyu mjeda lazimaa

  • @Jux02Elihadlinus
    @Jux02Elihadlinus 3 дня назад +4

    Wadada mnaotak kuolewa na vyeo,jaandaeni kuolewa na podium😂😂

  • @Mossimado
    @Mossimado 2 дня назад

    Ameniliza kweli bituli😢jamni

  • @winfridahubert4072
    @winfridahubert4072 День назад +1

    Kuna kitu Gar B kakiona akamwamnia aliyah akaangalie kwa Mr right😂

  • @MarystelaMushi
    @MarystelaMushi 17 часов назад

    Mr right yupo makini na amepata mtu sahii

  • @anethmshahara8519
    @anethmshahara8519 21 час назад

    Huyo kaka ni muongo wala sio machinga anawapima tu wadada

  • @musondolirobert3922
    @musondolirobert3922 2 дня назад

    Congratulations lituli

  • @mrwadata
    @mrwadata 8 часов назад

    Lituli mke muema sana

  • @michaelprofessional7574
    @michaelprofessional7574 День назад +1

    dah ,yaani hii pisi ndio imechukuliwa na muhuni nilikuwa nailewa sana sana

    • @DenisRukangula
      @DenisRukangula 19 часов назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @omarsalum4052
      @omarsalum4052 12 часов назад

      @@DenisRukangula mm mwenyewe nilikua nataka niende 😄 tatizo anapenda watu wenye umri mkubwa tu

  • @Jamillaglivrwsd1org
    @Jamillaglivrwsd1org 2 дня назад

    Yaani Uyo dada Lutul watu tunaitaji sio ivyo vibaka mkorogo

  • @AmonBora-ve5si
    @AmonBora-ve5si 18 часов назад

    Naomben kuulz kumb aaliyah ni mali ya diamond 😂😂😂😂heeee ila dunia ina mambo

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 3 дня назад +2

    Alia anavaga vibaya lakini