MUME AMTESA NA KUMTELEKEZA NA WATOTO NANE (8)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 авг 2022
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

Комментарии • 96

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Год назад +4

    Subhaana لله Husseen mwinyi mtizame huyu mama. Kesho الله atakulipa.

  • @bintmuhammad4913
    @bintmuhammad4913 Год назад +3

    Pole kwa mtihani. Allah akufanyie wepesi

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 Год назад +5

    ujue kuna waume na magume ,.mume wa kweli.hatelekezi familia yake hata kama akiwa ameachana na mke Mume ni Lazima ahudumie watoto wake lakini mijitu mengine Mishenzi tu

  • @hadharaalli5201
    @hadharaalli5201 Год назад +4

    Waume muzadhima Mbele ya mungu kwakweli daah pole mwanamke mwenzangu inaumaaa sna usikate tamaa mungu anakuonaaa atakupa faraja in Shaa Allah

    • @khatibabass3106
      @khatibabass3106 Год назад

      Hawa ndio wale waliochagua wanaume wao wenyewe wamechagua masharo baro halafu wanatuletea matangazo yakikukuta mnaanza maneno

    • @mtumwajuma3906
      @mtumwajuma3906 Год назад +5

      @@khatibabass3106 khatibu nakuit x2 hii dunia kila 1 na matatizo yake usione wewe unauwadilifu na mkeo omba mungu uwe hai ili utunze familia yako ili mkeo asije kuwa mjane na ukamuwache watoto

  • @mwanaidatkhamis5310
    @mwanaidatkhamis5310 Год назад +4

    Pole Sana mama angu dah wanaume watu wabaya mtihani Allah akupe subra

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 3 месяца назад

      Sio , kweli mtu yyte anaweza kuwa mbaya àwe mwanamme au mwanamke inategemea na alivyo mtu

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 27 дней назад

    Allshu akbar allah atutie nguvu na tuweze kumangalia mama huyu inshallah

  • @qurankareem2275
    @qurankareem2275 Год назад

    Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi aliekuwa na nia ya kutoa kikwazo kikawa kipato au mazingira, Ampe moyo wa kutoa maisha yake yote DUNIANI na Akhera , na Amjalie wepesi wa kipato na mazingira ya kutoa Maisha yote hadi siku ya kumfisha, NA ili Nafsi yake iridhike, AMIN

  • @MariyamusefukhamissiMariyamuse
    @MariyamusefukhamissiMariyamuse 2 месяца назад

    Subhannal-llah ya Rabby tuweke wepesi tujalie moyo wauruma

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Год назад

    Ma sha allah wtt 8
    Allah awabariki na awahifadhi
    Kiongozi wa nchi msaideni huyu mama ajengewe vyumba 3 aushi na wanae ajistiri viongozi mnawajibika mjiandae na majibu ya kumjibu allah siku ya kuhukumiwa watu

  • @AIFOSMUGOTV
    @AIFOSMUGOTV Год назад

    mimi sina cha kuwapa watu kama hawa ila nawaombea Alah awasaidie...Allah awape umri muzidi kuwasaidia watu kama hawa....aaamiin

  • @alisuleiman1528
    @alisuleiman1528 Год назад +1

    Pole Allah akufanyie wepesi

  • @zainabuali9915
    @zainabuali9915 Год назад +1

    Allah atkfanyia weps in shaa Allah

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 Год назад

    Allah ni mwingi wa rehma jamani jamani tujifunze katika maisha yetu wenzetu wanaishi maisha magumu

  • @saidjunior5247
    @saidjunior5247 Год назад +4

    Umr uwoo watoto nane duh il allah akusaidie

    • @Awatee
      @Awatee Год назад +4

      ALLAH amuekee wawe wema

    • @AliNassor-qt6fm
      @AliNassor-qt6fm 21 день назад

      Ttzo wapemba tunazaa bila ya mpangili

    • @Humble.....
      @Humble..... День назад

      @@AliNassor-qt6fm Somo MUOGOPE ALLAH….

    • @AliNassor-qt6fm
      @AliNassor-qt6fm День назад

      @@Humble..... Uzazi wa sio Haram katika dini

  • @waheedaw1953
    @waheedaw1953 Год назад

    SUBHANALLAH ALLAHU AKBAR
    MUIJULISHE SEREKALI INAUWEZO KIYASI CHAKE

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Год назад

    Mwanamke mzr ma sha allah
    Allah akujaze subra

  • @hafazstanzania5577
    @hafazstanzania5577 Год назад +1

    Pole sana ila jamani kuna uzazi wapango leo hii kam hivi unazalilika na watoto

  • @alafasyquran9806
    @alafasyquran9806 Год назад +1

    Assalam alaykum Allah akufanyien wepsi

  • @aseahassn88
    @aseahassn88 Год назад +1

    inasikitisha sana Jamani

  • @hafazstanzania5577
    @hafazstanzania5577 Год назад +2

    Mwanamke mzur 😍

  • @user-ur6zr7wc8n
    @user-ur6zr7wc8n Год назад +2

    subuhallah

  • @imranmahmoud1012
    @imranmahmoud1012 Год назад

    Waza kufanya biashara Kwanza uweze kuhimili kulea watoto wanaokuja kutaka kukuowa kwa Sasa anataka tu kutumiza matamanio yake Allah akutie nguvu mama inshallah

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Год назад

    Mtihani mkubwa huo mwaname anakuwachiya watoto bado mdongo huyo mama watoto wanaume kweli hawatutaki hii mtihani mungu atasaidia ishaalah

  • @user-iy7xy1np7c
    @user-iy7xy1np7c 18 дней назад

    Mtu wewe masikini uwezo huna unaenda kuoa wake watatu duh !! .Huyu m.mme kweli selfish , dada zanguni kweli munapenda kuolewa lakini jaribuni kuwaangalia na hao wanaume wanaowataka kuwaoa

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Год назад

    Mtihani

  • @pilykingo
    @pilykingo Год назад +3

    Inaskitisha Sana ALLAH سبحانه وتعالى Atamfanyia wepesi . Uzuri umewavutia lakini watoto wamewatelekeza . Tupo pamoja nae In Shaa ALLAH. Sasa hizo namba ni ipi ya bi Bahati ?

  • @user-pk8bp7th9e
    @user-pk8bp7th9e 3 месяца назад

    Mbona mdogo ana watoto nane

  • @wahidahamadali2563
    @wahidahamadali2563 Год назад

    Mzur huo mama maskin

  • @alafasyquran9806
    @alafasyquran9806 Год назад +4

    nahitaji nambar ya simu ya Bibahati nimeguswa san nahil jambo

    • @mtumwahaji3194
      @mtumwahaji3194 Год назад

      Hee utamsaidia sana ukimuoa mungu atakulipa

    • @alafasyquran9806
      @alafasyquran9806 Год назад

      @@mtumwahaji3194 inshaallah nipatie maasilian yake ili tuwez kumsaidia ple tutapojaaliwa

  • @machetebogota4218
    @machetebogota4218 Год назад +1

    Yote Sawa lakn c kuzaa huku unashindwa ata kutumia tareh kwel
    Tafut biashara basi ufanye zungusha hata matunda barabarani na maisha yataenda

    • @zainabmohammed6700
      @zainabmohammed6700 Год назад +3

      Mh so maneno ya kumwambia ayo km ,,,,,s kuzaa huku,,, hapan ndo kajaaliw uzazi hujuw yup atamfaaa tumuomb mung amfsnyie wepesi apate sehem y kukaaa astrike n watoto wake

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 Год назад +1

      Si wote wanaelewa unachokielewa azungushe matunda anayapata wapi?unadhani mtu km huyo akipata mtaji hafanyi biashara??au unasema tu ww ah! Ama kweli mzigo wa mwenzio ganda la usufi

  • @talibanalshabab3680
    @talibanalshabab3680 Год назад +1

    Mm uwezo sina rabda nikuoe tulee watoto wetu

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d Год назад

      Nijambo la kher Mwenyeez Mungu atakulipa kwasababu utakacho kipata hata kama kidogo mwanamke anaridhika baadhi ya wanaume hawajui mke anahitaji nini mwanamke anahitaji furaha ikiwemo maneno mazuri wanaopenda pesa ni wachache

  • @mussamc641
    @mussamc641 Год назад

    Da mm mwanamme lakin kutelekeza dam yangu ..nafsi itanisuta kila mda yaan mtihan kwakwel

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Год назад

    Ommy Dimpoz na Diamond tunawalaumu Kwa kuwakataa Baba zao kwakuwa hawakuwajali wakiwa watoto, lakini tukiwaangalia hawa kwakweli unakubaliana nao kabisa kuwakataa!!

  • @khumayraabdulla96
    @khumayraabdulla96 Год назад

    Jamani huyu mama ameishiaje habari yake

  • @abdulfattaah4510
    @abdulfattaah4510 Год назад +4

    أيها الرجال اتق الله تعالى وعدلوا بين أزواجكم
    وعاشروهن بالمعروف والله إنكم محشورون يوم القيامة وسوف تسألون يوم القيام كلكم راع وكلكم مسؤولون عن رعيته
    ولذلك أوصان الله بالأولاد قال الله يوصيكم الله في أولادكم

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx 3 месяца назад

    Matunda ya ccm ndio haya watu wanaishi maisha yatabu kutokana nautawala wakidhalim mbovu wakishezi

    • @user-iy7xy1np7c
      @user-iy7xy1np7c 18 дней назад

      Duh wewe kweli huna akili. Kwahiyo CCM ndo ilomfanya awe na watoto 8 ,uzazi wa mpango ni muhimu acheni kulaumu wengine kwa makosa yenu

  • @TheFire_Gamer
    @TheFire_Gamer Год назад

    Maskin wee bado mama mdogo

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 Год назад

    serikali banah nyie munawapata vipi na munajuwaje watu kama hawa ata serikali haiwatafuti hatuna viongozi tanzânia

  • @abdulisaidi6677
    @abdulisaidi6677 Год назад

    Dah jam wasaidie awo w2 mm hp natok machoz jis nilivyo waon haw

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 Год назад +1

    Mambo km haya Allah ana chukia km mutamsaidia asaidiwe kimwa bila maonyesho ktk mitandao na Maredio Tukisaidia Wanyonge Tusaidie kwa utaratibu aliotufunza Allah Ili tupate Radhi zake

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 Год назад +1

      bila ya kutangazwa wewe ungeyajuaje haya

    • @chudimasoud9604
      @chudimasoud9604 Год назад

      Usiwe mjinga fuatiia madrasa vizuri Babu aya inasema kwa siri na dhahiri bila kuonesha tungejuwaje na watu wngepata vipi kuchangia ,inatakiwa ujuwe lipi lenye manufaa kutangaza sio dhambi ,

  • @imranmahmoud1012
    @imranmahmoud1012 Год назад

    Halafu binti mdogo Bado sema tu kazaa haraka haraka

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 Год назад

    😪😪

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Год назад

    Huna pesa kwnn unaoa tn unao wake wengn duu

  • @maryamalli9090
    @maryamalli9090 Год назад +2

    Tatizo alfattah hamuweki hizo namba za kuwasaidia wanyonge? Sasa tutawapata vipi wekeni namba kwenye screen ili tutoe chochote

    • @husna34562
      @husna34562 Год назад +1

      Namba hizo zatembea kwa screen

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 Год назад

      @@husna34562 hizo ni za benk au mtandao gani tujuulishe basi

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 Год назад +1

      @@maryamalli9090 kuna mpesa ..tigo na no za kawaida ...sio zote za bank angalia vizuri

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 21 день назад +1

    Wapemba tuzae kwa mpangilio , uzazi wa mpango unaruhusika katika dini

  • @khamissalum9285
    @khamissalum9285 Год назад

    Shida unampataje huyu

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 Год назад

    wewe sio mjane maana yupo hai isipokuwa wanaume tamaaa za utupu tu kuongeza wake mwisho ww siku ndooo hayo yanawashinda

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 Год назад

    Hii chanel mbona hajibu inavyoulizwa

  • @muyaomar5617
    @muyaomar5617 Год назад +1

    Nipo tayari kuowa ikizidi dadayangu mkuu

    • @zaibonge7867
      @zaibonge7867 Год назад +3

      Sio tu unataka kuoa utatimiza huduma za watoto hao ... Kama kweli unania ALLAH akufanyie wepesi InshaAllah

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 Год назад

      Tatizo sio kuoa tatizo huduma kaka yangu watoto nane hao sio mchezo Wala lele mama

    • @husna34562
      @husna34562 Год назад

      Aramfungulia biashara wasaidiane

  • @bahatinassorali5222
    @bahatinassorali5222 2 месяца назад

    Heee subhanallah Bora ninyamaze maisha magumu watoto nane heeee nane 😮

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 Год назад +1

    watoto 8 na bado unataka kuolewa wakati mwenye watoto kakukimbia nani ataweza hiyo shughuli sio mchezo wa ulezi

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 Год назад

    Asidanganye watu aache tabia mbaya ,anawakataza waoto wasiende kwa baba zao anawakumbatia wala hawawezi anakumbatia kiburi ,mdomo uache na usipoangalia utaziniwa sanaaaaa .wanawake acheni ujuaji mkiambiwa mnaweza mnaona sifa wale wanaokitieni ushetani hule wameshalaaniwa haitaji mume wala nn we we unamfata unaangamia

    • @Awatee
      @Awatee Год назад +2

      Jirani yak unamjua ndugu wanaume wengi hawapendi huduma uo ndio ukweli wanawake wanavumilia mengi ten wengine wamo kwenye ndoa na hawatoi huduma

    • @khatibabass3106
      @khatibabass3106 Год назад

      @@Awatee soma maelezo yake utakuta nimuongo ,wanaume wawili wote wamtende ? Huyo anatabia chafu

    • @ramlaali4130
      @ramlaali4130 Год назад +1

      Omba yasikukute

    • @aishachambo8663
      @aishachambo8663 Год назад

      @@khatibabass3106 Wanawake wa huko wajeuri sana

    • @madinamashaalla649
      @madinamashaalla649 Год назад +1

      au ndoo wewe mwenye watto maana unaongea kwahasira bilahuruma kamavile wewe ndoo mwenye mji ulie terekeza

  • @zulfaissa7814
    @zulfaissa7814 Год назад

    Nikweli unashida lakin siamin kamakweli mme akwambie nakuacha kwaajili ya shida tatizo kunabaadhi yawanawake wanamidomo sn hd waumme wanawakimbia baadhi yatime wanaomba taraka wenyewe nabadaae wanaanza shida

    • @zainabuali9915
      @zainabuali9915 Год назад

      Huwez kuamin kam hyajkufik tuombe salam in shaa Allah

    • @khatibabass3106
      @khatibabass3106 Год назад +1

      Huyu huenda mdomo ulimponza wanaume sio rahisi kuamkatili hivyo hasa kwa watoto ,mdomo unamponza au kuna makubwa anafanya huyo

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 Год назад +1

      @@khatibabass3106 usihukumu kitu usicho kijuwa broo mama ana mdomo watoto wake je ? Wana nini na hakuna anosemea kichogo kila mtu mdomo anaonlabda Allah alompa ulemavu

    • @madinamashaalla649
      @madinamashaalla649 Год назад

      inaonekana wengine munaojibu yasiyo ereweka wala yamsingi hamujaingia kwenyendowa mkayajuwa mazuli yaliyomo au mabaya yaliyomo ndoomaana minaongea bilahuruma kwanilipi laajabu kwamwanaume kwamba anaweza kuogopa kumwambiyaa

    • @utandachake6134
      @utandachake6134 Год назад

      Anyi binaadamu tukumbukeni wacha wa ugumu wa maisha bado zamana ya watoto hawo inabaki kwako jee unajitayarishaje ma majibu kwa allah zidi maonevi ya vizazi vya wenzeni

  • @fundiissa5226
    @fundiissa5226 Год назад +1

    Wekeni namba niwatumie prsa

    • @husna34562
      @husna34562 Год назад +1

      Kwa screen zatembea

    • @mohamedsalimsuleiman7014
      @mohamedsalimsuleiman7014 Год назад +1

      Pole sana dada yangu , binadamu tunakua na dhana ila mwenyezimungu amesema tujiepushe na dhana usimdhanie mtu ubaya ambao hajaufanya kama kama una nia ya kumsaidia msaidie tu

  • @thabitikimu3892
    @thabitikimu3892 Год назад

    Kwann ufikie huko na wakati baba zao wapo
    Unawatia uadui watoto na baba zao ebu alfatah fuatilieni hao baba wa watoto pia tuwasikie wanasemaje
    Huwezi mwanamke kuachwa bure kuna shida hapo mume wa kwanza kakuacha na pili pia kakuacha !!!
    Jitizame kwanza

  • @mussamc641
    @mussamc641 Год назад

    Da mm mwanamme lakin kutelekeza dam yangu ..nafsi itanisuta kila mda yaan mtihan kwakwel