MACHOZI YA FURAHA KWENYE STAGE | MR. RIGHT KAPATA CHOMBO | PESA ZIMEONGEA !!!
HTML-код
- Опубликовано: 1 дек 2023
- ►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder - Развлечения
Huyu dada amefalia dresi nyekundu Ako na hekima na maarifa ya maisha
Ni kweli ukifokasi kwenye kazi yako na mungu akikubaliki utapata pesa
Mwanzo walikua wana boa na vipande vyao visivyo eleweka nikaacha kuwafatilia leo nimeingia tu bahati mbaya naona wamejirekebisha, video iko full inaeleweka big up
Mimi pia niliacha sasa naludi
Siyo bahati mbaya ni bahati nzuri sada
Nami pia ndokwanzaa naingia leo tar 29 mwez 12 nakuta ndefuuu nimependa sasa nitaendelea kuchungulia🧘🙏
Kipind inakuwaga ckugani na ckugani jmn na ni sahangapi😢
Jacky I love you ma, ulisema vizurisana, Umuri nikitu kizuri pia in relationships ❤❤️🇨🇩
Yes uyu dem ameongea Na kama Mimi Ni moja Kati ya vigezo zangu miaka
Asanteni sana kwa kuongeza dhakika, ni fan wenu mkubwa kutoka South Africa 🇿🇦 na fwatilia hiki kipidi sana...na enjoy sana 🙏😍 🥰
Namjua uyo Devis kiukwel mwanamke atakae mchagua uyo kaka atainjoy San nibest yangu sana nanimwalimu wangu nilishawaig igizaganae move yote hayo kaongea ukwel hajadanganya hata kidogo nimpole mstarabu mnyenyekevu best friend alafu kanenepa
Wewe dada chizi kweii unapenda ela zake wewe una nn utazeeka ukiangalia mfuko wa mtu wewe n mlemavu s upambane na wewe
Sasa kunenepa kwake kunahusu nini?😂
Huyo ananifaa Mimi kabisa SEMA Nina mtot 1ila nimempenda
@@glorychristopher7283 kwan wap kazungumzia mfuko
Wooow,wanafaana hawa wawili👏👏👏👏👏.
Nawatakia kila la kheri kutoka 🇰🇪
Uko wapi
Now jamnii tunaenjoy mnaweka kipandee kina dakika full.. vibes
Sahiv wanajitahid sana
Sauti ya mziki ipo juu sana wakati mtu anaongea. Ingekuwa inapungua kidogo ingekaa poa sana. Asante!
Kweli atleast wapunguze
Kabisaaaa Yan mziki uko juu sana mpk kero
Kabs dear
Iko poa tu ndg
Exactly increase on volume please
Here in Kenya Mr Right show is pure comedy.. never serious
🤣🤣🤣🤣🤣
They joking all the time
😂😂😂😂😂😂😂😂
Anawafokea sana😅mwambieni
Kenyans ladies are like prostitute wallah too bored
Wow❤❤❤❤❤❤ wamependezeana kama wamekuja pamoja yaan,yaan kama Mr and Mrs tayar weuweeeee
Aaliya you are so cute and matured one. God bless you 🎉
huyu johari ni mwehu kwan mavazi yanategemea na kazi unayofanya,, ukimiliki pesa unavaaa chochote unachokiitaj siyo ety mpaka ifanye kazi bank
Naweza kupata namba ya mister right
Please, some English, we enjoy your content even when we have very little kiswahili. Could be putting some content in kingereza? Love from Uganda
40:09 40:09 @@user-jw6bz6ku5t
Huyo sijuhi Johari mshamba sanaa😏😏😏😏
Good job, sasa hapa ni kukaa Kwa kutulia kbsaa, watching from Kenya but currently in Saudi Arabia
Same here with you
namimi nilikuwa na mashaka nilipofuatwa na Mr right wangu ila tunamiaka kadhaa naenjoy,kazi nzuriii alyaa
muongo ww
Kweli natuliopo mbali?
Namtakia huyu kaka kila la heri ni husband material kabisa yaani hapo huyo mwanamke ayabanange mwenyewe❤❤❤❤❤❤❤
Waoooh uyu mrembo nilimpemda Toka anatoa maoni yake ya hawali Toka mwanzo🥰🥰🥰
Ndo maana mabinti wasiku hizi mnafeli kwenye maisha mnaangalia pesa yamtu ambaye hamjui kaipataje pesa
Fact
kweli wanawake wengi tunafeli pakubwa sana kupenda pesa kupitiliza tena unakuta huyo anae penda maokoto hajui kutafuta zake
Umeonaeeh jinga kbs hy muuza nyama hy unazitaka pessa co zk muache avunde hapo
Congratulations keep it up good job ❤❤❤❤❤❤
Mungu akutangulie kaka kwa kila jambo🙏 pia akupe mke mwema na awe mkweli
Jacky huyo uwii wenzie wanamchora tu,,,, umri ni Nini,Unaeza pata mtu kakuzidi 32 yrs na bado akawa wa ovyo tu,,, ila ukapata wa same age akawa na akili zilizonyooka.....🤣
Unamuona dem wako yuko apo mbele 😂😂😂
Kitu kizito
Wamependeza mno,Mungu awatangulie Mfunge ndoa ❤❤❤❤❤
Woow looking nice ama na mm❤ nikuje huku 😊
Jamani back ground music ina sauti kubwa punguzeni sauti. Mngritoa ingekuwa nzuri zaidi
Wow kwanza wamependezana sana❤❤❤❤❤
I enjoy this Mr. right from Tanzania very mature
The guy is gentleman
Nakupenda
Dada amevaa kiheshima am proud of her
Tanzanians are very calm ! Kuna wengine wangekua washarukaruka hadi wakambusu!!
Yaani mpaka busu😂😂
Sema tu Kenya😂
Hongera devis am praod of you & mmeendana sana
Aliyah wao am happy to see u
Wanao olea miwemnatuletea maisha yao tuone 😊
Kweli ingependeza tuone maisha baada ya hapa
Mi nimeoa apo kutoka Mr Light na nipo nae
Kilichobaki ni mrejesho sasa wa wanaochaguana baada ya kutoka hapo😊
Mashahhla jmn wanapendezan kwakwel
❤wow,,,inapendeza Sana,,, at least Kuna second chance ya kuwasha taa🥰
Namm nataha mke
Huyo bint anaechagulia mavazi amepoteza point sana asubiri wale wanao vaa Jin's mchaniko ndo wanao mfaa aendelee kuwasubiri😂😂
Waoooooo mdada hata kitabia anaonekana yuko vzr
I swear this @GaraB jamany i love him sana yupo straight foward yani...
Mr Right ana hekima..kachagua msichana mzurii..sii hao wa vipini puani
Oooh thank you sahii mnatuwekea full episode ❤❤
Naitaji nionane nawe
Aaliya is so cute and more so very mature..Ushauri wake uko top...much love from Kenya guys❤❤
You are also so cute!
True
I need to talk to you Laila,what should I do! James -Tz
I want you please
Wanaendana vizuri, yaani wanapendeza Mungu hawalinde milele jamani congratulations H and D
Nilivoskia tyu ni mfanybiashara na hyo lafuz nikajua ni mwenzetu wa kaz kazini huyo❤❤
Wow woow wooow 🎉🎉🎉🎉this is so mature compared to kenyan show
Mercy uko wapi
Jamni nmekipenda hiki kipend...tuwekeeni na kwenye Azamtv
Show ni ya kibabe sanaaaaa yani iko Fire 🔥 sema mnge mute kidogo hiyo background tupate raha ya kuckia vizuri hizo maneno ###Mr right Tumetoboaaaa
Thenks kwakutuletea full episode 🎉
How I wish true love can be found this way
Kiukweli tangu nimeangalia kipindi Cha Mr right hii couple wameendana sana Mungu awabariki mfike mbali
Aaliya you are so kind also polite, respect from 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸👍👍🫶
Hii sio ile ya kina Diana B walikuwa wanatuekea 3minutes,,this all the way from Tanzania 🇹🇿,,nimeipenda sana
Asante jamani muwe muna weka full hivi ni raha ❤️❤️❤️❤️❤️
Duuh Kumbe Wanaume ndo wanawindwa namna hiii😅😅😅 Ngoja nikaze Kumpigia Magoti Mr Right wangu uwiiii😂😂😂😂😂 Mungu nilindie Kipenzi changu asije naswa na Mademu wa Dar
Kabisa ulichokuwa nacho ss
Uckizarau maana wengine
Piya want hitahi chamsingu
Ujifafamu kweke yeye ww
Ninani na uhakikishe majukumu
Yako huyasahau nakutakiya
Mapenzi mazuri frnd
Have been following this mr right but hii ilikuwa moto sana much love from kenya ❤❤❤❤
Aki eeeeh No one knows about your God 🙏😘
Johari akipata Mtu (anayejitambua) niko pale niiteni kitoto cha mbwa. Na kwa bahati mbaya akiolewa siku 365 ni nyingi. Kiukweli ni mzuri (temporal) ila kichwani ni kapput. M. Mungu amsaidie kubadilika
Hahahahahahaha ety kichwan ni caput sema hawa dada zetu wanafeli saaana
Napenda hiki kipindi nijiunge
Ila sijui nianzie wapi
Hii ndo Mr& Mrs Right now.
Yaani huyu kak Kwa Hamas kapata mtu sahihi kabisa, Mungu awatangulie tuu.❤❤ Ameen.
Mimi nimependezwa nawe caro
@@greggoryisaac8485😂
Tumefurahi mmekuja Tz good job 😘😘
Tanzanian are top notch, fun to watch, genuine, mature, polite, I can keep going on and on.
Kenyans, lack certain level of maturity, when they're on Mr. Right, and other shows.
Kenyans ni kiburi tu....uwa inaniboo mbaya
Chako ni chako
Jajaja i see somebody criticizing us🤔😒
Kenyans huwa serious kweli 😂😂 if you take us serious umepotea we are mentally unstable country 😂😂
@@mercyoola3650 u av a reason n at the same time thats a big problem.
Nampendasana lulu diva anaakili sanaaaaaah ❤❤❤❤❤😂
Sharon i'll come for you😛😛Anyway amazing job guys.
Ahsanteni kwakutuongezea mda🎉🎉
This is the best than kenyans mr right.naipenda sana ingawaje mimi ni mkenya naipenda hii kweli
Hamas nimemuelewa Sana ni msichana mzuri Sana ana misimamo
wachaga oyee wachaga na biashara😊 atariii
Wow so amazing jacky 💝 same and very true lulu to Dayana
Hamaz I love you mummy.
I wish them all the best ❤
Uyo mwanamke alongea mwanzo sauti yake inafaa kwenye kazi Kama uandishi wa habari
Hii couple ndo imenifanya niendelehe kufuatiliya hichi. Kipindi wameendana wamehendana Tena siku ya arusi nitumieni kadi jameni ❤❤❤❤ from USA
😂
Kuna ilivyo na inavyotakiwa iwe....soma hii sentensi kwa kurudia!
Hongera Mungu awabariki🙏🌅
Naomba mungu awajaliye upendo wa kweli na familia bora yakumcha mungu nawapenda sana 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🥀🥀🥀🥀🥀
Mungu asapambanie wachaga wanajua kutunza nna hakika atatunzwa sana huyu dada anahofu ya Mungu sanaaa
Mungu pia na mmi nibariki mume bora🎉🎉
Hujaolewa
Uko wapi
Tunaweza meet
Ila hawatatoboa hiyo mindset na mentality yake ni kazi sana Kuendana na jamaa
Ni kweli bbadoo kam Kun kitu
Allya she is so cute i love her❤
Hakika hiki kipindi bwana huwa na enjoy Sana maana huwa nafurahisha ubongo
BRAVO MAN GOD BLESS ❤❤❤
Masha Allah
Wow! amazing indeed
Wow 💖Aaliya you are so mature . keep it up dear💕💕
p
Okay ningependa tujuwane
Interesting 🤔 am following and learning at the same time
Mimi nampenda huyu dada allya ni mwerevu she's very smart i love a charp women,,kiss from kenya😘
Haki natamani kupata wangu tuanze maisha ,Mko Tanzania upande gani nije nipate wangu na Mimi haki
nipo mm
Njo nikupe kaka yangu
@@rhodarichard4494 Seriously 😂Kaka Yako atakubali kupewa bibi
Napenda Sana kufuatilia Sana kipindi hiki je inatakiwa uwe na sifa gani ili ushiriki
Nawapenda sana st bongo
Uwa sis wanawake tunajichangany San wew Fata mpenz ya kwel pess zinatafutwa kwaz mwanaume wa pess uwa ana jeur San na kibur na zarau kisa pess zake tu uwa mim na muunga muko no anaye sem natak mwanaume wa kunionesha mpenz yakwel tu 🎉🎉🎉🎉🎉❤
Bora awe na hela ukimpenda maskini akipata hela anakumwa wanamaana basi hawa
Kuomba tuu Mungu akupe sahih ila kuhus pesa au hana sion km kunamantik
Hamax she is so cute!
WaBongo wabunifu🇰🇪🇩🇪
Nimependezwa nawe
Wanapatilana wap au wako maeneo Gani??
Sasa tuna enjoy jamani wapenzi wa hiki kipindi na hatupo tz tulikua tunaumia mnoo mbarikiwe star time‘s kwa kutujali fan’s wenu
Ndio ata Mimi nakipendaga
They match.mavazi pia imechangua 7shindi WA huyu msichana
.. mpuuzi Sana wewe,yaani unaumia kukosa mambo ya uchiuchi
Nakipenda sana hiki kipindi
@@gracebila1719 ..,..
Aisee ❤
Asanten Sana Kwa kutuongezea mda nimefurahi mno inaleta raha
Good job guys,bt background music it's soo irritating,,,,, pliz work on it please.
Johari ni jeuri sana na atachelew sana kupata mr right wake, mpuuzi huyu 😢ana attitudes sana Johari 😢
Ajui nin anataka jaman uyu dada
Kweli kabisa, pia johari ana dharau sana
Ajioe
Wawoii🎉 nafurahi mumetukumbuka nasi youtube
Hamax mke hy ukipata mke anae jali na kuweka kiupaumbele God 🙏
Johari is wife material .....nimempenda japo its my first time to watch this show
Haswaaaa
Wanawake wengine kwa muonekano ni wazuri Kabla hajaongea, lakini akianza kuongea ndio unajua yaliyomo yako, Kuna mke au hakuna. Hizo ni hatua za mwanzo kabisa Kabla hamjaanza kuishi pamoja.
True
Waoooh kiruuuu lulu diva ur a big adviser❤❤
😅😅😅
Watching from Kenya 🤗🤗🤗🤗🤗