YERICKO NYERERE AMTAJA ATAKAYEGOMBEA URAIS CHADEMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 113

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 11 часов назад +7

    Safisana umewakomesha chadema udumu miles kitakachotutenganisha na chadema ni kifooo viva viongozo wore wa chadema na wanachama wore ndani na nje ya nchi pokeeni mauwa yenu 🎉

    • @MwakaHappy
      @MwakaHappy 10 часов назад

      Mwambe alikuwa mamlnki alitumwa ila tulimkomesha salaam wanazo tupo imara hatudanganyiki chadema saaaafi

    • @BenjaLight
      @BenjaLight 39 минут назад

      Uko vzr.❤❤

  • @EzekielChalomhola
    @EzekielChalomhola 22 часа назад +10

    Yeriko umejibu vzr sana. Shida ya waandishi wanataka uwape majibu waliyonayo wao.

    • @JesuinaBabili
      @JesuinaBabili 19 часов назад +1

      Umesema vizuri… waandishi wa habari wa siku hizi ni bongo maji… wamejaza maji vichwani hawafanyi tafiti zaidi ya kuuliza swali ambalo ana Jibu lake sasa anatafuta wa kumhoji atamke tu alichonacho yeye kichwani then atoke mbio na kusema hiyo ndiyo habari!
      Kwa Chadema wanafeligi kabla ya kuanza

  • @KesuYeile
    @KesuYeile 9 часов назад +3

    Upo vizuri kama nda

  • @deodatuskuyenga5192
    @deodatuskuyenga5192 21 час назад +8

    nyerere kichwa sanaaaa

  • @isaackmwakapala8663
    @isaackmwakapala8663 2 часа назад

    Msimamo Ni mzuri, hongera Yericko.

  • @ThomasAssey
    @ThomasAssey 10 часов назад +2

    Kuna vijana wapo vizuri sana Tanzania na wanaonesha uwezo wao wa kufikiri na kutenda upo juu ila mifumo yetu ndio haitoi nafasi kwa watu kama hao kwa hofu badala yake fursa zinaenda kwa wapiga debe wasio na uwezo wowote wala maarifa yoyote zaidi ya kuropoka na kusifu hata ujinga

  • @deodatuskuyenga5192
    @deodatuskuyenga5192 21 час назад +5

    nyerere upo juuuu unafaaa kua kiongozi mkuuuuuuuu❤

    • @MrA24G
      @MrA24G 20 часов назад +1

      Aache na waache upuuzi kushinda urais huwo uongo msijiliwaze uongo kbsaaaa.

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 9 часов назад

      AMWAMBIE BABA MKWE WAKE AANZISHE CHAMA SISI WACHAGA NA MBOWE MPAKA DUNIA IISHE

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 21 час назад +4

    Wana Kigamboni tuko pamoja na wewe Mjumbe wa kamati kuu kutoka Block E Mbutu Kigamboni. Never miss the target this time around.✌️

  • @deuskamugisha3627
    @deuskamugisha3627 9 часов назад +2

    Stive uko vzr sana

  • @danielkanso
    @danielkanso 21 час назад +6

    Hii chama ina watu mahiri sana

  • @wazosindwan5663
    @wazosindwan5663 20 часов назад +3

    Mko sawa sana makanda

  • @johnibrahim7146
    @johnibrahim7146 20 часов назад +3

    Yeriko yuko sawa sana, hongera kwa mwandishi pia kwa mahojiano mazuri

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. 20 часов назад +3

    Anafanana kweli na baba 😊

  • @davidrweyemamu938
    @davidrweyemamu938 17 часов назад +2

    Jamani hivi vichwa viachage hivi jamani, maswali haya waulizage ccm ndio saizi yenu japo haya ukimaliza kumuuliza mwenyekiti wao unakuta defender inakusubiri nje mlangoni!

  • @Mwigaa95
    @Mwigaa95 18 часов назад +2

    Kwani huyu mwamba ni ndugu wa mwalimu Julias kambarage Nyerere au ni mfanano wa majina tu 😄

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 20 часов назад +2

    Safi Yerico!

  • @feadamagessa889
    @feadamagessa889 7 часов назад

    Yeriko yupo vizuri

  • @leonardmartine662
    @leonardmartine662 4 часа назад

    Hakika Steve umenyooka vzuli sana

  • @JamesMsemwa-b2t
    @JamesMsemwa-b2t 3 часа назад

    Ndiyo yeriko nimekuelewa sana

  • @patrickkalimoja5478
    @patrickkalimoja5478 19 часов назад +2

    Yeriko umemkaba sana huyo mwanaccm, big up!

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 часа назад

    😮HAKUNA KAMA LISU ELIMU YAKE NZURI NA ANAJUWA KUZUNGUMZA 😮😮😮😮😮

  • @mahyorokalokola4012
    @mahyorokalokola4012 21 час назад +2

    Yeriko siyo leo tu. Mmesema mara ngapi bila mabadiliko hamshiriki uchaguzi na baadaye mkashiriki!

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 19 часов назад +1

    Mimi nashauli MAMA ABUDLI ange pumuzika tuu taifa lipo hali mbaya utekaji"" lushwa"" uchawa kila kona mpka kelo yaani yaani

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 21 час назад +2

    Mnaota mchana kweupeee labda muache kumtukana Magufuli uchaguzi serikali za mitaaa mjifunze hata ubunge hampati hata 1 ninyi ni wachumia tumbo

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 9 часов назад

    Chama cha matamko!😂😂😂😂

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 22 часа назад +1

    Saf Ambae Hajakuerewa Hawaz elewa miaka mia😅😅😅 lispect Sana

  • @kabangoamini8431
    @kabangoamini8431 20 часов назад +4

    Nawapenda chadema wote wasemaji makini

  • @breymbasa3451
    @breymbasa3451 20 часов назад +1

    Peoples power hakunaga Vilaza ni majitu yenue IQ kubwa sana Yaani Hata yule dogo alopotea ilikuwa ukimsikiliza Unapata kitu

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 20 часов назад +1

    Unamtakia nini Yeriko Nyerere kujuwa kama ni mtoto wa baba wa taifa ili iweje .Yeriko nimemjibu.usimjibu.

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 21 час назад +2

    huyu jamaa anafaa kuwa Rais

  • @feadamagessa889
    @feadamagessa889 7 часов назад

    Nyerere kafufuka chukua ndg

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 17 часов назад +1

    Mwandishi amefilusika maswali !! Ametumwa na upande fulani..

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 20 часов назад +1

    CHADEMA MTASHINDA KWA KISHINDO.

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 20 часов назад +1

    Safi watetezi umoja ni nguvu atutaki tume ya CCM

  • @RutaJuvent-d8z
    @RutaJuvent-d8z 19 часов назад +1

    Wewe yeriko uta kuwa mkuu mkuu,mwandishi ccm huyo

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka 19 часов назад +1

    Wahuni tu hao, nchi hii imeongozwa na kambarage mpaka mama samia leo waongoze wahuni wa chadema haiwezekani waishie hukohuko nchi hii sio kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia kwake.

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 18 часов назад

      Eti wahuni!! Ninyi je? Jitafakari

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x 6 часов назад

      Wahuni..?

    • @BenjaLight
      @BenjaLight 48 минут назад

      Unashadadia usioyajua enkobhe nesekelela echbila nchisya.😂

  • @rwakyenderajulius3861
    @rwakyenderajulius3861 18 часов назад

    Anauliza swali moja!

  • @ismailseleman2952
    @ismailseleman2952 20 часов назад +5

    Safi huyu muandishi ametumwa anauliza maswali yakijingakabisa

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 19 часов назад

      Mtangazaji CCM

    • @mwlpierre
      @mwlpierre 7 часов назад

      Mwandishi anawakilishi maswali ya jamii kubwa ya mahasimu wa CHADEMA

  • @YonaRajabu
    @YonaRajabu 21 час назад +3

    Huyo yerikp kaivaa sana

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 22 часа назад

    Tumeyasikia sana hayo matamko.Tuombe mungu tuwe na kheri.

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 21 час назад +1

    😂😂😂😂😂😂kwa vichekesho Hawa jamaa

  • @MathiasNzungu
    @MathiasNzungu 4 часа назад

    Mwabukusi gombea

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 7 часов назад

    We lifisi emu usituzingue humu umachangia. Mautumbo kakojoe. Ulale

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 6 часов назад

    VICHEKESHO KILA KIONGOZI CHAÐEMA NI MPIĜA POROJO
    ENDELENI WENZENU WANAJÌANDA NA 2O25

  • @veraisaria
    @veraisaria 11 часов назад

    😂😂😂 upinzani wa nchi hii acheni kutuona hatuna akili hii chadema inachukuaje urais hii chadema hii?? Acheni utani

  • @jumaabdalah6104
    @jumaabdalah6104 19 часов назад +1

    Mtashinda njaaa sio urais hamna lolote mtakalo fanya kwenye nchi hii jalibuni muone kazi

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 Час назад

    Hakuna lolote kelele tupu .Mnatekana wenyewe mtazuwiya uchanguzi kwa kauli za maneno..Demokrasia ndani ya Chadema mbona husemi .matapeli tu

  • @RamadhanMohamedi-j3d
    @RamadhanMohamedi-j3d 2 часа назад

    Hamuwezi chadema ya sasa ni butu

  • @MichaelMatiku-v7o
    @MichaelMatiku-v7o 21 час назад +1

    Naomba kujua ivi yerico Nyerere ni mtoto wa baba wa taifa au ni jina TU maana kama wanafnana ivi

  • @RhodaKibona-w9j
    @RhodaKibona-w9j 18 часов назад

    Aaaaaaaaaaaaa, Amina,
    Mungu mwema...

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 17 часов назад

    Hapa ni kujigamba tu hakuna Chama kingine Bora jamani

  • @MarryMwamwezi
    @MarryMwamwezi 18 часов назад

    Nyerere naye anaaminisha watu watachukua urais. Hizi ni ndoto za kimweli

    • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
      @yosephatMasanyiwa-oh1rl 18 часов назад

      Hivi wewe mbwa furaha yalo ni kuwa na rais wa ccm au kutatuliwa kero zako na kumaliza mauaji nchini?

  • @gastonjohn537
    @gastonjohn537 10 часов назад

    Anakuchosha huyo ni ninzi wa kijani

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 22 часа назад +2

    😂😂😂 ndoto za mchana

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 22 часа назад +1

      Kwasababu umeaminishwa kura fake na engua engua ya mawakala

    • @joanitamedard5105
      @joanitamedard5105 22 часа назад

      😂😂😂😂 unachekesha kijana Chadema ni Chama kubwa

    • @joanitamedard5105
      @joanitamedard5105 22 часа назад

      Huyu mwandishi kama katumwa vile!

  • @SaidShabani-s4o
    @SaidShabani-s4o 3 часа назад

    Upumbavu mtupu naona hapo wameshindwa serikari za Mitaa wakasema watachukua vyote hakuna kitu hapo ziro

  • @johnnzwalile201
    @johnnzwalile201 19 часов назад +1

    Dola haishikwi kizembezembe

    • @IssaAlly-lp4uf
      @IssaAlly-lp4uf 19 часов назад

      Inashikwa kwa haki sio kwakula za bandia

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 21 час назад

    Matundu hayapo ila kwa wale wasiojitambua hata wale wa ccm wapo wanashindwa kusema wazi kwamba wamechoka na ubabe,

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 14 часов назад

    Kumbe na wewe ni mpuuzi aliakua baba yako akuwa hivi. Mpuuzi wewe

  • @MaguguStore
    @MaguguStore 20 часов назад

    Uchaguzi si wa chadema , nyinyi mtakaa pembeni ICT tutaingia kwenye uchaguzi

    • @giztony2009
      @giztony2009 13 часов назад +1

      Ukiona chama kinapendwa na ccm wala hakipewi kashikashi ujue kimekufa kwa hiyo ACT ni chama mfuu

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 5 часов назад

    Kaka unajiamini nn shauliako

  • @hamisidd8124
    @hamisidd8124 18 часов назад

    Labda urais wa njaa na senene

  • @wazosindwan5663
    @wazosindwan5663 20 часов назад

    Makamanda

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 20 часов назад

    Sisi tunawo elewa maana ya vyama vya upinzani kimataifa kama nyinyi mnanguvu. Futeni vyama vyama vya upinzani ibaki ccm .perekeni mswada bungeni mfute.vyote.vyama tubaki na Ccm yetu mkifanokiwa basi hata wajukuu wenu watabaki madarakani. Bira vyama mtapata wapi mikopo.

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 21 час назад

    Nami naungana na Christer kuwauliza Jamani Heche yupo wapi? Hasikiki na Haonekani kabisa.

  • @ShimoKasheto
    @ShimoKasheto 21 час назад

    Mnatakiwa mpelekwe milembe

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 21 час назад

    Hakuna mabadiliko kwa polisi na CCM ni wale wale tu.

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 21 час назад

    Mageuzi muhimu vijana mstufuate sisi wazee

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka 19 часов назад

    Kama ni mtoto kambarage basi ana laana ya baba yake au babu yake.

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 22 часа назад

    Heche yuko wapi?

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 18 часов назад

    Yaan wajinga kama ninyi hamuwezi kutuletea tafrani ktk nchi yetu tutahakikisha tunazitupia mbwa washenzi ninyi. Hamna lolote kenge ninyi

  • @HarunaShabani-hy8mx
    @HarunaShabani-hy8mx 20 часов назад

    nyie mnatumia gongo xa kienyeji sio akili za kawaida

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 20 часов назад

    Tuachane na uchaguzi tutake katiba.

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 22 часа назад

    Yeriko uripo 2po nawewe unajua kujibu hoja

  • @IsayaSosolo-nx8zk
    @IsayaSosolo-nx8zk 20 часов назад

    Ukipigwa utulie

  • @EmmaculateGembe
    @EmmaculateGembe 20 часов назад

    Mwandishi ondoka shida yako nini?

  • @LawrenceGingo-u2h
    @LawrenceGingo-u2h 22 часа назад +1

    Nod to zamchana

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 22 часа назад

      Ccm mnajambajamba mkisikia tume huru ya uchaguzi

    • @SeverinMagwaya
      @SeverinMagwaya 7 часов назад +1

      Ulifikiria chama kilicho tawala miaka 63 kule Botswana kingeshindwa uchaguzi mwezi uliopita? wewe umesoma wapi mjinga wewe?? unaijua "univers" wewe? Napoleon yupo wapi? Mkwawa, mirambo, zwangendaba, dingiswayo, tchaka wapo wapi? unamjua Amin dada, Kukumbendu wa zabanga, bokasa, Hitler, na madiketeta wengine?
      Nani alijua USSR chini ya usoviet ingeanguka?
      Mjinga ni mpumbavu, mpumbavu ni mshenzi na mshenzi hayawani.
      Yeyote anaye ikumbatia ccm wakati hata ndugu yake yeyote hajafikia cheo cha Ukuu wa Wilaya huyo ni poyoyo kama mapoyoyo wengine.

  • @RwelamiraPascal
    @RwelamiraPascal 17 часов назад

    Wewe mwandishi mbona una hoja za ugomvi? Why do you have stupid questions. Kwani CCM hawasigani?

  • @blues4life633
    @blues4life633 21 час назад

    Umeanza kuandika caption za uongo na ww kenge ww😢

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 21 час назад

    Mbona chama hiki kina waslam na wakristo je kimekuwaje udini tena achana na ujinga.

    • @mahmoudmussa8
      @mahmoudmussa8 20 часов назад

      Tunaangalia UWEZO sio Uislam au Ukristoo Kama Mwislam Hafit Atakuwa Mjumbe Tuu huyo Mwislam Tunataka Mtu Strong Kama Mbowe Au LISSU (JABARI)

  • @amosiabdulallh7965
    @amosiabdulallh7965 21 час назад +1

    kama hakuna uchaguz ww ndo utakua Rais? Mnajidanganya bure Hela za wazungu mtawarudishia uko ujerumani kanisan,chama cha uDini atutaki porojo atupo tayr kubadilisha chama

    • @econmirajifacts5411
      @econmirajifacts5411 21 час назад

      Chama cha mapre na askof makanisa siunaona mapre na maasikofu wanavyokipambania.

    • @francismomo7067
      @francismomo7067 21 час назад

      Kaaa mbali na wenye akili safi....huna ueledi wa kutosha ..akili yako imehongwa na kuhongeka na hao walioktma

    • @JuliusWandwi
      @JuliusWandwi 21 час назад

      udini upi? ww ni tahira wa akili.

    • @MaguguStore
      @MaguguStore 20 часов назад

      Watazitapika

    • @IssaAlly-lp4uf
      @IssaAlly-lp4uf 19 часов назад

      Una hoja unaropokatu endelea kukalilishwa hao wazungu ndio wanakutengezea adi bomu unauwezogani ata kiwanda cha bajaji huna