The Story Book: Mji wa Tanzania Uliokuwa Mji Mzuri Zaidi Duniani (Historia ya KILWA)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 667

  • @tanzanian8847
    @tanzanian8847 2 года назад +25

    Huwez kutengenisha historia y mji wa kilwa na ukuaji wa uislam afrika. Historia ya kilwa ilipotezwa ili kuficha historia ya uislam Afrika Mashariki na MCHANGO wa uislam katika maendeleo ya dunia.
    Ahsante sana Jamal Hashim kwa documentary hii.

    • @SilaMinanda
      @SilaMinanda 10 месяцев назад +1

      Ni kweli kaka, historia ya kweli inafichwa ambayo ni kubwa kuliko ata nyerere wanaomuabudu na kumuita baba wa taifa, wakati huo waislam ndio walianza kupgania uhuru maana ata ukoloni ulianzia pwani na sio bara.

    • @sarastephano3409
      @sarastephano3409 5 месяцев назад +2

      ​@@SilaMinandaHata uislam pia uliletwa na waarabu ko wenyeji hawakuwa waislam Ila waliletewa hiyo dini na waarabu

  • @mahamudumbwana382
    @mahamudumbwana382 2 года назад +60

    Maaana halisi ya kwamba hakuna kinachodumu duniani😢😢 kila kitapita tu na kitabaki kua historia ee mwenyezi Mungu tujalie mwisho mwema

    • @perujumah1422
      @perujumah1422 2 года назад +1

      Ameen thuma ameen

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 2 года назад

      @@perujumah1422 Allahumma Aaaameen

    • @SamirBSam
      @SamirBSam 2 года назад

      Watu tunapita. KILWA YA SASA NI KIJIJI CHA OVIO SANA. IMEBAKI KIJIJI CHA HISTORIA. SEHEMU WANAO PIKISHA KILA CHAKULA KWA MAFUTA YANAZI.

  • @yohanamhagama8975
    @yohanamhagama8975 2 года назад +54

    Nimefurahi Sana prof Jamal kwa kuitangaza nchi yetu wengi wetu hatujui mambo mengi ya nchi kwa kuwa hatuna utaratibu wa kutembelea vivutio vyetu vya kale

    • @saidibinur9743
      @saidibinur9743 2 года назад +2

      Kwl kpnd hik kinakuwa siku gan na saa ngap

    • @neemamwita9733
      @neemamwita9733 Год назад

      Kilwa jamani ipo kama unaenda wap

  • @abuubilal2646
    @abuubilal2646 2 года назад +52

    Sababu ya mji wa kilwa kupotea ni kwamba walipokuja wareno kutaka kutawala waliwaamrisha wenyeji. wa kilwa kubatizwa kwa nguvu walipokataa ndipo kwa wivu wao wakaamua kuupiga makombora mji huo na kuuharibu na wakawachukua utumwani wenyeji.Ukitaka kuijua historia ya kilwa kiundani waulize waislamu wanaijua vizuri

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 6 месяцев назад

      kwani wareno walitawala Tanganyika ?

    • @FahdiSultan
      @FahdiSultan 5 месяцев назад

      Walitawala Kwa muda mfupi hapo kilwa na Nchi za Kusini mwa Africa ​@@magigesabai8674

    • @husnakalumba2578
      @husnakalumba2578 3 месяца назад

      Waleno 😂kasome tena historia

    • @MimmahYassin
      @MimmahYassin 12 дней назад

      Weee mkaka acha uong nan kakwmbia umepotea mm ni m2 wa kilwa nmezaliwa na kukua uko kil mahal apo napajua nmefk nmecheza na 2mecheza rede apo nina miaka 22 acha uongo nyauba www😂

  • @arapninja_things
    @arapninja_things 2 года назад +13

    Hakika professor Jamal , nimeweza kujua kikamilifu staarabu za kilwa ya kale... Naitazama kutoka nchi Jirani ya Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Asante sana

  • @hassansaidhajji001
    @hassansaidhajji001 2 года назад +56

    Professor your are my model especial in knowledge,learning,innovation and other aspect Allah bless you my brother

  • @leonardpeter3953
    @leonardpeter3953 2 года назад +9

    Nafatilia sana kaka simulizi zako, big-up sana kwa kutufunulia yaliyokuwa nje ya ufahamu wetu. Naomba pia siku moja utuletee simulizi ya JACK THE RIPPER.

  • @HusseinAllih-Arsenalke
    @HusseinAllih-Arsenalke 2 года назад +2

    umenielimisha sana kakangu.Serikali za africa zafaa kuikuza zaidi kwa manufaa ya wananchi

  • @HabibuChobu
    @HabibuChobu 10 дней назад

    Shukran Jamali kwa utalii wako sehemu muhimu ya kilwa kisiwani.
    Tumenufaika sana kwa ziara yako.

  • @jumakibe5032
    @jumakibe5032 2 года назад +2

    Dah...Jiwe la jahaz sio mchezo! Prof Jamal na mm Naenda kilwa kupaona. 🙏

  • @perujumah1422
    @perujumah1422 2 года назад +13

    There is no permanent situation,Allah atujalie mwisho mwema😢😢🤲🤲

  • @MWEGOHA
    @MWEGOHA 2 года назад +3

    Nilikuwa nikiisikia historia ya Kilwa ila sikujua kiundani hivi kama ulivyonielimisha leo @Prof Jamal, umenifanya niendelee kutafuta makala mbali mbali kuhusu Kilwa ila zaidi nahitaji kuutembelea nikajionee kwa macho mji huo ambao ni hazina kubwa sana Tz na Africa, Hongera Wasafi Media, Hongera Professor Jamal kwa kazi nzuri, "The Story Book" forever 💥

  • @Sautiyamajini
    @Sautiyamajini 2 года назад +7

    Jamal wewe. Ni kipenzi changu katika utafiti na kutuletea mambo mazuri kama haya you are my favorite documentary artist be blessed

  • @idrisadalluc4498
    @idrisadalluc4498 2 года назад +3

    Blo nazani allah amekushusha iwe msaada kwetu blo nakubalisana nakuombea kwamungu uwe namalifazaid utufunulie zaidi ishallah

  • @abdallahmwanjile471
    @abdallahmwanjile471 2 года назад +11

    M/mungu akinijaalia uhai nitaitembelea kilwa insha'Allah

  • @michaelliungo7811
    @michaelliungo7811 2 года назад +53

    kusini kumesahaulika sana na leo nimeamini kwamba Jamal ndio mtu pekee mzalendo wa nchi hii mwenye kujua thamani ya historia yetu

  • @samwelthomas239
    @samwelthomas239 2 года назад +8

    Professor you are the best historian I never had,ila uwe unawasiliza hao sources alafu unasimulia mwenyew ,maana wakiongea wanapunguza ladha ya story book, we need your real voice only✊

  • @alimzee
    @alimzee 2 года назад +5

    Kwa kweli istoria nzuri inatungumbusha tuiwekee maanani sana.ikarabatiwe

  • @jumakibula4851
    @jumakibula4851 2 года назад +2

    Jamaa yetu jamali ni Professor Aisee, Big Up bro

  • @selemannaoda2027
    @selemannaoda2027 2 года назад +4

    Upo vzr Sanaa!! Kilwa Ina historian kubwa Sanaa. Ingawa serikali Ina inaacha historian ya mji uwo inazidi kupotea. Inashindikana nn kutengeneza mjii una unaofanana na historian unayo silmuliaa?! Ili tuweze Linda historia ya mjii wa Kilwa.

  • @aliisaid854
    @aliisaid854 Год назад +7

    Nyerere ameua mambo yote

  • @kingkittah6748
    @kingkittah6748 2 года назад +17

    PROFESSOR ...!! MTAALAMU KABISA.!! 🙏🙏🙏

  • @teaminfinity4995
    @teaminfinity4995 2 года назад +53

    Ibn Battuta was a moroccan traveller the great city at the most powerful. writing in 1332 Battuta note that the city of kilwa is among the most beautiful cities and elegantly built

  • @dieudonnejohnson5200
    @dieudonnejohnson5200 2 года назад +38

    Kazi zako zote huwaga ni nzuri mno!👌
    Kusema kweli, hongera sana ndugu yangu, wewe pamoja na team yako nzima. 💪
    Ila, nina ka advice kadogo.
    Nadhani ingekuwa vema unge jitahidi kuweka "english subtitles" ili ku wa accommodate wenzetu wasio sikia lugha yetu hii ya Kiswahili.
    Maana darsa zako zote huwaga ni kubwa sana, na za kimataifa zaidi.
    Fikiria hili Bro, na ikikupendeza wewe, pamoja na team yako, basi implement hio strategy.
    Ila kama nilivo tanguliza kusema hapo hawali, ni wazo langu tuu, na wala si lazima kufanya hivo.
    Asante sana ndugu zangu, na m'barikiwe!!
    Congrats guys!💪💪💪
    MAY GOD BLESS AFRIKA!!!🙏🙌💪❤

    • @philipbonhour4987
      @philipbonhour4987 2 года назад +5

      Wajifunze kiswahili

    • @muxxerju7532
      @muxxerju7532 2 года назад +6

      my brother me naona ibaki ivyo ivyo tuu hakuna haja ya subtitles wasiojua kiswahili wakajfunze then warud tuelewane kwa kiswahil. mbona wao kwenye makala zao hawatuwekei kwa njia ya kiswahil mpka tunajifunza lugha zao kwaiv na wao acha wakajfunze na ss lugha ytu ikuwe now ishakuwa lugha rasmi mpka kwnye jumuiya ya africa mashariki inatumika

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 2 года назад +2

      @@philipbonhour4987 "wajifunze kiswahili," fullstop....

    • @sadanahimana7193
      @sadanahimana7193 2 года назад

      wajifunze kiswahili na sisi lugha zao tunajitahidi kuziiga hadi tunaweza mimi huwa na komenti kwa kiswahili chochote nikiona kinanifurahisha na watu wananiuliza hiyo lugha niyipi nina wajibu vizuri sana

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 2 года назад +1

      @@sadanahimana7193 Hahaha umenifurahisha walai, kwanzia Leo nafwata nyayo zako.....kwani sisi miaka na Mikaka ndio tutakua tunajifunza za wenyewe...

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 2 года назад +7

    Asante kwa Historia ya Kilwa Nchni Tansania

  • @lotilazaro8845
    @lotilazaro8845 2 года назад +5

    Big up xaaana professor Jamal unaendelea kutuonyesha ubora na thamani Yako katika Kazi yako

  • @jamesmzaki6041
    @jamesmzaki6041 2 года назад +3

    Dah! Bonge moja la mji wa kihistoria ila nashangaa promo kubwa inapigwa Bagamoyo

  • @rubenmatley9552
    @rubenmatley9552 2 года назад +23

    🙌🙌👏👏 you are inspiring me to seek more knowledge

  • @bakaryCMD
    @bakaryCMD 2 года назад +10

    The great professor of all time

  • @ahmadsaid4878
    @ahmadsaid4878 2 года назад +2

    Hakika Tanzania tuna history kubwa sana Big up sna Bro kwa kuona mbali

    • @irenewile
      @irenewile 2 года назад

      Hapo ndio maneno ya Kiswahili yapogundulika mwaka 17....

    • @ahmadsaid4878
      @ahmadsaid4878 2 года назад

      @@irenewile 👩🏿‍💻Jambo zuri kuijua Tanzania yetu

  • @muddytupa6688
    @muddytupa6688 2 года назад +2

    Unatisha sana my Brother

  • @asaadboy
    @asaadboy Год назад +1

    Kwanza kabisa napenda kukupongeza sana kwa maelezo yako mazuri yanayoeleweka kirasi. Nchi hii yetu ina mengi yaliyofichika kwasababu mbalimbali. Nakuomba tukiwa hukohuko wilayani Kilwa tupo historia ya miji kama kilwa kivinje na songa mnara na kwingine. Kwa mara nyingine nakupongeza sana.

  • @oswaldmwihavapaul8517
    @oswaldmwihavapaul8517 2 года назад +13

    Waziri wa Mali Asili na Utalii , akae na wataalam wake wa utalii wafanye kitu hapa Kilwa ..hiki ni kivutio kikubwa cha utalii na kinaweza kusaidia sana sana Tz

    • @bonita329
      @bonita329 2 года назад +2

      yaani sijui ujumbe wanaupataje hii sehemu Watanzania pamoja na Viongozi wanaichukulia powa lakini ni sehemu muhimu sana kuliko hata zanzibar... hapa maarifa yanaitajika hapa dah 🤦🏽‍♀️

    • @richardlucas2275
      @richardlucas2275 2 года назад +1

      Si ndioviongoz wakianza kupambana kuitangaza nchi tunaanza kubeza mambo ya royal tour

    • @ismailel-mazrui6983
      @ismailel-mazrui6983 2 года назад

      Kabisa ndugu shm km hz ndo katalunya ya madrid

  • @mishekimbuba8260
    @mishekimbuba8260 2 года назад +2

    Asante sanaaa umetuelemishaaa

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 2 года назад +7

    Mtangazaji you are doing a wonderful job. I learned alot about Kilwa which i have not leaned anywhere.

  • @hassanpande9915
    @hassanpande9915 2 года назад +19

    Wa KILWA 🛶🌴 Kam mim, kilwa masoko tujuane 👍

  • @brunokalunga4552
    @brunokalunga4552 2 года назад +8

    Kilwa is an avenu in DRC of cause mwami m'siri aliye talawa jimbo la katanga enzi izo alikuwa munya mwezi na aka dumu Katanga adi Leo.... I love my King.

  • @athuman6223
    @athuman6223 2 года назад +7

    from Philadelphia watching storybook 👏

  • @frankmsigwa153
    @frankmsigwa153 2 года назад +2

    Good upo vizuri Mkuu umenipa raha sana

  • @robinmuganda7690
    @robinmuganda7690 2 года назад +22

    You make Swahili sound elegant. Kazi safi Prof. Much love from 254.

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 2 года назад +2

      Hakuna lugha tamu kuliko kiswahili, kote duniani....

    • @masupildula
      @masupildula Год назад

      @@mpendakiswahili3053 kila lugha Ina uzuriwake na ubayawake kwa watu mbalimbali
      Mzanzibari anayosoma UChinani, na ndiyo najua kuzungumza kichina, usalama ukupate.

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 Год назад

      @@masupildula Kiswahili hakina ubaya....utamu mtupu....

  • @filbertivo1988
    @filbertivo1988 2 года назад +4

    Upo vizuri broo na kwaa picha iliyojijeenga kwetu ww n kama kioo lakini vp hzooo tattoo mkononi yan zinanisumbua japo kua n maisha yako binafsi

  • @shamilamuhamedi7904
    @shamilamuhamedi7904 2 года назад +1

    Mashaallah. Kilwa yetu. Iyoo lindi moja iyoo

  • @zalendo
    @zalendo 2 года назад +2

    Kazi nzuri sana Professor. Utafika mbali sana kwenye upande wa kuandaa Documentary hapa Tanzania.

  • @blasiusrweyemamu5052
    @blasiusrweyemamu5052 2 года назад +6

    Respect prof Jamal April.......wewe ni icon ya marifa

  • @littletv3177
    @littletv3177 2 года назад +2

    Nimefurahi sana kusikia simulizi hii sababu inatuhusu Moja Kwa Moja wa Tanzania nimejifunza mambo mengi ila kikubwa ni kwamba hakuna Cha kudumu Duniani Kila kitu kitapita.

  • @shabaniramadhani714
    @shabaniramadhani714 2 года назад +2

    Nimefurahi sana na nimejifunza mengi kuhusu mji wa kulwa

  • @awadhbuya9649
    @awadhbuya9649 2 года назад +15

    U always inspire me prof.

  • @mchenitv9703
    @mchenitv9703 2 года назад

    Home 🏠 sweet home Asante pr.april Kwa kuheshimusha kilwa

  • @jaypmunyamaofficial3488
    @jaypmunyamaofficial3488 2 года назад +20

    I really like your storytelling

  • @haslyhasly7945
    @haslyhasly7945 2 года назад +4

    Nice story big up prof. Jamali April

  • @naslee1010
    @naslee1010 2 года назад +12

    our country to be greatly blessed by god congratulations brother for declaring our country 🙏

  • @oscarboniface9690
    @oscarboniface9690 2 года назад +2

    Asante Jamal...this is among the best video you have produced

  • @farajkibinda6151
    @farajkibinda6151 2 года назад +10

    Love it kikwa boy

  • @Homeofrhumba
    @Homeofrhumba 2 года назад +9

    Kilwa ya Tz na Fort Jesus ya Kenya zote ni almost the same, Long live east africa.

  • @fundileani1007
    @fundileani1007 2 года назад +1

    Naipenda sana brother 🇨🇩

  • @salhandembo2480
    @salhandembo2480 2 года назад +1

    Mashallah wangewacha warabu jaman

  • @crispuskasanga8487
    @crispuskasanga8487 2 года назад +1

    UTAMU WA HISTORIA.KONGOLE MWANAHISTORIA MSHUPAVU.FROM +254

  • @yusufumwasha548
    @yusufumwasha548 2 года назад +2

    Wareno ni washenzi sana waliuharibu huo mji kwa maksudi

  • @nelsonbisi6499
    @nelsonbisi6499 2 года назад +5

    Fantastic Professor J.April keep it up 💪🇹🇿

  • @hamadfakhi3195
    @hamadfakhi3195 2 месяца назад

    Kwahiyo watu wa kilwa na wazanzibari ni ndugu ❤❤

  • @AgostinhoCosmeNambanga-t1g
    @AgostinhoCosmeNambanga-t1g 6 месяцев назад

    Asante sana akika wewe n professor

  • @bintrobert4952
    @bintrobert4952 2 года назад +1

    Shukran kwa historia ya kilwa

  • @happynelson1180
    @happynelson1180 2 года назад +4

    Historia ya vasko da gamma nimesoma shule yaani viongozi wameshindwa kabisa kujenga upya kisiwa cha historia cha kilwa ambacho ni muhimu sana wale wageni waliojenga magorofa kilwa wasingefukuzwa leo hii kilwa ingekuwa juu sana wageni walifukuzwa na kilwa ikafa moja kwa moja

    • @zamzamabdi5279
      @zamzamabdi5279 2 года назад +1

      Kweli kabisa.mchaganyiko ya watu ni maendeleo kubwa.wageni hawana hasara

  • @abdallahmbwana4135
    @abdallahmbwana4135 2 года назад +1

    Sofala ni mji uliopo Msumbiji na Monamutapa ndio Zimbabwe. Tukumbuke tulikotoka. Kazi nzuri.

  • @sdeshnjwetr6707
    @sdeshnjwetr6707 2 года назад +8

    Historia inatafakarisha sana hasa sisi wa AFRIKA.

  • @gwakisamatingo4861
    @gwakisamatingo4861 2 года назад +4

    Nakubali prof...

  • @farajajoseph2971
    @farajajoseph2971 2 года назад +2

    Asante sana professor

  • @kairatiswahilli7024
    @kairatiswahilli7024 2 года назад +1

    Kumefanana na pemba🥺🥰

  • @PresenterSilah
    @PresenterSilah 2 года назад +1

    This is the best educational channel walahi

  • @henrypambisa5483
    @henrypambisa5483 2 года назад

    Uko vizuri sana Greja ni kireno na kiswahili ni kanisa

  • @jumaseifu1083
    @jumaseifu1083 2 года назад

    Safi sana Napenda sana kazi zk Huwa nzr sn respect

  • @bakaribakari9792
    @bakaribakari9792 2 года назад +1

    Ni vyema mamlaka husika sikaendeleza haya majengo kwa kukarabati ikiwa pamoja na kuezeka na kirejesha muonekano wa asili, hongera Sana kazi nzuri

  • @eshyndibalema1529
    @eshyndibalema1529 2 года назад +1

    Serikali iendeleze huu mji wa kilwa kisiwani iwe sehemu ya utalii inavutia sana vinginevyo history itapotea

  • @ismailkizito5692
    @ismailkizito5692 2 года назад +9

    Professor uandae na story inayokuhusu ww maake naww ni miongon mwa watu wakipekee sana kweny sanaa

  • @platvinlover6508
    @platvinlover6508 2 года назад +1

    Nimeipenda hii😃

  • @mohamedally1594
    @mohamedally1594 8 месяцев назад

    Sehemu nzuri sana kutembelea 👏 👏 👏

  • @elrainswilson4820
    @elrainswilson4820 2 года назад +1

    Amazing Thanks for this video

  • @Jackson_official-Tz
    @Jackson_official-Tz Год назад

    This is what we need you did it proceed with new great things

  • @barekesteve8679
    @barekesteve8679 2 года назад

    Kwamakala hii unstable kuponfezwaa na mama samia umetisha sana duh gonga. Like kam unakubalia na mim yakwambaa jama. Kaamzima Ananias edigr mtiga Abdallah yeye pekee ndiye ame baki aakiskika kwasimulizi tofauti tofauti

  • @ramadhanjaphet2976
    @ramadhanjaphet2976 2 года назад +2

    Asante Sana Proffer J . Kwa simulizi ya kilwa. Nimefurahi sn! Mimi naomba uje utuelezee kwanini mji wa kilwa ulikufa? WHY KILWA ISLAND FALL? BY R . JAPHET

  • @mudarrisumuhangia7576
    @mudarrisumuhangia7576 2 года назад +1

    ubarikiwe ndugu kwakazi unayoifanya

  • @chakeali7772
    @chakeali7772 2 года назад +1

    Kazi nzuri sana kaka

  • @khatibaliy4738
    @khatibaliy4738 2 года назад +1

    Big up nakubali sana the story book

  • @African2TheWorld
    @African2TheWorld Год назад +3

    Uongozi bora ndio chanzo cha maendeleo, kwa kifupi Wa Africa kwa ujumla hatujali yaliyopita wala yajayo. Ndio maana hatuendelei sana kama wenzetu.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 6 месяцев назад +1

    Inaonekana WAARABU hakupora ardhi za wenyeji ila walilipa dhamani na maridhiano,tofauti na MAJAMBAZI waliotoka ULAYA!!

  • @DisBes
    @DisBes 9 месяцев назад

    Asante kwa historia ya kilwa

  • @michaelmsofe9246
    @michaelmsofe9246 2 года назад

    Hii uko sawa kabisa, tunaitaji vitu kama hivi kwa ajiali ya kutupatia istoria

  • @limbega25
    @limbega25 2 года назад +9

    Wenye Kilwa yetu tumefarijika sana kwa simulizi hii

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 2 года назад +2

    Tanzania zindabadi 🇹🇿 🥰👌👌

  • @dullyhaleem6962
    @dullyhaleem6962 2 года назад +2

    PWANI YETU🌴❤❤

  • @jacquelinefrank6257
    @jacquelinefrank6257 2 года назад +3

    Jamaal your so intelligent blessed

  • @josephatmarko6155
    @josephatmarko6155 2 года назад +12

    Nimejaribu kutembelea majengo ya zamani barani ulaya hasa katika nchi ya uswiss na Italy, kuna utofauti mkubwa sana majengo yao pamoja na kwamba yameishi miaka zaidi ya elfu bado yapo vizuri japo si kwa mwonekano ule wa awali lakn wanajitahidi sana kuyatunza.Nchi yetu imeyatelekeza hayo majengo wangeweza kuyafanyia ukarabati kama wanavyofanya wenzetu ili angalau majengo yetu yaweze kuendelea kuonekana kama majengo kwa watalii na vizazi vijavyo.

    • @leith87seif55
      @leith87seif55 2 года назад +2

      Ile ni miji ta kiislamu na historia ni yabkiislamu hawawezi kufanya hivo katikabseheku ambayo serikali wamekusahau kwa Tanzania ni upande wa kusini mwa Tanzania kila kitu kibovu wewe angalia barabara ya kule tu utajua

  • @niikosomali0nly
    @niikosomali0nly 2 года назад +7

    Much Love from 🇰🇪 Kenya💖

  • @emmanuelshija7032
    @emmanuelshija7032 2 года назад +1

    Kaka huwa nakuelewa sana simlizi zako ila leo umenikosha mungu akulinde jamaali mustafa

  • @masoudsuleiman4623
    @masoudsuleiman4623 2 года назад +3

    Naipenda Kilwa yangu

  • @wa-mbeyaTv4725
    @wa-mbeyaTv4725 2 года назад +1

    Uje na huku mbeya uielezee kaporogwe, daraja la Mungu, ziwa ngosi n.k maana tunavivutio Ving Sana Ila havtambuliki

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 2 года назад +1

    ivi vitu kama tunavifanyia adivatazimet tena duniani tutapata turist wangi kupita Africa yoyote tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @aminabakari5334
    @aminabakari5334 2 года назад +1

    Big up sana professor

  • @maquizonlinetv3150
    @maquizonlinetv3150 2 года назад +1

    Najifunza vitu vingi kutoka kwako Mungu ukujalie

  • @abdallahomary6942
    @abdallahomary6942 2 года назад +6

    Welcome home KILWA