MBINGU ZAPOKEA KILIO CHA MTOTO YA YATIMA PEMBA
HTML-код
- Опубликовано: 20 май 2024
- Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline
#AlfatahCharitableAssociation
#ZANZIBAR
Mashallah Mungu awazdshiyen Barka wote waliotowa sadaka ❤
Wallahi natamani na mm nitoe ila na mm ni mnyonge namuomba Allah atupe rizki za halali ili nasi tutowe ktk njia ya Allah.
Allah atajalia kher
Mungu ajaliie wiki hiii hii alete kher ya ajab aondoshe dhiki zak zte
Allahuma amiiin
Mashallah hongera al Fatah tv mwenyezi mungu awabariki kwa utangazaji wenu na wanaotoa misaada mola awazidishie mlipo mtoa inshallah ❤❤❤ nawapenda wote kwa jili ya Allah
Mimi nawaombea kira renye kheri nanyi litimie kwa uwezo wa Allah na namuombea mtoto apone na atapona amini Amini amini Allah awape guraha katika maisha yao Amini
Mashallah 🤗 ila nyumba mbona hamjamjengea krbu na mizunguko ya majirani .... Ipo peke ake 🥺
allah akujalieni kher alfatah
na wote mlotoa misaada yenu
Nyumba NZURI Masha Allah lakini mbona IKO pekeyake
Allah awajalie kila la kheri tkt mafanikio yenu inshaallah
Ammin ya rabball allamin
Sijawah ona tv kama alftah Tanzania wallah Allah atawalip kher yamu lkiyama
Amiiin
Allahuma Aameen Yaarb Alaameen 🤲
Hakika yaa akhy Allah awalipe kheri duniani na akhera
Nyumba nzuri ila hana hata jirani wa karibu
Mbona yupo peke yake apo mtaani apo
Mungu amjalie kila laheri inshaallah ❤❤ mpovizuri alfat mungu awabariki inshaallah
Jaman Hakuna nyumba iliyo peke yake maisha huyo kaaza na majiran watafata muhimu kapata mahali pa kujisitir alhaamdulilah. Hebu achen hizo comment mbona yupo peke yake hapo ndiko alipo pangiwa na mungu aishi maana mwanzo alikua Katikati ya majumba mumeona alipo kua akiishi kikubwa alhaamdulilah mungu Kwa kumjaalia hapo alipo pata
Mashaallah tabarakallah Allah kareem raheem Allah awape afya nyote Allah akufungulieni kila zito
Mashaallaah
Mtihani mkubwa umasikini, na mtoto mgonjwa, Alla atajaalia kheri,
Allah awape wepesi waliotoa
Masha Allah barakallah
Heading inekaa kisaswara
Mbona yuko peke yake maskin!! Hakuna jiran
Mume itupa porin
Mashaalla