MASKINI AKATALIWA KWASABABU YA KAZI YAKE | GOLDEN GIRL KAMTOSA | SITAKI WASANII (MR RIGHT S6E04)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024

Комментарии • 98

  • @MaisaraySufiani
    @MaisaraySufiani 3 дня назад +6

    Huyu mwanaume hajielewi kweli 😂😂😂😂

  • @Jonathanabedinego
    @Jonathanabedinego День назад +2

    @garab music uko juu sana kaka

  • @EssyMellina
    @EssyMellina 4 дня назад +5

    Watching from 🇰🇪🇰🇪❤❤

  • @joyceruwa8611
    @joyceruwa8611 11 часов назад +1

    Huyu jamaa mshamba hata kujieleza vizuri haezi, then anatafuna mbele za watu,hata kutongoza hajui😅😅

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s 3 дня назад +2

    Ila garab nampenda anavyoongea ❤❤❤❤❤❤

  • @Jonathanabedinego
    @Jonathanabedinego День назад +2

    Jamaa ni mjinga kweli 😂

  • @yesemwakapwela167
    @yesemwakapwela167 9 часов назад

    Jama. Nampenda Amy yupo wap

  • @UmmyJumaa
    @UmmyJumaa 3 дня назад +1

    Nampenda aliya

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 3 дня назад +3

    Huwezi juwa mwalimu wa wasanii ikiwa weee huna fani ya usanii. Ila ni muongo anajipamba yuko matawi ya juu kumbe lah!!

  • @boashamah3642
    @boashamah3642 3 дня назад +3

    Watching from Australia 🇦🇺
    Huyu mwanaume muongo kabisa hata majibu yake siyo sahihi

  • @jeromeshirima2053
    @jeromeshirima2053 День назад

    Jamaa muongo kajichanganyaa😂😂😂😂 kashindwa kujipanga❤ kudanganya kubeba❤ mchumba❤

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 12 часов назад

    Uyu kaka ajui kujieleza

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 3 дня назад

    DADA ZETU BONGO WAZURI SANA MMENYOOKA♥️ UONGO USIOFANANA NA UKWELI JAMAA🤣🤣😱

  • @MmassaMboko
    @MmassaMboko 12 часов назад

    Mimi na mtaka harrya for 🇺🇲

  • @Umugwaneza123
    @Umugwaneza123 3 дня назад +1

    😂😂😂😂😂 from Rwanda🇷🇼 ira muwongo sana

  • @Skolah-vs2fw
    @Skolah-vs2fw 14 часов назад

    😂😂😢 aibu jamaan anajifanya hasikii vizury

  • @SamweliHozza
    @SamweliHozza 14 часов назад

    Eti Mr kipala

  • @elizabethyohana6115
    @elizabethyohana6115 3 дня назад +2

    Nimukali 😂😂😂sana😂😂😂😂😂😂

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 13 часов назад

    mwanume anayejielewa hawezi kuwa anaongea huku anatafuna km mbuzi 😢😢😢wachunguzeni wanaume wanaojitafunatafuna

  • @shahiduhamada9229
    @shahiduhamada9229 3 дня назад +1

    Awajamaa.wanyewe.wanachangia sana mwanaume.kumkosa.mwanamke

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 3 дня назад +1

    Yaani muongo hatar hivi wanawake mnashindwa kumsoma
    Mtu muongo kweli duuh

  • @Yusuphkisusula-k3g
    @Yusuphkisusula-k3g 3 дня назад +3

    Jamaa Jau Sana Umetuangushaa Wanaume Wenzio Unachaguliwa Na Pisi Kali Afu Unaleta Mashauzi Mamae 😂

  • @EvancePatrice-v5t
    @EvancePatrice-v5t 3 дня назад +3

    Yaaan huyu jamaa atakuwa ni kiziwi alafu hajiamini kabisa

  • @musondolirobert3922
    @musondolirobert3922 2 дня назад

    Aliya unapendeza sana

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 13 часов назад

    embu mwbieni ateme iyo big g kwani kumbuka unamlemba lemba nini huyu mbona anatimia muda mwingi maelezo hayaeleweki😢😢😢😢

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 3 дня назад +7

    Nanyie mnachangia mtu kukosa mwezawake

  • @DianneZeberto
    @DianneZeberto День назад

    Doctor kumbuka ni mweu kweli

  • @FatmaAhmad-y1k
    @FatmaAhmad-y1k 3 дня назад +1

    Uwo uwongo jamani Wasani Mia saba hapo kaupiga mwingi uyo atakae ondoka nae kaumia

  • @HalimaLikele
    @HalimaLikele 3 дня назад

    Jmn nyie ❤❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😂

  • @ellyjoel
    @ellyjoel 3 дня назад +2

    Hivi kweli mwanaume mtu mzima uko eneo kama hilo mbele ya watu wazima wenzio unaongea huku unatafuna big-ji?....sidhani kama ni sahihi?

  • @YoshuaNgujali
    @YoshuaNgujali 3 дня назад

    Trissy mpunga huyo,nakubalii

  • @jumaseif5037
    @jumaseif5037 Час назад

    Kipindi chenu ni Kizuri hakikisheni mnakuwa na details za kutosha za hao Mr Right wengine wanonekana ni Matapeli wa Mapenzi.

  • @perrocollection8267
    @perrocollection8267 3 дня назад +1

    Ushaaaaa😂😂😂😂

  • @HappyMsingu
    @HappyMsingu 11 часов назад

    jaman mpunguze maswali mnawachanganya

  • @SalimMwakarani-e4u
    @SalimMwakarani-e4u 17 часов назад

    Ni bro wake huyo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @SuleymanAbdalah
    @SuleymanAbdalah 10 часов назад

    Nyie mashoga wote

  • @lawrenciamkolwe796
    @lawrenciamkolwe796 19 часов назад

    Pia mnachamba sana acheni kuchamba

  • @EssyMellina
    @EssyMellina 4 дня назад +1

    Kumbuka jamani,, spare my ribs😂😂

  • @BarakaLekasy
    @BarakaLekasy День назад

    Da mi amenichekesha sana huyu mwamba

  • @IssaJumaa-tc5wi
    @IssaJumaa-tc5wi 19 часов назад

    Jaman kama muongo hv maelez yake hayatoshelezi 😂😂

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 9 часов назад

    Mlianza vizuri xana ila xaivi siwaelewi mc ndo mmekua ma Mr light mnahoji xana hao madada mtabaki nao sababu

  • @neziajoseph9726
    @neziajoseph9726 3 дня назад +1

    sijawahi ona mwanamke hamuelewi mtu muongo yani mr light huyu kwanza muongo sana pili akili hana hata kidogo...huyo dada angempata angejuta maana hata uongo hawez kuupangilia...kuweni makini na tunapenda mnavyowatafutia wake kwa waume ila wanawake ni tegemez ila wafundisheni wawe makini sana...khaaa na nguo uenda kaazima

  • @tunuyaomar5017
    @tunuyaomar5017 2 дня назад

    Mbwembwe nyingi zimemrudisha kitaa , unajitia mbwembwe na kutongoza hujui, uongo mwingi kakutana na wajuaji..😂😂

  • @modricnoma3686
    @modricnoma3686 4 дня назад

    Dah! huyu mwana amenichekesha 😂😂😂

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 17 часов назад

    😂😂😂Yn garabi kumbe unaga ht akili ww😂😂

  • @HellenMalya-dy2in
    @HellenMalya-dy2in 17 часов назад

    Hajaaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @RaiyaanRasheedRay
    @RaiyaanRasheedRay 9 часов назад

    Huyu kaka anaboa hawez kuongea

  • @shabanimwinyikhery1174
    @shabanimwinyikhery1174 2 дня назад

    Sema dk kumbuka hapo mmepatia kumuweka ananogesha kipindi

  • @getrudaalbert7453
    @getrudaalbert7453 2 дня назад

    Huyu mshikaji muongo sanaa😂

  • @hildanovath1178
    @hildanovath1178 2 дня назад

    Mwanaume jina

  • @perrocollection8267
    @perrocollection8267 3 дня назад

    Ila kumbuka 😂😂😂😂 et meza kwanzaa

  • @pendoyohana2399
    @pendoyohana2399 3 дня назад +2

    Sasa anatafuna nn😅

  • @ladharojumanne8360
    @ladharojumanne8360 День назад

    Hapo hamna meneja ila ni usanii mtupu, jamaa ana kamba sana😂😂😂

  • @RabiaSaid-sh1km
    @RabiaSaid-sh1km День назад

    Aibu naona mm 😂😂😂

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 3 дня назад +1

    Mwanaume kutafuna ovyo wala haifai

  • @JustinNdihokubwayo-f5s
    @JustinNdihokubwayo-f5s День назад

    Unamuona Bartazal 😂😂😂😂

  • @DianneZeberto
    @DianneZeberto День назад

    Cheki kipara izo mbuzi kweli

  • @KathuyaAnna
    @KathuyaAnna 3 дня назад

    Huyo jamaa senge kama hiyo anayotafuna 😅😅😅 zube to

  • @AishaDauban
    @AishaDauban 18 часов назад

    Na mm nataka kuja hukoo

  • @DullahKito-w9j
    @DullahKito-w9j 11 часов назад

    Nyie nao mnaongea sn bwana kisha mnawazogodoa sn watu siyo sawa hvyo

  • @Yangabingwaofficial
    @Yangabingwaofficial 3 дня назад

    Huyu jamaa katuaibisha wanaume amepoa sana asee

  • @gastorsirima5761
    @gastorsirima5761 День назад

    Asirudi tena

  • @esterbaraka1164
    @esterbaraka1164 4 дня назад

    Nimeisubili sana

  • @DianneZeberto
    @DianneZeberto День назад

    Akili matope tu

  • @MOHAMMEDABDALLAH-w4k
    @MOHAMMEDABDALLAH-w4k День назад

    Muongo uyo jamaa

  • @cjesus9741
    @cjesus9741 День назад

    jamaa huenda kujielezea hawez

  • @DeboraNgura
    @DeboraNgura 3 дня назад +3

    Jmn kaka manager wa wasanii 700 na mimi naimba ad miti inatikisika😅 niwe wa 701😂

  • @rashiikaje3465
    @rashiikaje3465 3 дня назад

    Uyu Kaka muongo ata kuongea tu ana onesha muongo

  • @AmonBora-ve5si
    @AmonBora-ve5si 4 дня назад

    😂😂😂king'ang'a aondok sasa atazeek

  • @janerachel1622
    @janerachel1622 3 дня назад

    GARA B,PUNGUZA TUMBOO WE MREFU UNAHARIBIKA

  • @ZawadiKamilembe
    @ZawadiKamilembe 3 дня назад

    Uongo

  • @SashaSalum-dl6ni
    @SashaSalum-dl6ni 14 часов назад

    jamaa mramba lipsi hyu .muanglie kwnza anaongea Kw kujiramba sna jmaa

  • @arobogastmatei3663
    @arobogastmatei3663 4 дня назад

    Mimi siwezi kuishi bila MATILDA

  • @SkideLouis
    @SkideLouis 3 дня назад

    yani wanaenda kutumika alafu wanarudi tena hapo hapo 😅😅

  • @gastorsirima5761
    @gastorsirima5761 День назад

    Umetuhaibisha

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 3 дня назад

    😀😀😀😀KUMBUKA

  • @mukeshimanarose1334
    @mukeshimanarose1334 3 дня назад

    😮😏😏😂😂😂

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 3 дня назад

    Eti 400 baltaza 🤣🤣🤣🤣

  • @GiftPeter-e4z
    @GiftPeter-e4z 2 дня назад

    Maelezo yake tu anaonekana ni muongo

  • @LucknessPeter
    @LucknessPeter 3 дня назад

    eliza mbn cmuoni

  • @maxiellmillian
    @maxiellmillian 3 дня назад +1

    Haka Kajamaa ni katapeli kabisa

  • @FatmaAlly-w7p
    @FatmaAlly-w7p 3 дня назад

    Msiwe mnaongea sn

  • @نجمةكينيا
    @نجمةكينيا 3 дня назад

    😂😂😂😂😅😅

  • @Lopsonmnyamwezi
    @Lopsonmnyamwezi 3 дня назад

    Ety kumbe 400 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @frankidon1913
    @frankidon1913 3 дня назад

    😂😂😂

  • @TerrorTrove-bx4pg
    @TerrorTrove-bx4pg 4 дня назад

    Ila Gara B eti mzee wa 400 😂😂

  • @jumachanewstrends6899
    @jumachanewstrends6899 3 дня назад

    Batuli imekuwaje Tena jamani Umerudi kipenziii
    Jamani Adume amezingua Jamani

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 13 часов назад

    embu mwbieni ateme iyo big g kwani kumbuka unamlemba lemba nini huyu mbona anatimia muda mwingi maelezo hayaeleweki😢😢😢😢

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 13 часов назад

    embu mwbieni ateme iyo big g kwani kumbuka unamlemba lemba nini huyu mbona anatimia muda mwingi maelezo hayaeleweki😢😢😢😢