Innalillahi wainna ilayhi raajiuun MAA SHA ALLAH kwa kweli Naamin kila anaeitetea jamii kwaajili ya Allah hufanikiwa sana kuipata Pepo huyu sheikh alikua akikemea sana wapiga vinanda watoto wanaharibika kwa qaswida za haramu wanacheza michezo ya haramu eti ndio uislam wengi walikua wakimkejeli kupitia hii mada lakin angalia Allah alivyomsalimisha Subhaanallah
Ni kweli ila haina maana ya kuwa haifai kufunika sababu hizo ni Ikhtilaafu za kimadhehebu huko Wanafuata madhehebu ya Hanbal huku kwetu ni Shafi kwaiyo nawao ni lazima wafate sheria za huko.
Ila masalafi wa leo tunasema haifai kufuata madhehebu tumejifanya kuw sisi ndio wasomi zaid kuliko salaf swaleh wa karne zilizopita. Allah atuongoze Inshaallah.
Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun Mwenye Enzi Mungu amrehemu amlaze pema peponi amjaalie kauli thabit yaarab amjaalie katika as'habul yamiin ampe kitabu chake kwa mkono wake wa kulia amsamehe makosa yake. Allahumma Ameen Yaarabil Aalamiin
Inna lillahi wainna illahi raajioun. Allah amsamehe madhambi yake na amjaalie kauli thabit, amjaalie pepo yake tukufu aamiin. Nimeshtushwa sana na kifo chake kwani ni sheikh niliyeanza kumfualia hivi karibuni tuu na nikapenda darsa zake yaani haizidi miezi miwili ama mitatu toka nijue darsa zake. Kwa hakika hapa duniani tunapita Allah atujaalie mwisho mema aamiin
Jitihada zake zimeonekana mungu yeye mwenye kaliona Hilo. Nasi tumeliona Hilo. Nnamuomba mungu amlipe pepo na ampe neema nyingi humor kabrini amin. Nasi mungu atujalie mwisho mwema pia kama yeye. Ishallah.
Innalilahi wainalilah rajuon Allah ampokee Na kumhifadhi InshaAllah.ss pia atuajalie mwisho mwema InshaAllah.Familia ajalie subr Na awatie nguvu InshaAllah 😢😢😢
na maswali mawili. ivi mait mikono yake hukunywa au hunyooshw akisikwa sina elimu ya hilo nisaidieni. la pili nilisikia anaekufa hija hua hatinikwi uso akizikwa je na hili liko vp
Hapo amazikwa kwa muda tu hauzidi mienzi 9 kisha kuna dawa na chemical huekewa ili wahamishwe sehemu nyengine Hayo makaburi yapo enzi na enzi na nafasi ipo kwasababu maiti huwa zinahamishwa aidha miili yao au mabaki ya mifupa na hayo makaburi yako kwa line na nambo kabisa
Sheikh nyage alikuwa vizuri sana nafasi ya kufa huko na kuzikwa huko haki yake alikuwa sheikh wa tabia njema.
Allah amsammeh makosa yake na amjaalie Ljannat Firdaws na sisi Allah atupe Khusnil Khatima ameen
Allaah Awarehem wote Wa Islam, Awapuzishe Katika JANNATUL FIRDAUS Amiin
Innalillahi wainna ilayhi raajiuun
MAA SHA ALLAH
kwa kweli Naamin kila anaeitetea jamii kwaajili ya Allah hufanikiwa sana kuipata Pepo huyu sheikh alikua akikemea sana wapiga vinanda watoto wanaharibika kwa qaswida za haramu wanacheza michezo ya haramu eti ndio uislam wengi walikua wakimkejeli kupitia hii mada lakin angalia Allah alivyomsalimisha
Subhaanallah
mawaidha tosha ni kuzika hivyo, sio kule kufinika shuka, allah amlipe kheir nasi atupe mwisho mwema. 🤲
Ni kweli ila haina maana ya kuwa haifai kufunika sababu hizo ni Ikhtilaafu za kimadhehebu huko Wanafuata madhehebu ya Hanbal huku kwetu ni Shafi kwaiyo nawao ni lazima wafate sheria za huko.
Ila masalafi wa leo tunasema haifai kufuata madhehebu tumejifanya kuw sisi ndio wasomi zaid kuliko salaf swaleh wa karne zilizopita. Allah atuongoze Inshaallah.
Mashaallah mashaallah mashaallah ALLAAH ampe noor alanoor inshaallah na ss ALLAAH atupe safari njema inshaallah
Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun Mwenye Enzi Mungu amrehemu amlaze pema peponi amjaalie kauli thabit yaarab amjaalie katika as'habul yamiin ampe kitabu chake kwa mkono wake wa kulia amsamehe makosa yake. Allahumma Ameen Yaarabil Aalamiin
Yaa Allah na sisi tujaalie mwisho mwema.
Anmyna
Aamin
Allah amlipe malipo mema na makaaz jannatun-naim
Inna lillahi wainna ilaihi raajioun.Allah amsamehe makosa yake amtilie nuru na barka katika maisha yake mapya ya kaburini na awape Subra wafiwa
Allahuma Amiin
Amiin
Amiin 🤲🤲
Duh Asante kwa darasa hai mungu apanulie mwanandani mwake inshallah
Hafii ila alie msafi bila shaka alikua msafi,nasi tupe mwisho mwema Mola wetu Amiin
Alla atupe mwisho mwema aamiin
Inna lillahi wainna illahi raajioun. Allah amsamehe madhambi yake na amjaalie kauli thabit, amjaalie pepo yake tukufu aamiin. Nimeshtushwa sana na kifo chake kwani ni sheikh niliyeanza kumfualia hivi karibuni tuu na nikapenda darsa zake yaani haizidi miezi miwili ama mitatu toka nijue darsa zake. Kwa hakika hapa duniani tunapita Allah atujaalie mwisho mema aamiin
Innalilah wainailaihi rajiuun Allah ampe kaulthabit amsameh makosa yke na ss atupe mwisho mwema
Ya Rab, na sisi Atupe Husniy Alkhatimah Amiin
Innalilah wainna illaih 😢ya Allah mlipe Yale yaliomstahiki,, sheikh wng
mungu ailaze roho ya marehemu pemapeponi ameen
Allahumma thabbit-hu bilqauli tthabit, Alikuwa mweye kujitahid kwenye dini na kuwaidh watu.
Mwenyez mungu atupe mwisho mwema in shaallah😂
Jitihada zake zimeonekana mungu yeye mwenye kaliona Hilo. Nasi tumeliona Hilo. Nnamuomba mungu amlipe pepo na ampe neema nyingi humor kabrini amin. Nasi mungu atujalie mwisho mwema pia kama yeye. Ishallah.
Inna lilahi wainna ilaihi rajiuun,Allah amjaalie nuru kwenye kaburi lake na amsamehe madhambi yake na amjaalie Pepo 🤲
😢😢 innalillah wainnailaih rajiun. Allah Ampe salama shekh wetu ktk kabri lake n akhera pia
Allah amfanyie wepesi mja wake kwa kumfutia makosa yake na kulitia Nuru kaburi lake na amlipe pepo yake Amiin
Innalillahi Wainna Ilaihi Rajiuun. Allah Ampe Qawli Thabit Na Awape Subra Wafiwa
Ya Rab na sisi Atupe husniy Alkhatimah Amin amin
subhaana llah innaalilah wainnaailayh raaajiuun allah amjaalie makaaz yake peponi kwarahma zake
Innallillah rajihun Mungu ampe nuru katika kabli yk amina
mashala Allah azidi kumjaza kheri zake
amina
Innalillahi wainna ilayhi rajiun,Rabbi amswamehe pale alipotekeza/ampe wasaa ndani ya mwana ndani/ampe kauli thabiti,Aamin !
Allah amjaalie kaul thabit
Inna lillahi wainnaa alayh raajiuun kila nafsi huonja maut mugu amlaze Mahal pema peponi amiin
Innalillah wainalillah tajuun allah awasamahe ndugu zetu wote waliyotangulia mbele ya haki😢😢😢
Innalillah wainali illahi rajiun Allah amfanyie wepesi katika safari yake inshaalah
Kuna watu wanazali kwelikweli.
Unaende kuzikwa alipo zikiwa maswahaba.
Mungu ampe qauli thabiti
Inalillahi wainailahi rajuun. Allah amjaalie pepokwahurumawake. Amyn nasi Allah atupe kauli thabiti sikuya mwisho
Innaalillaahi wainnaa ilayhirraajiun Allah amsamehe mwalimuwetu ampekilalakheri nasi atujaalie mwishomwema aamin
Innalillah wainnna ilaih rajiun Allah awarehemu marehemu wote waliotangulia njia ya haq
Allah tujaalie mwisho mwema in sha allah
Hakika sisi ni wa allah na kwake ni wenye kurejea🤲🤲🤲🤲
Inalilah waina ilayhi rajighun Alla amjalie makazi mema nasis pia
Bahati iliyoje kuzikwa na maswahaba
Innalilah wainalilah rajiuni allah ampe kauli thabiti🙏🙏😢😢
Hakika sisi sote ni wa Allah sw na kwake tutarejea
MNAOFATA MWEZI WA SAUDIA MSHAONA NAMNA MNAVYOTAKIWA MZIKANE?
Inaonekana hujui Ata unalolifanya hapa ulimwengun, upon tu
@@IbrahimJuma-m3bوضدي
Kuna dosari hapo?
Acha ujinga ww!! Kwnza ulizia hlo kwa wnye uenyeji sio kuleta kauli za kipumbavu kwnye jambo kama hlo!!
ALLAH wajalie kauli thabiti
Allah ampe kauli njema Innalilah wainallilah lajjun
Allah atupe mwisho mwema
Innalilahi waina ilaihi rajiuun Allah amuhifadhi pema nasi atupe mwisho mwema
Innalilahi wainalilah rajuon Allah ampokee Na kumhifadhi InshaAllah.ss pia atuajalie mwisho mwema InshaAllah.Familia ajalie subr Na awatie nguvu InshaAllah 😢😢😢
Kudumu nakubakia nikwake yy tu Allah ss niwakwake nakwake tutarejea Allah amlaze mahali pema
Innalillahi wa inna ilaihi raajiuun Allah atupe mwisho mwema
Inalillahi wainaillahi rajiun kz ya mungu Haina makosa😭😭😭
Innalillah wainailaiyhi rajiunn allah amswamehe alipo.kiseaa😢😢😢
Innalillah wainailaiyh rajiunn
Aamin😢😢
Aamiin
InnLilah wainnailay rajiun
Innalilahi wainnaaileyhirajiuoni Allah Awasamehe Wote Maitizetu Walio Tangulia Yarabiy Nasisi Atujaaliye Khusnilkhatima Njema Yarabiy
Innalillaahi wainna ilaih raajiun😢😢
Inalilah wanaileh rajuuni
Innalilah wainna ilayhi rajiuni
Inna lillahi wa inna illahi rajiun Mwenyezi Mungu ampe kauli thabit. Amin
na maswali mawili. ivi mait mikono yake hukunywa au hunyooshw akisikwa sina elimu ya hilo nisaidieni. la pili nilisikia anaekufa hija hua hatinikwi uso akizikwa je na hili liko vp
Mikono inanyooshwa Martin anapozikwa na Hilo lapili sio sahihi I've ulivyoskia
Innalillah wainna ilayhi raajiuun
Innalilah wa Inna ilaihi rajuini. Anazikwa walipo zikwa maswahaba.
Innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiuun, Allahumma ghfir lahuu warhamhu,waskanhu filjannah.... Aamiin yaa Rabbiy.
Allah awalipe wote waliotqngulia
Alhamdulillah innalilaii wainnailayhim rajiun
MASHEKHE TUPENI MUONGOZO KUZIKA BILA YA KUTIA UDONGO KABIRINI AU MCHANGA YAANI KAMA MAKABURI HAYO YAPO WEZI JE INAFAA?
Hapo amazikwa kwa muda tu hauzidi mienzi 9 kisha kuna dawa na chemical huekewa ili wahamishwe sehemu nyengine
Hayo makaburi yapo enzi na enzi na nafasi ipo kwasababu maiti huwa zinahamishwa aidha miili yao au mabaki ya mifupa na hayo makaburi yako kwa line na nambo kabisa
إنا لله وإنا إليه راجعون
Innalilah wainnailah rajuun
Allah.Amrehem.lnnalilah.
Inalillah wainailaihi rajiun
Inalilah wainalilah rajiun
إنا لله وانا اليه راجعون اللهم ثبته بالقول الثابت ،اللهم لا تحرمنا أجره ولا تفتنا بعده وغفرلنا وله.آمين😢😢😢
إنالله وإنااليه راجعون😢😢😢😢
Innalillah
May his soul rest in peace
Inalilah wainailayh rajighuna
Innalillah waina ilayhi rajiun
🎉 inalilah wainalilah rajiun
Innalillahi wainna ilayhi rajiuun
Innaa lillahi wainnaa ilayh raajiuun
Innalilah wa innalilah rajiun
Inna lillahi wa llayhi ŕrajuna
Ina lilah waina ilah rajioon
Mbona maiti aifukiwi naudongo hii imekaaje
BACHU UKO WAPI? SUNNA MPYA HIYO
Sunnah ipi kaka
@@khalifasaid0047kutiana sehemu bila ya mchanga karibuni watesema sunna
Innalillahi wainnalillah rajiun
Allah amrehem
Hakika ss ni wa mungu na kwke 2tarejea
Ina lilahi waina ilaihi rajiuni
Innaalillah wainnaailayhi raajiuun
ويبقى وجه ربك ITABAKI DHATI YA MOLA WAKO
Innaalillahi wainnaa ilayhi raajiuun
Kull Nafsi Dhaalikat tul maut
innalillah wainna ilay rajiuuni
Innalilah wainailah rajuun
Inna lillah wa Inna illah raji'un
Innalillahi wainnailaihi rajiun
Inalillah wainailahi rajiun
Inalilahi wainailayhi rajiuni
Innalillahi Wainnailaihi rajiun