MR RIGHT APENDWA NA WAREMBO WOTE | APATA WAKATI MGUMU | AMTUPA GOLDEN GIRL - S06E05

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии •

  • @nickyabass
    @nickyabass 9 дней назад +3

    Am Kenyan but I like Mr right Bongo ,,,, show yenye mapenzi🎉🎉🎉

  • @witnessmlay7415
    @witnessmlay7415 9 часов назад

    Her: mi napenda mubabu
    Kumbuka: Huwezi kuwapata hapa labda uende wodi ya Wazee😂😂😂🙌🏾🙌🏾

  • @RobertNdaga-t7u
    @RobertNdaga-t7u 4 часа назад

    Dr. Kumbuk umetisha sana na huyo mr right ni wameendana sana nawatakia maisha marefu

  • @ElifAthanas-or1dt
    @ElifAthanas-or1dt 10 дней назад +5

    Dr kumbuka he's the best of the best naangalia kwa ajili yake aiseee

  • @addysiwall4427
    @addysiwall4427 8 дней назад +3

    Nimecheka mnoo(Kifua kama ananyonyesha majambazi) Ila dk.kumbuka🤣🤣🤣

  • @WilloRichard
    @WilloRichard 14 дней назад +8

    Haaaaaa😲😲😲😲 Sania pendesheee wa kongo kakuacha auuuu😂😂😂😂😂

  • @musichealsTz
    @musichealsTz 10 дней назад +7

    maisha yamebadilika sana siku hizi, watu wanatongezewa. tunapoelekea TUTALETEWA MPAKA NYUMBANI😂😂😂

  • @SeciliaVictor
    @SeciliaVictor 10 дней назад +4

    Dr kumbuka mwn kwelekwe😂😂😂😂

  • @LatiphaKim-p5e
    @LatiphaKim-p5e 2 дня назад +2

    Huyu sania anahangaika sana me nilijua kwenye movie tyu kumbe hata kwenye uhalisia wake😢😅

  • @BeatriceNgeleza
    @BeatriceNgeleza 7 дней назад

    Asante sana tunashukuru kwa kuskia maombi yetu mmeanza kuwauliza wadada sababu zinazowafanya kwanini wako hapo mmefanya vizuri sana

  • @KathuyaAnna
    @KathuyaAnna 14 дней назад +14

    Nilitaka sana amchukuwe neema na ikawa kweli

  • @deusraphael2954
    @deusraphael2954 13 дней назад +38

    Kama mwenyekiti wa wasoma comment, tunaomba waandika comment wote mzingatie kutumia lugha nyepesi ili wasomaji waweze kuelewa ulichoandika kwa haraka na kuwai comment nyingine! Tuna kazi ngum sana mtuhurumie!

  • @ashuramanya9282
    @ashuramanya9282 10 дней назад +1

    Dr Kumbuka mauwa yako😂😂😂😂😂uyu mu congo nihatari.

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 10 дней назад +1

    Yammi noma sana nakupenda sana dada❤❤🇧🇮🇧🇮🇸🇦

  • @3leggedbird222
    @3leggedbird222 8 дней назад +1

    Dr. We noma nakukubali sana

  • @kakamkubwa4879
    @kakamkubwa4879 12 дней назад +2

    Uzuri wa humu ukiwa mr righ unaruhusiwa kufanya kila kitu kasoro kitu kimoja tu 😂😂😂😂

  • @FainesGeofrey-h6d
    @FainesGeofrey-h6d 5 дней назад

    Ila kumbuka hapan kwakwel umenshnda tabia wee kaka😂😂😂🎉🎉nakupenda bure

  • @gracewankara8004
    @gracewankara8004 13 дней назад +4

    Eb fanyeni muweke episode zote banaa😂😂

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 3 часа назад

    Akina neema 🥰 hatujawai katariwa

  • @CeciliaLeonarMwita
    @CeciliaLeonarMwita 7 дней назад +1

    Uyu mkongo nimempenda 😅😅 anapenda wababu

  • @AnthonyNdaula
    @AnthonyNdaula 12 дней назад +8

    Akikosa Dr Kumbuka hapa siangalii maana naona kama naangalia comedy 😂😂

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 8 дней назад +1

    Labda uende hodi y wazee😂😂😂😂😂 ila hapo kuna wanawake wanavuta bangi na hamjui😂😂

  • @Ayshapafyum
    @Ayshapafyum 9 дней назад +1

    Ila doctor kumbukaa😂😂❤

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 5 дней назад +1

    Garabii kumbuka na zailisa mna kemesti moja kali sana ila unanikosha san dr kumbuka nataman ukawe mwandishi wa habari ufanye kipindi wasaf pale kweny mashamsham na akina babu idd & juma lokole

  • @cephlenrobert3071
    @cephlenrobert3071 13 дней назад +22

    Jamani kuna mtu kamuona Sania kama mimi house girl 😂😂namba mbili

  • @HalimaLikele
    @HalimaLikele 13 дней назад +5

    Jmn kumbuka kiboko 😂😂😂😂😂😂❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @CharifaRachidi
    @CharifaRachidi 8 дней назад +1

    Wameendana sanaa❤❤❤

  • @NasraFatuma
    @NasraFatuma 13 дней назад +4

    😂😂😂 mbona majambazi°

  • @Shuu_handbag_store
    @Shuu_handbag_store 13 дней назад +11

    Eti kifua kama ananyonyesha majambazi 😂😂😂😂

  • @princecharmy6838
    @princecharmy6838 13 дней назад +3

    Aisee nalipia king'amuzi😂

  • @Ayshapafyum
    @Ayshapafyum 9 дней назад +1

    Ila doctor kumbuka et neema kapooz😅😅😅

  • @Getrudemlowe-sm5ky
    @Getrudemlowe-sm5ky 13 дней назад +22

    😂😂😂et kifua kama ananyonyesha majambazi

  • @janethnyigo5925
    @janethnyigo5925 10 дней назад +2

    Johari kifua ka unanyonyesha majambaziiii honi weweeeee 🤣🤣🤣

  • @evaristessau8070
    @evaristessau8070 7 дней назад

    DR. Ananyonyesha majambazi😂😂😂😂😂

  • @MagdalineProsper
    @MagdalineProsper 3 дня назад

    Mi nlikuw naomba pipi na mtengeneza wine warudi tuwaone tena❤

  • @SabrahNibuka
    @SabrahNibuka 13 дней назад +13

    Sania😂😂😂😂😂🎉

    • @DM.2200
      @DM.2200 11 дней назад

      Nimecheka sana 😂😂😂😂😂

  • @thabylinus4370
    @thabylinus4370 6 дней назад

    Dr kumbuka Duuu nimecheka aseee kifua kama ananyonyesha majambazi duuu

  • @Josephinenkana
    @Josephinenkana 3 дня назад

    Et napenda mubabu et labda nenda wodi ya wazeee😂😂😂😂😂😂😂

  • @LilianBitwale
    @LilianBitwale 4 дня назад

    Sasa kweli kwa wqnawake hao midomo ya hivo nan wa kuwachagua 😂😂😂

  • @jamilahussein1071
    @jamilahussein1071 13 дней назад +6

    Sania ♥️💗😅

  • @mtalemwadenis1500
    @mtalemwadenis1500 7 дней назад +1

    Ni hatari make kama mnatangaza mapenzi wazizi
    Vipi kuhusu Afya zao mbona hatujui status zao😂😂😂

  • @TatuJumanne-ed6pg
    @TatuJumanne-ed6pg 4 дня назад

    Sania ww nenda kwa mganga ngonde tu shogaangu 😂😂😂😂

  • @CeciliaLeonarMwita
    @CeciliaLeonarMwita 7 дней назад +1

    😅😅😅mwanamkwelekwe nyieee

  • @AminaJuma-r4y
    @AminaJuma-r4y 12 дней назад +2

    Dr kumbuka uwezi wapata wazee 😂😂😂😂

  • @ndayansetv2672
    @ndayansetv2672 3 дня назад

    Nimecheka mpka bx ila kumbuka na mabintize 🤣🤣🤣

  • @Josephinenkana
    @Josephinenkana 3 дня назад

    Hyo aliedondoka et ss n wakubwa bwiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu jmny

  • @AbdullahAmoah
    @AbdullahAmoah 13 дней назад +2

    Leo naona kulichangamka 🤣🤣🤣

  • @rugewapili6191
    @rugewapili6191 13 дней назад +2

    Wengine hawashida na wachumba yeye aonekane kwenye TV t inatosha 😢

  • @mwanamisikifogo869
    @mwanamisikifogo869 13 дней назад +1

    😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂kumbuka haki utqniuwa kwa kucheka❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Khadjaty
    @Khadjaty 13 дней назад +2

    Hi ya leo kali nimeipenda sn😂😂😂😂😂

  • @MarthaBwire-d5s
    @MarthaBwire-d5s 13 дней назад +1

    Achani mambo yenu Sania wa house girl au❤❤

  • @SeciliaVictor
    @SeciliaVictor 10 дней назад

    Jmn nmecheka sanaa watt wa elfu mbl😂😂😂😂😂

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu 9 дней назад

    Sania na wewee umeenda❤😂😂

  • @NyangetaFaustine
    @NyangetaFaustine 11 дней назад

    😂😂😂😂naona mr write leo imegeuka ya wakenya😂😂

  • @LeylaJumanne
    @LeylaJumanne 13 дней назад +1

    Khaaaaa Sania jamani nae yupo single 😂😂

    • @ElizabethKutika
      @ElizabethKutika 13 дней назад +1

      @@LeylaJumanne nikajua ni mm tu ndo nimemuona sania

  • @janerachel1622
    @janerachel1622 10 дней назад

    Nimeipenda couple mungu awainulie kibali cha ndoa

  • @EdwarJackson
    @EdwarJackson 7 дней назад

    Achukee winni😮

  • @paulraphael981
    @paulraphael981 11 дней назад +1

    😂😂😂😂😂kifua kama ananyonyesha majambazi

  • @IssaHamisi-d2w
    @IssaHamisi-d2w 10 дней назад

    Wanatamboana nani Mzee wangejiuliza nani katoa mimba nyingi ningeelewa😂

  • @NasibuBakari-k4u
    @NasibuBakari-k4u 13 дней назад

    Hapo mwamba kachaguwa muke keli 🎉🎉

  • @rehemabernad4664
    @rehemabernad4664 13 дней назад

    kumbuka umetisha baba🤣🤣🙌

  • @AmonBora-ve5si
    @AmonBora-ve5si 12 дней назад +1

    Ety kam mama wa ubatizo😂😂😂😂

  • @MarthaSimoni-x1y
    @MarthaSimoni-x1y 12 дней назад +2

    Mkongo mzur ban

  • @khadijasayeed3381
    @khadijasayeed3381 10 дней назад +1

    Huyu sania huyu😂😂😂😂

  • @DM_15
    @DM_15 11 дней назад

    Kumbuka noma😂😂 eti kifua kama unanyonyesha majambazi

  • @shukurudomino4052
    @shukurudomino4052 5 дней назад

    Sania jmn😂😂😂

  • @YusraSiyaleo-yk2fz
    @YusraSiyaleo-yk2fz 10 дней назад +1

    Wew sania ww😂😂😂😂

  • @Zahara-l3l
    @Zahara-l3l 12 дней назад

    😂😂😂jamani Sania. kakosaaa kivurunge wanguu

    • @saumu7760
      @saumu7760 12 дней назад +1

      Nimeshangaa kamuacha wap mangonde

  • @angelsaid7869
    @angelsaid7869 13 дней назад

    Uyu atajikwaa 😂😂 kumbuka utatuua

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu 9 дней назад +2

    Huyu mcongo kaachwa kisa kuja mr right

  • @listerlujiso6009
    @listerlujiso6009 13 дней назад

    Eti hodi ya wazee😅😅😅😅kumbuka jmn khaaaa😅😅

  • @MaruzzoTz
    @MaruzzoTz 6 дней назад

    Hahahaha ila kumbuka unanifurahisha sana

  • @MaSuzy-zf8ol
    @MaSuzy-zf8ol 4 дня назад

    sania🎉🎉🎉

  • @AshuraMustafa-v7b
    @AshuraMustafa-v7b 10 дней назад

    Ila kumbuka simpend ana mdomo lakin ananogesha😂😂

  • @vailetmapolu6363
    @vailetmapolu6363 10 дней назад +1

    Ungemuchangua sania baba chamoto ungekiona 😂😂😂😂

  • @EssyMellina
    @EssyMellina 13 дней назад +1

    Aliemleta kumbuka huku alaniwe😂😂

    • @RayChausa-g6m
      @RayChausa-g6m 11 дней назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 13 дней назад +1

    Sania jmn ❤❤😅😅😅

  • @JoelMjomba-p4m
    @JoelMjomba-p4m 5 дней назад

    kumbuka😂😂

  • @marthesifa-5803
    @marthesifa-5803 11 дней назад

    Mkongo mwenzangu 😂😂😂😂

  • @rumangabocopspv833
    @rumangabocopspv833 13 дней назад

    Congo hatu mujuwi huyu mujuwaji

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 11 дней назад

    😂😂😂ila huyu kumbuka khaa

  • @EmmyYorammy
    @EmmyYorammy 10 дней назад

    Jamani nimemwona Sania 😂😂😂

  • @florencejames-jo1cz
    @florencejames-jo1cz 11 дней назад

    Kwahyo ukienda hapa unajichukulia malaya wako mmoja unasepa sio 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 9 дней назад

      Nishwaaaaaaa kikubwaaaa usemeeee unamilikiiii Pesaaa

  • @stellahmsigwa6493
    @stellahmsigwa6493 11 дней назад

    Ila kumbuka jamani😂😂😂

  • @AnnababeMathius
    @AnnababeMathius 13 дней назад

    😂😂😂hao wadad wamecharuka jamn

  • @mohammedganyuma3445
    @mohammedganyuma3445 10 дней назад

    🎉😂😂😂😂😂😂😂 wee sania wewe😅😅😅😅

  • @monmedia__
    @monmedia__ 9 дней назад

    🎉🎉🎉

  • @mercychepteekilovethismovi912
    @mercychepteekilovethismovi912 12 дней назад

    😅😅hapo etikifua kama ananyonyesha jambazi😅😅

  • @NeemaManase-d1h
    @NeemaManase-d1h 10 дней назад

    Sifa za kinaneema si niwapole afu tumetulia tunapoenda kweli tunashepu hips mashalla

    • @Footballmax_edits
      @Footballmax_edits 10 дней назад

      @@NeemaManase-d1h kwa upole na kataa maana nijina la mama yangu

  • @JeanetteLéontineNdob
    @JeanetteLéontineNdob 14 дней назад

    Wa Congo wana mudolo😂😂😂😂😂

  • @samwelikikoti7331
    @samwelikikoti7331 12 дней назад

    daah ety mubabu😂😂😂

  • @angelsaid7869
    @angelsaid7869 13 дней назад

    Kifua kama unanyonyesha majambaz mwenyewe kushikwa kaanguka kama mwenye mashetaji jaman johar kwanza mbwembwe tu za kuingia kumbuk kasema ati utajikwaa kaona mapem aise😂😂😂 nimecheka adi kupaliwa 😂😂😂

  • @KathuyaAnna
    @KathuyaAnna 14 дней назад

    So cute huyo dem mcongo nimrembo to na ana cheap poa

  • @janethnyigo5925
    @janethnyigo5925 10 дней назад

    Sania ata weweeeee 🤣🤣🤣

  • @RaiyaanRasheedRay
    @RaiyaanRasheedRay 12 дней назад

    Ifike hatua yummy ajitambue jaman khaaa, anajisahau sana

  • @edwardpaulo3351
    @edwardpaulo3351 13 дней назад +1

    Nyie wote wa puuuuuuuzitu 😂

  • @MaryhaikaMosha-w7g
    @MaryhaikaMosha-w7g 13 дней назад +1

    Huyo dada mkongo si yule aliyekuwa analia kuomba msamaha 😅😅😅😅

  • @VictorNphilip
    @VictorNphilip 8 дней назад

    Safarhii Mr right inaarbiwa na huyo kumbuka mshenzi hanarorote awezi anaharbu

  • @AishaDauban
    @AishaDauban 13 дней назад +1

    😂😂😂😂 ila kumbuka

  • @jeanpaulluanga6780
    @jeanpaulluanga6780 13 дней назад +1

    Hapo hamna type yangu😏😏