MUUZA SAMAKI ANUSURIKA KUUWAWA ZANZIBAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 май 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

Комментарии • 299

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 20 дней назад +11

    Hasbunallah waniimal wakiil. Hasid huyo. Allah amuadhibu na yeye hapa duniani na kesho akhera. Amiin yaa rabb

  • @user-up2kg1wm9p
    @user-up2kg1wm9p 18 дней назад +6

    Polee Fatma. Mwenyezimungu. Akufanyie shifaa upone haraka

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 19 дней назад +16

    Subhana Allah zanzibar inaogopesha ukenda serekalini hakuna haki watu hawana imani kuzulumu kwenda mbele mmeijaza watu halafu hamuwawezi

    • @SuleymanSaid
      @SuleymanSaid 17 дней назад

      Tumechanganyika na Ugeni hp kikifanyika kitu wale wageni ndo wanatuharibia ashv so kama zamani kusameyana kwa nn ?

    • @user-iw4ym5lt4s
      @user-iw4ym5lt4s 10 дней назад +1

      Ilo kweli wanyamwez aooo wanatuharibia Zanzibar yetuu lkn subr soon tuu kitatbulika watarudi kwaooo mnyamwezi yasitutie ila mbaya mashenz ayoo hakuna Mzanzibari mwenye roho km ioo waondokeee wanyamwez

    • @SuleymanSaid
      @SuleymanSaid 9 дней назад

      Umeona Eeeee wageni hao wanao ingia kutoka Bara

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 4 дня назад

      Anza kwanza kuwatoa wazanzibari waliokua bara kisha nawanyamwez ndio waondoke alafu zenji kunabakabila yakutoka bara mengi lakin mnawasakama wanyamwez peke Yao kwahiyo waondoke wanyamwez hao wengine wabaki? Waambien ndugu zenu walioko bara warudi kwanza naona umejisahau kama nanyie mpo kule ovyoo dhambi yaubaguz itakumaliza wewe roho chafu acha itakupeleka jehanam yamoto maku wewe msengerema wewe naunanyegezi wewe

    • @user-ff7hl3mh3h
      @user-ff7hl3mh3h 2 дня назад

      Inaogopesha koz of uingiaji wa watu tofauti,

  • @safiasaleh215
    @safiasaleh215 День назад

    Pole sana mdg wang. Allah ndie hakim wa haki ,halali wala hasizii, allah atakuponesha mdg wng

  • @user-hm5jl1kh2t
    @user-hm5jl1kh2t 20 дней назад +8

    Pole sana ni hivi alivyo fanyaa afanyiwe mana muoshwa huoshwaa hamna kufungwaa Ni maji ya moto tu naye yanamuhusu tena Yale ya kuku asaa

  • @KhadijaSalum-nf5mf
    @KhadijaSalum-nf5mf 20 дней назад +10

    Subhanallah Allah atakuaff huyu mmasai mshenzi mkubwa

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 20 дней назад +6

    Subhanallah mtihani gani huo kutaka kumuua mwenziwe kwa roho mbaya wallahi na yeye musimuache salama huyo ni muuaji loooh 😭😭😭😭😢😢

  • @user-wl4yo4zp9t
    @user-wl4yo4zp9t 20 дней назад +9

    Mungu amjalie apone

  • @ZahraAlly-wq4ku
    @ZahraAlly-wq4ku 20 дней назад +10

    Kuna Binadam Wanarombaya Zaid ya Wanyama wakali Dah Allah Atujalie salama Na Uyo Alietaka Kumuua mwenzake achkuliwe sheria Kali na yeye

  • @user-cj2kl7cd9k
    @user-cj2kl7cd9k 20 дней назад +4

    Pole sana dada ALLAH akufanyie wepesi upone kwa haraka maumivu ya moto unayopitia nayahisi dah

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 20 дней назад +12

    SUBHANAALLAH jaman mbna binadamu tumekuwa na roho mbaya hivi roho chafu 😢😢

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 20 дней назад +5

    Subhannallah.
    Wanawake ni mama zetu nao wamemiminiwa huruma asilimia 75
    Katika ubongo wao wakati sisi wanaume tumepewa asilimia 25 tu.
    Iweje tena uxanyike ukatili kama huu. Nahisi pans kitu nyuma ya pazia sio kesi ya viatu ambsya ameshalipwa pesa zake.
    Turudi kwa Allah tupendane. Tusameheane na rusaidiane.
    Hasira ni hasara sasa mtuhumiwa yuko ndani na pengine afungwe.
    Na usingizi ataukosa huyo.

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 19 дней назад +3

    subhanallah, wanawake wamefikia hatua hiyo sasa!
    allah akujalie shifaa dada pole na stahamili na mitihani.

  • @SurprisedOmbreSky-qg6dk
    @SurprisedOmbreSky-qg6dk 20 дней назад +5

    Allah amjaliyee shifaa mgonjwa.

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 19 дней назад +2

    Hasbiya Allah Waneema Lwakil..Pole sanaa Dada na wazazi pia..HUYO ni MUUWAJI AKAMATWE.yakizidi angesema YAAMULIWE

  • @aliissahaji33
    @aliissahaji33 20 дней назад +17

    Kesho kutwa anatoka huyo, tunaomba mtuletee muendelezo wa hii kesi isiwe hapo tuu, maana Zanzibar tunaijua

  • @user-eo1xv9ki7l
    @user-eo1xv9ki7l 18 дней назад +4

    Polesana bifatma mungu atakuponya

  • @user-pl8qx6xx1y
    @user-pl8qx6xx1y 19 дней назад +2

    Pole sana mama Allah akujaalie upowe na akupe afya njema

  • @seifmsabah4384
    @seifmsabah4384 20 дней назад +4

    Pole sana ndg yang Allahah atakuafu ishaa Allah

  • @MwanahamisiAlly-yx2tt
    @MwanahamisiAlly-yx2tt 6 дней назад

    Pole sana Allah atakuwafu inshaaAllah.

  • @user-fh4cf6qx9u
    @user-fh4cf6qx9u 18 дней назад +2

    Hata kama ingelikuwa Ana hatia kiasi gani jmn sheria zipo. Mbali zaidi sisi n wanadamu tuoneane huruma jamani. Dada pole sana Mungu akuponye jmn

  • @rayouaabdallah1394
    @rayouaabdallah1394 10 дней назад +1

    Unaungua kidogo tu wakati unapiga maumiv makali jee ivi mgongo wote jamani 😢😢 na yeye amwagiwe maji tu ya moto kisha kesi endelee mana alidhamiria kuuwa uyo asiachiwe kifungo cha maisha afungwe

  • @SoudShuraim
    @SoudShuraim 19 дней назад +6

    Mwanamke mshenz sana tena afungwe jela

  • @thedon8467
    @thedon8467 20 дней назад +5

    SUBHANALLAH uyo mama na yeye afanyiwe ivo ivo

    • @user-pw2dv9fr6r
      @user-pw2dv9fr6r 20 дней назад +2

      Hata mm naomba patelekwe maji ya moto na yy amwagiwe tuone Kuna mtu mwengine atamwagia mwenzake maji ya moto ujinga tu ,binadam gani wasosameheana ilhali kila siku tunamkosea mungu na anatusamehe

    • @balqisabdullah6200
      @balqisabdullah6200 3 дня назад

      Afanyiwe ivo ivo wala asipewe tibaa mpaka afeee.

  • @user-nc4ko3qz7t
    @user-nc4ko3qz7t 19 дней назад +2

    Innalillah wainna ilaih rajiun😢😢😢😢dunia yet hiii ila afungw asitoke maisha

  • @user-wl8ng3pj5r
    @user-wl8ng3pj5r 18 дней назад +2

    Tatizo ndugu zetu wa damu Zanzibar haikuwa hivi tukisema tunaambiwa wabaguzi

  • @user-ko6lg9tw6w
    @user-ko6lg9tw6w 13 дней назад +1

    Maskin wee Allah atufanyiye wepes ishallah atapona kipenz znz njema atakae aje

  • @lastborn7810
    @lastborn7810 19 дней назад +2

    Hasbiyallah mungu atakuhukumia wamasai mbwa

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 9 дней назад

    Pole sana, Mwenyezi Mungu akuponye insha Allah 😭

  • @user-st2ig6ds3f
    @user-st2ig6ds3f 13 дней назад

    Subhanallah 😭😭allah amjalie shifaa inshallah

  • @user-ks6wj1uf9k
    @user-ks6wj1uf9k 19 дней назад +2

    Nae akamwagie tu hili dada lina.rohombaya sana sna sana asa so mtu asa

  • @nassornassor3417
    @nassornassor3417 19 дней назад +2

    Huyo dada ashura namjua ana roho mbaya Sana huyo namjuwa vizur achukuliwe hatua Kali Hana ubinaadamu

    • @mariashilinde291
      @mariashilinde291 18 дней назад

      Hv huyu ashura jmn ananini lkn, ni mbara au mzanz

  • @user-sx9hz2xq8o
    @user-sx9hz2xq8o 19 дней назад +3

    Jamni hiyo tena deni tu mbona tunaonesha filam wnatufundisha nn ss hayo machafu au hasira je watt wetu wachujue mifano gani wakidaiana na watt si wanayaona hy jamani bora tukiwa n jambo vyombo vya sheria vipo subhannallah Allah atuhifadhi na shetani mbaya wa namna hii na hasira ni hasara

    • @khamishassan4807
      @khamishassan4807 17 дней назад

      Subhnanallah,Allah amjaalie afya njema aamyin,poleee yke mgonjw

  • @user-ny2fu8bu2u
    @user-ny2fu8bu2u 19 дней назад +1

    Pole sana ndugu yangu

  • @user-hk2oz2eg4j
    @user-hk2oz2eg4j 19 дней назад +2

    Duh! Huyo ana roho mbaya kuliko hata nyoka anaemgonga mtu kisha kumuacha afe.

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 15 дней назад

    Subhanallah jmn wanawake wanachuki mbaya sana hawana uvumiliv sivi tunavotakiwa tuishi kusameheana ni jambo Muhim sana na inaleta upendo na huruma Leo elf 6 umesababisha milioni 6 gharama yake.

  • @Lucylukasy
    @Lucylukasy 11 дней назад

    Mmmmh pole San dada mungu atakuponya 2🎉🎉🎉

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 20 дней назад +4

    anafaa kufugwa hata myaka 20 au zaid

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 20 дней назад +1

    Subuhanallah. .mtihani huyoanarohombaya. Tatizo nini mpakaatake kumquat mwenzie jamani poleni sana inauma

  • @pillykinabo8722
    @pillykinabo8722 15 дней назад

    Pole sana dada Mungu atakuponya

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 16 дней назад

    Pole sana dada naomba Mungu akuponye haraka

  • @aseelaisaa428
    @aseelaisaa428 20 дней назад +3

    Serikali ichukuwe hatuna Kali sanaaaaaana.duhhhh.unyama wa mwisho

    • @MashaMbwana
      @MashaMbwana 19 дней назад +1

      Huyu afungwe tu tena miaka ata 10 na akitoka asafiridhwe kwao tu asiikanyage tena Zanzibar 😢

  • @zukhannassor1346
    @zukhannassor1346 16 дней назад

    Mtihan kwakweli Allah atuongoze atupe imani ihsani na huruma atuondolee miyoyo ya kinyongo na chuki atujalie upendo Yarabbih tusalim salama 😢

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 18 дней назад +1

    Mimi naona sio deni tuu kuna kisasi alio kuwekea huo mama na malipo ni hapa chini ya dua

  • @omanmct135
    @omanmct135 18 дней назад +1

    Subhanallllah hatari sana

  • @mariammariam5723
    @mariammariam5723 16 дней назад

    Pole sana dada .uyo mualifu afungwe

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 18 дней назад +1

    Wenye Ndugu Mtu Kama Uyo Dawa Moja2 Kummaliza Kwa Sitahili Yeyote Ile Afai Kabisa Kuonekana Na Familia Nzima Ikiwa Mnajua Faida Ya Familia Yako Bila Kujali Wewe Nani Lakini Familia

  • @EddahBure-te7ft
    @EddahBure-te7ft 18 дней назад +2

    Hapo kuna mambo nyuma ya pazia bana

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 18 дней назад +1

    Wazanzibar hakuna tabia hio yakutaka kutoana roho kawa pesa ndogo

  • @fahadthereal23
    @fahadthereal23 17 дней назад

    Kila kitu ni mungu ndio anapanga..inshallah mungu atamuafu..ameen😢😢

  • @laisamaujud1157
    @laisamaujud1157 20 дней назад +1

    Sio kila Tukio linalotokea zanzibar kuwa walio fanya ni wazanzibar hapa na sisemi ivo kuwa wazanzibar hawakosea hapana wao nao wanamazaifu yao lakin tunaposikia habari kama hizo tujaribu kuchunguza kwanza ikisha tuweke mizani sawa sawa

  • @salamasaleh7077
    @salamasaleh7077 19 дней назад +1

    Hatari sana huyo dada hana huruma mbaya sheria ichukue maamuzi afungwe

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 20 дней назад +2

    Wanawake tuna matatizo san wallah ten kalipo na bado anarud ten w mungu wangu w wanawake hao

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 18 дней назад +1

    Subhana Allah

  • @mbaroukhamza8508
    @mbaroukhamza8508 20 дней назад +3

    Sisi wazanzibar roho zetu mbaya sana.

    • @laisamaujud1157
      @laisamaujud1157 20 дней назад +5

      Huyo ni mmasai sio mzanzibar usitutie kwenye roho mbaya

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 19 дней назад +2

      Mbona unakurupuka?! Hebu chunguza kwanza.

    • @Leylah-pz5sc
      @Leylah-pz5sc 19 дней назад +1

      Ni ww tu mzanzibara, kwamba hujasikia alisema yy ni mmasai au?

  • @user-cp1js7ku9r
    @user-cp1js7ku9r 18 дней назад

    Mtihan mungu ampe afuen mgonjwa insh allah hyo msenge alofnya ilo tukio wamfunge t hana binaadamu duh hyo dad simjui ila tukio hilo limenium mnooo 😢

  • @twinkledestar4277
    @twinkledestar4277 19 дней назад +1

    Subhanallah

  • @KhalfanSaid-mo9jh
    @KhalfanSaid-mo9jh 8 дней назад

    Pole sana dada Fatma

  • @UmmaymaSalum
    @UmmaymaSalum 18 дней назад +1

    Uyo akamatwe anyongwe hadharani na km hatofungwa ukipoa njoo nikupeleke sehem nayy akapew lakupewa ateseke nalo looh laanatullah uyo mwanamk mbwa asa kwenda kumtia mwenzak ulemavu wa maisha

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 16 дней назад

    Pole sanaaa hasbunallah

  • @user-uy5ue2tz6g
    @user-uy5ue2tz6g 7 дней назад

    Wabongo waondolewe ni wanyama sana an Zanzibar hakuna Fatima Christina waondolewe wote

  • @user-fh3np5yk9g
    @user-fh3np5yk9g 5 дней назад

    Jaman moto unawasha mm nimepungua kidongo tu na pas zinauma hatar je huyo mgogo mzima je

  • @user-yy2rk4wi3p
    @user-yy2rk4wi3p 9 дней назад

    Poleni dada yetu mwezimungu ame kunusulu kifo😂

  • @KhalfanSaid-mo9jh
    @KhalfanSaid-mo9jh 8 дней назад

    Allahuakbar

  • @MkokotonPale
    @MkokotonPale 10 дней назад

    Pole dada utapona

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 18 дней назад +1

    Sio Kufungwa Uyo Auliwe Tena Kifo Cha Mateso Uyo Amekua Pepo Sio Binadamu Uyo

  • @user-du4yg5cj3v
    @user-du4yg5cj3v 19 дней назад +1

    Muuwaji subuhana llah

  • @user-vl6hd4lb6s
    @user-vl6hd4lb6s 19 дней назад +1

    Pole san dada

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 19 дней назад +1

    Pole Sana dada😢😢😢

  • @NasraHussein-jf5qx
    @NasraHussein-jf5qx 2 дня назад

    pole jamn

  • @claudiangowi9628
    @claudiangowi9628 18 дней назад

    Mungu amsaidie apone maana moto huwa unachoma ndani kwa ndani hilo jeraha ni kubwa sana😢😢

  • @khamisdaima1455
    @khamisdaima1455 16 дней назад

    Mungu ukufanyie wepesi upone

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 19 дней назад +1

    Fatma Charles vs masai, kwanini mlikua na nyinyi mnaona dalili za mauaji hamkupeleka taarifa ktk vyombo vya sheria

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 20 дней назад +1

    Subhanallh

  • @kuntaalkinte5415
    @kuntaalkinte5415 19 дней назад +1

    Mwachie Allah atakulipa

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 19 дней назад +3

    Anyongwe mtu kama huyu hatari kuwa huru wallahi doh😢😢😢😢😢

  • @ummuhassan2268
    @ummuhassan2268 15 дней назад

    Mungu wangu😭😭😭😭 hasidi huyo

  • @KhalidKhan-ud9cz
    @KhalidKhan-ud9cz 18 дней назад

    Pole sana dada

  • @Laizer3
    @Laizer3 18 дней назад +1

    Pole😢

  • @fatumakidoa4006
    @fatumakidoa4006 17 дней назад

    SUBHANAALLAH mbona binaadamu mmekosa utu

  • @saadazubeiry8918
    @saadazubeiry8918 18 дней назад +1

    Me nahisi ipo namba, usikute wameibiana hata na Wana haoo looh kiatu tu ukamkatili mwenzio

  • @MwanaidRamadhan-gt8tu
    @MwanaidRamadhan-gt8tu 15 дней назад

    Huyu alofanya kitendohi chi c mzanzibati n mmasai anaroho ya ukatili anaroho mbaya sn Allah amfanyiyenwepesi amponye

  • @omanmct135
    @omanmct135 18 дней назад +1

    ☝️💔😭

  • @OmarAme-hd3fd
    @OmarAme-hd3fd 19 дней назад +1

    Ifungeni hiyo mama maisha

  • @zahra5267
    @zahra5267 6 дней назад

    Ndio maana wazanzirbari hawawataki washenzi hawa znz kwa mambo kama haya ...haya mambo kwao kitu cha kawaida kuwaana, kuiba.etc..

  • @HamamAli-lu3eo
    @HamamAli-lu3eo 6 дней назад

    Jamani huyo dada na yeye afungwe hata maisha

  • @aseelaisaa428
    @aseelaisaa428 20 дней назад +19

    Masikini jamaniiiiiiii Kuna watu makatili hivi...znz hatukuwa na mambo haya inasikitisha huuu unyama mkubwa Sana Sheria Kali ichukukiwe ili lisitikee Tena tokeo BAYA sana sanaaa serikali isi

    • @wadhhasuleiman2621
      @wadhhasuleiman2621 20 дней назад +3

      Wabongo hao Sio wazanzibar original hapo

    • @SwalafyAct-ks5gz
      @SwalafyAct-ks5gz 19 дней назад +1

      Wabongo makatiki duu wana roho mbaya

    • @zulfahaji91
      @zulfahaji91 18 дней назад +1

      Ndio zanzibar lkn huyu aliemuunguza maji ni mmasai hapa hamna wamasai

    • @zulfahaji91
      @zulfahaji91 18 дней назад +1

      Alieunguzwa pia mbongo. Musiseme znz hamna imani ni wageni makatili

    • @annamussa185
      @annamussa185 18 дней назад

      😂😂😂

  • @user-vj1ek5us4r
    @user-vj1ek5us4r 20 дней назад +1

    Duh huy wa kufungwa jela maisha

  • @user-kq7mp8qz9e
    @user-kq7mp8qz9e 14 дней назад

    Mwanamke kama huyo anaroho mbaya Sana hawezi kuishi kwasalama tena

  • @user-nc4ko3qz7t
    @user-nc4ko3qz7t 19 дней назад +1

    Dhaman yanini ndani maisha

  • @SaidAli-sg1qd
    @SaidAli-sg1qd 14 дней назад

    Pole fatuma christian ronaldo

  • @user-ou2rx7ln4w
    @user-ou2rx7ln4w 17 дней назад

    Akiii pole dada nimetokwa na machozii Allah aku ponye

  • @user-gj2mm3ko8m
    @user-gj2mm3ko8m 15 дней назад

    Mungu wangu.A yule muuaji amejikomoa kabisa

  • @stonetown578
    @stonetown578 19 дней назад +1

    Katili sana mshenzi mkubwa, haki itendeke.

  • @KhalfanSaid-mo9jh
    @KhalfanSaid-mo9jh 8 дней назад

    Innallaha Maaswabirina

  • @user-fd8ce8ct2m
    @user-fd8ce8ct2m 5 дней назад

    Mwenyezi mungu atakulipia 😂 na yeye ndo akili gani iyo imani inatoka

  • @mwalimuali1850
    @mwalimuali1850 17 дней назад

    Zanzibar imekwisha mpaka watu wana cheza disco uchu kama walivyo zaliwa huko paje ndo zanzibar njema atae aje😢

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 18 дней назад

    Inalilah wainailaih hakika Dunia tunapita2 😭😭😭🙏🏼

  • @lizzybrownlizzy6094
    @lizzybrownlizzy6094 19 дней назад +1

    Wanawake ni wakatili sana

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 18 дней назад +3

    WATANGANYIKA HAWANA HURUMA NA IMANI ZAO MBOVU UHUNI NI AMALIZ ZAO MBOVU 😢😢😢😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮

    • @AirfaAirfa-ic8sr
      @AirfaAirfa-ic8sr 17 дней назад +3

      Piga astakafiru watu wote wametok Imani sio mbara wala mzanzibar ukiwa nafsi yako safi basi ni safi basi iwe safi watu Awana imani😢

    • @geey7893
      @geey7893 14 дней назад

      Nyie mnatomba Mikundu ya Watoto mna Imani gani na mashetani yenu😂