Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Tukifanya hv tanzania tungeendelea sana sasa tanzania imeoza.
The icon of the country
Sokoine 👏
Ujumbe umefika,lakini hiyo sheria iliishia wapi?
Saiv vijana mmeamuwa kuwataftia kazi ya kubeti na uchawa au siyo😭😢
Hapa Unaona namna watu walikuwa wakifanya kazi vizuri na kwa Ushirikiano
Hazina kubwa sana hawa viongozi wastaafu, Mungu awatunze
Rushwa ni adui mkubwa ktk taifa letu, nchi yetu imejaa watu wanaojali matumbo yao kuliko wananch wanyonge😢
Madogo ya maana
Kufa
HUYO NDIYE MZEE J. S.WARYOBA. MZEE PEKEE MKWELI ALIYEBAKI CCM. NA ASIYE ZIRA KUIOKOA NCHI, HATA KAMA ANAPIGWA MAKOFI NA WATAFUTA UTEUZI.
Nimefurahi Sana kusikia japo kwa ufupi huyu mzee Mungu azidi kumuweka ni msaada kwa taifa
Hawa ndo walikua Wana Ccm Hawa wa siku hizi ni wahuni tu
Uzalendo
Huyu mzee ni tunu katika taifa letu wazee kama hawa walipaswa kuezi mawazo yao
Kumbe pora pora sio ya jpm ni mfumo wa chama