Kutoka AL FATAH CHARTABLE ASSOCIATION. Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
Tunamuomba Allah mtukufu muumba arshi tukufu amponyeshe mtt wetu ..Allah atupe wepesi wa kusaidiana ..poleni mama kwa uwezo wa Allah atampa shifaa mtt.
Ya Allah nimekutana nayo hii mama aw bibi wa mwebzetu tumemshuhudia uchungu alo nawo kwamjukuu wake. Hakika wewe ndo mjuuzi aw mtatuzi wa kila thiki mungu mjaliye bibi yetu bi fatma msitiri aweze kaipata bili anayo daiwa.
Aaaaaaaaaaaaaaaaaa daaaahhh hiiio Tanzania sasa matibabu haya mtu huku ulaya ni bure unatibiwa bure jamani daaah nasikitika sana sina uwezo Allah amponeahe huyu kijana
Asalama aleykum, uyo kwa wezo wa Allah atapona lkn ubongo, kuingia damu, ni mtihani nnae jamayangu kakaa miezi mitatu hospital Mascat, kapoa lkn kz kubwa kila Siku, kusema hawezi tena, na hakumbuki watu, Alishwe na mambo yote. Afanyiwe. Mm na usia vaeni helment na Pía mbio mbaya. Think before you done.
Allah yu pamoja na wenye kujitoa kwaajili yake inshallah kwa uwezo wa Allah mtafanikiwa
Allah ampe shifa ya haraka na amsaidie apate mchango wa matibabu yake Allahumma Ameen 🤲🏼
ALLAH ampe shifaa na awape subra familiya
Yaalllah wape subra familia hii katika kipindi hichi kigumu amin
Ameen
Tunamuomba Allah mtukufu muumba arshi tukufu amponyeshe mtt wetu ..Allah atupe wepesi wa kusaidiana ..poleni mama kwa uwezo wa Allah atampa shifaa mtt.
Allah awape subra inshallah Allah atawafanyia kila la kheri apone na kila ki2 kiwe sawa
Ya Allah nimekutana nayo hii mama aw bibi wa mwebzetu tumemshuhudia uchungu alo nawo kwamjukuu wake.
Hakika wewe ndo mjuuzi aw mtatuzi wa kila thiki mungu mjaliye bibi yetu bi fatma msitiri aweze kaipata bili anayo daiwa.
Allah ampe shifaa insha allah
Subuhallah Allah amuafu amjale apone arudi ktk afya njema Allah ajalie wepesi kwa kila hali
Daaah! Inahuzunisha pole sana mama
Allah afanyie wepes
@@leyouthaaljabri4949 Amin
Allah amponeshe kwa uwezo wake.
Hassan Al
😥😢Pole sana Mama yangu Allah ampe nafuu arudi katika hali yake nani kama Mama hakika mama ni dhahabu yangu nakupenda sana mama
Inshallaah mwenzi mungu afanye wepes
Pole mama Allah awaafi ishaallah
Subhana llah ..Mungu atamuaff p0le sana mama angu
Mungu mpe uwahi mrefu
Subhanaallah kama mwana nchi anatibiawa napesa hizo watapataje wapi jamani mungu awajalie wagonywa wote duniani wapate nafuu yaarabi ameen 🙏🙏🙏
11aa
?
Poleni sana mama Allah atamponya in sha Allah
pole sana mama mungu atampa shifaa
Pole sana Mungu atakuponya
اللهم صل على سيدنا محمد بن عبد الله القائم بحقوق الله ما ضاقت إلا فرجها الله
Ameen
Allah atamfanyia wepes inshallah alllhmaa aminiii inshallah
SubhanaAllah.. Allah ampe shifaa inshaAllah
Subhanallah
Aaaaaaaaaaaaaaaaaa daaaahhh hiiio Tanzania sasa matibabu haya mtu huku ulaya ni bure unatibiwa bure jamani daaah nasikitika sana sina uwezo Allah amponeahe huyu kijana
insha'Allah
Asalam alaikum
Vipi hali ya mgonjwa sasa
Allah ampe shifaa
Aamyn
Mmm! Mwenyezi mungu muokoe huyu kaka umasikini mbaya jamani
Mungu atamfanyia wepesi ishaallah
Siri za familia 20
Allah yu pamoja na wenye kujitoa kwaajili yake inshallah kwa uwezo wa Allah mtafanikiwa
Mwenzi mungu ata mupa shifa inshaallah
Subhanallah
Yarabi ampe shifaa amuondolee maradhi ampe afya njema amina
Polesan allaah ampeshifaa naawap subra katikawakatihuyu mngumu
Subhanallah pole sana mama mm cna ila nakuombea dua ufanikiwe
Allah aqbar Allah awafanyie wepesi
Poleni sana
Allah awape subra bifatma na familia yake kwa hili na jengine. Amiin
MMunguatampa kila lenye kheri na yeye Amina
Mola hampe shufaa katika maradhi yake amiin yarabi
Subhanallah Allah amjaalie wepes ishallah inauma sn ila ndo mambo ya Allah
Innalillah wamalaikatu.mungu mfanyie wepesi uyo mgonjwa inshaallah
Assalaam alaykum warahmatullahi wabarakatuh
Dah polen sana mungu amsaidie
Inaniuma sana ila mungu mwenyewe ndio mpangaji wa yote
Allah huwakibr jaman polen sn hakik inauma sn Allah mjalie kiumbe chako
pole sana mama Allah atamuafu
Sina chakukupa mamanguu ilapole Sana atapona in sha. Allah
ALLAH atujalie wepesi na roho zakutoa
ALLAH ampee shifa yaharaka
Walaykum salam warahmatullah wabarakatu
Mungu.msaidie.mja.wako
Allah ampe shifaa ya haraka
Maskini inshaallah Allah ampe shifaa😭😭😭😭
Asalama aleykum, uyo kwa wezo wa Allah atapona lkn ubongo, kuingia damu, ni mtihani nnae jamayangu kakaa miezi mitatu hospital Mascat, kapoa lkn kz kubwa kila Siku, kusema hawezi tena, na hakumbuki watu,
Alishwe na mambo yote.
Afanyiwe.
Mm na usia vaeni helment na Pía mbio mbaya.
Think before you done.
subuhaallah
Allah atamuafu kwauwezo wake na atawapa subra nanyi wazee wake Amiin yarrb
Mngu atampa shifaa
subuhannallah
Edwin Malima pole sana mama mungu yupamoja nae ishaallaah
Mungu atamuafuu Inshallah weye uwezo msaidieni kwani utamsaidia utakikuta Kwa mungu
Hii video ya lini au bado tunachangia
Khadijah Omar video ya juzi tu 21/08/2019 ndugu yangu