Poleni sana Sheikh Yusuf na Bi Leila Rashid Allah awahifadhi na kwengine.kwakweli nimefurahi sana kumuona Bibi Leila akiwa na ushungi kichwani.Allah atuongoze ssi wote waislamu na atujaalie Pepo baada yakuondoka ulimwenguni.Nasaha yangu kwako Bi Leila plzz achana na taarab make na bwanako kwa njia yakuridhisha Mungu.Shukran sana
Poleni saana, na umshukuru sana Allah kwa ujasiri aliyokupa hadi ukaweza kupambana na majambazi 4 kwenye silaha ukiwa peke yako,hakika umshukuru Allah na mtoe sadaqa kwa wingi.tumuombe Allah atulinde sote- amiin
pole sana mzee Yusuf na daa Leyla na familia yenu Allah awahifadhi na awanusuru kwahayo na mengineyo pia, hakika hii sio dunia ya juzi na jana yakina babuzetu na bibi zetu hii dunia nihatari sana imeharibika,lakini Allah anaona na kipoalicho waandalia majambazi hao.
Pole sana,hao wanaonekana wanajifundisha ujambazi na hio bastola itakua ya kidosi inalia tyu tyu tyuuu!!! mwisho inatoka moshi . Wanaume wazima baada ya kutafuta kazi mnavamia watu.
Poleni sana..muhimu nyie ma star bongo nyumba vipi haina cameras ama mlindaji..nna uhakika ni mambo madogo kwenu..zingatieni hilo suala mengine tena mambo ya mungu kindly jilindeni..poleni Allah atawanusuru..
pole sana Leyla mungu akusaidie sana unashinda majarib meng sn,we ni mwanamke jasiri,na wewe ndo mwanamke bora WA mfano,kwangu mimi KWA mwaka huu 2019 ,
Poleni sana,Allah atawalaani ishallah,hawana huruma hata kidogo laana kum hao,Wampiga binadamu mwenzio kama jiwe au sanamu jamani pole sana Leila kwa yalokukuta,
Poleni sana Sheikh Yusuf na Bi Leila Rashid Allah awahifadhi na kwengine.kwakweli nimefurahi sana kumuona Bibi Leila akiwa na ushungi kichwani.Allah atuongoze ssi wote waislamu na atujaalie Pepo baada yakuondoka ulimwenguni.Nasaha yangu kwako Bi Leila plzz achana na taarab make na bwanako kwa njia yakuridhisha Mungu.Shukran sana
Poleeni sana familia Mzee Yusuph pia hongera bi Reila kwa ujasiri Allah aliokupa pia pole kwa maumivu ulioyapaya.
Wakwanza kbsa km unamkubali mama layla gonga like apo
Pole kipenzi,hongera sn mtangazaji upo vzr na una nidhamu inaonekana....big up mtangazaji kazi nzuri
Poleni saana, na umshukuru sana Allah kwa ujasiri aliyokupa hadi ukaweza kupambana na majambazi 4 kwenye silaha ukiwa peke yako,hakika umshukuru Allah na mtoe sadaqa kwa wingi.tumuombe Allah atulinde sote- amiin
pole Dada Mwenyezi mungu akufanyie wepesi kwakila jambo
Pole Sana dada tena hongera kwa kujiahami.tunaomba polisi wafuatilia kuwakamata
Poleni mzee yusufu ,Allah atawalipa Yaliyo bora kabisa
Poleni sana yote mitihani ya mwenyezimungu alhamdulilah mko salama muanze kufuga mmbwa sasa pole sana leyla
Poleni sana Mungu awlinde zaidi,na mnapo ingia ndani ya nyumba msisahau dua zakujilinda na hatari msihofu Allah atawalinda
Sorry sister Allah give you shifaa and subra Amiiiiiin yaa Allah inshaAllah 🤲💞💞💞
I feel 😢from 🇺🇸
pole sana mzee Yusuf na daa Leyla na familia yenu Allah awahifadhi na awanusuru kwahayo na mengineyo pia, hakika hii sio dunia ya juzi na jana yakina babuzetu na bibi zetu hii dunia nihatari sana imeharibika,lakini Allah anaona na kipoalicho waandalia majambazi hao.
Hasbuna Allah...
Hasbuna Allah x 70
Every day God Has Answers for everything ...
Dah pole sana mpenzi adui wa mtu ni mtu mungu akuponye
A alaykum warahmatuwwah
Poleni kwa mtihani uliowakuta..kinachotakiw ni kumshkur Allah kwa kila jmbo na tusiache kumuomba yeye
Pole kipenzi hakika mungu amekulinda
Ya Allah akufanyie wepes
Dahh pole kwa Familia ya mzee yusuph. Hawo majambaz watajulikan tuu inshaallh
Poleni sana kwa mitihan ilio kukuteni mung awape subra na uvumilivu ktk kipind hik kigumu🙏🙏🙏
Amiin
Abuu zayd s
Mzee yusufu kaongea uongo sana tofauti na mkewe halafu mzee muoga sana sasa sijui mkeo wangemuua au kubakwa sijui ungesema nini
Poleni sana ndugu ALLAH KAREEM mpo hai Alhamdulillah.
Poleni na mitihani. Hifadhi yake Mmungu katika kudumisha wingi wa Ibada, quraan na Sadaka katika nyumba. Kinga kubwa.
Pole sana dada leyla Allah aawalinde na familia yako. ....ooh jamani mim ningejinyea naogopa majambaz mim nakumbuka walivamia mtaan kwetu duka la mpemba walimuaa mpemba wawatu anatoka msikitini na mkewe alikua ametoka kujifungua jamani majambazi hawana huruma wallah kuweni makini wanaweza kurud tena hao .....siwapendi majambaz,vibaka ,wez wachawi jamani nawachukukia .....
Poleni sana , Mzee Yussuf na family awape subra na awajaalie mupate zaidi ya kilichoibiwa
Jamani pole mwanamke mwenzetu polesana..
Mutapata zaidi ya hizo mama angu ishahhla mungu atawafanyia wepes
Pole sana,hao wanaonekana wanajifundisha ujambazi na hio bastola itakua ya kidosi inalia tyu tyu tyuuu!!! mwisho inatoka moshi .
Wanaume wazima baada ya kutafuta kazi mnavamia watu.
Pole pole sana Dada lella 💞💞💞💕💕💕💜💜💓💓💓😎
Poleni mitihani, mwenyezimungu atawalinda zaidi inshallah.
Zahben Mohamed
poleni ja mani
Zahben Mohamed usikie Kwa MTU tu ilishanitokea
Pole Sana Dada Leyla Rashid wewe mwana mke shupavu sana pole Sana kwa maumivu bhana
Ukomii
Nashukur Mko salama tu🙏 Mungu ni mwema
Poleni na mitihani. Kuvuka hili na Jengine. Mlamali hapa Dada
mungu anawaona watakuwa hawaendi mbingun
Pole sana dadangu mungu akupe afya Inn shaa ALLAH
Poleni sana..muhimu nyie ma star bongo nyumba vipi haina cameras ama mlindaji..nna uhakika ni mambo madogo kwenu..zingatieni hilo suala mengine tena mambo ya mungu kindly jilindeni..poleni Allah atawanusuru..
poleni sana familia ya mzee..bi .leyla pole na hongera sana..hapo ungezidisha ujasiri ungewabwaga chini wote..sema roho ya mwanamke naijua
pole sana Leyla mungu akusaidie sana unashinda majarib meng sn,we ni mwanamke jasiri,na wewe ndo mwanamke bora WA mfano,kwangu mimi KWA mwaka huu 2019 ,
pole sana
pole.sana
Nansi Kilovele
pore dada angu
Pole sana mungu atakulipia
poleni sana ndugu zangu katika imani
Mackin pole sana inasikitisha sana, Allah akutie nguvu kwa kila hatua na Atakulipieni inshallah 🙏
❤😭
Pole sana mwenywe mungu akupe shifaa
pole na hongera sana dada kwa ujasiri japo wamekuachia maumivu
Poleni wapendwa mungu yupamoja nanyi
Polenii sanaa Mungu wetu sotee..
poleni sana mungu anawasafisha
poleni da lela yote hayo mitihan yamungu
Pole kwamsala jaman mungu awalinde waimbaji wetu
Pole sana sister mungu akupe subra na afya
Poleni sana mungu awalinde afadhali uweke camera mzee yusuf
Maryam Athman poleni sana mungu atawalinda
Maryam Athman poleni sana
poleni sana ninaimani mungu atawalinda
A very strong woman after all that she still can afford a smile , you are brave mama
Poleni sana,Allah atawalaani ishallah,hawana huruma hata kidogo laana kum hao,Wampiga binadamu mwenzio kama jiwe au sanamu jamani pole sana Leila kwa yalokukuta,
Mungu akubariki kuwa jasiri
Pole Mungu awape subra
Binadamu jaman kutoa POLE pia inakushinda kaz ni kuangalia nyumba ikoje na kma hajajistiri OVYOOO
😥😥😏 mungu atulinde wote
Mh poleni sanaa
Mtu utafute pesa kwa shida halafu uje umizwe kwa pesa zako mwenyewe daah 😢😢😢😢😢😢
yaani inashangaza. Hawana hata roho za huruma. Mungu anawaona lakini
ina sikitisha san polen
watungie nyimbo haoo..pole dada
Poleni Mungu awasaidie.
Pole jmn dada Layla mungu kakurinda sana
Poleniii sanaa sanaaa Sanaaaa Da leilaaa Mpee pole na kaka yg Mzee Yusuf Pole pole pole sanaaaa Dada
Pole sana msani wetu
Poleni sana ndomaisha
Polen mwaya mungu akufanyie wepesi upone Leyla
Pole sana dadangu mungu hakunusuru na pengine yarabi
pole sana mungu atawalinda na atatulinda na sisi.
Pole San mam kipenz
Poleni sana Allah awanusuru hapo na pengine tena
Pole saana mungu hakupanga
Pore sana dada kumbwa munguanakupenda san
mjasiri kwl Lela mungu yupo pamoja nanyi
poleni sana mungu yupo
Mungu amewanusuru hapo napengine inshaaAllah
Dah! Poleni sana lakini Bi Leyla ni jasiri Sana
Amiin
I say poleni. Allah awape shifaa na subra. Allah atawapa zaidi ya mlioibiwa. Ameen yaa Rabbil allamiin
Sham Moha pole cna dada leyla
Pole sana mama leyla kwa mtihani uloupata
Pole sana Allah ndo muamuzi mitihani kweli
Jasir mumy!hongera sana
Pole sana mwenyezi mungu awaeimamie sana
Pole Sana mungu awape nguvu
Pole sana Leyla. Mungu akuponye na akusaidie kuisahau hiyo hali.
Duh,polen sana ,Mungu mkubwa
Poleni sana. Mungu akuponye
pole sana malkia wetu Allah akupeni subrah
Pole Mum Leila Mungu ukupigania
Pole sanaa Dadangu
Pole sana mama mungu akuzaidie utaskia nafuu.
Poleni sana kwa tukio Allah awalinde awanusuru ln Shaa Allah, Pole kwa maumivu Allah akusaidie ln Shaa Allah.
Pole sana mkwe wangu
Pole mama yangu na mtihani ulio kukuta
Duh aiseee poleen sana jaman
We Mrembo my hujapaka make up lkn mashaalah!poleni na matatizo
Maskin yote yana malipo ayo wey muachie mung tuu dada pole sana
Poleni sana dada allh atawashinda hao walimwengu
subhanaa laaha Pole poele
Poleni sana duuh
Subhana allah polee sanaa wallahi nasikitika kuweli kuskia hivo dhaah poleni saanaa😓
duuuh pole sana mama yangu kwaa mtihan huu Allah akupe uvumi livu amina
poleni sana kwa mkasa huo.Allah awaadhibu huko waliko majambazi hao.
Pole dada Umevimba uso jmn pole sanaa
Pole sana Leila Allah akufanyie wepesi akuhepushe na mabalaa mengine
Pole saana . Allah atawahifadhi Inshaallah yaarabi.
ALLAH awape AFWENI, in sha ALLAH malipo ni hapa hapa duniani
Da poleni sana wapendwa 🙏
Mwanamuke jasir sana walh daah mungu mwema 🙏
Poleni sana nimtihani tuu kwasababu mpo namungu