FULL INTERVIEW MKE WA MZEE YUSUPH,KIFO CHA MKE MDOGO,KUACHA MZIKI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 112

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 5 месяцев назад +10

    Beautiful malkia Leila Rashid ❤ wewe ni mke mwema kwa mzee Yusuf 👍

  • @halimashaban7637
    @halimashaban7637 5 месяцев назад +5

    The interviewer is doing a great job. Asking point by point

  • @صفيةالمعشري
    @صفيةالمعشري Месяц назад

    ❤ Ila hujui kujitanda

  • @OmnSinijdi22
    @OmnSinijdi22 6 месяцев назад +16

    Reytox napenda sana interview zako hongera sana unajua kumhoji mtu ❤❤

    • @reytox
      @reytox 6 месяцев назад +1

      Asante sana

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 5 месяцев назад +1

      Ndef lkn mpka niimlze yote aimlz utam

  • @jacobmurai6447
    @jacobmurai6447 5 месяцев назад +8

    Tokea 🇰🇪 nampenda sana Malkia Leila. Mwanamke mkweli sana na mrembo mwenye heshima zake ❤❤ maisha marefu mama

  • @hindukasimu525
    @hindukasimu525 5 месяцев назад +2

    Allah ndio ajuae hatma yetu uwezi jua maisha yao hlf mzee aliacha mziki ghafla

  • @SubiraShaaban
    @SubiraShaaban 4 месяца назад

    Hongerah sana mwanangu umekua na kazi nzuri sana pia, lyk mom lyk daughter❤

  • @FaridaFarida4
    @FaridaFarida4 5 месяцев назад +5

    Hongera sana rey

  • @JaneMshana-qn9xi
    @JaneMshana-qn9xi 4 месяца назад +4

    Yaani mko vizuri mnoo nimempenda Laila.anajieleza vizuri safi sana kazi njema

  • @MwajumaFadhili-l8p
    @MwajumaFadhili-l8p 4 месяца назад +1

    Nakupenda san leyla kwa ajili ya Allah ❤❤❤❤

  • @AsiaSaleh-c4l
    @AsiaSaleh-c4l 3 месяца назад

    Mashallah unajua kujibu sana ♥️❤️

  • @momsash9210
    @momsash9210 5 месяцев назад +6

    Leyla ndo mm,ukija kweny himaya yangu kwa mbwembwe sitoki,kukukomesha

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 5 месяцев назад +3

    😂😂😂😂😂😂😂 Wallah nimecheka hapo pa kumchagua Dida '

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 5 месяцев назад +3

    Nmpenda Rayla pengo lke jmn🔥🥰

  • @chumuali9468
    @chumuali9468 5 месяцев назад +2

    Kwa vile ashafariki usimtajie kuhusu hao wa awake wa nje. Kwa sababu ashafariki. Na huko oliko ni mbele ya haki. Muombe dua mw/Mungu amsamehe

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 2 месяца назад

      Lazima amtaje kwasababu ni mtu ambae walikua wameolewa na Mme mmoja

  • @hasinahilal5902
    @hasinahilal5902 3 дня назад

    Uwislam mgomu sana unatakiwa uwe na imani sawasawa lakini ukipata mwenzio shetani mmekwisha fe jahanam rizqi ni nyingi chochote hata kuuza njugu kazi

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha 6 месяцев назад +6

    😂😂😂apo kwa dida kutokaa kwenye ndoa chukua🎉🎉yko

  • @aureliakaijage1211
    @aureliakaijage1211 6 месяцев назад +3

    Interview nzuri ❤

  • @مريمزكواني
    @مريمزكواني 5 месяцев назад

    Mashallah ❤

  • @jadetoto
    @jadetoto 5 месяцев назад +15

    Leila ni mrembo wa Asili

    • @HafsaAlly-qw7mx
      @HafsaAlly-qw7mx 5 месяцев назад

      Asili ipi hapo, manake nywele zina dawa, cream anatumia au ww huoni . Kwa mrembo ni mrembo hasaaaa ila sio wa asili km kina Monalisa na Shamsa Ford

    • @Niget-us1np
      @Niget-us1np 4 месяца назад

      ​@@HafsaAlly-qw7mxushamuon bab yake au ndg wa zake leila Ni murabu Ni rang yake acha makasiriko

  • @rukiaissa5180
    @rukiaissa5180 6 месяцев назад +11

    Nampenda sana leyla❤

  • @صفيةالمعشري
    @صفيةالمعشري Месяц назад

    Jitahidini nywele zisionekane dhambi kubwa wanawake

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 5 месяцев назад +3

    Nampenda lela

  • @phronimouslady1653
    @phronimouslady1653 6 месяцев назад +10

    Anacheko zuriii mashallaaah 👌🏼❤️

  • @WahidaHilaly
    @WahidaHilaly 6 месяцев назад +4

    ❤❤❤❤

  • @JackIbra-b3f
    @JackIbra-b3f 6 месяцев назад +4

    Akili mingi😂eti dida😂❤

  • @ZaynabZubeir
    @ZaynabZubeir 5 месяцев назад

    Mtihani huu

  • @annamussa185
    @annamussa185 4 месяца назад

    Mbona ushungi hautulii muda wote unaushika shida nn leila😊

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 5 месяцев назад

    Jaman chiku alkua na vishindo
    Mungu amsamehe makosa yke
    😢😢😢
    Ila leyla utamchagua dida😂😂😂😂ili atoke kwa ndoa ubaki mwenyewe. HAKUNA MTU ANATAKA UKEWENZA

  • @nathalieswedy3653
    @nathalieswedy3653 5 месяцев назад +1

  • @sauda4505
    @sauda4505 6 месяцев назад +4

    Yaan nimechekaaa leila weweeee😂😂😂

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 5 месяцев назад +2

    Leila, Punguza uzito magoti yatapona

  • @JackIbra-b3f
    @JackIbra-b3f 6 месяцев назад +3

    Hii imeenda rey

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 6 месяцев назад +4

    Ukewenza una uweza alikia

  • @caritasmushi8896
    @caritasmushi8896 5 месяцев назад +9

    Leyla anajibu vizuri na ni mkweli

  • @alicesamson6316
    @alicesamson6316 5 месяцев назад +2

    😂😂😂hapo kwenye dida

  • @likanari
    @likanari 5 месяцев назад +10

    Leyla mke mwerevu sana❤

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 4 месяца назад

    Dida jamani😅😅😅😅😅😅😅kwanini hakai kwenye ndoa?

  • @mrsmumewangu4907
    @mrsmumewangu4907 6 месяцев назад +4

    Huyo Kaka ako sheikh ubwabwa mpe mtu ukweli Kisha atajua yy chakuchagua na nilichogundua nilikua nahisi leo nimepata ukweri mwanamke anaweza kukuingiza motoni Kisha unaongea kwafuraha unaona umetenda jema nakusema nishawazoea waja utakuja kujibu hayo mbere ya Allah Kuna wangapi wanapitia magumu kushinda ww na wapo pamoja na Mungu dah makonde limeniuzi leo

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 2 месяца назад

      Utalisha watoto wake akiamua kushinda msikitini?

  • @zuenampandeni3347
    @zuenampandeni3347 4 месяца назад

    Ukewenza ni shida

  • @summayessayah8584
    @summayessayah8584 4 месяца назад

    Nimecheka alivyosema atamchagua Didah 🤣🤣🤣🤣

  • @witnessmlay7415
    @witnessmlay7415 6 месяцев назад +2

    Umejibu kiakili sana kwa Dida hapo😂😂

  • @MariamSaid-rk3qx
    @MariamSaid-rk3qx 5 месяцев назад +2

    Kama hawa alimshawishi adamu kulatunda yeye ni nani? Tumuombe mungu atusamehe kwaKweli

  • @zenasalum2231
    @zenasalum2231 5 месяцев назад +7

    Usipende kuzungumzia mabaya ya mtu alokufa unapata dhambi samehe nawe utasamehewa unapenda sana kumuongelea

    • @bintmrisho3526
      @bintmrisho3526 5 месяцев назад +6

      Hajamsema kwa mabaya

    • @Thisisgrace979
      @Thisisgrace979 5 месяцев назад

      Yani Kuna watu sio waelewa kabisa.​@@bintmrisho3526

    • @nashnene6326
      @nashnene6326 5 месяцев назад +6

      Uzushi huo na majungu! Wewe ndio unae mzungumzia vibaya

    • @queenmichael5319
      @queenmichael5319 5 месяцев назад

      Lakini na yeye ameolewa mke wa pili

    • @halimatutupa3149
      @halimatutupa3149 4 месяца назад +2

      Mbona makasiriko nduguyo nini hajamsema bibi waswahili tunakwambia sikiliza maneno😂😂😂

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 5 месяцев назад +15

    Uke wenza ni Kaz nyie asikwambie mtu,,,,namuelewa sana leila😢

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 5 месяцев назад +1

      Mungu atuepushie aki😂😂

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 5 месяцев назад +2

      Tena ni dhambi.
      Mungu alimuumba mme mmoja na mwanamke mmoja tu.
      Mengine ni tamaa ya mwili na pupa ya ngono.
      Acheni kuchangia ngono ni uchafu mbele za Mungu.
      Mungu hapendi kuona watu wake wawe na uzuni.

    • @kissamwamunyange1018
      @kissamwamunyange1018 4 месяца назад

      Uke wenza ni mzuri haswaa. Yaani wewe UKIONA mwenzio ana mdomo wewe kazi yako kukaa kimyaa tuuu. Yaani wewe zidisha ibada dharau Kwa kila kitu

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 2 месяца назад

      @@kissamwamunyange1018 hayajakukuta shoga😥 uke wenza usikie tu huko

  • @marymsito7607
    @marymsito7607 2 месяца назад

    Nimecheka kwa nguvu aise unamchagua dida kwasabu akai kwenye ndoa

  • @fauziasultanikilewa7602
    @fauziasultanikilewa7602 5 месяцев назад +3

    Huyu na dida tena😂😂

  • @marymbogamboga8364
    @marymbogamboga8364 6 месяцев назад +1

    Sidaa kuna ujumbee wako hukuuuu😂😂😂😂😂 nimejikuta nacheka kwa nguvuuuu😂😂😂

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 6 месяцев назад +8

    Interview pambe hatar asante mtoto wa Sakina waliyoka kwa kipindi kizuli

    • @reytox
      @reytox 6 месяцев назад

      Asantee sana

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 5 месяцев назад +1

    Reytox una macho mazuri na kadomo kako kazuri na kamwanya😂

  • @HabibaHassan-t2u
    @HabibaHassan-t2u 5 месяцев назад +3

    Hapo kwa dida leila😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 5 месяцев назад +1

      😂😂😂😂😂😂nmecheka mno😂😂😂

  • @AsiaSaleh-c4l
    @AsiaSaleh-c4l 3 месяца назад

    Ila Leyla didaaaaa

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 5 месяцев назад

    Huyo kaka akoo hajui dini

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 5 месяцев назад +2

    Ndiomana Leyla haachwi na mzee Yusuf anajielewa sana

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 5 месяцев назад

    Me nampenda huyu dada nyie hata bila kuimba me nampenda tu alivyo anavyoongea na anaonekana ni mtu mwenye roho safi

  • @ARAFATVSHOW
    @ARAFATVSHOW 4 месяца назад

    😂😂😂😂😅😅😅😅

  • @azizirania400
    @azizirania400 4 месяца назад

    Wee nawe wamchokonoa mwenzako,si ameshasema hataki kumuongelea marehemu😏

  • @Zainab-r8v1t
    @Zainab-r8v1t 4 месяца назад

    Sijui kesho mbele za Allah SW utasemaje???

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 5 месяцев назад +1

    Hahaha umejua kutuchekesha malkia

  • @rosemarykipesha4242
    @rosemarykipesha4242 4 месяца назад

    Mtu huyu mkweli

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 6 месяцев назад +3

    Jibu kwa didaa😂😂😂😂
    Hatari

  • @KhadijaMzuri
    @KhadijaMzuri 5 месяцев назад +1

    Kumbe leyla umeisha zowea waume zako ww ni wenye pesa tu

  • @salhawaziri1668
    @salhawaziri1668 5 месяцев назад +1

    Sasa hilo shungi au kizibao ?

  • @mercynadia3140
    @mercynadia3140 5 месяцев назад +4

    Nampenda Leyla kufa

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 5 месяцев назад

    Inna Lilahi Wa Inna Ilayhi
    rajiuun...huu msiba
    yaani unamshawishi aendelee kufanya maasia
    kwa ajili ya manufaa ya kidunia, hakika
    Allah awaongoze nyinyi
    pamoja na sote

  • @ShemsaKiobya-x8h
    @ShemsaKiobya-x8h 5 месяцев назад +1

    Acheni kumuongelea marehemu mbona ni kitambo amekufa

    • @nashnene6326
      @nashnene6326 5 месяцев назад +1

      Na wewe kitulize hukoo, kufa kupo lkn duniani aliishi haiwezi futika hiyo

  • @alsam4881
    @alsam4881 5 месяцев назад

    Interview ni nzuri ila inapofika dakika kama ya 35:25 kuna makelele yanasikika ya kupigwa nyundo kwa nyuma, kwakweli inakera sana.

  • @SalmaSheha
    @SalmaSheha 6 месяцев назад +9

    Tatzo ww lela hujielewii kunatabu zaid yamoto wamung ww hujielew unamtia mwezio mattzoni uyokakaoko ndohajui mungu wala dini mtu mwenyedin atakwambia urud kwamziki hujielew lela hiiduniya achana nakuwapoteza watu

    • @AishaOmaromar-w2t
      @AishaOmaromar-w2t 5 месяцев назад +5

      Sasa we ndio wajielewa sana kuliko wengine nyefu

    • @salemarahbi9171
      @salemarahbi9171 5 месяцев назад +3

      Hivi ww umekamilika waacheni wajitafute riziki..Tatizo waislam mnaipa sana uzito dini ndiyo maana masikini

    • @halimashaban7637
      @halimashaban7637 5 месяцев назад

      😂😂😂​@@AishaOmaromar-w2t

    • @AishaOmaromar-w2t
      @AishaOmaromar-w2t 5 месяцев назад

      @@halimashaban7637 🤣Yani nyani haoni kundule

    • @halimashaban7637
      @halimashaban7637 5 месяцев назад +1

      @@AishaOmaromar-w2t ndio maanake. Anatoa uchafu kwa jicho la mwingine ilhali hajioni jicho lake

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 5 месяцев назад

    Huyu mama iblis kwelkwel 😢

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 6 месяцев назад +1

    Leila ww Mwanamke wa Kiislam, kuacha minywele wazi ndo nini? Hovyooo!

    • @HadiaAme-x5f
      @HadiaAme-x5f 5 месяцев назад

      Uislamu sio jina ni tabia zà kiislamu huyo hana kabisa uislamu si masihara hata kidogo

  • @mrsmumewangu4907
    @mrsmumewangu4907 6 месяцев назад +1

    Mh ulianza kuchononolewa ukiwa mdogo mno miaka 16 hao wazazi wk walizidi duh

    • @fettymilly7664
      @fettymilly7664 6 месяцев назад +3

      Mbna yeye kachelewaa sanaa😂😂😂😂😂😂

    • @ElizabethWamcha
      @ElizabethWamcha 6 месяцев назад +2

      Kajitahid watu wameanza na miaka 10 qta ungo qwajavunja wamevunjwa kilazima na mijamqa yenye uchu😢

    • @munirahassan5969
      @munirahassan5969 5 месяцев назад

      Kauri gani iyo

    • @africa7479
      @africa7479 5 месяцев назад +2

      16 mdogo vp vitot vinavyojiuza vya miaka 10 si bora yeye aliolewa wew vip ulitaka azini mpaka afkishe miaka 40

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 5 месяцев назад

    Mtihan huu
    Allah alimvua kwenye maovu wewe ukamshawishi arudie??
    hakuna mkamilifu
    Allah anasamehe madhambi yote
    hamjachelewa kutubia
    hivi ukifikwa na mauti
    sasa hivi huo mziki
    uakusaidia nini huko
    akhera?? unakoka moto
    wa kwenda kuingia mwenyewe

  • @amina-st4ol
    @amina-st4ol 6 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤❤❤

  • @zeyanaalhabsi8636
    @zeyanaalhabsi8636 6 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 5 месяцев назад +1

    ❤❤️❤️

  • @AshuraMnubi-qe4vy
    @AshuraMnubi-qe4vy 6 месяцев назад +1

    ❤❤