HELLO MR RIGHT FULL SHOW ; AKUTANA NA X WAKE | RUDISHA KILA KITU CHANGU | SITAKI MTU MWINGINE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • ►Instagram / stbongotv
    ►TikTok / stbongotv.tz
    ►Facebook / stbongotv
    ►Twitter / stbongotv
    ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Комментарии • 313

  • @MohamedHuseein-s5i
    @MohamedHuseein-s5i 9 месяцев назад +12

    This lady she knows what she love

  • @samwelzali1050
    @samwelzali1050 9 месяцев назад +19

    Mr Right tz nawapenda kuliko wetu wa kenya..Tanzania watulivu wenye upoole...sio wa kenya wetu hawa wana tabia mbaya sana..hawana utulivu kabisaa

    • @SkendoBreyze
      @SkendoBreyze 8 месяцев назад +2

      Hapo kuna ukweli mwingi sana 😂😂😂 madem wetu wenyewe wanakua kama malaya flani hivi🤣🤣🤣

    • @safiunamugen7476
      @safiunamugen7476 7 месяцев назад

      Mm pia nmkenya na nawapenda tz kuliko Kenya yetu wetu hawana adabu

    • @tradamus4158
      @tradamus4158 6 месяцев назад

      Mamae 😂😂

    • @tradamus4158
      @tradamus4158 6 месяцев назад

      Sauti ya kumtoa ngurue pangoni 😂

    • @KathuyaAnna
      @KathuyaAnna 2 месяца назад

      Kabisa hapo umesema

  • @stellatwaah3242
    @stellatwaah3242 9 месяцев назад +25

    Jamni napenda sana kufatilia hii je kuna kiingilio hapo jamni nilitaka kuja🥰🥰✍🏻✍🏻

  • @LazandaSweety
    @LazandaSweety 9 месяцев назад +14

    Nampenda uyo kaka anavyotangaza ❤❤❤ nampenda sana

  • @Dorothyakemwa
    @Dorothyakemwa 9 месяцев назад +26

    Boss wa christine ashaona show na hivyo kibarua cha Christina kiko matatani...naonelea Christina aondoke na Chris wake😊😊

  • @HerikaMbuya
    @HerikaMbuya 9 месяцев назад +13

    Hahaaaa huyu kaka jmn ametiaa aibu taifaa. 😂😂😂😂

  • @TwahiliMadodo
    @TwahiliMadodo 11 дней назад +1

    😂Kubabake uo ujinga akuna❤

  • @Karyma-g3n
    @Karyma-g3n 9 месяцев назад +13

    Waaah hku kumewaka mwanaume anataka vtu vyake kwli 😂😂😂😂😂

  • @neemapaul9073
    @neemapaul9073 9 месяцев назад +9

    Hongera saaaana mkaka nawewe mdada ukimacha huy mkaka ipo sk utajuta

    • @JosephKaka-s4k
      @JosephKaka-s4k 9 месяцев назад

      Neema paul nmekuelewa sana kuna vitu atari ogopaaa

  • @Immamk__44
    @Immamk__44 2 месяца назад +2

    Oyaaa huyu jamaa nimeamini ni Last Born kabisaa😂😂

  • @FredyLusungu-v5w
    @FredyLusungu-v5w 8 дней назад

    Jamaa inaonekana kweli yupo seriously na penzi khaa mpk kamfata huko❤

  • @Ziadaramso
    @Ziadaramso 3 месяца назад +2

    Una haki y kumkataa wallah 😂😂😂😂anadai vitu khaaaaaa

  • @MushuaSonda
    @MushuaSonda 3 месяца назад +4

    Bongo patamu sana jamani

  • @rosemery3017
    @rosemery3017 9 месяцев назад +72

    Hii nchi ukifa kwa stress umejitakia mwenyewe😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @EmJesho
      @EmJesho 9 месяцев назад +3

      Yaan noma

    • @zeynabuhussen8740
      @zeynabuhussen8740 9 месяцев назад +4

      wallah tena 😂😂😂😂😂😂😂ukifa umejitakia😂😂😂

    • @Edna-w3z
      @Edna-w3z 9 месяцев назад

      😅😅😅😅😅😅

    • @Edna-w3z
      @Edna-w3z 9 месяцев назад

      ​@@zeynabuhussen8740kwel kabs

    • @davidpeter2398
      @davidpeter2398 9 месяцев назад +1

      😀😀😀😀

  • @StanfordMkude
    @StanfordMkude 9 месяцев назад +6

    Lisa is very wise and beautiful, mwanaume mwenye malengo ni rahisi kumuelewa.

  • @lovesamson2939
    @lovesamson2939 8 месяцев назад +3

    Binafs niko sambambaa na uyo Chris 😂😂😂😂😂😂❤❤

  • @salhaayub1338
    @salhaayub1338 9 месяцев назад +11

    Anirudishie vitu vyangu vyoooooooote tena kwa urefu 😂😂😂😂😂

  • @majaliwabenedictor
    @majaliwabenedictor 4 месяца назад +2

    Hahahah me krisi nmemuelewa sanaaaaaa

  • @MichelleMobasa
    @MichelleMobasa 3 месяца назад +3

    Christinaa wajina umeniwakilisha vyemaa sana😂❤🎉

  • @EMMYSIMON-hg5cf
    @EMMYSIMON-hg5cf 9 месяцев назад +5

    Aibuu na hyo big nyashh😂😂😂

  • @MwanahajiRashid
    @MwanahajiRashid 2 месяца назад

    Imepoa sana tz

  • @BrapMussa
    @BrapMussa 9 месяцев назад +11

    😂😂😂😂Wala sikutegemea Kama angezungumza ivi ila namimi yashanikuta

  • @JannetEdward
    @JannetEdward 4 месяца назад +3

    Jamani anirudishie vitu vyangu vyote😂😂😂 mimi nimezimia kidogo 🤦

  • @mwatummselem2411
    @mwatummselem2411 2 месяца назад +2

    Hatari jamani nimecheka mpaka nimekojowa

  • @AgnesJoram-j3b
    @AgnesJoram-j3b 13 дней назад

    Nahisi plesha yangu imepona kabisa 😂😂😂😂😂

  • @mariamkimati5857
    @mariamkimati5857 8 месяцев назад

    🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣wallah huyu kaka kanichekesha mie atii anirudishie vitu vyangu vyooote😂

  • @rayrischanger9034
    @rayrischanger9034 5 дней назад

    Huyu jamaa fala unaachaje nyansh kisa tina😂

  • @BabyRose-ym7nn
    @BabyRose-ym7nn 8 месяцев назад +1

    Mhhhhhh jaaaamn yalishanikutaga hayo mwenzio

  • @SusanaYohana
    @SusanaYohana 2 месяца назад +3

    Huyu atakua last Born 😂😂😂😂😂

  • @Felister330
    @Felister330 9 месяцев назад +11

    Beautiful couple

  • @N254NK
    @N254NK 9 месяцев назад +2

    That dude was in his simpism of a special level..

  • @SophiaMbuya-t5v
    @SophiaMbuya-t5v 3 месяца назад +10

    Kimeanza kuchangamka uku khaaaaaa 😅😅😅 jmn aibu naona mie asa tupo kwenye mahusiano afu kwa mr. Right kutafuta nn lkn aki hii dunia😅😅😅😅

    • @MwanaHussein-s2n
      @MwanaHussein-s2n Месяц назад

      Hii ni show tyuu akuna na kutafutana apa😂😂

  • @AgnesJoram-j3b
    @AgnesJoram-j3b 13 дней назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka kwa sauti Jamani mimi

  • @LubuguMaryam
    @LubuguMaryam 2 месяца назад +1

    Mm nimejikuta mbavu sina😂😂

  • @fredrickkaweu
    @fredrickkaweu 8 месяцев назад +2

    Uyo mr ✅yenwenyewekwanza
    Mshamba anatuzalilisha wanaume wenziwe

  • @anitavictor-ig1jp
    @anitavictor-ig1jp 2 месяца назад +6

    Kwani hawa wanafanya maigizo kutufurahisha au ni kweli wanachukuana kwelikweli. Naomben jibu

  • @leoniaathuman1038
    @leoniaathuman1038 3 месяца назад +1

    😂😂😂Tz yangu mimi utake kujiuwa tu mwenyewe kwa depression

  • @TsarinaKonki
    @TsarinaKonki 9 месяцев назад +3

    Huyu jamaaa Ana utoto😂😂😂aaaaah sio kwa Hali iyo.....sasa akrgsha ndo itasaidia nini😅

  • @beniardajuna2580
    @beniardajuna2580 9 месяцев назад +3

    Hivi hapo Hamna comedy jamaaa kakazaaa kazaaa mwanaume

  • @VikiMkini
    @VikiMkini Месяц назад

    Gara b kicheko chako ukimcheka mtu anaweza zimia hakiii😂😂😂😂

  • @MOHAMMEDABDALLAH-w4k
    @MOHAMMEDABDALLAH-w4k 2 месяца назад +3

    Uongo iyo😮😮😮

  • @EmileNkunzimana-dg9ky
    @EmileNkunzimana-dg9ky 6 дней назад

    😂😂😂😂wacha nicheke kwa kiluga yetu walai

  • @MhojaBulugu
    @MhojaBulugu 2 дня назад

    Ubaya Ubaya tu 😂😂😂

  • @LadyyJemsii
    @LadyyJemsii 2 месяца назад

    Huyu muhuni wanbagala kabisa😂😂😂 pumbavu zake kabisa mbwaaaaa😅😅😅

  • @MiriamNjau-y6o
    @MiriamNjau-y6o 8 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nmejikuta nacheka dakika za jioni Sanaa😁 dada wa nyimbo tunashukuru

  • @amosjohn7829
    @amosjohn7829 2 месяца назад

    Huyo Mr Right Bila shaka atakuwa Last born 😂😂😂😂😂😂😂

  • @JuniorSinkamba
    @JuniorSinkamba 2 месяца назад +1

    One day na mm nitaenda Mr right nipate mke

  • @AshuraKigoma-vf7wb
    @AshuraKigoma-vf7wb 9 месяцев назад +8

    😂😂😂😂😂nimechek kwa saut

  • @saidbakari7998
    @saidbakari7998 23 дня назад

    Haka kajamaa bhana et kanadai chake 😂last born uyu

  • @danstanamwtata1866
    @danstanamwtata1866 8 месяцев назад

    Kipo kicheko hapo nakipenda sana😂 hiyo bass kama kuchochea😂😂

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 2 месяца назад

    😂😂😂😂dah nimecheka sana

  • @HappinessSawe
    @HappinessSawe 8 месяцев назад

    Ahaaa hua mnadhani wote wanapenda hayo makalio😂😂😂😂

  • @MinaelyBee
    @MinaelyBee 2 месяца назад +2

    Huyu kakaa ni lastborn 😅😅

  • @VianaKokutensa
    @VianaKokutensa 8 месяцев назад +3

    Gara kicheko chako tu😅😅

  • @esterbaraka1164
    @esterbaraka1164 9 месяцев назад +2

    Kudet na last born kazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @CandyVois
    @CandyVois 9 месяцев назад +1

    Nimecheka mpaka nimeumwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @nehemiahkasiano3740
    @nehemiahkasiano3740 9 месяцев назад +5

    Hakuna kucheka na kima rudisha vitu vyake 😂😂

  • @lukasmaro4280
    @lukasmaro4280 8 месяцев назад

    Huyo nimimi kabsaaa arudishe kla mmoja afate upepo😅😅😅😅

  • @BreaRoden
    @BreaRoden 9 месяцев назад +20

    Kwani criss ni lastborn 😂😂😂😂😂

    • @godfreypatrick1043
      @godfreypatrick1043 7 месяцев назад

      inaonekana kabsaa Chris ni last born haipingiki, mpaka anataka arejeshewe vitu vyake

  • @lydialema8766
    @lydialema8766 8 месяцев назад

    Hivi huyu kaka yupo serious 🤣

  • @HanifaMohammed-n4r
    @HanifaMohammed-n4r 9 месяцев назад +1

    Daah arudishiwe vitu vyake vyote 😂😂😂😂😂

  • @leahjohn4734
    @leahjohn4734 2 месяца назад +2

    Ndy tabia za akna Chris huw n wajnga wajnga😂💔

  • @Godchila03
    @Godchila03 18 часов назад

    Sasa boss keshasikiaa itakuajeee

  • @SerenakaremboDzombo
    @SerenakaremboDzombo 9 месяцев назад +3

    Vimbaombao tunasoko sema tu nkukavu😅😅😅😅😅

  • @SelemaniHassan-g5q
    @SelemaniHassan-g5q 7 месяцев назад +1

    Jamani nimecheka sana humu ni uhuni tu

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 9 месяцев назад +11

    Lisa usifikiri kila mtu anataka matako makubwa😂😂😂pumzika dada

  • @zainabusabas7421
    @zainabusabas7421 9 месяцев назад +1

    Kuna vidada vingine vimekuja kudanga 😂😂😂😂😂

  • @nailamimi20
    @nailamimi20 8 месяцев назад +1

    @iamraul Nakupenda sana we kijana unavotangaza

  • @JaneLee-zp1ox
    @JaneLee-zp1ox 9 месяцев назад

    Kabla sijaendlea kumpenda huyu kaka nkasema nmsikilize Kumbe njaa tupu😂😂

  • @RenzoJofre-my9lz
    @RenzoJofre-my9lz 9 месяцев назад +1

    Pole blo

  • @GfgGgh-v5z
    @GfgGgh-v5z 9 месяцев назад

    Bro ushawahi kumuona Cristina ndio 😂😂 Cristina njoo hapa aisee nimecheka 😂😂😂😂

  • @deboramuhoja1777
    @deboramuhoja1777 9 месяцев назад +1

    Hicho Kicheko cha GarraB. 😂😂😂😂😂

  • @ErnestNgota
    @ErnestNgota 2 месяца назад

    Tafadhali Mr huyo dada aliyekataliwa munipe yeye ama namba zake ni Ernest nikiwa Kenya

  • @luckybahati1944
    @luckybahati1944 8 месяцев назад +3

    Kumbe single mothers twaeza kuja pia 😂😂nlkua nadhani n wenye hawajazaa pekeake ndio wako huku

  • @Jud289
    @Jud289 9 месяцев назад +5

    Kaongea point

  • @Kingsimbatc
    @Kingsimbatc 9 месяцев назад +1

    Kula uliwe hhh lipa chochote ulikula😢😢

  • @fistonnibigira167
    @fistonnibigira167 9 месяцев назад +1

    The girl she knows how to talk she's so beautiful or so

  • @clementinamasakia2622
    @clementinamasakia2622 9 месяцев назад +2

    😂😂😂daaah ila uyu mwamba yupo serious

  • @BarakaMwita-tq1fv
    @BarakaMwita-tq1fv 2 месяца назад

    Baada ya kusikia anawatoa out😊😊😊😊😊

  • @GendusaBrain
    @GendusaBrain 9 месяцев назад +5

    This guy, why is he explaining the content?
    We all can understand what they are saying.
    The advice, eti: "na wewe umu rudishiye wakati yake", they all spent their time together.

  • @NuruMzonge
    @NuruMzonge 9 месяцев назад +1

    HV Wanaume wa hovyo bado wapo

  • @CathyPhillip-jg4zt
    @CathyPhillip-jg4zt 9 месяцев назад

    Kauli unaipokeaje Big nyash, ila Garra B😅😂🙌

  • @crownisackmussa3581
    @crownisackmussa3581 9 месяцев назад +13

    Huyo jamaa ni last born

  • @rechalmshana1293
    @rechalmshana1293 9 месяцев назад

    Nyie huyu kaka😂😂😂😂😂😂

  • @temuclassic706
    @temuclassic706 5 месяцев назад +1

    Kipind hiki ni lin na lin na mda gan

  • @RonaldoJohnbwire
    @RonaldoJohnbwire 13 дней назад +1

    Kaka ni mtungo t

  • @AishaKondo-fl7hk
    @AishaKondo-fl7hk 2 месяца назад

    Jamani hasira tuu

  • @shakiralasway8821
    @shakiralasway8821 8 месяцев назад +1

    Kajamaa kanaonekana kagoroko bado akajapitia mapito yakumchangamsha kangepata kontawa mmoja akatowe huo wazimu waakili😮

  • @ClaraZacharia-qu7ym
    @ClaraZacharia-qu7ym 8 месяцев назад +1

    Jamani huyu Cris mshamba asa wakati anatoa hivo vitu alilazimishwa😃😃😃😃😃

  • @MwanaHussein-s2n
    @MwanaHussein-s2n Месяц назад

    Wanawake tumeishiwa aibuuuuuu.... Looh 😢

  • @rukongeamandus2577
    @rukongeamandus2577 2 месяца назад +1

    Sasa boss unamsema kwenye social media halafu utegemee kuendelea na kibarua. Ata mtoto miaka 4 atajua drama hizi.😂

  • @charitymushi1835
    @charitymushi1835 3 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 eti anirudishie vitu vyangu vyoote

  • @sandalakabalo5442
    @sandalakabalo5442 Месяц назад

    Ww usiongee tuachie video

  • @Amasha-b1n
    @Amasha-b1n Месяц назад

    na ww unaejifanya kutafsir unauza sana sura bro acha izo mambo unatusimulia wakat tunaangalia

  • @ErnestNgota
    @ErnestNgota 2 месяца назад

    Tafadhali Mr right munipe huyo Lisa tafadhali

  • @ramonlinechannel1282
    @ramonlinechannel1282 7 месяцев назад +2

    Huyu jamaa vp huyuu... 😅😅

  • @elishashori666
    @elishashori666 6 месяцев назад +1

    Life without God is meaningless..it might seem smart and beautiful but full of emptyness ....

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 9 месяцев назад +7

    Kama tako ndo kupendwa ungekuwa ushaolewa

  • @MathewGabriel-k6d
    @MathewGabriel-k6d 5 месяцев назад

    boss kaona nipo nae hapa sasa jiandae

  • @sampachino5184
    @sampachino5184 9 месяцев назад

    Uyo kaka mgojwa nasa 😂😂😂😂😂