KIJANA ALIYELAWITIWA NA WATU 60 ZANZIBAR ATOA USHUHUDA (Episode 03)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 фев 2023
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

Комментарии • 125

  • @amirybeka9602
    @amirybeka9602 Год назад +12

    Subhanallah, Allah awalaani viongozi wanaoharibu jmaii.
    😭😭😭
    Allah. ATUONGOZE katk kher ummat Muhammad (S.A.W)

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 Год назад +9

    Innalillah wainnailaih rajiun 😭😭😭Subhanallah Yarabby Mola wetu tustir sisi na vizaz vyetu Mola wetu tunakuelekea wewe Ndie tegemeo letu Yarabby Litokomese hili janga jaman Tunaelekea wapi😭😭Umma Umepotea na unaendelea kupotea kadir sik zinakwenda na Mambo yanabadilika Lahaulawalakuwwataillabillah😭😭😭😭😭😭😭😭😭لا إله إلا أنت سبحانك إني كنت من الظالمين 💔😥😥😥

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 Год назад +7

    Lahaula walakuwat ilabilah mungu awalani wanao haribu watoto yarab tustiri na watoto wetu 😭😭

  • @rashidramadhan8998
    @rashidramadhan8998 Год назад +20

    Kuto Taja hicho chama na wahusika mnafanya Zoezi la mapambano kuwa magumu ushauri wangu kila kitu kiwekwe wazi hao wahusika watajwe

    • @abdulbandidu119
      @abdulbandidu119 Год назад +1

      😂😂😂😂 Shehe wng kwan hukijui chama cha wasenge na mabasha. ??

    • @user-mq6lu2po3y
      @user-mq6lu2po3y Год назад +1

      Ata kama hakijatajwa legend tushafaham ila na hiyo ya mtoto pia tushaelewa ni mtoto wa Zanzibar sehemu gani

    • @arshadmohammed3207
      @arshadmohammed3207 Год назад +2

      Maskini anatilisha imani😭😭😭

    • @haswatv5304
      @haswatv5304 Год назад

      Hakikaa

    • @shersaid7988
      @shersaid7988 Год назад +3

      Wamelaaniwa hao viongozi wanaofanya huo ubadhuri.Allah atawahukumu inshaalla watoto wao yawafike kama wanavowafanyia watoto wa wenzao.Shame on you.Hasbia Llah waneema lwakiil.Ndio maana hayamaliziki huo udhalilishaji.Tumuogope Allah kuna hesabu akhera

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du Год назад +8

    Ofisi ya Mufti tunaomba msimamo wenu kuhusu maasi yalizokithiri Zanzibar. Ushauri wangu: irejeshwe sheria ya kuvaa nguo zenye stara ilokuwapo wakati wa mzee Karume. Sheria hii iwe applicable kila sehemu, ikiwamo mitaani na beaches. Ulevi wa aina zote Zanzibar upigwe marufuku, sehemu zote. Sheria hizi ziwahusu raia na wageni, wakiwamo watalii. Mabaradhuli na malaya wote wapelekwe chuo cha mafunzo wapate marekebisho.

    • @azizamohd5728
      @azizamohd5728 Год назад

      Mavazi na kuingiliana waume imeingiaje

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du Год назад

      @@azizamohd5728 Da Aziza, issue ni kuporomoka kwa madili na kukithiri kwa maasi. Udhibiti wake unahitaji holistic approach. Dini yetu inatufahamisha kujistiri, wanaume na wanawake.

    • @pavillioncry5241
      @pavillioncry5241 Год назад

      Sahau ndugu yangu tena ondowa asa ayo mawazo katika akili yako

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du Год назад

      @@pavillioncry5241 Naam bro/sis. Kwani wewe una msimamo gani kuhusu ushoga n.k.?

    • @hemedytengu5718
      @hemedytengu5718 Год назад

      Allahu Akbar, nihuzuni nikilio wallahi nikisikia mambo kama haya Huwa nakosa usingizi, ninamengi yakusema ila sijui nitasemea wapi

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 Год назад +8

    Tumbo linaniumaa kama mzazi yarabi tusturi na bizari vyetu

  • @fatmaismail7683
    @fatmaismail7683 Год назад +3

    Kiukweli jambo baya sana lkn kama ameamua kuacha mungu wa mbinguni amsamehe na ingependeza hao watu wangetajwa ili sheria ifate mkondo wake maana nchi yetu hairuhusu mapenzi ya jinsia moja mwenyezi mungu tusaidie

  • @fatemazanzibar877
    @fatemazanzibar877 Год назад +3

    Mungu akupe nguvu na imani kaka yangu iache kiukweli

  • @barwani890
    @barwani890 Год назад +3

    Kwa nini wasichukue wtt wao tunawaomba viongozi wa dini mshirikiane subhanallah naongea ktka oman

  • @FatmaMohamed-jw2lc
    @FatmaMohamed-jw2lc Год назад +1

    Walikuharibu ulipokuwa mdogo Sana Allah akusimamiye nakupenda Sana kaka yangu Allah akufanyiye wepesi riski zako

  • @user-mx1gj3cp3l
    @user-mx1gj3cp3l 11 месяцев назад

    Pole ndugu yangu na mmi natokea hukohuko ila sasa nashkuru nimeacha alhamdulilah.

  • @maulidinchasi6401
    @maulidinchasi6401 Год назад +3

    Nimejikuta nalia wallah lakin kiukwel huu ni mtandao mkubwa sn na upo ndan ya serkal yenyewe

  • @amanimyolo1478
    @amanimyolo1478 Год назад +2

    Allah akuhifadhi mama yangu Amin

  • @LaylaSeyf-jb3hp
    @LaylaSeyf-jb3hp Год назад +1

    Hao watu wallah wangetajwa Kama washenzi. Wakubwa laana zake Allah ziwashukie

  • @stonetown578
    @stonetown578 Год назад +2

    SubhanaAllah!!! YaRabbi mpe subra huyu kijana.

  • @jojomohamed3418
    @jojomohamed3418 4 месяца назад +1

    Machozi yananitoka wallhi inauma sanaaa😭😭😭

  • @peterbaton5251
    @peterbaton5251 Год назад +1

    Mm Nikijana Nauyo Nikijana Mwenzangu Nnasikitika Sana kwairo liromtokea Namuombea Sana Kwa Mwenyezi Mungu 🙏🙏 Awexe Kumsimamia Asje Akarudia Tena Hiyo Michexo😭😭😭

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 Год назад +1

    Jamani mzee wageni wote wafukuzeni warudi Kwao muone yataendelea yaani nakerekwaa mimi viongozi waifungee hiyo bar jamani. Mzee paza sauti

  • @barwani890
    @barwani890 Год назад +3

    Subhanallah mungu amhifadhi na mengine.hao viongozi hawaoni haya kuyafanya hayo

    • @husna34562
      @husna34562 Год назад

      Imagine waume za watu subhanallah

  • @mwanaidathuman78
    @mwanaidathuman78 Год назад +1

    Kabisaa mungu awalaani

  • @kimwanachangani3922
    @kimwanachangani3922 Год назад

    Tuongoze njia iliyonyooka yaa raaby aamiin thumma aamiin

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Год назад +1

    Mtihani kwa kwl

  • @samkaka2218
    @samkaka2218 Год назад +1

    Allah Atuhifadhi na hii mitihani

  • @fatmatwalib8179
    @fatmatwalib8179 Год назад +1

    Subhanallah

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 Год назад +1

    Subhana Allah

  • @amanimyolo1478
    @amanimyolo1478 Год назад +1

    Kweli baba yangu zanzibar sasa haifai watu wanakwenda uchi zanzibar baba Hussein mwinyi angalia mwendo wa magufuri watuwalipewa kanga na malaya kupigwa lin Leo laana tu LLAH imeshuka zanzibar.

  • @kimwanachangani3922
    @kimwanachangani3922 Год назад

    Subhana LLAH Allah anusuru vizazi vyetu

  • @abdulrazaqmusa3192
    @abdulrazaqmusa3192 Год назад +3

    سبحان الله نسأل الله العفو و العافية 😢😢

  • @khadijasimba394
    @khadijasimba394 Год назад +1

    Wazanzibari mna tabia ya kuleana,mapambano haya hayawezi kufanikiwa.Kama kweli mko serious na jambo hili watajeni wahusika.

  • @salma0000
    @salma0000 Год назад +2

    Inauma sana kusikiliza habari kama hizi. Wazee kuweni waangalifu na watoto wenu, ile tabia ya kuwapa uhuru watoto na kiume na kulinda watoto wa kike imepitwa na wakati, watoto wote wapo hatarini

  • @jukaelyelisha6311
    @jukaelyelisha6311 Год назад

    Aiseee duh ibabidi ichukuliwe hatua na sheria kali sana maana watoto wetu watakuwaje mbeleni huko

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 Год назад

    Ohh subhanallah

  • @user-wi4rw4xg9g
    @user-wi4rw4xg9g Год назад

    Duh subbhanna Allah tunaenda wap jamani

  • @mwanaidimdira4068
    @mwanaidimdira4068 Год назад +3

    Subhanallah Allah anusuru vizazi vyetu

  • @mohammedalnabahan.4127
    @mohammedalnabahan.4127 Год назад +1

    😭😭😭😭😭😭Innallilah wainaillaih rajiun

  • @amanimyolo1478
    @amanimyolo1478 Год назад

    Allah.bariq africa

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 2 месяца назад

    Pemba inangoza tena walimu wa chuoni seghe nyundo al8kuwa anasema kila siku wanaharibu watoto wadogo wa chuoni

  • @hadijamandanje6189
    @hadijamandanje6189 Год назад +1

    Mwili unaniuma kwa kweli

  • @IsujaHakimu-zf7ed
    @IsujaHakimu-zf7ed Год назад

    Inalilah wainailahrajuuna hii zanzibar inapo elekea xaxa itakuja kugeuzwa sadomo nagomora

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 Год назад +1

    Hawa watu watajwe hadharani,Si wakufichwa, Watakao kimbia wakimbie, Wenye kujiua na wajiuwe, Vizazi vyetu viweze kusalimika.

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 Год назад

      Chama ni ccm wengi wameharibika kike kiume kwa ajili ya kupata hizo nafasi

  • @user-fh3np5yk9g
    @user-fh3np5yk9g 26 дней назад

    Daah mam inamuuma san uchungu wake looh kwa mtoto

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 Год назад

    Hasa km mataasisi yameoza viongozi wameoza unadhani .pahala pasipo na kiongozi mzuri siku zote pana ongozwq nq sheitwan.Allah atusaidie ila mtihani tunao.innalillahi wainailayhi raajiuun.huu ni msiba.

  • @shufaaabdulla9614
    @shufaaabdulla9614 Год назад +2

    Imekua kama fashion Sasa ewe Mungu tuongowe sisi na kizaz chetu hakika ww ndio muongoaj

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 Год назад

    Yarab wanusur vizazi vyetu daaa inauma sana 😢

  • @khadijashemliwa7319
    @khadijashemliwa7319 Год назад +1

    Kuweni na msimamo kama nikufunga mahoteri yanayo fanya mambo mabaya

  • @khadijakhamis7711
    @khadijakhamis7711 Год назад

    Waume zetu kaka zetu wako na na ndugu jamaaa na marafiki hii nch haiwi mpk tujue wapi tumekosea kuanzia ngaz ya juu ndio mbovu

  • @winfordmwangonda5375
    @winfordmwangonda5375 Год назад

    Mmmh nimechoka kabisa,yaani mtu anatoka msikitini kuomba radhi za mola wake, watu wamsubiri na kumkamata wamwingilie kinyume cha maumbile ,tena utakuta hawa mchana hujiita "waislam".

  • @kulthumsaid
    @kulthumsaid Год назад

    Bora hao wengine watajwe😊

  • @alakhy1-yi2pn
    @alakhy1-yi2pn Год назад

    Ao watu watajuwaje km ni sehemu flan inapotosha jamiii

  • @soudia9084
    @soudia9084 Год назад +2

    Itabidi ataje majine.

  • @arshadmohammed3207
    @arshadmohammed3207 Год назад +1

    😭😭😭😭

  • @ruu6592
    @ruu6592 Год назад

    Sehemu yoyote inaingiza watalii uhuru wa maasi unakua wa hali ya juu

    • @bashir3515
      @bashir3515 Год назад

      As salam aleikum warhmatullahi wabarakatuh...vp hali yko Ruu

  • @NissanAuto-he1jr
    @NissanAuto-he1jr Год назад

    Dr.mwinyi unayataka wewe hayo kwa Nini ukae kimya mbona unakuwa kama msenge na wewe

  • @aymanmeery5011
    @aymanmeery5011 10 месяцев назад

    😢😢😢

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 Год назад

    لا حول ولا قوة الا بالله 😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @khadijakhamis3480
    @khadijakhamis3480 Год назад +1

    Hatar sana

  • @aishaalhabsi21
    @aishaalhabsi21 Год назад

    tatizo kufisha wanao ogoza hayo

  • @abdlaahabdalaah6911
    @abdlaahabdalaah6911 Год назад

    Mpaka nyinyi mlio stodio niwapumbavu yaani mnaona ndio dili kumtangazia mwenzenu kalawitiwa mnaona ndiokivutio kwenu iv kama aengekua nimtt wakwnu munge muekahapo mktangazie hivyo hayass inatufunzann acheniujinga ifuteni iovidio mumsitiri mwenzenu

  • @alakhy1-yi2pn
    @alakhy1-yi2pn Год назад +1

    Sasa munaficha naona ivo vitengo

  • @suleim505
    @suleim505 Год назад

    لا حول ولا قوة إلا بالله

  • @alkadonkundwe
    @alkadonkundwe Год назад

    Aibu ni vazi la muumini, nyinyi mnatangaza ushoga kwa staili hiyo.

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 Год назад

    Endeleeni kufurahia matunda ya muungano

  • @user-mx1gj3cp3l
    @user-mx1gj3cp3l 11 месяцев назад

    Wahang tupo wengi

  • @alkadonkundwe
    @alkadonkundwe Год назад

    Mnatangaza ili iweje?
    Mtayapata siku ya kiama mnayoyatangaza.

  • @azizaaziza5453
    @azizaaziza5453 Год назад

    Hayo mashitika nani snayashikilia

  • @babafaida9719
    @babafaida9719 Год назад +1

    Kwanini usitaje chama

  • @azizaaziza5453
    @azizaaziza5453 Год назад

    Jama hatatabmfanye nini uongee nini hivo vysma musipo dili navyo .bado tuna mtihsn

  • @aliy3303
    @aliy3303 Год назад +3

    Xaxa mbona huko kwa chama ndio ulisema ulishawishika..mara umeanza primary

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 Год назад +1

      Ndio hapo katwambia kaanza kwenye chama saiv tangu miaka 6 kumbe subhanallah kumbe kaanza zamani

    • @khalidabdulla6545
      @khalidabdulla6545 Год назад +1

      Inawezekana sn ...maana alisema uongoz alianza akiwa chipkiz...na chpkz wanakuwa watt wdg tu ,,my std 4-7

    • @jumaali7119
      @jumaali7119 Год назад

      Muongo huyu Dogo

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 Год назад +3

      @@jumaali7119 😅😅 muhimu kafikwa na mtihani na vizur katubia

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 Год назад +1

      @@jumaali7119 Inaonekana unapenda hayo mambo ndio unabisha ,kwani watoto wa darasa la 4,5,6,7 na kuendelea huoni kuhusishwa na siasa?.mbona unakuwa mgumu kuelewa.

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 Год назад

    Ikemewe naifanyiwe kazi lkn kijana huyu kwanini awe dhaifu hadi afanyiwe, aache ushenzi amnogope mola wake

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 Год назад

      Viongozi Wa siasa na serikali Ndo wanowaharibu

  • @bobllysalum5379
    @bobllysalum5379 Год назад

    Ni kwann Huwa hawatajwi majina Yao hao watu. Ninaamin wakitajwa hao watu inaweza ikasaidia

  • @stonetown578
    @stonetown578 Год назад

    YaRabbi waangamize walomfanyia unyama huu.

  • @captainlii2351
    @captainlii2351 Год назад

    Daaah iseee hii inahuzunisha Sana kesho tar 17 tuungamane pamoja na waislam wa Kenya kupinga vitendo hivi ni udhalili mkubwa sana..

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 Год назад +1

    Mtandao mkubwa. Unguja laana badilikeni lol. Ndomaana watoto wakilautiwa kesi hai shughulikiwi vzr kumbe kuna viongoz pia

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 Год назад

      Viongozi Ndo wanoharibi 7bu ya pes zao na nafasi walizonazo hukudanganya watakupa tia nafasi

  • @menalikechildren8836
    @menalikechildren8836 Год назад

    Sasa huyu jamaa mm nashindwa kumuelewa, ktk Episode 2 kasema alianza kulawitiwa alipokuwa anataka nafasi ktk serikali ktk video hii anasema kaanza kuliwa tokea akiwa darasa la 6 sasa mtoto wa darasa la 6 anajishuhulisha na siasa? huyu fala ni muongo na ana tabia ya kuchafua watu

    • @husna34562
      @husna34562 Год назад

      Mie pia nimeskia hivyo lkn ukweli aujua yeye na muumba wake kikubwa ashatubu mwenyezimungu atuongoz

    • @mohamedshaqsy8695
      @mohamedshaqsy8695 Год назад

      Kasema uongozi wa chipukizi kwa vijana

    • @KhalidAli-nk5qh
      @KhalidAli-nk5qh Месяц назад

      Mm pia nahisi hii stori kama ina mapungufu

  • @kijakazinyalinga7003
    @kijakazinyalinga7003 Год назад +1

    😭😭😭😭