Hadi nimelia mtoto wangu Ana miaka kumi,hajui kuongea vizuri,anapenda kuchora,hapendi kujichanganya na watoto wenzake,faraja yake ni diary yake ya kuchorea mavitu yake.asante kaka kwa story nzuri
In the land of myth and a time of magic the destiny of a great kingdom rests on the shoulders of a young adventure is men Kamal Apprrrr, Mustafa professor.
@@abubakariali9848 😹😹😹 hakika ndugu, ila napenda narration ya Jamal,na pia ya aliye fanya narrative ya movie ya Merlin,wote nawapenda ,na moja ya mahoniano Jamal Alisha wahi kusema ,huwa anampenda aliye fanya simulizi ya movie ya Merlin
Hii story ya mchoraji Stephen imenifanya nimepata matumaini mapya ya mtoto wangu.nina mtoto Ana tabia kama huyu kaka daaah.wazazi tunalea watoto hatujui ni wa namna gani
Jamal kuna muda unazidisha sana sasa tutashindwana 🤔da! Hivi story zote hizi miaka yote tulio ishi hapa duniani tusisikie hata punje mpaka uje useme ww ndo tujue da!🤔 Ni kweli unatafuta riziki ila punguza kidogo🙌🚶🚶🙌🙌🙌🙌🚶🚶🚶🚶
Nyie uyo sio kwamba akuli chakula bali kavalishwa pepo uyo wakiwa kwenye maisha yao ya gizan uko wanakula vyakula vyao vya kipepo sasa mtu mwenyew tu umeshasema anaabudu miungu ya kiind si ndo wanaoumpa chakula sasa
Nimekuwa wa kwanza leo kaka uko vizuri hakika nimekuwa wa kukufuatilia sana story zako mwenyezi mungu akulinde
Kinaonyeshwa lin mbona sion
Kwahiyo kuwa wa kwanza Jamal ndo atakupa hela
Kweli
@@jumamofu9573 acha majungu
Mungu akuzidishie mafanikio Jamal April na WCB MZIMA🌹 tunawawpenda sana
Tunaomkubali PROFESSOR JAMAL APRIL As Normally As Usually Tujuane Kwa Likes Za Kutosha Hapa ...,👍🏿
Nice
Kama kizungu imekataa wachana nayo izo ni nini unasema 😂😂😂
@@FidempahKenya wow
@@FidempahKenya 😂😂😂😂 yaache
@@FidempahKenya 😂😂😂😂😂 eiiiii!
Hadi nimelia mtoto wangu Ana miaka kumi,hajui kuongea vizuri,anapenda kuchora,hapendi kujichanganya na watoto wenzake,faraja yake ni diary yake ya kuchorea mavitu yake.asante kaka kwa story nzuri
Huyo n kama Mimi... But me nna 27now naongea Lea shda pia sijichanganyi Ma watu.... N Tabia us asili tu
@@reginasawe3356 duuuuh
Autism
Wachoraji wengi wako hivyo,kwa sababu kuchora kunatumia muda mwingi,so ni addiction,unakua huwez kujichanganya na watu wengine
Nice
I'm proud to be the first watching story book
mhagama bnaa
Much respect Jamal April ❤️❤️🇰🇪
ruclips.net/video/28v6lWAnnJI/видео.html
Hii ya leo nimeipnd zaid god bless professor april🤲
Professor jamary unajua haunaga story mbovu nakubali sana unaweza 👏🏾👏🏾
Prof. Video zako hunifunza mengi thanks alot
NAKUSIKIA VEMA KUTOKA HAPA UKRAINE.....KEEP IT UP BROOH
Professor jamaal 🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 endelea kutujuza
In the land of myth and a time of magic the destiny of a great kingdom rests on the shoulders of a young adventure is men Kamal Apprrrr, Mustafa professor.
😊😊😊😔😊 His name is Merlin
His name is Merlin
@@abubakariali9848 😹😹😹 hakika ndugu, ila napenda narration ya Jamal,na pia ya aliye fanya narrative ya movie ya Merlin,wote nawapenda ,na moja ya mahoniano Jamal Alisha wahi kusema ,huwa anampenda aliye fanya simulizi ya movie ya Merlin
okay u trippin bro
The Classic Merlin🔥
Hizi ni alama za mwenyezimungu, " dhalika min Ayaati-llah
Hongera sana Prof. Jamal April kwa kazi nzuri, endelea kutupa simulizi bora za matukio ya kidunia.
P
This man's soft voice makes it interesting listening to his content ❤ 😍
Km movie ilivyoanz big up
asante kwa kuendelea kutuelimisha Bwana Jimal...Nakusheherekea Kutoka Kenya
Salute Jamal KENYA 🇰🇪🇰🇪
Nawewe ungejiweka kuwa mtu wa ajabu kwa kusimlia stori hkuna zaidi ako broo, ubarikiwe san
True
Soma vitabu wewe
@@rohaniatv6728 🤣🤣🤣
Wabongo ninyi ni wavivu kutafuta taarifa na mtu anayefanya hivyo mnaona kama kipaji.🤣
Mimi sishangai coz mimi wanawake kadhaa niliolala nao wanalalamika kuwa nawaumiza hadi wananing'ata kifuani💪💪💪💪💪
Hun ht aib unajisifia zinaa Allah anakuona ujue
watatuuuu
like kwa jamal jaman🤭✅🔥
Sasa huyo asiesikia maumivu ikiwa sio mazingaombwe vipi damu pia hana
😅😆😆 Prof Jamal introduction ndo huwa zinashawishi sisi tutazame the story book 💪🙌
Kwel kabisa 😂
Enjoy Official LIFE TIME👇
ruclips.net/p/PL8Vlnc2fNyY4UXwU3fZ6sDdNGS8Cw8mlJ
0ppppppppppp0pppp0
Si introdaction tu bali kujua zaidi
Jamal Aprili
Your great professor of all time/
Amini nikwambie kila binadamu ana super power yake ila kujijua ni shida ipo hapo na ukifanikiwa kujijua ni superstar
Skupingi ndugu
Mm pia nnacho changu ila sitak kua star😒
Kipi😂@@catherinemuhagama7338
Story book Kenya tuned
Kuna mtoto wa tajiri mmoja alizama kipind tukiwa watoto wali kuja divers mpaka wa nairobi lakini hakupatikana mpaka leo
Wanao sema jamaa ana sauti soft agonge like
Much love from Kenya as usual 🇰🇪
also from Kenya
The story book ibaki milele
Mileleeee
Yoh you love the History damn 🙌🏾 gud wrk
The world is full of wonders, much respect brother
Ata mimi natakaa njaa inavouma hivi
Wejamaaa🔥🔥🔥🔥🔥
Nampenda San story zako, nispskiliza story book sn aman,,, really love you ❤❤❤
Huyo wa mwisho wa misumari nmeskia uchungu na sijadungwa mie waaah
Sauti yako tu inatumaka na penda the story book 📖 your voice is very soft and nice🥰
Respect Profesa Jamal. Wale wapenzi wa video za mazoezi pitia hapa
Big up bro💯💯💯💯.
BEST INTRO EVER 🖤🖤🖤💯💯💯💯
Unajua mpk unakera big up 👏👏👏👏
Jamal you never fail us. Keep going😘😘😘😘😘😘
Nomben like hapa majini?
mashallah yote yawezekana kwa imani
dua mbab kazi nzuri
Jamal naomba tu like yako🙏🙏
Hii story ya mchoraji Stephen imenifanya nimepata matumaini mapya ya mtoto wangu.nina mtoto Ana tabia kama huyu kaka daaah.wazazi tunalea watoto hatujui ni wa namna gani
Autism hiyo
Kama muvi vile hatari sana🔥
It's amazing how God gifts people differently Prof you are really gifted may God reward with long life so that we continue learning from
#Autobiographical Memory🙌🙌 this guy is a living genius
Mimi binafsi namkubali sana huyu mwamba maana Yuko vizuri sana kwenye story zake
I love your stories...jamal
Noma sana respect
Mzee muongo sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣angekua ameshakufa Siku nyingi afadhali angesema anakunywa maji tuu ningemuamini
Safi sanaaaa
J A always perfect narration
Absolutely hauna Mpinzani Kaka kipande hiki
#KATAAtuonE💪💪💯%
..
Wahindi kwa uchawi nawaaminia sana I wish siku Moja niende huko
Ngoja nikutonye kuna mwanamarundi wa shinyanga alikuwa analima leo na kuvuna leo na watu wakala leo leo
Professor chunguza hii utuletee
Ewaaaaaaah hii nikwel
Hongera Sana pro Jamal kwa simlizi Bora
Ningekuwa huyo wa Xlay ya macho ningefungua hospital yangu alafu vipimo vile vya bei kubwa nafanya vunjabei tu bukubuku tu 😂
🤣🤣🤣
😃😃😃😃😃😃😃💪💪💪💪👍
🤣🤣🤣Naqbal
😂😂😂😂wabongo bhana
Bukubuku tunge kuja wengi😂😂😂😂
Ni elimu tosha. ASante sana professa Jamal
You're Genius Prophesa🔥🔥🔥🇰🇪🙌
Mungu akupe maisha malefu inshallah🎉
Gud kaka😋
Jamal huninice ju anado research first B4 kutuletea.thanks jamal
My favorite presenter❤️
Introduction nimeipenda.
proud of youuu brooo
Mung akupe maisha malefu inshallah
Good. We followers of Jamal let us drop like cuz his stories are more interesting
maajabu haya
👍👍👍👍 Garissa university atack itufikie
Food work professor
U ALWAYS DID WONDERS #PROFESSORJAMAL
WE LOVE WHAT U ALWAYS DOING THE GREATEST EVER🤩🥳
Professor 🔥 🔥 🔥 🔥
We have a lot to learn to fully utilize the potential the Almighty God has put within us during our lifetime
I too a uniquely man, I am a Tanzanian🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 so do it clear in world.
Poorly English 😅
Ko mzee hajui ladha ya kuku 🥹🥹🥹
😂 😂 😂 😂
😂😂😂
Mfaume mfaume katuzingua na bondia wake wa mchongo... Usingizi wangu nimejifariji na Prof Jamal 😉😉
kazingua san mfaume
Hhhh
Mchovu yule jamaa
Nakukubali Sana Pro. Jamal....simulizi zako za ukweli za kihistoria Zina nikosha Sana 😘
Waafrica wakifanya mambo hayo ya ajabu tunawaita wachawi washirikina na watatupwa motoni 😭
Watatupwa ndio si ni ushirikina huo
@@neemanyove9130 akili yako iko matakon
@@superherotv1750 kbsaa🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
The story book ♥️
Jamani nyokoooo sanaa hii kali mnooo wasafi mnatesa sasa kila kitu nyie sasa na sisi tufanye nini😂😂😂
Hongera sana, samahani lkn naomba story book ya king tut's wa Egypt.
Jamal April mm naitwa amar nakuomba utoe story ya khabib mpijanaji aliokuwa hajawahi kushindwa
Ahsante jamali nakubari xan🙏
Mh😮😮! Bila y kula, sio kwel!!
Jamal kuna muda unazidisha sana sasa tutashindwana 🤔da!
Hivi story zote hizi miaka yote tulio ishi hapa duniani tusisikie hata punje mpaka uje useme ww ndo tujue da!🤔
Ni kweli unatafuta riziki ila punguza kidogo🙌🚶🚶🙌🙌🙌🙌🚶🚶🚶🚶
Ha ha hs
Au unasemaj samira et
Much love Prof Jamal🥰🥰
Kaka kazi nzuri sana naomba ijayo iwe kuhusu BACKROOMS ni kitu cha kweli au sio
Watching this from Nairobi county
Which country called Nairobi?
Niko hapa Ngara bro rada😅😅😅😅
@@pataspata3829 county usiwe fala
Bro una mbwe mbwe na ma_editor wako haya bana nimeipenda hiyo Prof.Ninja Jamal
Love from 🇧🇮
Storiiii kaliiii mzeeeee depertment yote iliyohusk pongez kwenu
Nakubali
Always you're the best in this game
Nyie uyo sio kwamba akuli chakula bali kavalishwa pepo uyo wakiwa kwenye maisha yao ya gizan uko wanakula vyakula vyao vya kipepo sasa mtu mwenyew tu umeshasema anaabudu miungu ya kiind si ndo wanaoumpa chakula sasa
Salute mkuu🔥🔥🙌🙌
Much respect 🇹🇿
Professor wewe ni noma na nusu tatu
Kazi bora.Naweza kupata majina ya watu hao wenye uwezo wa ajabu kama unavyowataja kwenye video.