MashaAllah MashaAllah ukewenza raha yake wote muwe na dini na pia pesa iwepo (Sheikh Sule 1 akitoka naomba nafasi😅😅) hapo hakutakua na shida sio wengine wanajua suna ya kuowa tu huduma 0 matokeo yake ndio hayo kutesa watt wawatu na kuona ukewenza haufai
@@Mrs.Mumewangu hapanaaaaaaaaaaa bana ukewenza Raha yake mume awe na pesa na pia nyote muwe na Iman ndan ya mioyo yenu vinginevyo hamtoboi hata kama pesa iwepo
Wanawake wanaojiuza WANAWEZA KUKAA na bwana mmoja tena Kuna muda wanashea mabwana na mashoga kitu ambacho ni uchafu zaidi ya uchafu lakini huku kwenye kheri na barka mnaona jambo baya ndio maana masingo mother wamejaaa na wanazidi kila siku
@@BIGBOSS-hl3bu kumbuka wanawake wanaojiuza awajainvest mapenzi yao pale. Wanajua ile kwao kazi akija mteja mmemalizana hapa katika ndoa kuna jambo kama penzi tusiwe waongo kushare mapenzi kunauma, kumbuka uyu ni mtu alopanga nae maisha na vitu vingi, kuna watoto unaanzaje kuona mwanamke mwengine anapendwa na mumeo? Sio rahisi wanaume msioijua dini ndio mnaona rahisi dini yenyewe imesema wazi sio jambo la rahisi apo panatakiwa ushirikiano Mkubwa sana kutoka kwa Allah kuweza kuwatia wale wanawake moyo wa kustahimilia, kwa hio usiwachukulie wanawake Wabaya, angalia wanaume wengi waliobobea kwenye dini wanabakia na mke mmoja na sio kwamba hawana kipato, kipo lakini wanajua ni mtihani na pia wanaume wengi wanapata dhambi sana katika ndoa ya mathna, ni ngumu sana kupenda wanawake wote sawa lazima moyo utazama kwa mmoja. Walio na nyoyo za subra watavumilia wasio weza rukhsa kukata dini haijalazimisha uke wenza mnaolazimisha ni nyinyi tu
Amiin Allah Wallahi unaweza ukawa umeolewa upo peke yako kwenye ndoa Lakini ukawa huna raha wala amani kwenye ndoa yako.. Na ukawa umeolewa upo kwenye ndoa ya uke wenza na mukaishi kumdhibiti mume wenu na mukawa na umoja mukaishi kwa raha na Aman❤i❤
Dini ya kiislamu ndio ambayo itakusaidia kupata mafanikio katika mwisho wa maisha Yako sio yesu ni mtu sio mungu ,Mungu ni Moja TU Hana mfano wa sifa ya viumbe alivyo viumba kwa hio yeye ndio mfanyaji na mpabgaji wa Kila kitu
MaashaAllah nakuomba uchukue mafunzo kwa wenye uzoefu ambao wamekutangulia kama Dr.Sulle. Ninamuomba Allah akuwezeshe na akupe nguvu na imani.. Amiin yaarab Amiin
Sasa mm nashangaa ndo za waislam afrika wanajali Sana uke wenza ila Waarabu Sasa huwa nacheka wanavimba uwiiiiiiiiiiiiii 😂😂😂 kuna madam wangu hapa mwambie Sasa uke wenza umuone povu 😅😅😅
Alafu et anajiita mtu wamungu wakati anaonekan kabsa ni muhun tu mungu atusaidie Sana Mana waislam weng wanamwamin hyu jamaa alaf nimganga wakienyeji daah mungu atuhurumie sanaa
The ayaat of marriage, the ulama have divided it into 4 interpretations: 1) you can marry 4 women 2) 9 wives 3) 18 wives 4) more than 18 wives As you know, all doctrines have their own opinions and evidence. No one can say that those who support the opinion of 4 women are right! In Islam, every opinion is taken into account, because all doctrines have endeavored to reach their decisions through probabilities!
Hapa kuna somo kubwa, baadhi hawawezi kuishi pamoja siku nne tu, kumbe sababu ni kutokuielewa dini, ni kweli miaka 20, una wake sio mke alhamdulilah, inafaa uwe unatupa elimu ya kuishi na wake, hili ni tatizo kubwa kwa dunia ya sasa, nadhani anzisha kipindi katika TV
Wanaume wengi wanaowa kwa tamaa tu km huna pahala pa kuwaweka kuna haja gani ya kuowa wanne kisha uwakusanye km kuku.kuowa zaidi ya mmoja ni uwe muadilifu uwapende na kuwatendea haki sawa lkn kuwakusanya km sardine hapana kwa kweli
Sio wote wenye dini na wanaroho safi,baadhi ya wenye dini wanajionesha nje wanadini"lkn niwanachoyo na roho mbaya kwa wenzie! Na utakuta hamuwezi mume na hayawezi yote ktk Ndoa
Mungu gani unaemuomba akuepushe,usikejeli dini wewe kama huwez ukae kimya wajitafutia matatizo waweza omba dua kwakwejeli Allah akakupa dhidi yake ikawa ni adhabu kwako,waweza pata mume mmoja na Allah akajaalia huyohuyo ndio akawa sababu yakutoeka duniani au kupata kilema,ndomana nakwambia kama huwez kufuata sheria gulani ya dini kaa kimya usijitie mtaalamu wakuongea ili watu wafurahi
Hamna lolote ukewenza ni mapenzi ya ndugu na madada kuishi pamoja.. Ukiwa Muislaam wa kweli na ukiwa na imani ya kweli.. Basi sio kazi Unaishi kawaida tu.. Kwani imeshaamini kuwa mwenye kuruzuku ni Allah peke yake na hana mshirika..
Jamani wallah napenda uke wenza kwanza mme kila siku humkinai na wala huwezi kumnyima usiku manaje ataenda kulala kwa mke mwingine akija lazima utamfurahia tu lskini kila siku mko wawili tu lazima mtachokana
huyu sule alikuwa mpole Sana lkn kwa sasa media zimemteka na amini usiamini sule ukizidi kuendekeza hizi media utajishushia hadhi maana sasa hivi mara ona mjengo wa sule mara unamiliki vx mara natongozwa sheikh mzima unaongeaje pumba kiasi hicho‽ sasa ushaanza kuongelea wake zako wakati kina mufti wapo kitambo hawaongei wake zao
Dk Sulle, Aya ya ndoa, maulamaa wameigawanya katika tafsiri 4: 1) unaweza kuoa wanawake 4 2) wake 9 3) wake 18 4) zaidi ya wake 18 Kama unavyojua, mafundisho yote yana maoni na ushahidi wao wenyewe. Hakuna mtu anayeweza kusema kwamba wale wanaounga mkono maoni ya wanawake 4 ni sawa! Katika Uislamu, kila rai inazingatiwa, kwa sababu mafundisho yote yamejitahidi kufikia maamuzi yao kwa njia ya uwezekano!
Nyie mnao sema kwa yesu kuna raha unaoa mke umevaa pete kidoleni na bado unatoka nje muogopeni mungu sio kuwasema waisilamu vibaya heri yeye kaoa wake wa nne kuliko wewe ulieoa mke mmoja na ukiviona vya nje mate yakudondoka.
Sheikh sio boya wewe ndie boya mjinga wewe usoijua dini sawa sawa.. Dini yako ya kubatizwa wewe..😢😢 Kwanza nenda kajifunze dini na sheria zake, baadae nnjoo ushee na watu wanaoijua dini.. Usituchefue😮 Kichefu chefu umekuwa??😮😢
Masha Allah nakuombea Allah akuhifadhi
Mashaallahh mashaallahh . hongera shekh inapendeza Sana ♥️
Dadaangu unapendeza sana ukivaa hivyo nakupenda kwaajili ya Allah❤
Mashallah mashallah honger kwa msimamoo mwanaume ni kichwaaa cha familiaa
It's all about psychological issue basing on faith ❤
MashaAllah MashaAllah ukewenza raha yake wote muwe na dini na pia pesa iwepo (Sheikh Sule 1 akitoka naomba nafasi😅😅) hapo hakutakua na shida sio wengine wanajua suna ya kuowa tu huduma 0 matokeo yake ndio hayo kutesa watt wawatu na kuona ukewenza haufai
Ujakufika ukajua. Dk sule kwanza kawapiga kisomo apo awajielewi 😂
@@Mrs.Mumewangu hapanaaaaaaaaaaa bana ukewenza Raha yake mume awe na pesa na pia nyote muwe na Iman ndan ya mioyo yenu vinginevyo hamtoboi hata kama pesa iwepo
Wanawake wanaojiuza WANAWEZA KUKAA na bwana mmoja tena Kuna muda wanashea mabwana na mashoga kitu ambacho ni uchafu zaidi ya uchafu lakini huku kwenye kheri na barka mnaona jambo baya ndio maana masingo mother wamejaaa na wanazidi kila siku
@@BIGBOSS-hl3bu kumbuka wanawake wanaojiuza awajainvest mapenzi yao pale. Wanajua ile kwao kazi akija mteja mmemalizana hapa katika ndoa kuna jambo kama penzi tusiwe waongo kushare mapenzi kunauma, kumbuka uyu ni mtu alopanga nae maisha na vitu vingi, kuna watoto unaanzaje kuona mwanamke mwengine anapendwa na mumeo? Sio rahisi wanaume msioijua dini ndio mnaona rahisi dini yenyewe imesema wazi sio jambo la rahisi apo panatakiwa ushirikiano Mkubwa sana kutoka kwa Allah kuweza kuwatia wale wanawake moyo wa kustahimilia, kwa hio usiwachukulie wanawake Wabaya, angalia wanaume wengi waliobobea kwenye dini wanabakia na mke mmoja na sio kwamba hawana kipato, kipo lakini wanajua ni mtihani na pia wanaume wengi wanapata dhambi sana katika ndoa ya mathna, ni ngumu sana kupenda wanawake wote sawa lazima moyo utazama kwa mmoja. Walio na nyoyo za subra watavumilia wasio weza rukhsa kukata dini haijalazimisha uke wenza mnaolazimisha ni nyinyi tu
@@BIGBOSS-hl3bu usitujumuishe tafadhali Sheikh 😅😅😅
Umesema ukweli bro sule Allah kisha ukuwe na namsimamo kama mume tuko pamoja Niko na wawili natarajia kuongeza In shaa Allah
ManshaAllah , Allah awape kila kizuri fidunia wari akhera, ukewenza nilaha ❤❤❤
Amiin yaarab Amiin
Uke wenza ni raha mnapenda kama ndugu mnaishi❤
Amiin thumma amiin ❤❤❤
Congratulations,Dr.sulle. hongera tena.sitara ni Sunna ya mtume wetu Mohammad S.A.W.
Mashallah alhamndulillah ongera dr Sule hata mimi ninao wawili na Sina pesa ila alhamndulillah tumetulia nakushibana Allah mkubwa
Dada yupo vizuri sana mahojiano yake anauliza maswali ya muhimu alafu sauti Masha Allah
Allah akuhifadhi shekhe wetu.
Amiin thumma amiin
Mashaallah Allah akuzidishie uwadilifu
Mashallah nimependa maneno yako uo ndio ume tabiti
Masha allah allah akulipe. Herry inshaallah
MashaAllah , nikhere Allah awajaze kheri naupendo .
MaashaAllah Dr.Sulle ninamuamini kabisa ni mwanaume wa kikweli na yuko imara❤
Una muamini vp ume lala nae
@@EdhaVoice-s6d tumekatazwa-kudhaniana-kwa-ubaya!naamin-hayo-ni-mapenzi-yake-tu!
Mimi pia kama ningekuwepo huko basi ningelisubiria nafasi ya mke mwengine akitoka ili nizibe pengo❤kwa Dr.Sulle.
We mchawi haondoki mtu
Maashaallah mungu awahifadhi
Laiti wanaume wote wangekua kama wewe walah Kila mwanamke angekubali ukewenza
😊
Ni sahihi kabisa
Na pia kaa wanawake wote wangekuwa kaa wanawake wake Kila mwanaume angekuwa na wanna na riziki ingeongezeka mara dufu.
@@aooshosho4255 jibu-limeenda-shule
Mungu akuokowe katika maisha ya uzinifu, umujuwe Yesu-Kristo kua bwana namokozi wamaisha yako
ACHA ujinga
haha upo sawa kwel?? ndoa ni uzinifu
Dini yake sioyako
Sasa ww unaleta mambo ya yesu na hakuwai kuoa unataka tupige punyeto au🤔tafuta dini kwanza alaf uje ukoment
Allah awahifadhi
Mimi muislam napenda uke wenza ❤❤😢xana
Unapatikana wap nilete posa
Assalamu alaykum,kweli?
Hata mimi napenda sana
@@JohnSulle-q6p kwakusema-hivyo-tu-ndio-unataka-upeleke-posa!kuwa-makin-usiwe-na-pupa
Mimi nimeoa wake wawili na wote naishi nao kwenye nyumba moja ila kila mke ana chumba chake na wanapendana sana Allah aniongoze katika ndoa yangu
Allah wanariki wazid kupendan
Allah wanariki wazid kupendan
Wewe unaesema hutaki ndoa za kushea huenda labda unae michepuko kibao Bora mmeo aoe kwani haki kuoa na kuolewa
Asaaaante Kweli kabisa maneno yako
Mashallah dr sule❤
Sule mshirikina uyu😂
Nawewe kuwa
Yawezekana Bora Tu upate Wenye Kuifahamu Dini vilivyo... Controller ni Mume siku zote MashaAllah Sunnah tul Nabii
Mashaallah ❤❤❤❤
Nashukuru mungu Mimi Nina wata3 naishi nao pamoja tena Kwa amani kubwa ila wananisema sanaaaaaaa.
Mashaallahh ❤ mm nimwislam lakin uke wennza nauogopa sana kwasababu niliolewa nikateseka sana
Ulikuwa uko mke wa pili mmmh pole😅😅bora niwe wakwanza😂
Masha Allah mungu awazidishiy mapenzi yenu
Allahumma Amiin Amiin yaarab Amiin
Amiin Allah Wallahi unaweza ukawa umeolewa upo peke yako kwenye ndoa Lakini ukawa huna raha wala amani kwenye ndoa yako..
Na ukawa umeolewa upo kwenye ndoa ya uke wenza na mukaishi kumdhibiti mume wenu na mukawa na umoja mukaishi kwa raha na Aman❤i❤
Mashaallah
Sawa sawa master Dr. Sule
UKIZAMA SANA KTK UISILAM UNAKUA NA MAMBO YA HOVYO,UJINGA WA MAMBO KAMA SULE.KWA YESU TUNASTARABIKA SANA, ASANTE YESU.
Uislamu ndio dini ya haki huwezi kuwa wa hovyo hata siku moja
Dini sio njia ya kwenda mbinguni,YESU tu ndio njia ya kwenda mbinguni, Dini hata wachawi Wana dini,Hadi wavuta bangi Wana Dini.
Dini ya kiislamu ndio ambayo itakusaidia kupata mafanikio katika mwisho wa maisha Yako sio yesu ni mtu sio mungu ,Mungu ni Moja TU Hana mfano wa sifa ya viumbe alivyo viumba kwa hio yeye ndio mfanyaji na mpabgaji wa Kila kitu
😢😢😢yarabi nisaidie, nina moyo mwepes jaman nitashindwa mie
Pia mie😂😂 cyawezi mungu nisamehe
Gig up dkt sule,mimi nipo nyuma yako saiv nna wawili napambana nipate 3😂😂😂
MaashaAllah nakuomba uchukue mafunzo kwa wenye uzoefu ambao wamekutangulia kama Dr.Sulle.
Ninamuomba Allah akuwezeshe na akupe nguvu na imani..
Amiin yaarab Amiin
@@شيماء-ج8ط amin amin amin.
jazakallahu khairaaa
Mashallah Tabaraka Allah hongera sana Sheikh ninavyotamani ndoa mm jamani hata nikiolewa wa nne pia nitafurahi wallahi tena
Allah atakupa inshallah
Uje kwangu
Sasa mm nashangaa ndo za waislam afrika wanajali Sana uke wenza ila Waarabu Sasa huwa nacheka wanavimba uwiiiiiiiiiiiiii 😂😂😂 kuna madam wangu hapa mwambie Sasa uke wenza umuone povu 😅😅😅
Hongera kaka ila wajengee kila mtu nyumba yake itapendeza zaidi.
Kwan-kuna-ubaya-gan-wakat-wenyiwao-wameshakubalian?
Mashallah,❤❤❤❤
Wewe ukubali ukeweza mbona yakobo alikuwa na wake mussa liowa wake wawili Kama unataka mume moja wewe sio mwanamke unaijuwa dini ya kislamu
Mtume Muhammad SWA rasuulallah tutapata thawabu alikuwa na wake Bibi hadija aisha na wengine
Comments zitaniua😂😂😂😂Dr sulle ayo ni maamuzi yake haimaanishii kila mwanaume aige mfano wake Laa wanaume watofautiana jamanii
Lazima tuige coz ni jambo jema kuna elimu tunajifunza
Alafu et anajiita mtu wamungu wakati anaonekan kabsa ni muhun tu mungu atusaidie Sana Mana waislam weng wanamwamin hyu jamaa alaf nimganga wakienyeji daah mungu atuhurumie sanaa
Haikuhusu sio muumini meenzako angalia yako
Uhuniwake uko wap apo
Baba yangu aliishi na wake 4 tens nyumba 1 na mpaka wamehitimishana, inatakiwa busara za mume wao tu. Kwa hiyo si ajabu dr shule kuishi na wekeza 4.
Allah akuhifadhi sheikh
The ayaat of marriage, the ulama have divided it into 4 interpretations:
1) you can marry 4 women
2) 9 wives
3) 18 wives
4) more than 18 wives
As you know, all doctrines have their own opinions and evidence.
No one can say that those who support the opinion of 4 women are right! In Islam, every opinion is taken into account, because all doctrines have endeavored to reach their decisions through probabilities!
Hapa kuna somo kubwa, baadhi hawawezi kuishi pamoja siku nne tu, kumbe sababu ni kutokuielewa dini, ni kweli miaka 20, una wake sio mke alhamdulilah, inafaa uwe unatupa elimu ya kuishi na wake, hili ni tatizo kubwa kwa dunia ya sasa, nadhani anzisha kipindi katika TV
😂😂😂😂😂
😂😂 Pretend, Shekhe naona kimagharibi kwa sana😂😂
Wanaume wengi wanaowa kwa tamaa tu km huna pahala pa kuwaweka kuna haja gani ya kuowa wanne kisha uwakusanye km kuku.kuowa zaidi ya mmoja ni uwe muadilifu uwapende na kuwatendea haki sawa lkn kuwakusanya km sardine hapana kwa kweli
Kama hawana shida ni sawa ata othman Michael akona wawili na wanaishi pamaoja
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kati ya comment zote umetisha
Naona wanaokataa ukewenza wote ni waisilam hapo ndiyo ujue mapenz hayagawanyki
Sio waslamu wate
Huyu musimusikilize mwizi mukubwa muone😢😢😢
Kawadawa😢😂😂😂
Kama wana dini ndani yao wanakaa sana pamoja.
Sio wote wenye dini na wanaroho safi,baadhi ya wenye dini wanajionesha nje wanadini"lkn niwanachoyo na roho mbaya kwa wenzie! Na utakuta hamuwezi mume na hayawezi yote ktk Ndoa
Wanajificha kwenye uislum uzinifu wa hali ya juu
Kwa hiyo kwenye kumuamini Allah na mwenye kuwa na imani ya kweli kabisa baai hawezi kuyapinga maneno ya Allah ambae ametuamrisha..
Mungu naomba niepushe na ndoa za kushea
Ila akupe wapenz 6
@@jumamussantuiche, 😄🤣😂😆😄
Pole yako kwaiyo unshiari mume azini ?
Mungu gani unaemuomba akuepushe,usikejeli dini wewe kama huwez ukae kimya wajitafutia matatizo waweza omba dua kwakwejeli Allah akakupa dhidi yake ikawa ni adhabu kwako,waweza pata mume mmoja na Allah akajaalia huyohuyo ndio akawa sababu yakutoeka duniani au kupata kilema,ndomana nakwambia kama huwez kufuata sheria gulani ya dini kaa kimya usijitie mtaalamu wakuongea ili watu wafurahi
jiangalie hayo sio maneno bora ukae kimya kama huwezi sheria hiyo
Wallahi uke wenza wataka moyo kwakweli
Hamna lolote ukewenza ni mapenzi ya ndugu na madada kuishi pamoja..
Ukiwa Muislaam wa kweli na ukiwa na imani ya kweli..
Basi sio kazi
Unaishi kawaida tu..
Kwani imeshaamini kuwa mwenye kuruzuku ni Allah peke yake na hana mshirika..
@@شيماء-ج8ط inaonyesha-unaupenda?
Swadakta 💯💯💯👏
Nimempenda hiyo mwanahabari
Niumalaya 2 huo
Jamani wallah napenda uke wenza kwanza mme kila siku humkinai na wala huwezi kumnyima usiku manaje ataenda kulala kwa mke mwingine akija lazima utamfurahia tu lskini kila siku mko wawili tu lazima mtachokana
Huez elewa life style kwa siku moja 😂😂😂
Dada etu mavazi usiyaache ayo yamekupendezesha mno
Mmh minapenda kweli ila hio yakukazwa nyumba moja hapana kweli uongo zambi sintoweza
Kukazwa-tena!
Unakazwa vipi?
Kikweli kabisa maneno yako ya murua na ya imani ya kweli uke wenza ameujaalia Allah..
Ameelezea kwenye surat Al Baqarah
Maashallah
Pesa unazo bila ya pesa wasengelikaa hata sekunde 1
Kweli
Mbona mtume alikuwa maskin na alikuwa na wake 9 na hajawaacha
Jamani mm nimeowa wake wawili na wote naishi nao nyumba moja na wanaishi vizur
Hiyo yafaa kilichoharamu ni kukaa chumba kimoja wake zote
Iyo moja mm sitaiweza ata km niko muislamu siwezii uke wena
Roho mbaya tu
huyu sule alikuwa mpole Sana lkn kwa sasa media zimemteka na amini usiamini sule ukizidi kuendekeza hizi media utajishushia hadhi maana sasa hivi mara ona mjengo wa sule mara unamiliki vx mara natongozwa sheikh mzima unaongeaje pumba kiasi hicho‽
sasa ushaanza kuongelea wake zako wakati kina mufti wapo kitambo hawaongei wake zao
Kwani Shida gani hapo kuelezea kuhusu Ndoa, mbona hata mtume Muhammad s.a.w. Imeelezewa wake zake au ujasoma weye,.
Dk Sulle,
Aya ya ndoa, maulamaa wameigawanya katika tafsiri 4:
1) unaweza kuoa wanawake 4
2) wake 9
3) wake 18
4) zaidi ya wake 18
Kama unavyojua, mafundisho yote yana maoni na ushahidi wao wenyewe.
Hakuna mtu anayeweza kusema kwamba wale wanaounga mkono maoni ya wanawake 4 ni sawa! Katika Uislamu, kila rai inazingatiwa, kwa sababu mafundisho yote yamejitahidi kufikia maamuzi yao kwa njia ya uwezekano!
Yuko Sawa shehee wangu mimi mwenyewe mwaka waa12 atujawai gombana atuna pesa ira tunaishi kikubwa kuondoa umbea wauku kupereka uku
Saluti to u I'm coming there
Don't trust anyone in this world.be careful
Mashallah hongera sana
Lait mngejua ndani ya nyumba ya dr sulle msingeaongea
😂
Hao wanawake wenyewe wamekosa mwelekeo wa maisha Yao,PUMBAVU ZAO
Sio kweli jambo hilo
Nyie mnao sema kwa yesu kuna raha unaoa mke umevaa pete kidoleni na bado unatoka nje muogopeni mungu sio kuwasema waisilamu vibaya heri yeye kaoa wake wa nne kuliko wewe ulieoa mke mmoja na ukiviona vya nje mate yakudondoka.
Asaaante maneno yako ni kweli😅
Mm ninamke mwenzangu hatujahi kuongea toka nimeolewa mm nickel mdg
Anajifanya mjanja.Sisi wanawake ni ibilisi hatupendani😅😅
Sema wewe ni ibilis usitujumuishe sote
Kasema kweli mwanamke ni ibillisi
Wanaume washenzi hawana ukweli mtupuu hawajitambui
Ibilisi ni wewe kama mume anamsimamo make vizuli sana ilawengi choyo anaroho mbaya
Hongera sana dr sulle
MaaShaaAllah
Weboya tu hunalolote uishi nawo nyumba Moja Kila mtu angekaa kwake mfano ukifa wataishije mjinga wew sheghe😅😅
Kw hiyo mtume Muhammadi nae alikuwa wake zake ni maboya
Sheikh sio boya wewe ndie boya mjinga wewe usoijua dini sawa sawa..
Dini yako ya kubatizwa wewe..😢😢
Kwanza nenda kajifunze dini na sheria zake, baadae nnjoo ushee na watu wanaoijua dini..
Usituchefue😮
Kichefu chefu umekuwa??😮😢
Umekuwa Kama kichefu chefu unatutapisha😢😮Ooovyooo
Chamsingi Amani na Upendo
Namimi naitajiii kuongezaaa Mk eee nimepataaa fundishoooo kakaaa
MashaaAllah
Mmh huyu shee ana shida,hapendi kusoma dini ila anapenda kuongea sana.Atwambie Mtume swalallahu alyhiwassalaama alifanya hivo au lifundisha hivo, kuwaweka wanawake w4 nyumba1
Duh niroho ngumu 😅😅mi labda niwe wa 2 aidha wa 3 wanne hapana 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Huyu nimwizi 😢😢😢😢😢aliniiba 300$ kwakusema atanirumiya dawa
Hana hata haya anajisifu tajiri
Nyie watu😂😂😂
Na mm mung anijaliye niwe kama shehe sule
Nampenda huyu dokta suley yaani sio muoga
Sheikh wang nakukumbusha usiache mavaz ya Snna
Ndoa ya Kikiristo mi imenishangaza unamuona mama anafanya harusi na baba watoto na watoto already wapo form4🇰🇪🇰🇪
Uzinifu kwao nikitu cha kawaida2
😂 umenichekesha sana na umenikumbusha sana 😂 hizo zipo sana. Wengine wanasema kukamilisha 😂
Tofauti Sha makanisa ukristo ndio lkn Kuna makanisa hayaruhusu
Raha sana
Hilo la pesa, hata ukiwa na mke mmoja , ukichacha anakukimbia
Na pia akikuvumilia heshima yapotea
Shekhe anawapiga kamba Mkubwa anakaa peke ake bhana na wale wengine wanakaa wawili huyo mmoja sijui kaoa lini