Cheki Yanga walivyowasili Algeria kuwakabili MC Alger CAF CL

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024

Комментарии • 17

  • @LucyVictor-c9c
    @LucyVictor-c9c 19 часов назад +1

    Kama Mungu Aishivyo,...watalipa kwa matendo yao.
    Mungu Ibariki Yanga, Mungu ibariki 🇹🇿

  • @SaidAkili
    @SaidAkili 19 часов назад +1

    Inshallah KHER Allah yuko pamoja nanyi Inshaallah

  • @twaibutwabibu8809
    @twaibutwabibu8809 12 часов назад

    Endurance and resilience are vital for Yanga Africans to win no matter what

  • @frida-oi6kw
    @frida-oi6kw 11 часов назад

    Dah ..eeeh Mungu naomba isiwe kweli 😢😢😢😢😢 nilichokiota

  • @Iconifcmusic
    @Iconifcmusic 18 часов назад +1

    🇹🇿🔥🔥🔥 🇰🇪shabiki

  • @fihirishemaadihussein6124
    @fihirishemaadihussein6124 11 часов назад

    We wish you all the best

  • @allenmkwavi8360
    @allenmkwavi8360 20 часов назад

    Safari njema wanangu ❤

  • @PAAKWAMEPAA
    @PAAKWAMEPAA 12 часов назад

    Asante

  • @NathanaelBawil
    @NathanaelBawil 12 часов назад

    Tunawaombea wawakilishi wa taifa letu simba na yanga mfanye vizuri

  • @DoryGeorge
    @DoryGeorge 20 часов назад +1

    Kila la kher

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 12 часов назад

    Yani Waarabu wana matatizo sana. Sasa mizigo inapoteaje 😂😂😂

  • @JumaKibou
    @JumaKibou 12 часов назад

    Hiyo mechi yanga anashinda gori 1 bila tu mpaka mechi hinaisha

  • @AgiripinaNisiphory
    @AgiripinaNisiphory 14 часов назад

    Mmeanza kulalamika kama kipindi kile Nigeria ndio mzoee

  • @AgiripinaNisiphory
    @AgiripinaNisiphory 14 часов назад

    Waarabu wameweka baridi kali kweli kweli

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 15 часов назад

    Tukifungwa tena wachezaji wajiuzulu maramoja😡

  • @faridaaldo7547
    @faridaaldo7547 19 часов назад

    Kila la kheri tunawaombea

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm 19 часов назад

    📖🤲🤲🤲💛💚💯😍