MZEE WARIOBA AICHACHAFYA SERIKALI, AFICHUA MBINU OVU ZA SERIKALI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 342

  • @habari-24
    @habari-24  Месяц назад +2

    KAULI YA RAIS SAMIA KUHUSU JESHI KUJIPANGA: Tazam Hapa👇👇
    ruclips.net/video/lxNx9Vg1WE8/видео.htmlsi=wpWaFb6_4BU96kfc

  • @SilveryMasalu
    @SilveryMasalu Месяц назад +6

    Mtakatifu Joseph Sinde Warioba, ndiyo maana Mungu mwenyezi anakujaalia afya njema na maisha marefu

  • @alluabdallah6893
    @alluabdallah6893 Месяц назад +6

    ❤❤❤❤mung akubark mzee
    kingunge kwakwel hii nchi imeoza kwa uchafu wa ccm

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 Месяц назад +23

    Wazee km huyu Mzee Wariioba wangesikilizwa wangeisaidia nchi yetu sana,
    Hii ni sauti ya mwl Nyerere kutoka kwa mzee ambae alikuwa Waziri mkuu wa mwl Nyerere.
    Wazee hawa ni Hazina kubwa Sana, Mwenyezi Mungu amewaacha ili watuonyeshe njia.

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz Месяц назад

      MKURUGENZI WA HALIMASHAURI ATEKWA NA FAMILIA YAKE WAVULIWA NGUO ZOTE, KAKA YAKE AELEZEA TUKIO ZIMA.!
      ruclips.net/video/Or5m0-TTzrU/видео.html
      Hii ni Mkoi Tv Online na huu ni muendelezo wa kukuletea matukio adhimu ya simulizi za kweli ambazo hazina hata chembe ya shaka toka kwa wana familia wa Mkoi Tv Online toka kila pembe ya Dunia.
      Leo tupo na Kaka wa Mkurugenzi wa Halimashauri ya Mji... ( JINA LINAHIFADHIWA) akieleza jinsi walivyotekwa na watu wenye silaha za kivita wakati wakitokea safari.
      Na baadae watu hawa waliwalazimisha kuvua nguo zote yani watoto wa kiume, mama yao, Baba na dada yake ambae ni Mkuruenzi wa Halimashauri ya mji mmoja maarufu nchini uliopo katika ya mikoa ya Tanzania.
      Ni tukio la kufedhehesha sana na kusikitisha, Familia hiyo Wasema ni issue ya uli paji visasi mambo ya biashara sio Siasa.
      VIDEO hii hapa, share, Like, Comment na Subscribe au tupigie kwa simu namba +255713575718 Ipo Whats app

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 Месяц назад +39

    Mzee Mungu akuongezee miaka unazeeka mwili lakini akili bado iko sawa sana

    • @mohammedya-assini6455
      @mohammedya-assini6455 Месяц назад +1

      Hana akili

    • @kitulasamson
      @kitulasamson Месяц назад

      Alikuwaje wazil​@@mohammedya-assini6455

    • @AishaKaumbya
      @AishaKaumbya Месяц назад

      😢😢

    • @JesusJesus-ny1sm
      @JesusJesus-ny1sm Месяц назад

      ​@@mohammedya-assini6455Taahira wewe ni Mzanzibari Mpumbavu hata hujuwi unashabikia nini !!! Huyo Samia wenu amekwishaaibika hana sababu ya kusubiri 2025 aondoke sasa hivi hakuna Mtanzania anaemtaka hayupo.

    • @christianjeff5317
      @christianjeff5317 Месяц назад

      Au sio ​@@mohammedya-assini6455

  • @KelvinMtavangu-ow8yo
    @KelvinMtavangu-ow8yo Месяц назад +5

    Asante sana BABU, Mh. Sinde Warioba Waziri Mstaaf. Hapo yawezekana kuna chama kinahujumu vyama vingine. Hii ni hatari sana kwa demokrasia na amani yetu tukufu.
    Hakika Mungu akubariki uwe na Afya njema. Amina.

  • @ShabaniMbwana-fz3rm
    @ShabaniMbwana-fz3rm Месяц назад +19

    ❤❤ubarikiwe mzee wetu kwa maneno ya hekima

  • @Kanyawela
    @Kanyawela Месяц назад +12

    Wazee hawa wasikilizwe na sauti zao ziwe kumbukumbu Uyu mzee Mungu ambariki kwa ukweli wake

  • @GodwineMuchunguzi
    @GodwineMuchunguzi Месяц назад +14

    Asante Babu yanguu naomba uwepo mpaka 30 ninaimani utakuwepo ili mushumaa wako utakaoshika utuangaziee

  • @JoshuaKapungu-sj5dk
    @JoshuaKapungu-sj5dk Месяц назад +15

    Mungu akupe maisha marefu Warioba, ukweli utakuweka huru.

  • @Castory-k4j
    @Castory-k4j Месяц назад +23

    Mzee uko vzr Mungu akurinde sana ili utupe taa ya hekima ukweli sisi Wana ccm tusijivune kwa ushaindi tuliopata tulifanya uchanguzi wa mikakati Naogopa sana kama Imani itatoweka TZt wakulaumiwa ni sisi ccm.

    • @GambasonLuselegasi
      @GambasonLuselegasi Месяц назад +1

      Wewe ni mzalendo

    • @kinisannko1893
      @kinisannko1893 Месяц назад

      Ninaamini like Kofi la kipindi kile , hivi alipigwa na nani vile maana kinyongo hakijaisha hadi Leo, wakati ule wa kukamilisha rasi.u ya katiba iliyotupwa darini au kwenye dust bin.... ..!

    • @eliakazilo6078
      @eliakazilo6078 Месяц назад

      Nyie msifieni na kumpongeza Huyu Mzee..siku vurugu ikitokea ,sijuwi mtakimbilia wapi.? Ni Bora uchagizi unasimamiwa na majeshi.hata wale wanaotaka kufanya uovu watashindwa.wataogopa.demokrasia ya kweli bila ulinzi haipo..Kuna vitu nyuma ya pazia wanavyo chadema..serikali imewashitukia..Warioba anasema tuu.. Mambo mi magumu..isitoshe. Yeye hajui,kwa sababu bado anakindwaa

  • @filomenaemmanuel14
    @filomenaemmanuel14 Месяц назад +3

    Asante Mungu kutupa saut tusiona saut barikiwa babu yetu kuishi kwako ni kusud la mungu

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 Месяц назад +4

    Mungu akuweke muheshimiwa warioba uishi miaka ellfu moja mungu akuondolee maradhi inshallah ❤❤❤

  • @officialshelomwangole256
    @officialshelomwangole256 Месяц назад +10

    Mzee warioba amenyooka sana✊️

  • @sportsnewjs4330
    @sportsnewjs4330 Месяц назад +6

    Tuseme ukweli jamani huu uchanguzi ni wakihalifu kabisa
    Chanzo ni viongozi wa CCM wanatamaa za madaraka na hawajali maumivu ya wananchi 😭😭🇹🇿🇹🇿😭

  • @saviomlelwa
    @saviomlelwa Месяц назад

    Mungu akubariki mzee warioba

  • @kashinjefranscis608
    @kashinjefranscis608 24 дня назад

    Baba mungu akujalie afya jema

  • @MoEd-k8w
    @MoEd-k8w Месяц назад +12

    Na yeyey mmteke mbweha ninyi. Aibu ya mchengelwa kujichora et uchaguz umeenda vizr

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano Месяц назад +2

    Nasema kweli ya kwamba wale wanaopita kwa wizi wa kura,
    Namshushia mto wa Mungu ateketee kwa jina la Bwana Yesu Kristo
    Watu wote waseme AMEN.

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x Месяц назад +1

    Mungu Akubariki Rais Wetu Mama Samia Allah Akunusuru Na Mahasid Hasbuna Allah Waaneima Llwakil Mahasid Mwenyeez Mungu Atawallani Mama Allah Atakulinda Kila Hatuna

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb Месяц назад

    Mungu akupe AFYA njema

  • @didaslunkoto
    @didaslunkoto Месяц назад +11

    Mzee warioba MUNGU azidi kukutunza.

  • @ElyotKyando
    @ElyotKyando Месяц назад +2

    Warioba🙏🙏🙏🙏🙏🙏☑️🙏

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 Месяц назад

    Mzee hongela sana kwe uwezo huo 💯🙏✔️

  • @RAPHAELKILUMILE
    @RAPHAELKILUMILE Месяц назад

    Mungu akulinde uishi maisha marefu wazir mstaafu

  • @JesusPower-n7h
    @JesusPower-n7h Месяц назад

    hongera mzee warioba kwa ufafanuzi

  • @benjaminsanare-ug6ge
    @benjaminsanare-ug6ge Месяц назад

    God bless you our grandfather of nation

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb Месяц назад

    Baba warioba Mungu akutunze akuongezee miaka ya kuishi wastaa wengine wamekaa kimya wewe pokeyako ulioyasema Mungu asimame na wewe

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 29 дней назад

    Angalia wasikuue mzee wangu

  • @revocatusthobias1814
    @revocatusthobias1814 Месяц назад

    Mzee uko sawa tumuombe Mungu tu atuepushe na hilo zahama

  • @FaridSaleh-i8b
    @FaridSaleh-i8b Месяц назад +5

    Mzee Warioba uko sawa kabisa, wewe una ukweli na wala sio mnafiki. Mungu akupe afya njema, uhai mrefu wewe ndio Mzee wa sawasawa lkn wengine wote ni kichefu chefu. Yaani ni machawa tu wa Rais.

  • @FrenkCharles-g4u
    @FrenkCharles-g4u Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mzee wetu mungù akulinde

  • @GeraldNyasembe-q2d
    @GeraldNyasembe-q2d Месяц назад

    ❤❤mzeee wamejitaidi kuku nyamazisha lakini msimamo unakulinda

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange Месяц назад +6

    Mungu amekutumia Mzee Warioba,si hekima zako pekee tu bali ni Roho wa Mungu aliyemo ndani yako.Unaongea ukweli mtupu Mungu yu pamoja nawe.., na akulinde,akuepushie husuda,wasije tena kutokea kama kina Bashite wakakuzaba makofu ati kwa kuwa hukuibeba CCM kwenye mazungumzo yako.

  • @MariaHaule-x6e
    @MariaHaule-x6e Месяц назад +1

    Upo vzr baba

  • @ElihurumaThomas-kz8nq
    @ElihurumaThomas-kz8nq Месяц назад

    Asante Babu wa Taifa

  • @peterantony5890
    @peterantony5890 Месяц назад

    Mzee Warioba, Mungu akubariki na kukulinda.

  • @lucymatiga1838
    @lucymatiga1838 Месяц назад +2

    Uko sawa baba

  • @safinainternational9809
    @safinainternational9809 Месяц назад +3

    Wewe ni sauti ya wananchi mzee, hongera kwa maneno ya hekima kwa taifa letu.

  • @PauloKihomwe
    @PauloKihomwe Месяц назад +1

    Wazee mliobaki wa Bisarara ni mmoja ni josefu Sinde warioba Mungu akulinde waonyesha hao vijana wanaotaka kuongoza nchi kwa masilahi yao binfsi

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 Месяц назад +5

    Mzee warioba uko sahihi Ccm wanajua wakiweka uchaguzi huru awarudi madarakani Wananchi kwa kweli tumewachoka ila wanatawala kimabavu

  • @RahimMallya-fh9zc
    @RahimMallya-fh9zc Месяц назад +10

    Tatizo ccm wanaona wao ndio wenye Hakiri kuliko watanzania wote,iwe viongozi wa dini au wastaafu, vyama vyote avijui kusoma na kuandika, ajabu jeshi letu linapendelea upande 1

    • @chichasam9032
      @chichasam9032 Месяц назад

      Cccm mavi mnooo

    • @w4058
      @w4058 Месяц назад

      Naam kweli kabisa

  • @FundiHussein
    @FundiHussein Месяц назад

    Mzee unajitaidi sana kusimamia ukweli mungu akubariki sana mpo wachache watu wa namna yenu

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 Месяц назад

    Akili kubwa mzee wetu

  • @GeorgeMwakanyika
    @GeorgeMwakanyika Месяц назад

    Hekima yako Babu na idumu milele na Mungu akukumbuke kila uamkapo na ulalapo.Na tunaamini utaitwa ili utishiwe lkn Mungu atakulinda.

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 Месяц назад +1

    Mzee tunaendelea kukuombea mzee wetu… Pia tunaendelea kuomba kwa Mungu awalipe hawa watesi wetu sawa sawa na matendo yao..

  • @GodfreyChacha-y1y
    @GodfreyChacha-y1y Месяц назад +3

    Mzee Bado uko safi tusaidie kwa hili

  • @mkingaJulius-u5y
    @mkingaJulius-u5y Месяц назад

    Mzee naomba mungu akulinde ufike kuuona uchaguzi mkuu wa mwaka unao kujae.

  • @RITHAMROSSO-t4w
    @RITHAMROSSO-t4w Месяц назад

    Sema kweli Mungu atakutetea mzee

  • @allenmacha4131
    @allenmacha4131 Месяц назад +9

    Mzee warioba endelea kuelimisha taifa letu

    • @stevenmanase8162
      @stevenmanase8162 Месяц назад +1

      Huyu sasa ndio BABA wa TAIFA aliye bakia na msema kweli

    • @JesusJesus-ny1sm
      @JesusJesus-ny1sm Месяц назад

      ​@@stevenmanase8162Pamoja na Mzee Butiku.

  • @peterdoisso2414
    @peterdoisso2414 Месяц назад

    Kitu nampenda Warioba sio mnafiki.

  • @medardkalinjuma5503
    @medardkalinjuma5503 Месяц назад +14

    Tuna wasomi wa hovyo ,hata wachambuzi wa hovyo,kwa sehemu kubwa na waandishi wa hovyo, wanaoshindwa kueleza uhalisia, na kuwaonya watawala kufuata utu na kutupa kielelezo cha uzalenda na utanzania kwanza na haki za watu kuishi na kukemea vikali vitendo vyovyote vya mauaji km hayo ktk uchaguzi,badala yake tunakuja kuyasikia haya kwa mzee sana km huyu 😢😢, hii ni uzuni kubwa kwa wasomi wetu mliosoma kwa kodi za watanzania. Shame upon you. Mzee angelikuwa anaweza kugombea mimi ningempa kura yangu pamoja na uzee wake huo wala nisingehitaji kusikia kampaini wala sela zake.

  • @YakoboDeku
    @YakoboDeku Месяц назад

    baba Mungu akulide milele kwa kusimamia haki

  • @Josephmwambe-r6n
    @Josephmwambe-r6n Месяц назад +3

    Kuna wanasiasa wanapenda kumtaja mungu mala kwa mala kwenye otuba zao mungu awaone mana wanamatendo ya shetani na awaogopi zambi wala awana of kabisa na mungu. Na wamesaau km kunakufa daaah viongozi wetu Dunia tunapita ihii na kumbukeni atukuja duniani kuja kuwa matajiri dhumuni la mungu wetu nikuja kumwabudu na kusujudia yeye basi tuache kujisaau bc tendeni aki na kueshimu mawazo ya wengi

    • @GeorgeMwakanyika
      @GeorgeMwakanyika Месяц назад

      Hakika wanapenda sana kumtaja Mungu nawakati wapo wakisujudu mishetani yaooo.

  • @BraytonMwakitalima
    @BraytonMwakitalima Месяц назад

    Mungu wa mbinguni akutunze

  • @ahmadjuma6083
    @ahmadjuma6083 Месяц назад +2

    Upo sahih mzee wanayofanya si haki

  • @michaelpatrick9317
    @michaelpatrick9317 Месяц назад +3

    Maneno ya hekimaa ya mzee!!! Haya CCM mvua ikinyesha sanaaa jua kuna kitu itaharibuuu 😅😅😅😅

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 Месяц назад +14

    Huo ndio ukweli.. ccm haina. tena kichaka cha kujificha.. kiuhalisia ccm haipo limebaki jeshi ndio tunapambana nalo kwenye uchaguzi.. nalo inatakiwa tutafute njia ya kudili nalo..

    • @w4058
      @w4058 Месяц назад

      Mwenye jeshi lenye uadilifu Allah na keshaanza kuwaonesha wabunge tumuogope Allaah Samia na mkweo muogopeni Allah

  • @Kidd11168
    @Kidd11168 Месяц назад

    Absolutely

  • @LeonardMakoti-v8i
    @LeonardMakoti-v8i Месяц назад

    Wezi wa kula mungu Linda taifa lako wafe wote kabla ya kututumikia

  • @celinamosha9420
    @celinamosha9420 Месяц назад

    Usialikwe ukaenda baba yangu

  • @mohammedameirissa1359
    @mohammedameirissa1359 Месяц назад +1

    Mbona hukusema wakati wa Magufuli mambo haya yote yalitokea

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam Месяц назад +2

    Mungu akubariki Jaji Warioba, ni wewe pekee aliyebaki ktk wazee wanaouthubutu kusema ukweli.

  • @hamulimajeshi1512
    @hamulimajeshi1512 Месяц назад

    Mtanzania halisi.....

  • @MaryTeveli
    @MaryTeveli Месяц назад +3

    Mzee upo sahihi kabisa maana ipo siku watanganyika wataamka na kupata uhuru wao

  • @w4058
    @w4058 Месяц назад

    Akram usijafanye kumtetea Samia ulofanyika ni udhalim mnafikiri Allah hawajui wafanyavyo Chama Cha Maharamia CCM

  • @RITHAMROSSO-t4w
    @RITHAMROSSO-t4w Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 Месяц назад +1

    Uko sahihi kabisa kula bandia zimetengezwa na ccm .

  • @JohnMhagama-cr7yn
    @JohnMhagama-cr7yn Месяц назад

    Siku zote ukweli upo duniani na mbinguni mungu akupe umri mrefu

  • @SylvesterKameo
    @SylvesterKameo Месяц назад

    Mzee Warioba ametuheshimisha sisi wazee kwamba uzee unanawirisha hekima katika kulishauri taifa. Hekima anayokuwa nayo mzee ni uzao wa maisha ya malezi na makuzi ya uadilifu aliyokuwa nayo mzee katika ujana wake. Hapa ndipo tunaweza kumtofautisha Mzee Warioba na viongozi wengine wastaafu kama Wasira, Msekwa, Makinda, na mawaziri wakuu wastaafu Sumaye, Malechela, Msuya, Pinda, n.k.

  • @EdwardMizambwa
    @EdwardMizambwa Месяц назад

    Wazanzibari wanataka kutawala Tanganyika kwa mabavu.
    Na kwa vile vyombo vya salama wa raia na mali zao wamekosa uzalendo nao wameungana na Wazanzibari.
    Hii ni hatari kubwa sana

  • @jumamakuri9176
    @jumamakuri9176 Месяц назад

    Nina mashaka na uanachama wa Mzee Waryoba ndani ya CCM.

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 Месяц назад

    Huyu mzee alivyo siyo mnafiki na ni Mzalendo wa kweli, asiposikilizwa itakuwa laana kwa watu. Asikilizwe na kuzingatiwa.

  • @etsonpanja3885
    @etsonpanja3885 Месяц назад

    Kamwe Tanzania haitokuja kuendelea kwa hizi siasa za kiudwanzwi. I like Kenya Politics.

  • @georgemihango71
    @georgemihango71 16 дней назад

    Let my people go! Ipo siku maana sote tunapita!

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x Месяц назад

    Alli Amran Maneno Yk Kweli Hawa Watu Wanaubaguzi Wa Kidini Hy Baba Wa Taifa Wakati Anataka Uhuru Alisaidiwa Na Waislam Alifunga Ameingia Msikitini Nnawashangaa Wao

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 Месяц назад

    Ukiacha manabii huyu mzee kwa sasa ni sauti ya Mungu

  • @Matter_music_Tz
    @Matter_music_Tz Месяц назад

    Umenyooka mzee

  • @IbrahimJumanne-d5l
    @IbrahimJumanne-d5l Месяц назад

    Upo sahihi babu

  • @iddiabdallah7352
    @iddiabdallah7352 Месяц назад

    Ni kweli mzee nasi wengine tunasubiri hiyo vita kwa hamu sana kwani wanavyovifanya wanavijua

  • @drLee-z3p
    @drLee-z3p Месяц назад

    Aliekwambia uchaguzi ulikuwa huru nani acheni unafiki miaka yte hakuna uhuru ktk chaguz leo anatwambia nin huyu mzee muongo na mnafiki mkubwa hapo alipo anakula mafao ya serikal miaka ya magufuli mbina hakusema kitu au hakusikia kelele za wapinzani huo ni unafik mkubwa ktk maisha yake ajidanganye mwenyew sio umma huu kwa sasa

  • @anthonymandia-j6w
    @anthonymandia-j6w Месяц назад

    Endelea kuwasemea Wananchi. Tunasubiri katiba mpya. Ndio suluhisho na mabadiliko ya kweli.

  • @simonlulenga7062
    @simonlulenga7062 Месяц назад

    Mheshimiwa Warioba tunakufahamu wewe ni kiongozi shupavu mtu mwadilifu na mzalengo wa Hali ya juu sana; watamzania wapenda haki wote tunakupenda. Umebaki peke yako maana wanamapinduzi wenzako hatunao tena. Tunatamani tuendelee kuwa nawe baba. Kwa sasa hatuna kiongozi kama wewe Wala hata angalau wa nusu yako hawapo! Hivyo hata wanapokusikia hekima na busara zako kwao ni kero. Mi nakuomba baba wewe jinyamazie Mungu anawaona bila shaka atashughulika TU nao.

  • @InnocentJohn-l5y
    @InnocentJohn-l5y Месяц назад

    Nimmoja wawastafu ambae impending haki sana wastafu wengine nimachawa tu hawaisaidii nchi kuwa naukweli nawajue tu hii dinia tunapita tu kila kitu tutakiacha tu

  • @SelemanIsmail-c3z
    @SelemanIsmail-c3z Месяц назад

    Huyu Mzee anatofatiana sana na wale wanaosema " Nani kama..."

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 Месяц назад

    Hekima sana katikati ya mafuvu na mifupa ambavyo haviwezi kuhisi wala kusikia.

  • @MizoraAbuu
    @MizoraAbuu Месяц назад

    Lakini sindio agizo lachama chenu maana Muna waagiza watendaji wahakikishe imepita ccm sivyo hanakazi

  • @CLEMENTNDOLE
    @CLEMENTNDOLE Месяц назад

    Mzee ni bora ushauri huu ungekuwa unaoutoa kwa kuwakutanisha viongozi wa serikali kulikoni kuwa mshauri kwenye vyombo vya habari.

  • @Jal210
    @Jal210 Месяц назад

    Wewe Mzee acha uchochezi ndiyo maana Makonda alikupiga makofi

  • @josephmagige874
    @josephmagige874 Месяц назад

    Kweli anachosema

  • @jumasella-s2k
    @jumasella-s2k Месяц назад

    Mzee mnafiki

  • @SamweliMango
    @SamweliMango Месяц назад

    Mzee peponi utaingia.

  • @mathiasshirima4520
    @mathiasshirima4520 Месяц назад

    Huyu Mzee ni wakumpa sifa kama Nyerere. Akika huyu mzee inatakiwa tumwombee.

  • @JacobMoses-vl8ts
    @JacobMoses-vl8ts Месяц назад

    Tanzania hakuna democrasia ni uongo tu

  • @MaryTeveli
    @MaryTeveli Месяц назад +6

    Yaani hata kama sisi ni wajinga ipo siku tutaelimika

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo Месяц назад

    Mwenye kifua kipana ameupiga wingi

  • @hassanibakari9667
    @hassanibakari9667 Месяц назад

    Mzee warioba hawa watoto hawakusikirizi lakini ipo siku tutakukumbuka

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 Месяц назад

    Mama amezungukwa na vijana na ndiyo tatizo kubwa

  • @kassim1262
    @kassim1262 Месяц назад

    Ccm wnatamani kukoment lkni hwjui koment zao waandike nini 😂😂😂😂😂

  • @ZiggysebahZiggysebah
    @ZiggysebahZiggysebah Месяц назад

    Kuna viongozi wastaafu tena wako hai.lkn wamèjinyamazia kama nchi hii si yao.kuna maneno yanatolewa na baadhi ya watawala, na wamekaa kimya kama hawapo.hekima isipotumika tunatafuta vita wenyeweeer