SIRI NZITO NYUMA ya UTAJIRI wa WAHINDI, ANAANZISHA BIASHARA BABU, ANAKUFA HADI MJUKUU ANAIKUTA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 305

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Год назад +29

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

  • @kombomuhidin4608
    @kombomuhidin4608 9 месяцев назад +11

    hii nime kubali nimekuelewa ju ya wahindii japo nimecherewa nipeni tu na mm nijisike kupata like zangu

  • @ahmuhally4430
    @ahmuhally4430 Год назад +24

    Hii ni makala bora ya karne hongereni sana Global Tv

  • @richardsaidi2448
    @richardsaidi2448 Год назад +21

    Fact kabsa,wahindi,wanaakiri,na ukiishi na wahindi mwaka Mmoja unapata maarifa

  • @j.munenekingdom28
    @j.munenekingdom28 Год назад +10

    Ashante bro for this educative video, ni ukweli kibao. Africa wake up pls and start learning from the indians on business matters.

  • @GerardNDUWIMANA-vd6rv
    @GerardNDUWIMANA-vd6rv 10 месяцев назад +3

    Ahsante kutujulisha habali hizi ninzuli endelea kusambaza kazi nzuli kama hizo🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪

  • @shakukawele9959
    @shakukawele9959 Год назад +4

    Nikweli kabisa tunatakiwa tujirekebishe na mungu atusimamie 🙏🏽🙏🏽 wahindi mie nawakubali

  • @ludovicshirima1793
    @ludovicshirima1793 Год назад +6

    Makala Safi Bora nimependa

  • @saidgawawa8519
    @saidgawawa8519 6 месяцев назад +1

    Brother, umeongea 100% facts kuhusu Hawa jamaa au jamii ya wahindi ,wako na brotherhood sana ,wanabebana na kusaidia kati Yao Sio kama mm na wewe kuwekeana majungu! Hatuwezi kuendelea tukiwa hivi..!! everything is under ur mindset, na pia nothing is impossible,ni watu wapambane kiustadi.shukran.🙏🏻

  • @rehefehe8890
    @rehefehe8890 Год назад +10

    Ni kweli mm nipo India CT University Punjab ukienda dukani unamkuta mtoto mdogo anauza duka na baba ake

  • @samohazakwani6899
    @samohazakwani6899 11 месяцев назад

    Asante kwa somo zuri, mimi niligundua kwa wahindi walioko huku nchi za kiarabu hawadharau faida japo ndogo mradi kitu akiuze kisikae, tofauti na wengine, na kama mteja akitaka kitu yeye hana dukani akwambia subiri aenda kuchukua kwa wenzake. Yaani hataki kupoteza wateja, hawa watu wana techniq za biashara sio mchezo. Uliosema ni kweli.

  • @dannyosolo2752
    @dannyosolo2752 Год назад +13

    Nimeiiishi India miaka mingi ....ni ukweli mtupu sisi WaaAfrika lazima tugeuze tabia zetu na mienendo

  • @peterokalo9632
    @peterokalo9632 Год назад +1

    Wafrika pôle ni wakings👏🏽☝🏽🙏🏽✊🏿

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 Год назад +9

    Kassam aliuza ugoro na kujenga gorofa, lakini tulitaifaisha Mali zao na nyumba zote tuliwanyanganya bila kuwalipa chochote ndio maana wengi wamekimbia,Leo wahindi waliofukuzwa Uganda Leo matajiri Uingereza.

    • @amethysturanus6351
      @amethysturanus6351 Год назад +3

      Uko Sahihi Kabisa, wazee Wetu wengi Wali nyanganywa Mali zao. Shule 400 Indian Public School ilijegwa na wahindi kwa msaada wa Balozi Ya India , taaifa hii ime chafuwa sifa ya uaaminifu na usalama kwa Tokio la Azimio ya ku taifisha Mali na majumba za watu hadi viwanda waliokuja navyo toka India. Hiyo ni nyenzo ya kurudisha nchi nyuma.

    • @josuemwero4191
      @josuemwero4191 8 месяцев назад

      😢😢

    • @tonybrighter3878
      @tonybrighter3878 Месяц назад

      ​@@amethysturanus6351 Ukifikiria kwa Mhemko Huwezi elewa Kwanini Nyerere Alifanya Azimio la Arusha

  • @innocentkundy9078
    @innocentkundy9078 Год назад +3

    Aisee. Jamaaa kweli kasema hapo kwenye kuhama hama biashara sisi tunazingua

  • @IdrissaIssa-w8u
    @IdrissaIssa-w8u Год назад +6

    Nime kukubali sana broo✌🏻

  • @jimboulaya
    @jimboulaya Год назад +2

    @4:16 rekebisha Asas asili yao sio wahindi wale ni washihiri wa Yemen.

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 Год назад +8

    Njoo kwa wa Africa. Mtoto akianzisha hata biashara yakuuza pipi utasikia mzazi akimwambia . Hiyo biashara yako itakulisha. Hebu nenda sokoni kani nunulie unga mie. Au haya nenda kauze ila hakikisha umerudi na sabuni hapa

  • @IMANWILLIAM-bl2ui
    @IMANWILLIAM-bl2ui Год назад +3

    na ndo maana watoto WA wahind wanaishiaga form6 then wanaenda kariakoo hakunaga muhindi ahangaike na upuuz WA ajira

  • @jumaatubu
    @jumaatubu Год назад

    Asante denisi mpagaze asante amini likonde na thanks global tv

  • @manifestationmastermindset6518
    @manifestationmastermindset6518 Год назад +83

    Biashara ya mswahili uuliwa na ndugu zake

  • @PaulineMbunga
    @PaulineMbunga 3 месяца назад

    Kweli kabisa nimeipenda hiyo

  • @rahaytv26
    @rahaytv26 10 месяцев назад

    Mungu akubalikiebmt brother 'iyo Ni kweli kbs🙏🙏

  • @polycarptarimo5141
    @polycarptarimo5141 Год назад +3

    Basi Bwana weee kwenye list ya wahindi umemsahau Aliko Dangonte ambae ni kitukuu cha cha bwana mmoja hivi
    Sasa Dangote anaendeleza mali iliyoanzishwa na babu wa baba yake

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 11 месяцев назад +4

    Niliwahi kuona wahindi zaidi ya 8 wanasafiri kwenye private car walipofika korogwe sehemu ya kula chakula walinunua soda kubwa na biskuti huwezi amini hiyohiyo moja waligawana wote na biscuits! Wakina sie sasa nyama choma na chips na bia mojamoja huku tunawashangaa hiyo bei ya nyama choma sasa elfu 8 kwa ka posheni kadogoo😢

  • @Eva-f4n
    @Eva-f4n 7 дней назад

    Hakika kweli

  • @AbediySaidi
    @AbediySaidi Год назад +2

    Mungu akubrikiye Muzee afrika inataka hibyo 👍

  • @patriciamuganda4498
    @patriciamuganda4498 Год назад +26

    Hawa wahindi kwanza wanasaidiana wana umoja katika Kila asect ya maisha. Wahindi wamekuwa hapa generation after generation, lakini waafrika wameshindwa kuiga mifano kutoka kwa wahindi. Kazi ni kupigana vita tu. Hata huko nje Kuna watanzania kazi zao ni kupigana vitu. Ni ajabu. Wahindi wameweza kusomesha watoto wao nje ya nchi kwa sababu wana kitu kinaitwa community fund. Lakini waswahili wanakumbatia fedha hata kama Kuna kijana amepata Chuo nje huwezi kuona mtu wa kumchangia. Lakini kwenye harusi wanakuwa mstari wa mbele kutoa michango mikubwa mikubwa. Ni aibu kubwa. Wakati umefika Sasa watanzania wapewe semina juu ya hii topic iwafikie watu hata vijijini.

    • @ndennkya9554
      @ndennkya9554 Год назад

      Umeleweka sana sana

    • @patriciamuganda4498
      @patriciamuganda4498 Год назад +1

      Kila mara najiuliza maswali mengi nakosa majibu. Kwa kweli wahindi ni very efficient na wanasaidiana. Pia wana practice customer care. Kuna Supermarket Fulani inamilikiwa na familia Moja ya kihindi. Ukiwa regular customer wao siku za sikukuu kama Christmas au Eid wanakutumia ukumbe mfupi wa kukutakia heri na baraka tele. Hilo jambo ni la muhimu na linaonyesha kuwa wanajali wateja wao. Ni mengi mazuri ambayo waafrika wanaweza kujifunza kutoka kwa ndugu zetu wahindi. Ukitembelea Central New-Jersey kule USA utakuta familia za wahindi wako kule wanaendesha biashara nyingi kuanzia maduka ya Sari, Liquor stores na miaka michache iliyopita kulikuwa na Super Market inaendeshwa na Patel Brothers. Ndugu zangu waafrika tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa ndugu zetu wahindi. Ama sivyo tutabaki nyuma daima wakati wenzetu wanasonga mbele.

    • @PhilipoMabula-ky9vs
      @PhilipoMabula-ky9vs 11 месяцев назад

      Point

    • @abbtsa3060
      @abbtsa3060 11 месяцев назад +2

      Na nyie mnaongea tu hapo tanzania wahindi ni wachache nenda India uone na South africa. Wahindi wanabebana ndani ya familia na wanaunaguzi hajabu na manamatabaka wao kwa wao naukikuta Masikini na maskini kweli kwahiyo Acheni kuangalia matajiri peke yake wew mwandishi nenda India au Bangladesh ukafanye utafiti na uko pia kwenye wahindi wengi

  • @georgeigogo9259
    @georgeigogo9259 Год назад +1

    umeongea vzr sana ila mbona ume base sehemu moja coz hii elimu inaupanawake mbona haujaongelea wachaga na wakikuyu wanaofanya vzr africa na hata wanaijeria

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Год назад +4

    Ni kweli❤

  • @EduardoMoises-v2r
    @EduardoMoises-v2r Год назад

    Ahsante kwa kunifungua kichwa brother

  • @abdulrizege863
    @abdulrizege863 Год назад +3

    Kwa upande wangu sitaki kuamini kabila au jamii fulani inaizidi jamii nyingine kibiashara au kiuchumi.Mtu yeyote kutoka kwenye kabila lolote anayonafasi ya kufanikiwa.

    • @amoursalum8266
      @amoursalum8266 2 месяца назад

      hapa ishu sio kabila ni tabia. wenzetu wanatabia zinazowatofautisha nasi ktk biashara. hivyo kusema wahindi kusudio ni tabia

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu Год назад +12

    Ukitaka ujue sisi watu weusi hatupendani, Iko hivi, mtu ana pesa za uwezo wa kuanzisha kiwanda Cha magari hapa tz, anaenda kuleta magari Toka china, mtu mweusi Alie kua bora ni Mzee regnard mengi yule mmachame. Yule alikua ana wapenda weusi wenzake.

  • @dennischarles8524
    @dennischarles8524 Год назад +3

    Wale panjwani pale Moshi tangu miaka ya sabin Bado wanauzwa electronics.Sasa wapo wajukuu.The same shop, size na location.

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 6 месяцев назад +1

      He! Umenikumbusha Panjwani, nilinunua pale record player mwaka 1980!

  • @fatmaahmed972
    @fatmaahmed972 Год назад +3

    Wabongo roho mbaya zimewazid

  • @SML2019
    @SML2019 10 месяцев назад

    Hongera sana. Makala nzuri

  • @hatibumohamedi3471
    @hatibumohamedi3471 6 месяцев назад +1

    Kimsingi cc atuna upendo ni washenzi washenzi nimejifunza cc ni asili yetu umaskini tu 😢😢

  • @anisiamchembe6552
    @anisiamchembe6552 6 месяцев назад

    Ni kweli kabisa 😊

  • @ElishaMbwilo-l7v
    @ElishaMbwilo-l7v 4 месяца назад

    Dah! Kweli kabisa

  • @taturamadhan5940
    @taturamadhan5940 11 месяцев назад +1

    Wahindi wanafundishwa kushikana na kuoneana uchungu kama ndugu tofauti na waswahili. Muhindi akiwa na biashara anafundisha mtoto wakeakiwa mdogo na mkewe haletii ndigu zake kuja kufilisi anasimamia vizuri mali ya familia. Tofauti na sisi kila mtu kichwa kigumu

  • @AlesiusKalumna-f3d
    @AlesiusKalumna-f3d Год назад

    I mada nimeikubali sana safi sana

  • @godwinabuto4695
    @godwinabuto4695 11 месяцев назад +2

    Hata hao wanafilisika pia hata wao nimaskini sana nenda dubai utakuta wahindi ndo wabeba mizigo fanya bidii weka malengo yako inawezekana njozi yako kuwa kubwa sema wao wanatuzidi kueshimu taasisi za fedha

  • @finaakula2979
    @finaakula2979 Год назад

    Hongera sana global

  • @jojotanzan609
    @jojotanzan609 Год назад +1

    Yaani ni kweli kabisa ninaishi na boyfriend wa kihindi sasa ni miaka minne ila amenifundisha mambo mengi sana na nimeisha fanya vitu vingi kupitia yeye kila iitwapo leo nazidi kumuombea ili niweze kujifunza vitu vingi kupitia yeye

  • @jibustudios3241
    @jibustudios3241 Год назад +4

    Very informative

  • @neemapeter4572
    @neemapeter4572 Год назад +1

    Nimekuelewa sana

  • @CKMO
    @CKMO Год назад

    Asante bwana umeyamaliza

  • @edwardouma1630
    @edwardouma1630 Год назад +2

    Mwenyezi Mungu akuzidishie hekma na mafanikio milele daima 🙏

  • @salomevestinamichael1458
    @salomevestinamichael1458 Год назад +1

    Nimecheka kama mazuri,ukisikia biashara ya kware unahamia biashara ikikata unaanza maisha upya😂😂😂😂😂😅😅😅😅

  • @evamgina843
    @evamgina843 2 месяца назад

    Ni kweli wahindi wapi vizr kwenye Hela jamn duuu na hata akifa BDO biashala ipo ty

  • @peterokalo9632
    @peterokalo9632 Год назад

    Wahiidii they hardworking peoples families 👏🏽☝🏽✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿☝🏽🪐✌🏽👌🏽

  • @MarleyGrafix-sk3rj
    @MarleyGrafix-sk3rj Год назад

    Kweli kabisa kaka

  • @JohnBernad-x6o
    @JohnBernad-x6o 6 дней назад

    Anachokiongea huyu ni sawa

  • @nizamarakassongo3940
    @nizamarakassongo3940 Год назад +7

    Siri la wahindi niwakezawo wakezawo wanaheshim wawume wawo nawanawasupport wawume zawo! But wanawake waki africa ni mabisho wajinga

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Год назад +4

    Kweli ukosahihi sababuhiyo ndoimechangia kusema afrika hatuna asiliyapesa hongera sana

  • @stellah3844
    @stellah3844 Год назад +2

    Aisee🙌🏼🙌🏼🙌🏼😅 hii kweli

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 Год назад

    Ni kweli kabisaa

  • @wauzaji
    @wauzaji 6 месяцев назад

    Video nzuri sana.

  • @mh9251
    @mh9251 Год назад +8

    Video hii inafungua uhalisia la neno "biashara" ukitaka kujua maana ya familia na biashara mfano wake ni wahindi na kwa ujumla watu wa bara la Asia nzima. Hata mzungu hana mila na desturi. Mzungu mwenye hela akiifa hela zake zinaenda kwenye chama mbali mbali maana hajachukua umuhimu lolote katika neno hili "familia". Kwa ujumla tukubali tu wahindi au bara la Asia nzima wanatoa mfano bora duniani kote katika swala hili "familia na biashara"! Badala ya kupinga tujifunze. Ukifanya hivo kesho utakua wewe mfano mmoja wapo!

  • @SurprisedMacawBird-qh7dg
    @SurprisedMacawBird-qh7dg 6 месяцев назад

    Asante kwa makala nzuri sana

  • @FatmaMohamed-jw2lc
    @FatmaMohamed-jw2lc 11 месяцев назад

    Nachekaa😂😂😂 ukweli mtupu

  • @MuksiniHassan
    @MuksiniHassan Год назад +2

    Nimekupata sana

  • @mathiasswai7006
    @mathiasswai7006 Год назад

    Nice makala

  • @stillmbaga1056
    @stillmbaga1056 Год назад +2

    Madini ya ukweli sana. Endelea kutupasha

  • @bas2823
    @bas2823 5 месяцев назад

    VERY TRUE👍"!

  • @hellenwande
    @hellenwande 10 месяцев назад

    Tunakuwaje na misingi ya biashara wakati falsafa yetu ya kiuchumi si ya market led development, wala sio ya state development, kwenye elimu somo la bookkeeping na commerce kwa nchi yetu sio kipaumbele, tunahamasishwa kwenye science subjects wakati mwanafunzi hajui hata kuandaa kutengeneza oxygen mpaka anafika kidato cha nne, wenzentu wamekubali kuwekeza kwenye misingi ya biashara

  • @angelokamugisha8682
    @angelokamugisha8682 10 месяцев назад +1

    Hivi ni mimi tu au Waziri mkuu wa India ni CEO wa google akiwa kavua miwani

  • @katarinawilliam9960
    @katarinawilliam9960 Год назад +4

    Niliukizia hapa kwa hawa PATEL ni matajiri sana...alinambia wewe dada yako au ndugu yako akikuomba hela ya school fees unampatia na siyo mkopo.Mimi nitampa lakini lazima arudishe hata kama ni 5 yrs...so hela yao inazunguka.

    • @jojininga1666
      @jojininga1666 Год назад

      Ww dada hulifanya kazi M.M.I mwenge nn

  • @MrSokwe
    @MrSokwe 6 месяцев назад

    Huwezi kuwashinda Wahindi kwenye akili ya biashara. Marekani hotel zote kubwa meneja ni Muhindi.

  • @peterokalo9632
    @peterokalo9632 Год назад +1

    This the same things same thing too in European in waidii staying together

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 10 месяцев назад

    Serikal yenyewe imeona wahindi waharabu na wachina ndo wakuwawezesha watu weus afrika ni wasindikizaj katika inch zao

  • @clever355
    @clever355 Год назад +1

    Umeongea pointi sana aise

  • @jumaatubu
    @jumaatubu Год назад +2

    Wahindi wana mengi tujifunzen waafrika na sio biashara tuu

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 11 месяцев назад

    It's true bro 💪

  • @94winga
    @94winga 6 месяцев назад

    Hahahahah sisi weus kaz tunayo sana unaoa mke ukifiliska anakukimbia 😂😂

  • @PhilipoMabula-ky9vs
    @PhilipoMabula-ky9vs 11 месяцев назад

    Kweli bro umenipa kitu mkichwa

  • @missminnatz
    @missminnatz Год назад +25

    😂mnataka kuiga mhindi alieshindikana middle east biashara zot za wahind mpk afya yaan kiujumla sio rahis kuwa kama wahindi ni wabubifu , wanamshikamano, wakiunda urafk wa kibiashar basi mpk wanatajirika pamoja, wanafanya kaz kw juhudi na wanajua kuweka akiba, hawana matumizi holela, ni waaminifu, wanarithishana maarifa haijalish unasomea nn hawajali, kingn nimejifunza wanasaidizana unakuta wanaish nyumb moja vijana wote baada ya miaka 2 kila mtu anatoka ana biashara kubwa mf anaweza toka india to dubai au any gulf country anapiga miaka 2 na ukitazama mshahara ni mdg ila wanawekeka akiba sana ndio maan kutoka kusafisha garden ya mwarab mpk kuwa c e o wa mall kubwa ambayo mwarab huyo huyo ataenda kununua😂, uliza migahawa yote ni wahindi, ukiza shopping mall, hosp privat nzur zote wahindi, wajenzi, online shopping zote walianzisha wahindi gulf ofcz najifunza mengi sana kwa wahindi, hasa ukiona wanavyoteseka kwa warab gulf jua mvua zote wapo nje😢 ila miaka 2 tu amepiga hatua, na wakioa hawaach hovyo anaacha mke na watt india miaka 5 ila akiwafata anawabeba wot anawaleta gulf wakienjoy maisha bongo uaminif kwenye ndoa tu shoda unamvumilia mume kila hali akipata anakuona sio type yake, mke halikadhalika ndio maan wenzet family ziko imara popote wako wote, ndio maan ukaya wanawachukia wakipita wa awaambia maneno ya kibaguzi coz ni watu muhim sana na wamewazidi mengi. Angalia hata onlin busnez bongo nying zimejaa utapeli na uongo na hata wateja nal ni matapeli lkn njoo gulf uone onlin za wahind vile zinafanya vizur mpk warab wanawaiga wanawatulia ktk biashara zao, mhindi anajali hata sent mia wanajua kumuaminisha mteja na sio matapeli ukiagiz hata abaya unaletewa fasta kulik hata onlin za warabu wanajivuta. Umoja wanao we angalia wana magr ya kupeana connection gulf na ukipata tatiz wanaungana kulisolv tofaut na bongo vijana wa nje gr zao kutaft wachumba😂, mara umbea umbea tu ukiwa na shida hakuna anayejitokeza, wanashauriana ushauri mibovu na kuishia kulalamika, wenzetu wanaunda magr ya manufaa ila vijana w abong tamaa mbaya kutokuaminiana yaan wahind akiona mhind mwenzake anakuw ndg anafurah bong mkionana tu wanasonyana wanakutizama kama sio mtz kujumla hatuaminiani njoo kweny kutuma mizigo yaan kampun zote za waswahil ni matapeli unawapa kwa kuwaamina ila hawaaminiki mzig hutoupata na hela wanakula afu wanataka wawe ana akili kama wahindi wawe matajir kama wahindi weee thubutu vijana wa kibongo dhulma na utapel zinawatesa kuatajirika no, kwanza saiv hata ukimpa mtu biashara afanya umlipe na cha juu bado atakuibia atafilisi yaan mpk mafundi unamp akujengee anakuibia na unamlipa vzr tu loh vijana bongo tubadilike unapooiba kitu au kutapel mtu kutokuaminika unapoaminiwa ni njia moja wapo ya kutokuendelea .

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Год назад +3

      Walishakutepeli waswahili 🤣, Funzo ulilolipqta funza nduguzo, waswahili wameshashindikana

    • @davidkamando9630
      @davidkamando9630 Год назад

      Jifunze kwao... Muhindi ni mwanadamu kama wewe... Acha akili za kitapeli

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo Год назад +2

      Juzi jamaa yangu wa karibu amenipiga million 6 ambayo hio nimeipata Kwa Shida sana nimejibana sana Kwa kuweka akiba...alaf jamaa akaichukua kirahisi sana ila Mungu yupo

    • @shylagwadebalima7572
      @shylagwadebalima7572 Год назад

      @@patrickKitambo ila maisha yetu waswahili ni ya kijinga sana

    • @MuunganoKamwisire-lf9si
      @MuunganoKamwisire-lf9si Год назад

      Mh,

  • @peterokalo9632
    @peterokalo9632 Год назад

    Asante Dana wafirika ☺️

  • @abdiqdir4548
    @abdiqdir4548 Год назад

    Dood theacher
    Asante sana

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi Год назад

    😂😂😂😂Daah! Kweli jamaa amewapa za uso wabongo.

  • @Laurianmura
    @Laurianmura Год назад +1

    Leo.nimeongeza.darasa

  • @anwary_sultan
    @anwary_sultan Год назад +60

    Alaf kitu kingine Mr.Mpagaze sjajua hzo makala zako unazitoa chini ya misingi ipi ya kiiman na falsafa, Biashara sio unyama, Biashara sio kudhulum, Biashara sio kutesa, Biashara sio kuonea Biashara sio self-thinking mindset hzo falsafa unazoziskia kwa Akina kayosaki ztakupeleka hasara "make the world unfair for self advantages" labda nkufumbue macho kuna vitu vya siri hujui kuhusu wafanya biashara wa kihindi wenye mafanikio wako makini sana to avoid unfairness or injustice kwenye biashara zao mfano ni vigum sana muhindi kukuibia chenji au kuongeza cha juu ili afaidike yy haliyakua anao uwezo wa huo uovu. Kikubwa watu yatafte sana maarifa ya kitu unachotaka kua maishani mwako simama katika misingi ya Iman na falsafa zako. Ukikaa ukasubir Denise au kayosaki wakutafunie nn cha kufanya utaangamia, kila kitu hpa duniani lazma kiendeshwe na Imani na Falsafa flan.

    • @idrisamara6510
      @idrisamara6510 Год назад +10

      indeed you are very correct boy!, Bila misingi ya Imani kwa Mola, yaani UAMINIFU, UKWELI NA UADILIFU hata uwe muhindi hautoboi maana DHULMA na UONGO havisimiki jambo ispokuwa Kwa siku chache tu.

    • @dismasmalelo8478
      @dismasmalelo8478 Год назад +1

      @@anwary_sultan this is wonderful jamani

    • @MuunganoKamwisire-lf9si
      @MuunganoKamwisire-lf9si Год назад +1

      Mh,

    • @kelvinwanjo186
      @kelvinwanjo186 Год назад +1

      Wahindi wa uku Kenya ni chap chap si kama uko

    • @kammymgina.mginatv
      @kammymgina.mginatv Год назад +3

      Yaah hujakosea...yaan hapo mojawapo cha msingi nilichokiona, ni ile hali ya kutokuhama hama from one place to another, mfano yule muhindi wa stationery kule kariakoo...Yaan wana hali ya juu ya CONSISTENCY.
      Pia ile hali ya kukaa na familia , yan kuiweka familia yake karibu zaidi, almost kwenye kila step. Sio kukomaa peke yako, ukifarikia unaowaachia wanakosa pa kuanzia na kukosa kukua loop holes za hapa na pale.

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv Месяц назад

    Kama ni misingi ya kiimani mbona viongozi wa tanzania wanatuibia sana na bado wanakua matajili jamani ebu anaye jua hii sili ani eleweshe vizuri

  • @georgendiga
    @georgendiga 9 месяцев назад

    Kenya kiswahili ya ndani ngumu, wahindi ndio wenye biashara kenya kubwa. Familia ndio wanafanya biashara

  • @AnthonyVitalis-iy5su
    @AnthonyVitalis-iy5su 10 месяцев назад

    Mzee Zakaria wa mnazimoja alishafariki lakini biashara inaendelea

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr Год назад

    Wahindi wanasaidiana na wanajua kuendeleza,,,African ni roho mbaya,hutaki mwenzako afanikiwe, na ukifanikiwa ndugu hao haohao watakuua

  • @andreymalisa9852
    @andreymalisa9852 Год назад

    Maamae wabongo wanarooooga uwiiiiiiii....

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf 3 месяца назад

    Tujifunze nini kutoka Kwa wahindi Zaid ya kukwepa Kodi na rushwa hembu watanzania angalieni nchi ya India kwenye mitandao sio kuona hao hapo kwenu ambao NI wakwepa Kodi na rushwa tu

  • @DoriceDaniel-ct4co
    @DoriceDaniel-ct4co Год назад +1

    Mbona unaniamsha

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 10 месяцев назад

    Wahindi wako top unakuta Mhindi anauza sindano anaendesha gari kubwatu

  • @officialosama
    @officialosama 10 месяцев назад

    umesahau pia CEO anaeshughurikia maswala ya anga NASA pale marekani pia ni muhindi

  • @BM_Smart2-6
    @BM_Smart2-6 Год назад

    Sasa kama ndugu yako au mke wako anaweza kwenda kufanya fitina, au kuloga ili usipate au ufilisike, kuharibu mahusiano hata na watoto hapo kila mtu ataishi kivyake, hili tatizo limetokana na tamaduni zetu kwa jamii zetu na koo zetu. Hatuwezi kuwa na succession kirahisi

  • @SaintNjuguna
    @SaintNjuguna 8 месяцев назад

    Hapo 10.08 watoto wa Wahindi wakimaliza Primary hawaendelei na masomo, kumbe masomo ni ya kufunga mtu kwa umaskini 😂😂😂😂😂😂

  • @JohnBernad-x6o
    @JohnBernad-x6o 6 дней назад

    Kwani biashara ili upate faida uza bidhaa zote chukua faida toa kodi ya serikali toa pesa ya umeme, toa pesa ya kodi ya serikali, lipa mfanyakazi, lipa maji, matumizi ya muhimu ya ofs kama tishu, sabuni chakula, itakyo baki rudisha mtaji itakayo bakk ata kama ni 2000 ndio unayotakiwa kuchukua

  • @taturamadhan5940
    @taturamadhan5940 11 месяцев назад

    Muhindi wanafundishwa umoja tangu akiwa.mdogo na anafundishwa biashara akiwa mdogo baba ake akiondoka mtoto anakamata . Mke nae haleti ndugu zake kula mali tofauti na mswahili

  • @anwary_sultan
    @anwary_sultan Год назад +7

    To some extent umeongea some facts. But bdo makala yko haijakaa positive ina elements za white supremacy hyo skulaum waafrica wengi tuliathiriwa psychologically toka utotoni. Hapo kwenye facts za biashara nmeona umebase sana kwenye biashara ya uchuuzi, sio generational investments, otherwise makala nzuri sana but ungekua unatoa elim nn waafrica tufanye sio kuponda race ya watu weusi. Mfano kama mzazi huwez kumkosoa mwanao kwa kumponda utamwathir psychologically na hili ndilo tatizo kubwa litakalo endelea kuua African race kwenye nyanja za superiority zote. Because we poison our minds and generations over and over. Na kwa bahat mbaya sana kutokana na hyo shida most Africans tuna tatzo la self-esteem hatujithamin maskini na sometimes niwagum kuyatafta maarifa mfano nyie global kupitia hyu Denise mpagaze mnatoa makala znaujumbe mzuri somehow ila not all who receive this are able to interpret it perfectly na kuchambua kipi cha kuchkua na kuacha. Makala za Denise mostly ni za hyo nature, hata vtabu maarufu vya maarifa na self-development viko hvo mtu hutakiw kumeza whatever Napoleon na Kayosaki says. Kwa ushaur wana global na Denise mkae mlijadili hili ss kama waafrica wazalendo tunawategemea ninyi wenye sauti (Media) kukomboa jamii kifikra in a positive way ila so kwa hii strategy mnayotumia kwa ss. Together we can change Africa and how the world perceives Africa.

    • @JIWEtv6484
      @JIWEtv6484 Год назад

      Uko sawa mkuu

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Год назад

      Kubali Tu ukweli waswahili tuna shida,,,

    • @anwary_sultan
      @anwary_sultan Год назад

      @@jumakapilima7295 Hapo ss bwana Juma hyo ndo shida yenyewe.. okay umeshajua kuna shida mahala jitihada au mawazo yako kwaajili yako na vizazi vyako na maisha ya hapo bdae ni yapi au umeridhika na hali unasema ni sawa..? Je unakubali kuishi hvi milele na wjukuu wa wa wanao waje kuish kama ww..? Tafakar.

    • @johnstonedevos
      @johnstonedevos Год назад +2

      Uko na point nzito, am from Kenya na pia naeza sema ata pia wewe uko na sauti ambayo unaweza anzisha huu mjadala kupitia social handles na watu wakachangia si lazima Media kubwa waseme

    • @jewel7029
      @jewel7029 Год назад +1

      Very well said, you can play a big role by indulging yourself with the media andd becoming our voice. Congratulations

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 Год назад

    Wallah nimechka nikwli haswa😂😂😂😂😂😂😂

  • @muonlinetv1879
    @muonlinetv1879 9 месяцев назад

    Hakuna utajiri wa haki kama wa biashara halali

  • @rodabeutychannel6626
    @rodabeutychannel6626 Год назад +7

    Mimi Niko INDIA 🇮🇳 Mungu anisimamie Kwakweri 🇹🇿

    • @njuka3515
      @njuka3515 Год назад

      Tanzania kuna nini😂😂

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz Год назад

      Unafanya nn India

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 Год назад

      Ndugu yangu nilikuwa nakuheshimu lakini kuanzia leo nakufuta mpumbavu wee yaani unafurahia watanzania wezako kupigwa na wahindi ndani ya Tanzania 🇹🇿 yao? jitafakali mara mbili kabla ya kufungua mdomo wako usijione mjanja peke yako wa kufundisha watanzania maisha hivi unalijua ya kwamba hao watu wanatuita sisi ni Manyani? Na hawaamini kama sisi ni binaadamu? Kuna ndugu zetu wameasilika kimaisha kupitia hawa watu na hayo matamshi yako ya kipumbavu na ya kijinga jinga ndio unazidi kuchochea moto ili jamii yetu iendee kunyanyaswa na hivi viumbe kwa hiyo ndugu yangu NAKUONYA kuanzia leo iwe mwisho wako kuzungumza mambo ya HATARISHI KAMA HAYA KWENYE JAMII YA WATANZANIA poleni sana kwa watanzania wote mrioumizwa na hizi kauli TATA 🙄🙄🙄😭😭😭😭

    • @ismailkan2171
      @ismailkan2171 Год назад

      Upo India jimbo gani?

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu Год назад

      @@shinipapaya846 watu wote duniani Wana tabia ya kudharauliana, humu kwenye mitandao mtu mweusi ana mwita mwenzake umbwa! Acha chuki za utafauti wa rangi. Tena sisi wafrica tunasaidiana kwenye misiba na kunywa pombe, rafiki yako atakupa pombe sio mtaji.

  • @Lzzlzz-k3m
    @Lzzlzz-k3m 6 месяцев назад

    Pia huko kuna maskini