UTACHEKA EX AHARIBU PENZI JIPYA | SIMTAKI ANA MAZOEA NA X | ANA WATOTO WAWILI (MR RIGHT S6E04)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 109

  • @Salhamohamedimwampagatwa
    @Salhamohamedimwampagatwa 3 дня назад +36

    Ila napenda sana kufatilia iki kipindi sana kwasababu nakipenda sana ila sasaivi mnanikela jamani aswa kumbuka wewe unakashfasana namamista laiti sijapenda kamaapo unavyosema eti anamiaka 40 eti mpakaakija kuzaa mtoto wakwanza aje asome siatakua kashakufa siyo vizuri ivyo mwisho wamli wamtu ajuae nimungu pekeake nasiyo kiumbe kingine chochotekile nimejisikia vibaya sana apo punguza kashfa au acha kabisana

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j 2 дня назад +1

      Sana huyu kumbuka mala namuona anaharibu sana kipindi anpenda sana vikashfa kashifakwa ma mr rights

    • @AlexFedrick
      @AlexFedrick 2 дня назад +1

      Jaman uwenda ndvy alivyo tumzoeee bure

    • @eliasj1015
      @eliasj1015 День назад

      Kumbuka ananigesha Yuko vzuri sana

    • @SiaEldar
      @SiaEldar 12 часов назад

      Yan wanaboa

    • @OmaryMapande-d7d
      @OmaryMapande-d7d 11 часов назад

      Mr.kumbuka unawadhalilisha wakina Mr. Right

  • @ebbydjmnyamwezi979
    @ebbydjmnyamwezi979 4 часа назад +1

    Dr kumbuka anakiherehere sana hafai kutaftia mtu mke huyo hastaili kuwepo hapo

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 Час назад

    Jamani Dr kumbuka anamabangohatari😂😂😂

  • @safiunamugen7476
    @safiunamugen7476 2 дня назад +4

    Nyinyi mnaharibu sana kabla warembo hawajaona nyinyi mshatoa makosa😢😢😢

  • @StewartYembi
    @StewartYembi 3 часа назад

    Mnaongea sana mbawafanya ma Mr right wanakosa confidence mnawaharibia

  • @JacksonManda-x3x
    @JacksonManda-x3x Час назад

    Dr kumbuka daah umezingua bhana ila nakukubar unafurahisha kipindi

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 3 дня назад +6

    Bora uyo dada kakataaa aisee ungejuta hawa watu wa ex wa hivi ungelia

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 19 часов назад +2

    Kumbuka anakauli chafu sana, sijui kwanini mko nae kwenye kipindi.

  • @DayanaMwakajinga
    @DayanaMwakajinga 3 дня назад +4

    Tunaombaa thanaa uyo kumbuka asiwepo dada et yuko wapiii luludiva

  • @josephkigembe-ec4pq
    @josephkigembe-ec4pq 2 дня назад +2

    Session hii sio Kumbuka, sio Gara Bartazal wote wamechachuka viungo vingi huaribu mchuzi.

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 Час назад

    Eti kwa umri huo akinuna mashavu yanashuka kama shoka la bucha 😂😂😂😂

  • @dariusshukuru8490
    @dariusshukuru8490 3 дня назад +2

    Nafatilia kipindi hiki sana
    Natamani siku nifike ndani Studio hii,ao niwe Mr Right tuko Drcongo Lubumbashi
    Nawapenda sana

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 дня назад +2

    this a guy is a gentleman

  • @maryamabdallah2702
    @maryamabdallah2702 18 часов назад +2

    Kumbuka hekima inakuja na umri hujioni ww kumbuka hunabhekima jitazame unavyoshushua wenzio kwa kuwa umri wko mdogo utapata wp hekima

  • @SamiraseifAlfan-ph4ke
    @SamiraseifAlfan-ph4ke 12 часов назад +1

    Ila kumbuka acha hizo za mahesabu huna Siri na mungu ww

  • @elinapetro7136
    @elinapetro7136 3 дня назад +6

    Wadada wembamba sisi tunawivu jaman!😢😢😊

    • @RayChausa
      @RayChausa 3 дня назад

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @RayyanRayyan-rt9cg
      @RayyanRayyan-rt9cg 2 дня назад +1

      Sana jmni sijui moyo uko nje ya ngozi😢😅😅😅

  • @maryamabdallah2702
    @maryamabdallah2702 18 часов назад +1

    Kipindi na kipenda ila mnapenda kuwashushua sna kina Mr right achebi jmn kuwashushua hadi mie najiskia vibaya, kumbuka punguza

  • @tunuyaomar5017
    @tunuyaomar5017 3 дня назад +2

    Jamani mambo anayofanya kumbuka hata kama hutaki kucheka lazima ucheke😅😅

  • @REHEMAYUSUPHU-ds1uf
    @REHEMAYUSUPHU-ds1uf 2 часа назад

    Awo watu wa kumbwa ndo wazur wanajuwa kudekeza. Sana ndo vitu vyangu ivyo tunaependa vibabu tujuane

  • @isdoryfelix30
    @isdoryfelix30 6 часов назад

    NAMKUBALI SANA ZAY

  • @LovenessWaibe
    @LovenessWaibe 3 дня назад +2

    Arya acha haiwezekani x mkumbatiane kiasi hiko halafu et just ni hawakuachana kwa shari nyoooo, Tanzania hakuna kuachana kwa amani bwana to iache unafikiii

  • @kingkiller-fn1cf
    @kingkiller-fn1cf Час назад

    Huu kumbe ni mchongo leo ndonimeelewa huyo zai namjua vizuri sana na naanamwanaume na istoshe nimwigizaji leo ndonimeelewa mnafanya maigizo

  • @EbanaMirumbe-ve6bf
    @EbanaMirumbe-ve6bf 3 дня назад +1

    Napenda kuangalia hio shoo ila kinga' muzi changu kinagoma goma yaan naangalia huku nazungusha antenna yaan daah

  • @HilonimsMwinuka
    @HilonimsMwinuka 11 часов назад +1

    Huyo bro k anatoa Sana wenzie kasoro mno apunguze mdomo

    • @MwaniPh
      @MwaniPh 10 часов назад

      Anayumba sana sijui ni kimtu Cha wap hcho

  • @musondolirobert3922
    @musondolirobert3922 День назад +1

    Eveline ule mujinga sana watu wa miaka ya juu ndiyo wanaume wanachunga.wanawake

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 дня назад +1

    Yn uwo umri kwa mwnaume wla si mbaya mm ndo naoenda mwnaume anipote miaka mingi

  • @harunadaudi5628
    @harunadaudi5628 3 дня назад +1

    Hyvi huyu kumbuka mbona anamaneno ya kashfa dadeki unaalibia watu punguza,shobo bro😮

  • @mudimkagila5252
    @mudimkagila5252 3 дня назад +2

    HELLO
    MR
    RIGHT

  • @elphinejoshua1914
    @elphinejoshua1914 3 дня назад +1

    Dr majuto kumbuka niache😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @neziajoseph9726
    @neziajoseph9726 3 дня назад +2

    Napenda watu wa hv maswali yanajibiwa papo kwa papo na anakuja jinsia alivyo na uhalisia wake...hawa ndio wanafaa

  • @BeatriceSonga-r2y
    @BeatriceSonga-r2y 3 дня назад +4

    Mi kuanzia 40 ndo nawatafta mpaka 50 apo😆😆

  • @AishaSuleiman-m7h
    @AishaSuleiman-m7h 3 дня назад +2

    Watu 2nadet na waliowapita bab zetu umri bab yangu mkubwa na yeye pia mdogo boooh

  • @AishaSuleiman-m7h
    @AishaSuleiman-m7h 3 дня назад +2

    Kumbuka unapoint 😅

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 3 дня назад +2

    Uyudem hanavigezo vyakumkataa jamaa

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 7 часов назад

    X sio hata wa kusalimiana nae hapo bro ulichemka ungemkwepa kama humjui vile ni sawa nakukaribisha siafu kitandani,kwanza hao x mnawapa Tention kubwa xana

  • @fatimaharoun-np8uv
    @fatimaharoun-np8uv 3 дня назад +5

    Mume wangu Ana miaka 42 na mm nna 27 nyie kaeni😂😂😂

    • @MwileMkangwa
      @MwileMkangwa 3 дня назад +1

      @@fatimaharoun-np8uv wangu 60 Mimi 28 🤣🤣🤣🤣

    • @SeplinaNgoja
      @SeplinaNgoja 3 дня назад

      Baba wa binti42 mume 40 atamheshemu baba yangu kweli?

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 11 часов назад

    We Dada unaakili hawa Ex hatarii haviishagi upo sawa sanaa

  • @josephrwakayonza3654
    @josephrwakayonza3654 2 дня назад +3

    Ivi uaumli wa miaka40 bado unahangaika na mapenzi kweli??

  • @SharifSadiki
    @SharifSadiki День назад +1

    Mc gara B sijapenda mnavyo zalilisha watu

  • @kwamemayala
    @kwamemayala 3 дня назад +1

    Wanadeti nao sana tu wanajishaua kwani huwa hata akili ya kuuliza miaka waongo wanafiki hao wadada wanachotaka ni pesa

  • @BrendahMwausegha-cf4kw
    @BrendahMwausegha-cf4kw 3 дня назад +2

    Kumbuka atolewe apo anakauli mbaya sana lulu diva alud apo please

  • @MarthaSimoni-x1y
    @MarthaSimoni-x1y День назад +1

    Dkt kumbuka anabarib kipind buan

  • @AsmaAlly-m9i
    @AsmaAlly-m9i 3 дня назад +1

    Kumbuka unaongeza San unafanya mtu akose mtu wa

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 дня назад +1

    Ila kaka mbina yupo vizur tu hawa qdada vp

  • @FatmaAhmad-y1k
    @FatmaAhmad-y1k 3 дня назад +1

    Kumbuka anapandikiza loho kubwa jamani

  • @kwamemayala
    @kwamemayala 3 дня назад +1

    We zai huna jipya na huna sababu za msingi

  • @nolascomahundi313
    @nolascomahundi313 4 дня назад +1

    Kumbuka daaaaah😂😂😂😂😂😂mungu anakuona

  • @gaspalinasambala6853
    @gaspalinasambala6853 День назад +2

    Gara b kwa sasa mnaharibu kipindi mnasema sana hao Mr right jamani mpaka wanakosa nguvu za kuongea sio poa jaman wachamben hao wadada wanaochagua wanaume sanaaa sio hao wakaka jaman plz aliya nichambie hao wadada hasa huyo mashavu na johari watakalia hayo mabenchi mpaka wakome

    • @HawaJumanne-uy4eu
      @HawaJumanne-uy4eu 7 часов назад

      Mnaharibu sana sasa hivi why mnawasema wanaume hivyo

  • @gibran254
    @gibran254 18 часов назад

    Michipsi na mimayonais miaka sitini ndio maximum😂😂😂

  • @MarieNgabo
    @MarieNgabo 3 дня назад

    Nawapeda sana III kipidi niatalo

  • @AshuraSalum-t7z
    @AshuraSalum-t7z 10 часов назад

    Unadeti nae kuanzia miaka 27

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 18 часов назад

    Kumbuka unakera sana wewe ndiyo unasqbabisha Mr right wanakataliwaa unaniniblakinii

  • @mohamedameir
    @mohamedameir 2 дня назад +2

    Hamna adabu

  • @RahmaBako
    @RahmaBako 11 часов назад

    Kumbuka upo juuu

  • @SilverTaric
    @SilverTaric 3 дня назад +1

    Kumbe Gara B ni mkubwa alaaa

  • @janerachel1622
    @janerachel1622 3 дня назад +1

    Punguzen KUONGEA gar bichwaaa mnatuondoa kiu

  • @FrankJoseph-y3h
    @FrankJoseph-y3h 7 часов назад

    hii inafanyikia wapi anayejua anielekeze

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 3 дня назад

    Dr.kumbuka bwana eti eeeeh Dada mkavu huyu kama Perege😂😂😂😂😂Hawa warudianetu maana Hawa kupasha kioro nikawaidatu simu mojatu anapaa kama kunguru😂😂😂😂😂

  • @Happy-n5i5x
    @Happy-n5i5x 18 часов назад

    Ma ex wanazalilishana 😂😂😂😂

  • @HalimaLikele
    @HalimaLikele 3 дня назад +2

    Garabii awo wadada wanasababu za kijinga sana muwe mnawambia ukweri bwana ❤❤😂🎉

    • @RamlatyMkwata
      @RamlatyMkwata 3 дня назад +1

      Kabisaa mi wananikera wanawatetea hao wanawake na kuwakosoa mr right,😮 hamuwatendei haki ma mr right mtu anaingia vizuri hata kama kuna mdada amempenda lakn majaji mnamkosoa mpk mtu anakata tamaa

  • @VictorNphilip
    @VictorNphilip 16 часов назад

    Mimi nawashangaa hasa kumbuka kama chizi maake huna staa hivyo wanaaribu kipimdi huwezi kuwa unaozezha ukachambia mkweo acheni viherehere mnawakarisha hao wadada podium Kwa kuwakata stim

  • @DitoDinis
    @DitoDinis 3 дня назад +1

    Kumbuka

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s 3 дня назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣 WE aliyah wewe et mafi fulusi 🤣🤣🤣🤣

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s 3 дня назад +1

    Li mr lait libayaaaaaaa

  • @EllymellyNdondole
    @EllymellyNdondole 3 дня назад +1

    😂😂😂😂😂 nachek kam mazurii ila kumbuka anakauli san apunguze bhn😅😅😅

  • @MishSige
    @MishSige 14 часов назад

    Huo umli sio tatizo tatizo nax wake hawakumbushiii

  • @Weezymadrugs-uy3lg
    @Weezymadrugs-uy3lg День назад +1

    Uyu dokta anakera

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 16 часов назад

    Lakini nakaka ana makosa kwann akubali kukumbatiwa

  • @NdekejaKamuli-sh5pe
    @NdekejaKamuli-sh5pe 17 часов назад

    Mnaharibu sana kipindi hiki kwa kusema watu hampaswi kuwa hvo

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 3 дня назад +1

    Majaji mna tabia mbaya

  • @Abdurazaki-k5w
    @Abdurazaki-k5w День назад

    Oya kumbuka anachekesha sana

  • @josephmolle
    @josephmolle 19 часов назад +1

    Kumbuka punguza mdomo

  • @NdekejaKamuli-sh5pe
    @NdekejaKamuli-sh5pe 17 часов назад

    Kipindi kishaingiliwa na upumbavu na ujinga kwa wahusika wenyewe wa vipindi

  • @maryamabdallah2702
    @maryamabdallah2702 18 часов назад +2

    Mimi mume wangu 64 na tupo na yuhai na wala situ mzima ovyo

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 дня назад +1

    Ila kumbuka 😂

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s 3 дня назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣 ILA garabiiiiii et brooo hiyo suluali n ya kwako? Mmmmmh sasa ingekuwa so yake angevaa jomonnnnn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @RayChausa
      @RayChausa 3 дня назад

      😂😂😂😂😂😂

  • @muksinjaphary9400
    @muksinjaphary9400 12 минут назад

    ila nyie majaj wote wasengerema tu mnalibu show tatzo mnaropoka mapema

  • @mariamabraham-q5x
    @mariamabraham-q5x 3 дня назад +5

    Dr kumbuka asiondoke hapo kwa stage isipokuwa apunguze kdg machambo.. ila hayo kachambo yaende hasa kwa hao wadada😂😂maan wanakera wameenda hapo kutafuta wachumba halaf wanaleta nyodo😂😂

    • @DoriceEdward-l6s
      @DoriceEdward-l6s 2 дня назад

      @@mariamabraham-q5x ko unataka wajizolee mavi 😉

    • @mariamabraham-q5x
      @mariamabraham-q5x 2 дня назад

      @DoriceEdward-l6s acha wajizokee mavi ndio wanata iwe hivyo.

    • @DoriceEdward-l6s
      @DoriceEdward-l6s 2 дня назад

      @mariamabraham-q5x 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌 wewe mbinguni utapaskia harufu tu nakwambia

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s 3 дня назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣 Ila kumbuka wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mariasafari1004
    @mariasafari1004 18 часов назад

    Hivi huko mtaani hakuna wadada????

  • @hiki242
    @hiki242 2 дня назад

    Dk kumbuka jmn😂😂😂😂

  • @RahimaShaik-hk7rb
    @RahimaShaik-hk7rb 2 дня назад

    😂😂Et mtumzima ovyo

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er День назад

    Dk kumbuka eti miaka alionayo akinuna mashavu yanashuka

    • @ClaudiaJoseph-t6e
      @ClaudiaJoseph-t6e 2 часа назад

      @@neemamabena-xx5er kumbuka mwenyw busara Hana mtu mwenyw hofu ya mungu cku zote humstiri mwenzak

  • @DorcasKisula
    @DorcasKisula 16 часов назад

    Kimbuka wewe hukitendei haki kipindi g b mtoeni kumbuka kashfa zimezidi

  • @mukeshimanarose1334
    @mukeshimanarose1334 3 дня назад +2

    😮😂😂❤❤❤

  • @Happy-n5i5x
    @Happy-n5i5x 18 часов назад

    jamaa ana mwili mzur sanaa miak 40

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 16 часов назад

    Kumbuka wewe mtu

  • @ambrosemtena2876
    @ambrosemtena2876 7 часов назад

    If at all you want this show to have meaning, remove that shit Kumbuka!!!!😢