@@MsAggie5Familia ikikosa baba lazima vitu Fulani vitamisi, hivo ndio imekuwa hivi Sasa,magu alifanya makosa sana kuongoza Kwa kufanya nchi kama familia matokeo Ndio haya
Mzee shikamoo baba hekima na msimamo wako ni vya muhimu sana ila kwa uwaambiao wa kizazi hiki huenda wasitambue mpaka watakapoona damu zinatoka masikioni. Ee Nzambe tunusuru.
@@sabathmnubi5033 tunahitaji viongozi wenye nguvu ya usemi bila kujali wapo upande gani ili taifa lipone na lisiposemwa jambo kama hilo taifa siku za usoni litaingia kwenye mgogoro mkubwa Sana wa kisiasa. # Viva jaji warioba#
Mskililze vizuri rais hajatukana hapa ametoa tu angalizo.yeye Mzee amesahau enzi zake. Hakukua na vyama vingi Sasa hivi vibaraka ni wengi enzi hizi tofauti na zama zao.vibaraka walidhibitiwa na chama kimoja .mh rais alitahadhalisha tu hapo hakuna baya
Vitabu vyote vya dini zote vilishakataza mwanamke kuchukua madaraka lakini sijui sisi watanzania tumerogwa nanani uyu mama kwasheria za Mungu wetu uyu mama hatakiwi kugombea tena
CHAMA CHENYE NIA NA MBAYA NI CCM MWENYE KITI WAKE NDIYE ANAYE LIAGIZA JESHI LIKAE TAYARI!!! HII NI HATARI SANA NA NI CCM ITALITUMBUKIZA TAIFA MOTONI KISA TAMAA YA MADARAKA!!! USISAHAU KUWA MADARAKA NI YA MUDA MFUPI SANA, YAPO MAISHA MAREFU SAAANA(YAANA MILELE MOTONI NA MILELE UZIMANI) CHUNGA SANA ULIMI NI HATARI MMMMNO!!!
MUNGU ASIPOULINDA MJI LINDAO WANAKESHA BUREE Naomba sana MWENYEZI MUNGU kama atanijalia maisha marefu basi niwe na hekima kama Mh. Mstaafu Joseph Sinde Warioba 😔🙏🏽
Big up Mzee warioba rekebisha nyumba yetu panapovuja maana usipofanya ivo kutusemea tutalowa wote. Tutenganishe siasa na kaz ya jwtz. Hapo bi mkubwa kabugi sana.
Huwa sijadili mambo ila Leo nimegundua pia baadhi ya watu Tz kadri wanapokuwa wanaumri mdogo wahakuwa hawana akili .Yaani kwa maelezo ya mzee warioba unaita hayana maana na anyamaze tatizo unawaza kupia tumbo ndio maana .Siku utakapokuwa unawaza kupitia ubongo utapata akili kwa sasa haupo salama asante@@allythabiti8150
@@ramadhanyassin4396 nchi hii inakosa watu makini with core genius na wenye uwezo wa kusema ukweli bila kujali yupo upande gani na ndio maana tunazidi kuwa na taifa la watawala wa ovyo wasiojali utu na haki za kimsingi za watu wengne.
Utakuta watu wa familia moja kuna wafuasi wa vyama tofauti na mwanajeshi mwanafamilia!! Lakinj wanakula pamoja wanaheshimiana wanashirikiana na kusaidiana bila kujali tofauti zao. Sasa hapo huyo mwanajeshi mwanafamilia augemee upande upi kwenye uchaguzi? Ukizingatia wanafamilia wote kwa pamoja wanachangia kumlipa mshahara na marupurupu yake yote. Naugnana na mzee Warioba bora jeshi letu liwe neutralli lisiingie kabisa kabisa kwenye siasa. Tusiditize upendo, kuheshimiana na kubwa zaidi USAWA KWA RAIA WOTE. Hiyo ndiyo silaha kubwa.
Naamini kabisa heshima, ukweli, UWAZI na USAWA kwa wote ndiyo silaha kubwa zaidi kabisa ya kujilinda amani ya nchi kuliko jeshi kwenye siasa. Kwani jeshi kazi yake siyo kulinda mipaka ya nchi hii yetu sote? Kukiwa na moyo mzuri wenye lengo zuri wala hakutakuwa na woga wa kuandaa majeshi kukaa mkao wa kivita kupigana na raia wao wenyewe. Kwa faida ya nani? Raia wote ni ndugu moja.
@@jumamustapha8254wewe ndio mjinga mkubwa ,unajua kazi ya jeshi la wananchi au unalopoka tu? Fikilia uchaguzi wa 2020 ulikuwa uchaguzi au uchafuzi tu, Leo anajihami kutumia jeshi Kuna Nini mbele? Halafu wewe unajua Nini katika nchi kumzidi Mzee warioba
Weee unae mtete samia ni mbwa tu huon yanayorndelea mama huyu anapuyanga kama kuku,kwan uchaguz wa nyuma kuacha wa magu kulikua na wanajeshi gan,mbana watanzzania niwasikivu,angekuja kenya aone moto wake
Eee Mwenyezi Mumgu usiruhusu huyu mzee Warioba akafa kabla hatujapata katiba mpya. Atakuwa amekufa na maumivu ya moyo na kutuacha katika mbwa mwitu wakali.Tunakusihi umuongeze miaka kama ulibyo muongeza miaka Hezekia Amina
Imekhusu nini wanajeshi na uchaguzi kama sio kuuwa watu kwa ajili mbaki madarakani sasa tunamuomba na tutamuimba Allah mwenye jeshi kubwa kuliko lake kumbe urais ushakutamkia eee
Ukweli Samia dishi limeyumba kwa vyovyote unatabiri vita chunga sana mdomo wako uchaguzi co vita na jeshi ni lawananchi wote co la ccm tafakari chukua hatua. Cheo ni dhamana tuuu.
Mungu atusaidie JESHI la mbinguni kiwaharibu kabisa wenye tamaa ya kutawala watu wa Mungu kwa nguvu bila kujali sanduku la kura Wala MAPENZI ya Mungu watu hao wakatiliwe mbali na INCHI taifa Zima libaki salama
Kwa ushauri wangu Mimi Kama Mimi ningeviomba vyama vyote vya upinzani visusie chaguzi zote kabisa mpaka hapo serikali itakapokubali kuwek katiba mpya ipatikan,maana Hawa ccm wwmeshajiona kana wao ndo Wana hati miliki ya hii nchii.ccm wajitafakali sana maana wananchi walio wengi hawaipendi kabisa ccm hiki chama hakifai hata kidogo
NAMKUBALI SANA RAIS MSTAAFU MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE, ALIKUWA JASIRI KUANZISHA MCHAKATO WA KATIBA MPYA! ALISIMAMIA AMANI NA TULIISHI KWA AMANI SANA!! MUNGU AKUBARIKI BABA!
Sioni ubaya wa kauli ya Rais Samia. Mzee Warioba tyr utu uzima umeshamfikia. Akili zishaanza kwenda na kurudi. Jeshi la wananchi linalinda wananchi. 1968 babu tulikywa na mfumo wa chama kimoja. Hali haikuwa kama hii ya leo ya mfumo wa chama kimoja. Mshikamano tuliokuwa nao na itikadi yetu ilikuwa moja. Wanajeshi ni watu kama watu wengine Kwenye zaidi ya kimoja atakuwa na utashi wake.
Uchaguzi sio ccm ishinde huyu mwanamke mpumbavu Sana Hadi aibu lakini na wao Kama wameona sawa Hawa wajeshi basi tutapambana mana mungu Yuko upande wa wanainchi
Jeshi la police linaambiwa kuwa likae tayari Kama vile kuna vita unakuja wakati ni uchaguzi,ccm bila jeshi la police haiwezi kushinda hata ile kura mia,inasaidiwa Sana na policeccm.
Ss hii speech ya huyu mzee kuna watu wenye akili mgando na waliolewa na madaraka + wale wanaoona wameyamaliza maisha kutokana na nyazifa zao za kimadaraka,,wataupuuza na kumuona mzee waryoba kakosea but trust or not kama ni ccm huyu mzee ni legend wa ccm kuliko walio madarakani kwa ss ila yy kaiona kesho c njema kwa mwenendo huu wa utawala na ndo maana ameyasema haya..ss endeleen kukaza mafuvu..
Jeshi ni lazima like tayari tayari katika sekta zote na huko mtwara ilikua si uchaguzi ni mipaka ambayo ilikua si salama usifananishe na uchaguzi ukiona lini jeshi likakaa kwenye masanduku ya kura
Tusisahau kwamba kazi ya majeshi yetu yote ni kulinda usalama wa nchi yetu kutokana na adui wa ndani na wa nje. Kipindi cha uchaguzi kinahusisha maadui wote wawili. Ndio maana tunao wagombea urais wanaoishi nchi za nje kwa akina mfalme Leopold II wa ubelgiji. Hao sio wenzetu. Ni kukaa nao mguu pande mguu sawa. Lakini tungekuwa na wagombea urais wazalendo kama akina mzee Hashimu Rungwe ambao hawajawahi hata siku moja kutoa matukano, matusi kwa Rais, wala kuwataka wafuasi wake wafanye fujo mitaani mbona ingekuwa raha sana kwa wanajeehi wetu na sisi sote. Sasa hebu fikiria kiongozi wa chama x anawataka wafuasi wake wavunje sheria ya uchaguzi inayowataka watu wote wakishapiga kura waende majumbani mwao kusubiri matokeo. Chama x kinawataka wafuasi wake wakishapiga kura wabakie kwenye eneo la kupigia kura ili kulinda kura. Je maneno hayo kwa warioba ina maana hajawahi kuyasikia?? Je vituo vya kura vitakuwa salama?? Je wasimamizi usalama wao uko wapi?? Je ni nani aweke usalama wakati wa uchaguzi kama chama kingine kimeagiza wafuasi wake walinde kura?? Hapo utaona umuhimu wa kuwa na majeshi wakati wa uchaguzi. Akina Warioba walizoea kura ya ndiyo na hapana. Kwa hiyo hawakuwahi kuona watu aina ya fulani anayeagiza wafuasi wake walinde kura. So mzee warioba fahamu kuwa utamaduni wa siasa nao ni dynamic. It us not static kama unavotaka watu waamini.
Mjinga mmoja wa ccm anaonge ujinga je siku hilo jeshi unaloritegemea likapingana na viongozi wako je ccm itabaki madarakani unapinga kwa hoja ccm ienderee kuiba kura hakuna atakae kusikiriza endapo jeshi na polisi wakagomea maagizo ya kureta Vita ya wenyewe kwa wenyewe kama mama yako anavyo agiza ni uoga wetu tu ila wengi tunachukia mambo ya uchaguzi yanavyo fanyika hapa Tanzania na sisi tungependa uchaguzi wa haki
MZEE MSEKWA AMKANA MZEE WARIOBA, Tazama Hapa👇👉ruclips.net/video/fPPmODIQR2k/видео.html
mzee kazeeka na akili...Warioba ndio mtu makini hata Nyerere alimkubali zaidi
Msekwa tunajua ni bendera
Huyu mzee anazeeka vibaya
Tanzania imebaki na Mzee moja anaejitambua hongera mstafu mwema
Raisi kalewa na madaraka yuko tayari kuuwa.
Mama mbona unaogopa kwani Kuna nini, uchaguzi ni vita?? Mungu atashughulika na wewe maana hujui sababu ya mungu kukuweka hapo ulipo, time will tell
Anajuwa hawez pita bila kuiba
Huyu mwanamke wa hovyo Kumbe
@@MsAggie5Familia ikikosa baba lazima vitu Fulani vitamisi, hivo ndio imekuwa hivi Sasa,magu alifanya makosa sana kuongoza Kwa kufanya nchi kama familia matokeo Ndio haya
Umendika vzri sana ndugu big up
Hivi uchaguzi ni vita hadi vyombo vya ulinzi na usalama viingilie kati ? Uchaguzi ni vita sijawahi ona ni mara ya kwanza kusikia
Mzee anae jitambua sana
Mzee shikamoo baba hekima na msimamo wako ni vya muhimu sana ila kwa uwaambiao wa kizazi hiki huenda wasitambue mpaka watakapoona damu zinatoka masikioni. Ee Nzambe tunusuru.
@@sabathmnubi5033 tunahitaji viongozi wenye nguvu ya usemi bila kujali wapo upande gani ili taifa lipone na lisiposemwa jambo kama hilo taifa siku za usoni litaingia kwenye mgogoro mkubwa Sana wa kisiasa. # Viva jaji warioba#
😎
Katika maraisi wapumbavu aijawai tokea Dunia nzima Ndio uyu kwa Sasa yupo Tanzania ni mpuuzi mkubwa
Mskililze vizuri rais hajatukana hapa ametoa tu angalizo.yeye Mzee amesahau enzi zake. Hakukua na vyama vingi Sasa hivi vibaraka ni wengi enzi hizi tofauti na zama zao.vibaraka walidhibitiwa na chama kimoja .mh rais alitahadhalisha tu hapo hakuna baya
@RBMBAKARI-bv6wn yeye mwenyewe kibaraka inaonekana na wewe chawa wa uyu ibwa
Kuna kitu unakitafuta, wait for it
Zaidi ya hao mashoga akina lissu na mbowe
@@rogerabdallah439kama ulivyo wewe Kwa mbowe na lissu na wajinga wenzake
Huyu samia uwa anapuyanga tu sijawahi kumuelewa hata kidg
Usipo mpenda mtu hutamuelewa ht akufanyie zur, pole
Kwani yeye anakuelewa 😅😅
Mzee Warioba uko sawa sana na wewe haumini kabisa katika uchawa wala kununuliwa ili upoteze utu wako, heshima yako mbele za WaTZ.
Rais mstaafu kikwete mbona yupo kimya sana, tunaomba atoe neno na yeye
Hongera mzee wangu ndo shida ya nchi yetu
Sema mkuu❤we2 mungu akupe afya njema na miaka tele mzee josef sinde walioba ww ni mzazi mzaredo mungu asimame nawe mkuu
Hivi bila jeshi ccm inashindaje
Mungu atusaidie ... Tz hi kauli ya Mama ni ya Hali ya hatari. Tuzidi kumwomba Mungu
Wee wee mama utajibu siku moja mbele za mungu watanzania ni mari yake mungu ipo siku moja utajibu
Vitabu vyote vya dini zote vilishakataza mwanamke kuchukua madaraka lakini sijui sisi watanzania tumerogwa nanani uyu mama kwasheria za Mungu wetu uyu mama hatakiwi kugombea tena
Kwani wanaume waliotuongoza nchi hii wamefanya Cha tofauti kipi kumlinganisha na huyo mama? Wote mlemle tu
Hakuna mtu wa pwani akaweza kuongoza nchi na kuleta maendeleo
Kitabu gani mbona muongo wewe
@@salimutwahiri3693Ata Cha din yako
Jeshi linapigana na wananchi ujinga mkubwa rudi kizimkazi usituletee upuuzi😢
We mama yupo,miaka5 mjinga wewe
CCM 2025 wakitaka kushinda kirahisi wamsimamishe Mh Majaliwa nafasi ya Urais atapita kama risasi hakuna mpinzani Majaliwa anakubarika Kila eneo
Kichwa chenye uadilifu na uelewa mkubwa. Warioba Mungu amzidishie baraka.
Hishindi lakini tukithirisheni dua jeshi la Allah lishughulikia jeshi la CCM
Jeshi lijipange ili lipate kuwapiga wananchi vizuri pindi wanapolalamika na kudai haki ifanyike kwenye uchaguzi hiyo ndio tafsiri yake.
Ndio maana yake
NI KWELI KABISA . HATA MIMI NIMEELEWA HIVYO HIVYO KWA UELEWA WANGU
🎉mzee safi sans
We mama muogope mungu Ayo unayo yafanya ipo siku yata kuludi
Kabisa tena
Hana uwoga wa MMungu huyo ee msdanganywe na Samia
Acha upuuzi wako
CHAMA CHENYE NIA NA MBAYA NI CCM MWENYE KITI WAKE NDIYE ANAYE LIAGIZA JESHI LIKAE TAYARI!!! HII NI HATARI SANA NA NI CCM ITALITUMBUKIZA TAIFA MOTONI KISA TAMAA YA MADARAKA!!! USISAHAU KUWA MADARAKA NI YA MUDA MFUPI SANA, YAPO MAISHA MAREFU SAAANA(YAANA MILELE MOTONI NA MILELE UZIMANI) CHUNGA SANA ULIMI NI HATARI MMMMNO!!!
Mama Ana Kıburi sababu anawatendaji wake ambao ni polisi. Polisi wameamua kumlinda huyu mdada wa Pemba badala ya watanganyika wanaowalipia mishahara.
Mwanachama hai wa ccm mpenda haki na hofu ya mungu ubarikiwe sana mzee
Baba Asante mwenyezi akulinde uendelee kuwa na busala na hekima.......Amii
Mzee ni m 1 tu Tanzania bigup warioba
MUNGU ASIPOULINDA MJI LINDAO WANAKESHA BUREE
Naomba sana MWENYEZI MUNGU kama atanijalia maisha marefu basi niwe na hekima kama Mh. Mstaafu Joseph Sinde Warioba 😔🙏🏽
Na mimi pia
Smart sana
Mwenyezi mungu ingilia kati
Big up Mzee warioba rekebisha nyumba yetu panapovuja maana usipofanya ivo kutusemea tutalowa wote. Tutenganishe siasa na kaz ya jwtz. Hapo bi mkubwa kabugi sana.
Nyerere wa pili mzee waruamba
Ndio maana mimi nasemaga jeshi sio la wanawanchi nijeshi la ccm CCM IPO madarakani sio Kwa lidhaa ya wananchi Bali Kwa nguvu Dola
Walioba tunakuamini sana uko sahihi tuko pamoja
😂😂 mtu kadri anavozeeka ndivyo uwezo wa kufikiri unapungua, warioba atulie😊
Wewe hujazeeka mbona huna hata akili inayofikia angalao robo ya mzee Warioba
Unakuwa chawa mpaka unapitiliza
Shame on you
Kaabudu shetani msikitini @@allythabiti8150
Huwa sijadili mambo ila Leo nimegundua pia baadhi ya watu Tz kadri wanapokuwa wanaumri mdogo wahakuwa hawana akili .Yaani kwa maelezo ya mzee warioba unaita hayana maana na anyamaze tatizo unawaza kupia tumbo ndio maana .Siku utakapokuwa unawaza kupitia ubongo utapata akili kwa sasa haupo salama asante@@allythabiti8150
@@ramadhanyassin4396 nchi hii inakosa watu makini with core genius na wenye uwezo wa kusema ukweli bila kujali yupo upande gani na ndio maana tunazidi kuwa na taifa la watawala wa ovyo wasiojali utu na haki za kimsingi za watu wengne.
Utakuta watu wa familia moja kuna wafuasi wa vyama tofauti na mwanajeshi mwanafamilia!!
Lakinj wanakula pamoja wanaheshimiana wanashirikiana na kusaidiana bila kujali tofauti zao. Sasa hapo huyo mwanajeshi mwanafamilia augemee upande upi kwenye uchaguzi? Ukizingatia wanafamilia wote kwa pamoja wanachangia kumlipa mshahara na marupurupu yake yote.
Naugnana na mzee Warioba bora jeshi letu liwe neutralli lisiingie kabisa kabisa kwenye siasa.
Tusiditize upendo, kuheshimiana na kubwa zaidi USAWA KWA RAIA WOTE. Hiyo ndiyo silaha kubwa.
Mungu akubariki Mzee Warioba
JWTZ Oyeee👍🙏🙏🙏🤝Kweli kabisaaaa. Napenda sana niwe mwanajeshi wa Jwtz maana ni waadilifu mnoo.
Ili uje uuwe nduguzako sababu ya tonge 😂😂😂😂
Mzee warioba toka kipindi like cha bunge la katiba alikuwa yupo upande wa wananchi ila wale wachumia tumbo ndo mpaka walimpiga makofi mzee wa watu.
Siyo mzee wa watu bali ni mzee wetu mpendwa, anaye tupendeza sisi, pamoja na Mwenyezi Mungu.
Baba Asante kwa hekima yako.mkiwatia watu uoga hata kwenye vituo hamtawaona kabisa
Bila jeshi wewe ushindi ata asilimia 3
Nakuelewaga sana mzee wetu wa taifa.
Mzee yuko sahihi ila ww ndomnafiki
Ni jeshi la mwananchi, sio jeshi la wanasiasa
Mzee Warioba well said
Kwani uchaguzi ni vita?
Au wewe ndio unaetaka kutuvunjia amani yetu?
Anazingua sana huyu mama anatuchukulia watoto waoga sana
Mzee Ana maono Makubwa kwa Tanzania japokuwa"sikio la kufa... "
Sasa tanzania kuwen wazalendo hakuna kupiga kura,siku ya kura kila mtu aende na mambo yake,ccm chama cha majambaz ndio kinajitawala chenyewe
Watapita bila kupingwa
Zitapigwa tu kama zinaingia vituoni zimeshapigwa tayari usipotokea si ndo umempiga chura teke tena kuelekea mtoni
Naamini kabisa heshima, ukweli, UWAZI na USAWA kwa wote ndiyo silaha kubwa zaidi kabisa ya kujilinda amani ya nchi kuliko jeshi kwenye siasa. Kwani jeshi kazi yake siyo kulinda mipaka ya nchi hii yetu sote?
Kukiwa na moyo mzuri wenye lengo zuri wala hakutakuwa na woga wa kuandaa majeshi kukaa mkao wa kivita kupigana na raia wao wenyewe. Kwa faida ya nani?
Raia wote ni ndugu moja.
Jeshi la wananchi kwa uchaguzi. Hii ni balaaa naogopa kupiga kura
Kupga Kura ni tendo takatifu hivyo usiogope kupiga kura.
Kabisa mzee Jeshi nirakurinda raia na mari zao sio lakumrinda samia na maovu yake
Yes
Huyo lazima aseme ivyo.jeshi si ndio lilompa urasi
Pumbavu zako.
Wewe mzee kapumzike kwani kipindi chako ulifanya nini cha kutuonyesha watz, aseme salim ahamed salim na Ally hassani mwinyi.
Sasa hapa jeshi la wananchi lina husika vip.
Je kuna vyama vyenye majeshi?
Mzee warioba ungepewa nafasi ya urais
Mungu yupo hai hata zamani kulikuwepo na bii kilebwe alifanya yake lakini walikuja watu wenye akili wakapanda mbegu nazo zikaota
Mzeekaonambali.msipuuzemanenoyake.
Huyu mama mshenzi sana hautoshi kwenye nafasi hiyo toka kaudumie ndoa yako
Hongera mzee wetu huyu mama sijui kakwama wapi tu mambo yake hayaereweki kabisa tumeshammisiakufiri wetu huyu mama sieee
Uchaguzi wa TZ ni kama kutangaza Hali ya Hatari kama huko S.Korea
Uko sawa kabisa nawewe ni mkweli
Saf mzee wazee wenzio wameshanunuliwa
HONGERA SANA MZEE WARIOBA WEWE UMEKUWA NI MKWELI SANA NA MUADILIFU
Uku kwetu tz jeshi ndio siasa😂😅😂
Niuchaguzi au operation ntakua nyakua
Mkuu wa nchi kauyumba Kwa kauli ya kijinga bila kufikili amepaniki mapema hofu ya Nini wananchi hawana silaa
Kumbuka kenya
Walioba uko vizur San Yani tunaenda kwenye uchaguzi ila majeshi yanaandaliwa kma tunaenda vitani atar sana 😅😢😢
Wewe na warioba wote pumbavu, mbona kafafanua kwa usalama wa nchi kipi kigeni hapo.
Ko unatetea nn nawew @@jumamustapha8254
@@jumamustapha8254wewe ndio mjinga mkubwa ,unajua kazi ya jeshi la wananchi au unalopoka tu? Fikilia uchaguzi wa 2020 ulikuwa uchaguzi au uchafuzi tu, Leo anajihami kutumia jeshi Kuna Nini mbele? Halafu wewe unajua Nini katika nchi kumzidi Mzee warioba
Weee unae mtete samia ni mbwa tu huon yanayorndelea mama huyu anapuyanga kama kuku,kwan uchaguz wa nyuma kuacha wa magu kulikua na wanajeshi gan,mbana watanzzania niwasikivu,angekuja kenya aone moto wake
Eee Mwenyezi Mumgu usiruhusu huyu mzee Warioba akafa kabla hatujapata katiba mpya. Atakuwa amekufa na maumivu ya moyo na kutuacha katika mbwa mwitu wakali.Tunakusihi umuongeze miaka kama ulibyo muongeza miaka Hezekia Amina
Ndiomana Naona Ma Bus Mapya kila Wakati Balabarani kumbe Ndiomana Yake
Ni toka lini dunia jeshi liwahi kuandaliwa kwa ajili ya uchaguzi??? Tuko vibaya sana hivi kuliko jirani yetu yeyote naiona hatari mbele yetu
Imekhusu nini wanajeshi na uchaguzi kama sio kuuwa watu kwa ajili mbaki madarakani sasa tunamuomba na tutamuimba Allah mwenye jeshi kubwa kuliko lake kumbe urais ushakutamkia eee
Rais wa mchongo
Rais yuko sawa hongera
Ukweli Samia dishi limeyumba kwa vyovyote unatabiri vita chunga sana mdomo wako uchaguzi co vita na jeshi ni lawananchi wote co la ccm tafakari chukua hatua. Cheo ni dhamana tuuu.
Mungu atusaidie JESHI la mbinguni kiwaharibu kabisa wenye tamaa ya kutawala watu wa Mungu kwa nguvu bila kujali sanduku la kura Wala MAPENZI ya Mungu watu hao wakatiliwe mbali na INCHI taifa Zima libaki salama
Kwa ushauri wangu Mimi Kama Mimi ningeviomba vyama vyote vya upinzani visusie chaguzi zote kabisa mpaka hapo serikali itakapokubali kuwek katiba mpya ipatikan,maana Hawa ccm wwmeshajiona kana wao ndo Wana hati miliki ya hii nchii.ccm wajitafakali sana maana wananchi walio wengi hawaipendi kabisa ccm hiki chama hakifai hata kidogo
Wasiojielewa wanamponda mzee wacha inyeshe tuone panapo vuja
NAMKUBALI SANA RAIS MSTAAFU MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE, ALIKUWA JASIRI KUANZISHA MCHAKATO WA KATIBA MPYA! ALISIMAMIA AMANI NA TULIISHI KWA AMANI SANA!! MUNGU AKUBARIKI BABA!
Labda wapiga kula ni vibaka na siyo watanzania
Huyu shetani simpendi basi tuu
Warioba NI nuru ya nchi hii
Ama kweli madaraka ni matamu katika hii dunia
Halafu nyinyi nakuombeni huyo raisi wenu mubakie nae huko huko mana hajaifanyia Chochote huyu Zanzibar bora bakieni nae tu huko please 👏
Bora Jeshi litangaze kutawala muondoeni huyo mama na liccm lake
Mzee warioba hakuona mbali hakupaswa kuongeya hilo rais anahaki ya kulinda nchi
Huna hakili
Huyu ndo baba wa taifa
dah! kwamba vyama tofauti vyenye Nia tofaut! kumbe wanaposhiriki uchaguzi kunakua na Nia tofauti ya vyama vya siasa!!!
Cool ❤
Mbona uingereza Quin Elizabeth ameongoza miaka mpaka amekufa na hamjalalamika
Wewe huna akili tena taila. Iv unaifaam uingereza au unaropoka tu we uchumi wao unalingana na wetu jinga sana
Kamlee mumeo pumbavu
Uchumi unahusianaje na mtu kuongoza nchi muda Mrefu Wewe ndo tahira wa mwisho @@FrankMashauri-t4t
ACHA ujinga uingeleza inatawaliwa na familia ya kifalume elizabert na uko wake
We we janeth ww, sio vzr acha
Mzee uko sawa unajari umri wako
Magufuli alisema siku akifa tutamkumbuka ni kweli kauli ya mzee magufuli😂😂😂😂😂😂😂
Kwenda zako huko hatukupi kura labda uibe
Kuna watu wana bahati na neema kubwa, huyu mzee anazeeka na akili zake smart
Hatari Sana hiii
Rais yuko sahihi kuna watu wanatamani kuona watu wanuana ili Taifa livulugike
Jimama la ovyo sana hili
Shida kuna watu wanafikilia udini hapana mtu akifanya vizuri lazima asifiwe pia akikosea lazima asemwe mzee warioba yupo sahihi kabisa
Sioni ubaya wa kauli ya Rais Samia.
Mzee Warioba tyr utu uzima umeshamfikia.
Akili zishaanza kwenda na kurudi.
Jeshi la wananchi linalinda wananchi.
1968 babu tulikywa na mfumo wa chama kimoja.
Hali haikuwa kama hii ya leo ya mfumo wa chama kimoja.
Mshikamano tuliokuwa nao na itikadi yetu ilikuwa moja.
Wanajeshi ni watu kama watu wengine
Kwenye zaidi ya kimoja atakuwa na utashi wake.
Uchaguzi sio ccm ishinde huyu mwanamke mpumbavu Sana Hadi aibu lakini na wao Kama wameona sawa Hawa wajeshi basi tutapambana mana mungu Yuko upande wa wanainchi
Jeshi la police linaambiwa kuwa likae tayari Kama vile kuna vita unakuja wakati ni uchaguzi,ccm bila jeshi la police haiwezi kushinda hata ile kura mia,inasaidiwa Sana na policeccm.
Ss hii speech ya huyu mzee kuna watu wenye akili mgando na waliolewa na madaraka + wale wanaoona wameyamaliza maisha kutokana na nyazifa zao za kimadaraka,,wataupuuza na kumuona mzee waryoba kakosea but trust or not kama ni ccm huyu mzee ni legend wa ccm kuliko walio madarakani kwa ss ila yy kaiona kesho c njema kwa mwenendo huu wa utawala na ndo maana ameyasema haya..ss endeleen kukaza mafuvu..
Rais anatuonesha huo ndio uwezo wake wa elim alafu anaongoza nchi ifike atua nchi sio yakumpa kila mtu
Jeshi ni lazima like tayari tayari katika sekta zote na huko mtwara ilikua si uchaguzi ni mipaka ambayo ilikua si salama usifananishe na uchaguzi ukiona lini jeshi likakaa kwenye masanduku ya kura
Tulia wapinzani tumeshindwa mimi mwenyewe sikutoa kura Kwa chma changu Kwa kua sija sijawaona wagombea wangu kama wanvigezo nikaipa ccm
Mmmh kwa kweli
Tusisahau kwamba kazi ya majeshi yetu yote ni kulinda usalama wa nchi yetu kutokana na adui wa ndani na wa nje. Kipindi cha uchaguzi kinahusisha maadui wote wawili. Ndio maana tunao wagombea urais wanaoishi nchi za nje kwa akina mfalme Leopold II wa ubelgiji. Hao sio wenzetu. Ni kukaa nao mguu pande mguu sawa. Lakini tungekuwa na wagombea urais wazalendo kama akina mzee Hashimu Rungwe ambao hawajawahi hata siku moja kutoa matukano, matusi kwa Rais, wala kuwataka wafuasi wake wafanye fujo mitaani mbona ingekuwa raha sana kwa wanajeehi wetu na sisi sote. Sasa hebu fikiria kiongozi wa chama x anawataka wafuasi wake wavunje sheria ya uchaguzi inayowataka watu wote wakishapiga kura waende majumbani mwao kusubiri matokeo. Chama x kinawataka wafuasi wake wakishapiga kura wabakie kwenye eneo la kupigia kura ili kulinda kura. Je maneno hayo kwa warioba ina maana hajawahi kuyasikia?? Je vituo vya kura vitakuwa salama?? Je wasimamizi usalama wao uko wapi?? Je ni nani aweke usalama wakati wa uchaguzi kama chama kingine kimeagiza wafuasi wake walinde kura?? Hapo utaona umuhimu wa kuwa na majeshi wakati wa uchaguzi. Akina Warioba walizoea kura ya ndiyo na hapana. Kwa hiyo hawakuwahi kuona watu aina ya fulani anayeagiza wafuasi wake walinde kura. So mzee warioba fahamu kuwa utamaduni wa siasa nao ni dynamic. It us not static kama unavotaka watu waamini.
Mjinga mmoja wa ccm anaonge ujinga je siku hilo jeshi unaloritegemea likapingana na viongozi wako je ccm itabaki madarakani unapinga kwa hoja ccm ienderee kuiba kura hakuna atakae kusikiriza endapo jeshi na polisi wakagomea maagizo ya kureta Vita ya wenyewe kwa wenyewe kama mama yako anavyo agiza ni uoga wetu tu ila wengi tunachukia mambo ya uchaguzi yanavyo fanyika hapa Tanzania na sisi tungependa uchaguzi wa haki
Maono sahihi mnooo!❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Kwani uchaguzi ni vita jamani
Tungekuwa na wazee jasili kama uyu angalau wawe kama laki 500000 hii nchi itakuwa safi sn ivo tu
Mama Atatumariza,