Japo mm ni mkenya lakini kati ya viongozi wote wa nchi duniani huyu John Pombe Magufuli rais wa awamu ya tano wa jamhuri ya muungano wa Tanzania nilimpenda sana kwa uongozi wake wa ukweli , kwa kufuata sheria ya nchi na huruma yake kwa wananchi maskini na wanyonge Tanzania. Aliongoza kwa usawa bila mapendeleo..,..Mwenyezi Mungu amrehemu inshaAllah
@@ElizabethBeny Dua la swala alimkuti Simba, Kisha tafunwa na Sasa hivi yupo jehanam ya moto wa MUNGU, alitesa watanzania tusiokuwa na hatia akizani kuwa hakuna MUNGU, Leo hii Yuko wapi?
MAGUFULI ALIKUWA AKITENDA KAZI KWELI KWELI. LAKINI UTAWALA WA SASA UNAHITAJI SIFA TU KUSIFIWA HATA PASIPO PA KUSIFIWA. TUIGE MFANO HUU. WA LATE MAGUFULI
@@amosgumbo488 ulikuwa ujazaliwa Nini ?. Waulize waliokuwa wamezaliwa, nakukumbusha Taree 9 June 2018 jpm akiwa mkoa wa simiyu alisema kwamba na hapa namnukuu Utawala uliipita ulikuwa unafanya mambo ya ovyo Sana, chini ya utawala wangu mtu yoyote anaweza kufanyiwa chochote na asiweze kutufanya lolote, mwisho wa kumnukuu, je ninani awezae kufanya Jambo lolote na sifanywe chochote ?. Ni Mungu pekee ndiye awezae kufanya Jambo lolote na sifanywe chochote, Sasa jpm alivyosema Tanzania chini yake mtu yoyote anaweza kufanyiwa chochote na asiweze kufanya chochote je alikuwa na maana gani ?
@@SimbaKhatibu hata Kama cheti feki , nimerudi kwa Kasi ya 7G, aliaidi kuuwa upinzani , alisema mpaka atakapo maliza muda wake atakuwa kisha uwa upinzani, je Kati ya upinzani na yeye Nani kafa ?
Leo ni tarehe 02/10/2024 ni siku ya kukumbuka Marehemu wote nikajikuta nakukumbuka sana Baba yetu Mungu akupe pepo njema❤
Ni trh 2/11 ndo siku ya marehem wote
Magufuri Jeshi la mtu mmoja
mugufuli anakazi kweli somchezo
Huyo anahitaji msamaha Mh rais.
Kazi za kuteuliwa bhana shida kweli kweli..
Ngumu mno Kwa kweli
Huyo ndio Magufuli nilie mfahamu mimi.
Mungu ailaze roho ya Magufuli mahala pema peponi
Japo mm ni mkenya lakini kati ya viongozi wote wa nchi duniani huyu John Pombe Magufuli rais wa awamu ya tano wa jamhuri ya muungano wa Tanzania nilimpenda sana kwa uongozi wake wa ukweli , kwa kufuata sheria ya nchi na huruma yake kwa wananchi maskini na wanyonge Tanzania. Aliongoza kwa usawa bila mapendeleo..,..Mwenyezi Mungu amrehemu inshaAllah
Kwasasa Tanzania respect country kwaajiri yako mkuu tulikupenda sana mzee wetu jpm
Pumuzika Kwa Mani Mweshimiwa Magufuri❤😢
Mkurugenzi uokoke, hii nchi sio ya mchezo!
Asante Yesu kwa viongozi makini, Rais Magufuli, Pro, kabudi, Lukuvi, Jafo...chapeni kazi watu wa Mungu!
Nimependa uombaji msamaha wa huyu mkurugenz kweli Kabisa shetani yupo kwa huyu baba apewe maua yake SI rahis mtu kuomba msamaha hadharan namba hii
Chema hakidumu ila nenda salama baba 😭 mungu akulipe wema
Ubarikiwe sana magufuli kwani Kenya ingekuwa na Rais kama ww tungekuwa mbali sana
Mungu ailaze roho ya marehemu rais magufuli
Kizuri hakidumu,mwenyezimungu
Akulehem amiri jeshi mkuu
Nataman rais anngeenda kijiji cha kimanzchna kuna kero kibao km izo jaman !!
Ila kama kunamtu alishiriki kuutoa uhai wako alaaniwe you na kizazi chake chote na iyo laana iwatafune haswa
Biaba
Biabaki
Kizazi kinaingizwa kivipi?
@@ElizabethBeny Dua la swala alimkuti Simba, Kisha tafunwa na Sasa hivi yupo jehanam ya moto wa MUNGU, alitesa watanzania tusiokuwa na hatia akizani kuwa hakuna MUNGU, Leo hii Yuko wapi?
Baba alikuwa hataki mchezo jembe lakuaminika hayupo Dunia lkn kama yupo
Lala salama magufuli Mimi ni Kenya lakinl uzalendo wako kwa wanyonge ulikua unaupea kipao mbele kwanza
Kenya rais mavi kabisa
Vip wadau upendo upo
Baba wa Africa yote pumuzika bizur mbere ya mungu
Masnichi wengi
Lala Salama baba wa tanzani
Mungu akupe Raha ya milele baba yetu.
Natamani san tena san.angeenda kibosho
Asati sana ❤❤❤❤❤
Uyuu baba ananilizaa
daaa huy mzeee huyuhuyu love sana
Baba alikuwa hataki mchezo
Marehemu Rais Maghufuri,ulikuwa mtume wa mngu kabisa.Kilio si cha watanzania pekee, ni cha sisi sote waafrica.Mngu akulaze mahari peponi.
Yaani huyo wakumsameh kabisa kanyooka ktk kuomba msamahaa
MAGUFULI ALIKUWA AKITENDA KAZI KWELI KWELI.
LAKINI UTAWALA WA SASA UNAHITAJI SIFA TU KUSIFIWA HATA PASIPO PA KUSIFIWA.
TUIGE MFANO HUU. WA LATE MAGUFULI
Nakupenda baba natamani uamke uione Tanzania Yako uliyoiacha
Hii ilikuwa zawadi kubwa kwa watanzania
Kibaruai likua chamea nyasi
Magufuli safi ubarikiwe sana
Innalillah wa Innalillah rajuin 😢😢hakika tutakukumbuka JPM
Dah
Nihapa hapa duniani
Ulikuwa kuwaadabisha viongizi wabovu mpaka raha hivi baba ulikutana na Nini jmn
Baba yetu , baba wawanyonge ,
Rais ndo huyoo sasa Basi tuu kifo hiki
MUNGU AKUPUMUZISHE KWA AMANI MAGU
Mungu ndo mueza
Sukuma ndani baba
SIMBA
Hatutapata rais kama huyu,tutasubiri sana
Amina
Kwa kweli tulimpoteza raisi wa kutetea wanyonge.
Duuh.
Hii translate hapo sio sawaa
Sio sawa kivipi.
By magufuri😢😢😢😢
Kipenz cha watanzania
😂😂MWAMBAMBALEEEE😁🎤
mm sijampenda huyu mkurugenzi oi
Sansss
Masai..kamurar
999 yes
Aliye pigwa na Asiye pigwa Wote wako wapi ?
Kajaa kwenye 18
Hyo nishidaaa ila msamehetu magu
Hatutapata rais kama huyu afrika.
😊meiona ioo9oooo😊
Karobo
Pumzika Kwa amani baba
Hata kuja patikana tena kamu huyu
Kweli hata mbinguni unàongoza
Hukumu ya wananchi ni hukumu ya mioyo yao.
😭😭😭😭😭😭
Tanzania mkona shida kidogo
Shida gani
Yaani viongozi wanakiona
Pumzika kwa amani
😢😢💔
Time poteza jembe Koo hatuna namna😂😂😂
Na aliwanyooshaaaaa
Jpm
WAJINGA WALIKUWA WANANYOOKA
paulo siria
Nenda baba. Pumzika
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ati mweshimiwa lies😂
😂😂😂
malipo ni apa apa
Huyo ndo lilikuwa jembe
Anond songs
Ulijifanya MUNGU Leo hii uko wapi ?
Cheti feki acha makasiriko
Ni wapi alijifanya Mungu?
@@amosgumbo488 ulikuwa ujazaliwa Nini ?. Waulize waliokuwa wamezaliwa, nakukumbusha
Taree 9 June 2018 jpm akiwa mkoa wa simiyu alisema kwamba na hapa namnukuu
Utawala uliipita ulikuwa unafanya mambo ya ovyo Sana, chini ya utawala wangu mtu yoyote anaweza kufanyiwa chochote na asiweze kutufanya lolote, mwisho wa kumnukuu, je ninani awezae kufanya Jambo lolote na sifanywe chochote ?. Ni Mungu pekee ndiye awezae kufanya Jambo lolote na sifanywe chochote, Sasa jpm alivyosema Tanzania chini yake mtu yoyote anaweza kufanyiwa chochote na asiweze kufanya chochote je alikuwa na maana gani ?
@@SimbaKhatibu hata Kama cheti feki , nimerudi kwa Kasi ya 7G, aliaidi kuuwa upinzani , alisema mpaka atakapo maliza muda wake atakuwa kisha uwa upinzani, je Kati ya upinzani na yeye Nani kafa ?
Magufuli alitendea watanzania mema
😊meiona ioo9oooo😊
Baba alikuwa hataki mchezo