KABUDI ATUMIA UPROFESA WAKE BUNGENI HADI MBUNGE AKAOMBA DAKIKA ZAKE APEWE KABUDI AENDELEE KUCHANGIA
HTML-код
- Опубликовано: 6 май 2024
- KABUDI ATUMIA UPROFESA WAKE BUNGENI HADI MBUNGE AKAOMBA DAKIKA ZAKE APEWE KABUDI AENDELEE KUCHANGIA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Mzee sichoki kumsikiliza yupo smart sanaaa
Hongera prof,Mwenyezi Mungu alisema hawawezi kuwa sawa wanaojua na wale waßiojua
Hivi yule mwamba alitengeneza dawa ya ukimwi kapotelea wapi
You will legacy to our country professor be blessed
Hivi Prof. Kabudi na Prof. P.L.O. Lumumba wakikaa pamoja waandae kundi la majasiri wa Afrika tutakuwa wapi miaka 50 ijayo?
Hongera Sana Professor
Tungekuwa na wabunge wote wenye elimu kama huyu mzee hii nchi ingekuwa mbali
Kweli huyu ni profesa, Mungu amtumie zaidi kwa faida ya nchi yetu na dunia pia.
Hongera sana Prof.
Huyu Kabudi ni muhimu sana katika hili Taifa watu kama hawa ni tunu ya taifa inashangaza sana kwanini sio waziri
Mkaguru mmoja tu mwenye elim kubwa tanzania
Anakuwaje mkaguru bablai, kwasababu ni mbuge wa kilosa?, huyo ni mwaluko
@@healinggospeltz4762 mwaluko ndio nn
@@healinggospeltz4762 Sasa kilosa hakuna wakaguru ?
Tatizo la nch yangu na bunge langu...memaliza kuongea..,..yameenda na upepo....yamebaki kwenye hansadi.....
Hakuna utekelezaji wake.....hapa ndo naona umuhimu wa JPM alipo kuwepo..... Haya yasingeliachwa bila utekelezaji....
Iwe heri kwa Tz
Tunashukuru sana Mhe Kabudi kwa mchango mzuri lkn kutokana na kasi ya population tunatakiwa kuanza ku minimize muda wa mtoto kuwa shuleni badala ya kui extend muda wa mtoto kuwa shuleni, elimu ya msingi ikiwezekana isizidi darasa la sita mhe daktari spika.
Legend
mzee una mbwembwe nyingi
MHE PROFFESOR Kabudi Tunakushukuru kw Mchango wako wa Kitaalamu iliosheheni ushauri,mwongozo,nk kupitia wizara ya Elimu katka mageuzi ya Elimu Watanzania tunayo HAZINA kubwa ya Waheshimiwa kama Proffesor Kabudi ambaye wapiga KURA waliiona Tunaomba Mungu atusaidie na kutuongoza ili Bunge lijalo tufanikiwe kupata Wabunge wa Kalba ya Mhe Proffesor Kabudi
Hkl pure
Huyu ana roho ya korosho ndio maana hendi juu anawachukia sana wa Zanzibar
Muhamed mambo ya kaburi anawachukia sana wazanzibar unayatoa wapi katika hotuba yake hii?!!!Inaonekana wewe darasani ulikuwa "ZERO" yaani sifuri kabisa Tena wa mwisho darasani Watu wote wamemwelewa Kabudi wewe umetoka kapa?Basi kama ni chuki ninyi wazanzibar ndio mnaomchukia ndo maana mkampokonya UWAZIRI wake wa Katiba na sheria. Ili nyota yake ififie lakini kila akipata nafasi hutoa "MATIN" Hadi makofi na vigeregere.
Wazanzibar kutaka twende zanzibar kwa ppt hiyo ni sawa ?
Huyundio profesa siokamayule lipumba
Awata muelewa kwa sababu awaelewi.
Wanaelewa sauti lakini siyo matendo.
Mmm kabudiii
Jalimu... Profesa... Asante saana😂
Wewe ni msomi mzuri lakini swali langu kwa nn wasomi kama nyie msipewe nchi mkatupeleka mbele kimaendeleo.
Hakuna profesa anayefaa kuwa rais wabongaji sana Hawa nchi zao Huwa zinawatunza kuwa washauli tu
Kuna Dada mmoja yuko Posta pale Moshi ana watano wenye digress ambapo waliuza kila kitu hadi mashamba Watoto wasome lkn hadi leo jamani Watoto hawakupata kazi wapo nyumbani.
Mzee miaka 60 watanzania tunaandika kwa madaftari siyo computer na kuazia darasa la saba hadi kidato cha nne hawajui kingereza mzee watoto wenu wako nje shule mbora mnatudanganya tu na elimu hii haiko kiushindani
Wapiga makofi hawajui chochote wao kujadili tozo tu kwa wananchi
Huyu Profesor asingetolewa jalalani angebaki kunoa watu vyuoni, awe mwana harakati tu kwasababu ana hazina kubwa iliyogharamiwa na wananchi kwa faida ya Taifa, wanasiasa uchwara wakamchukua kwa faida za kisiasa,elimu ikapigwa teke. Enyi wanasiasa nani kawaloga?!
Ndio ujue profesa ni nini achana na maprofesa wakujibandikiza
Wamruhu yule aliye ngundua dawa ya ukimwi hataki kumruhusu atoe matibabu kwa wananchi
Sasa si watu wsdharau dawa za asili wanasema no za kienyeji hasahasa wasomi ndio huwaambii kitu kuhusu mitishama utaambiwa mshamba mshirikina, sasa kama kipindi cha korona walipoambiwa kujifukiza wakadai mapafu yanajaa maji wakati hiyo no tiba tangu enzi na enzi
Mitaala ya nchi yetu haitabiriki asee kila mara mabadiliko
Mabadiliko ni muhimu kila inapoonekana ni inahitajika
Huyo ni frofes ndo tulie bakiwa nae wengene weng ni wanafuzi wa huyo mzeeee mbaka uraya wanamjuwa hyo anatakiwa kurindwa ware wazi wa mikatab war machi yoye kwa huyo racin ss tupo nyuma yake. Tukimuombewa awe saram kwa jina ra jesuuu
Mbwembwe nying alaf hawa hawa na makorokocho yao, wanatuandikia mikataba ya hovyo!!! na sheria za hivyoo nchi hii mtu anakamatwa na bangi misokoto mitatu kifungo miaka thelathin alafa anaeiba mabilion hafungwi!!!
Na hilo mhe spika pia ni kwa kuzingatia kiuhalisia kabisa ajira kuwa ngumu kiasi kwamba kuna familia zina Watoto wanne saba nk wana digress na hawana kazi hadi wamestaafu bila kazi bila kurudisha hata chembe ya jinsi walivyoisababishia familia umasikini mhe daktari spika.
Shida sio madarasa professor...Tija tunafundisha nini ? Panzi na Tilapia au? huku wenzetu wanatengeza Meli, Ndege, Nyambizi, Space ships wachina kila mtu anatengeza bidhaa..
Wabunge wa mufindi mwamuona mchango wa kabudi
Kama tunakumbukumbu raisi aliekufa kipindi cha corona vituvingi vilikuasawa hatahawa mashoga watibiwe wasukuma wa masai wanajuadawa kabisa af tutunge sheriakali