The Story Book Mjane Mweupe 'MAMA WA UGAIDI DUNIANI'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 494

  • @lincolngachoki7589
    @lincolngachoki7589 6 месяцев назад +16

    Who is watching 2024, ,the only show haiwezi nipita, likes for Jamal zije

  • @suwedsaleh887
    @suwedsaleh887 4 года назад +150

    Duuh leo ndo wapili Naomba japo like3 tu jaman kama kwel nyinyi wapenz wa THE STORY BOOK

  • @Aliy6443
    @Aliy6443 4 года назад +55

    Jamal April naomba utoe story ya Jonas savimbi anae sapoti habari hii tuendelee kusapoti

    • @lukomanomaliki5442
      @lukomanomaliki5442 5 месяцев назад

      Kuna jamaa anaitwa Mpagaze ameisimulia.Labda professor Jamal aisimulie tena Kwa ubora zaidi.

  • @kelvinpatrick5305
    @kelvinpatrick5305 4 года назад +206

    Tulio chelewa kuangali story book tujuane kwa like jamani

  • @Dengdeh
    @Dengdeh 4 года назад +165

    Wakenya tent yetu iko hapa...leteni likes🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 4 года назад +9

    Asante Sana Jamal, Allah akupe afya njema,
    Maisha marefu uzidi kutupatia tusiyoyajua.
    🇫🇮🇫🇮🤝🇹🇿🇹🇿

  • @amshlynebaby8495
    @amshlynebaby8495 4 года назад +41

    nimewahi mapemaa leo nipeni like zngu..nilipoona tu the story book nika smile😊

  • @ibrahkadabrah7001
    @ibrahkadabrah7001 4 года назад +24

    Twende sawa kama unamkubali professor

  • @sniper93999
    @sniper93999 4 года назад +50

    Ebwaaaaa eeee MB zangu zimeenda kihalali kabisaaaa ebuuu tujuwaneee 👍👍👍👍na like km zoteeee

  • @bobanvideocenter66
    @bobanvideocenter66 4 года назад +9

    Nimechelewa kidogo sanaaaaa #Sema nakubali Sana #Fact za nguvuuuuuu

  • @joelymsese7375
    @joelymsese7375 4 года назад +44

    Jaaman tka nianze ktmia RUclips cjawah kppta Hat like naomben namm

  • @ashirievara8542
    @ashirievara8542 4 года назад +14

    King of the story in Africa

  • @youngsimbawcb1814
    @youngsimbawcb1814 4 года назад +7

    Mmmmhh!!!!!jamani,Sammantha,,,ni hatarii sana,,,,@professor ahsante kwa story nzuri na yakusisimua

  • @kiredio_
    @kiredio_ 4 года назад +9

    Oyaaaaaa angalia Samantha ashaimack wasafi ohooooo. Jamaa unajuaaa mpk unakera

  • @zulphernassir6676
    @zulphernassir6676 3 года назад +8

    Loove de way he narrates #@Addicted to his voice

  • @oscerdicson1987
    @oscerdicson1987 4 года назад +2

    Poapoa mr Jamal asante Kwa kutujuza na kutuelimisha you are a real proffesor

  • @mlanguzi4658
    @mlanguzi4658 2 года назад +6

    for sure i have gained and learnt slot since I Started watching your story book,You have really change my mentality and admire your courage, passion and expression..You will always be my favorite @Jamali April..the Professor...am looking forward to being the next you if not you .many thanks from Nairobi Kenya...To My lovely Neighbouring country @+255..And all @Wcb Tv..you always make my day

  • @elishadesela269
    @elishadesela269 4 года назад +20

    Tamu San ,
    Appreciate u broo

  • @youngleegreat1372
    @youngleegreat1372 4 года назад +18

    I love this story .. God bless you my brother Mr professor

  • @rajabuboffu1208
    @rajabuboffu1208 4 года назад +4

    Akika we ni zaidi ya watu muhimu sana ktk story book mahana ndio mtu pekee ninaye weza kukaa kwa mdaa mlefu kufatilia story book

  • @josephineluzango1463
    @josephineluzango1463 4 года назад +9

    Mliiona Jamal kapendeza sana kama bwana harusi naomba like zenu

  • @mohamedoman9344
    @mohamedoman9344 4 года назад +3

    Ooooh mashallah story yako hii mimi nimetoka kuipenda sana kweli my bro kweli

  • @robertlameck7095
    @robertlameck7095 4 года назад +38

    We kijana unaweza sana
    Like kwa huyu mwamba

  • @fatmamasafu8606
    @fatmamasafu8606 4 года назад +17

    Katika dini ya kiislam sijafundishwa hivyo ewe mwenyezi Mungu niongoze ya Rabb🤲🤲nauwa tenge mbali wanao ichafulia jina dini yko ya haki

    • @nickbrown8350
      @nickbrown8350 4 года назад +2

      Em soma Qur-an

    • @fatmamasafu8606
      @fatmamasafu8606 4 года назад +3

      @@nickbrown8350 inasema nn watu walipue wasio kua na hatia ama??? Nisome nn???

    • @nickbrown8350
      @nickbrown8350 4 года назад +2

      Waumizeni kama wanavyo waumiza na wao waumie kama mnavyo umia nyinyi we huoni mataifa ya ya kiislam ndio yamegeuka uwanja wa vita wanauwa watoto aw a na hatia si wapignie kwao wanaenda kupigana kwa mataifa ya wenzao

    • @rizikihanafi586
      @rizikihanafi586 4 года назад +1

      G

    • @Officialyussy
      @Officialyussy 4 года назад +2

      @@nickbrown8350 Qur an .. aijasema tuuwe watu ww iyo qur an ya kuua watu.umeisoma wap

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 4 года назад +11

    Kudos bruh for this amazing story.

  • @johnsonkuli7975
    @johnsonkuli7975 4 года назад +25

    Mwanamke wa shoka huyo yaan ni show show🔥🔥🔥🔥

  • @lolanimals7206
    @lolanimals7206 4 года назад +18

    Acheni kuomba likes jamani, mnaudhi balaa! Huwezi kuangalia tu na kucomment kawaida kuhusiana na mada au ukaamua kupita hivi? Acheni hizo wazee!

    • @hooswengosha2985
      @hooswengosha2985 3 года назад

      Kweli bob inaonkana wat wanabiashara zao t na hawajiusishi n mada

    • @hussnabakary3507
      @hussnabakary3507 3 года назад

      Tena hawajui kua uncomment point bac like utazipta bila kuomba

  • @josephmdendemi3222
    @josephmdendemi3222 4 года назад +12

    Niko motivated Na uislam kwa kweli Kuna nn kwenye uislam y people are willing to die for Islam I belive Kuna jambo lipo muhimu

    • @Dkitasa
      @Dkitasa 4 года назад

      😂 😂

    • @intercontinental8203
      @intercontinental8203 4 года назад +2

      Qura'n 9:29
      Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wametii.
      ..
      .
      Qura'n 4:95
      Hawawi sawa Waumini wanao kaa tu wala hawanadharura, na wale wanao pigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali yao na nafsi zao. Mwenyezi Mungu amewatukuza cheo wale wanao pigana kwa mali yao na nafsi zao kuliko wale wanao kaa tu. Ingawa Mwenyezi Mungu amewaahidi wote mashukio mema, lakini Mwenyezi Mungu amewafadhili wanao pigana kwa ujira mkubwa kuliko wanao kaa tu.
      ...
      Qura'n 5:33
      Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi. Hii ndiyo hizaya yao katika dunia; na katika Akhera watapata adhabu kubwa.
      ...
      Qura'n 9:20
      Wale walio amini, na wakahama, na wakapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali yao na nafsi zao, hao wana cheo kikubwa zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu. Na hao ndio wenye kufuzu.
      ...
      Pia unaweza kwenda kusoma Qura'n 9:3, 2:244, 9:73
      Hadith
      Jami` at-Tirmidhi 1663
      Sahih al-Bukhari 3254

    • @mariamhamad3297
      @mariamhamad3297 4 года назад

      Karbu jose

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 4 года назад

      Mashalllah huyu mtu shujaa wa moyo kajiuliza yani sasa kuna mitandaoo kila kitu utauliza history uislam dini ilio kamilika brow bada ya isa ni mtume wa mwisho alie kamilisha dini ila wengine wanaificha watu wasiijue ila fatilia

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 4 года назад +1

      Mmungu ni mmoja hana mshirika kaumba adam kawaleta manabii wengi zaidi ya mia na 20 ila alio wachagua ni 25 adam idrisa nuh hud saleh ibrahim lut ismael ishaca yacob yunus ayob shuaibu musa harun zulkifl daud sulaiman ilyas ilyasaa yunus zakaria yahya (isaa ) na (muhamda rasulullah ) na wote hao ni ardhi za warabu fatilia ibrahim alivyo vunja masanamu na kuanzia msingi wa hija macca ndio alio muacha sara na ishaca na kumuchukua hajra na ismael kwa kuamrishwa na mmungu ahame na aende jangawani na wakati huyo hata maca yenyewe ni jangwa hakuna hata mtu alipo safiri njiani akakuta na malaika wawili na kumwambia wao wanaenda kwa nabii lut kuna masi na hapo kukawa kwa nabii lut mji wake kupigwa na kugeuzwa mawe na ibrahim ndio akaenda jangwani hapo akawacha yy akaenda irag na alipo wacha hakuna maji wala binadam hapo hajra akahangaika anakimbia na kurudi mara ya saba ndio ndio akayaona maji chini ya miguu ya mtot wake hapo akawa anayazuia yasitoke azinge tazuia mpaka leoo yangee jaa dunia nzima maji ya baraka na mpaka leo watu wakihiji huwa wa tembea mara 7 kama alivyo fanya hajra na ibrahim alipo rudi akawa shangaa kuona ni mji umekya na yy akaoteshwa kumchinja mwanae alipo taka kumchinja akapewa kondoo kabadilishiwa kwa uwezo wa mmungu alitaka kujua imani na hapo mpaka leo kila mwaka watu wakichinja wakihiji na na hapo ndio chanzo na msingi wa dini wa kislamm ni kwa ajili ya ibrahim as ) na mtume muhamad ndio asili kinacho toka kwake ibrahim na unaona mpaka leo wanahiji na hakuna dini inayo hiji na inayo msingi wa dini kama islam bado mambo mengi fatilia na kibla alicho kieka na bii ibrahi leo wana sayansi wameshangaa kukiona ktikati ya dunia yote ni uwezo wa mmungu na waislam hawamshirikishi mmungu na kitu mmungu ni mmoja na tu na wote ni mitume wake kaumba adam bila baba wala mama na isa bila baba yote kuonyesha uwezo kaumba dunia bila kushikamana ardhi na anga na kuweka anga bila nguzo hata moja na kamumba binadam katk umoi zuri na akili allahu akbar

  • @kalembajohn1557
    @kalembajohn1557 Год назад +4

    Kaká Mimi nakuelewa sana tena sana naihitaji ungenipa namba yako Kaká Nina itaji nikupe kitabu kimoja nilicho nacho my ndugu

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 4 года назад +6

    Ivi we jamal uwezi kumfundisha mfanyakazi mwezenu wa wasafi yule dada wa refresh kuvaa na kupendeza.

  • @motofficial4744
    @motofficial4744 3 года назад +5

    Asante professor sasa mi huyu ningemjua lini kumbe na wa mama wamoo 😂😂🙌🙌

  • @hashimlowela6741
    @hashimlowela6741 4 года назад +2

    Jamali we kweli professor bro nimekuelewa sana

  • @Abby_Shawn_KE
    @Abby_Shawn_KE 12 дней назад +1

    Unajua sana JAMAL APRIL

  • @jaydenkariuki6595
    @jaydenkariuki6595 4 года назад +4

    Simulizi tamu sanaa hongera mr professor

  • @melody_mike_mavoice
    @melody_mike_mavoice 4 года назад +20

    I love the way he narrates it

  • @darryllowd3996
    @darryllowd3996 4 года назад +7

    "udhibiti wa corona ulivyompaisha JPM"
    😂😂😂😂😂yo jamal ... it's lit thou mzee wa kaz

  • @Hamisipeke
    @Hamisipeke 5 месяцев назад +1

    Am from 254,ila wakenya tumewachilia sana wasomali kuingia inchini

  • @GraceMalashitu
    @GraceMalashitu Месяц назад

    I really love you form Canada 🇨🇦 may god give you a better life and long lives forever and always ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢🎉

  • @hamadiselemani8665
    @hamadiselemani8665 4 года назад +2

    Jamal Wewe Umekua Mwalimu Wangu Kwasasa Bila Ya Wewe Mwenyewe Kujijua... Mungu Aendelee Kukupa Maarifa

  • @aliramadhan5110
    @aliramadhan5110 2 года назад +2

    Yuo are the true professional

  • @AshaIsmail-ny7ex
    @AshaIsmail-ny7ex 8 месяцев назад +2

    Nakukubali sana Jamal April ishi sana 🥰🥰🥰

  • @loyydmil13
    @loyydmil13 4 года назад +35

    Cwez hacha kuckiliza The Story Book

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 5 месяцев назад +1

    Du! Uislamu kweli ni Ugaidi.

  • @expert5898
    @expert5898 4 года назад +1

    Mpo vzr sana THE STORY BOOK..... Mpo smart saaaaaana aise.

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 11 месяцев назад +4

    Hao wauaji wa kujilipua kwenye mikusanyiko ya watu ndo wanaonichelewesha nisiiamini uislamu

  • @masterjosh3100
    @masterjosh3100 4 года назад +1

    Psheeeewww...
    Kama nikuelewa unataka jamani hapa ndo wafaa kugundua.....nice work

  • @imnotplayingok1894
    @imnotplayingok1894 4 года назад +12

    Professor we appreciate that love from u.s

  • @shijamhamilashijamhamila3095
    @shijamhamilashijamhamila3095 3 года назад

    Hongera nakupa Niko kijijini safi Sana napanda mti kuangaria sitori zako

  • @AbdulMwakauli-u5l
    @AbdulMwakauli-u5l 4 месяца назад

    Wakenya in the house of story book❤🎉

  • @bhavankhantvhd1572
    @bhavankhantvhd1572 4 года назад +15

    Leo mim watano gonga like twende sawa the story book baba lao

  • @mwalimumambo456
    @mwalimumambo456 2 года назад +1

    Mashallah Mungu akuajalie Pepo

  • @julithamuhale7271
    @julithamuhale7271 4 года назад +2

    Nimeipenda hii story!

  • @rathaktz401
    @rathaktz401 4 года назад +6

    I like that 💕 proffer Jamal

  • @bonheurNimbeshaho-qy7sy
    @bonheurNimbeshaho-qy7sy Год назад +1

    Safi sana kwa kazi mzuli kaka

  • @simongaudence2685
    @simongaudence2685 4 года назад +10

    Gonga like twende sawa

  • @majaliwacharles1072
    @majaliwacharles1072 4 года назад +8

    aaaaah kak me Sina cha Zaid. ya kusema nakubal San kazi ako prof

  • @novicemunis939
    @novicemunis939 4 года назад +3

    Ilove the story book is truth

  • @asiimweelvis9804
    @asiimweelvis9804 3 года назад +5

    Thank you for the updated professor

  • @davidkauchonga6013
    @davidkauchonga6013 4 года назад +19

    Professor Jamal the Genius

  • @amamiss22
    @amamiss22 4 года назад +6

    Jamal is so smart 🤓 👏 🙌 👌

  • @msouth07msouthkhan34
    @msouth07msouthkhan34 4 года назад +2

    wakuongeze mshalaaha maan nifund wa simuliz!!+

  • @thebananapeddler4573
    @thebananapeddler4573 3 года назад +15

    From Kenya we readily countenance that this is an awesome narration. Sterlingly and thoroughly articulated by professor Jamal. Your exceptional gift of the gab is unmatched second to none. I am discombobulated by the grotesque activities executed by this White Widow. My prayers are that one day she'll be nabbed and restrained from planning more terror.

  • @rayyanabdul955
    @rayyanabdul955 2 года назад +3

    Ndiyo maana siamini dini yoyote ile zaidi ya kumuamini mungu

  • @angeljobu7449
    @angeljobu7449 4 года назад +28

    Kama unaamin mwanamke ananguvu zaid ya ushawish dunian nipe like yangu

    • @johnjoseph763
      @johnjoseph763 4 года назад +2

      Si mnatumika na sheten mlio wengi mnajisifia ujinga

  • @hamisunited4489
    @hamisunited4489 4 года назад +2

    Waaooo nimependa story

  • @huntertm1514
    @huntertm1514 4 года назад +14

    I'd missed the story book. It had been a while

  • @khalidmakame2421
    @khalidmakame2421 8 месяцев назад +1

    We are together brother Jamal April 🤤👍👍👍

  • @christophermpangala9067
    @christophermpangala9067 4 года назад +9

    Story inatisha sana samanta syo powa hongera sana professor

  • @tabasamkimu1589
    @tabasamkimu1589 4 года назад +1

    Shukurani Sana Jamar mositapha

  • @Peaceonlinemarket
    @Peaceonlinemarket 4 месяца назад

    Yaaan thnx Jamal for ur stories i real learn a lot, be richly blessed u real inspire me😊👍👌

  • @eneleangisisye9082
    @eneleangisisye9082 4 года назад +1

    Broooh aminia wew proffessor

  • @fatimaramadhani8891
    @fatimaramadhani8891 4 года назад

    Naipenda the story book mpka bhcc ...

  • @hooswengosha2985
    @hooswengosha2985 3 года назад +2

    Wamefanikiwa makafiri ila wakipnga mipngo n a mungu hupnga yke kwani thamasra amekulia ktk ukafir anafia ktk uislam mashaallh

  • @faithmaina3357
    @faithmaina3357 3 года назад +3

    Please get more stories because I have watched all of them

  • @boscoberneto6905
    @boscoberneto6905 4 года назад +29

    Wazee mnafurahisha mnakoment hamjamalza story

  • @mwenyembiozakenyingisana4105
    @mwenyembiozakenyingisana4105 4 года назад +1

    Le professeur uko juu sana tu

  • @jumamtepa3469
    @jumamtepa3469 4 года назад +3

    Angalau Leo nimewai

  • @ashurasharif-ln4nl
    @ashurasharif-ln4nl Год назад +1

    Natamani kuwa km Samantha na mm maana story yake naipenda sana nampenda sana huyu dada❤❤❤

    • @Jefriez
      @Jefriez 10 месяцев назад +1

      Kuwa tu dada angu😂😂😂

    • @HashimuHashboy-bo2wl
      @HashimuHashboy-bo2wl 8 месяцев назад

      Usitamani kufanya ubaya maisha ni nafupi sana

  • @dukeondieki8219
    @dukeondieki8219 Год назад

    Asante sana kutaja KENYA💪💪💪👏👏👍

  • @masudikhamisi2575
    @masudikhamisi2575 4 года назад +1

    Jamaa unajionesha sana au unaigiza

  • @SadimMavoice
    @SadimMavoice 10 месяцев назад +1

    Motoo

  • @paulonsyengulapaulo156
    @paulonsyengulapaulo156 4 года назад +11

    Story kalisana hiiii gonga like hapa kamaume ielewaaaa

  • @vincentgeorge5163
    @vincentgeorge5163 4 года назад +1

    Nakubali kaka ni zaidi ya mtiga

  • @lizabito7512
    @lizabito7512 Год назад +1

    Asnti jamal 🎉😊

  • @MatridaGodfrey-xf1zn
    @MatridaGodfrey-xf1zn 9 месяцев назад

    Hapa nimegundua mtu yoyote yule anaweza kuwa gaidi bila kujali jinsia na akatesa watu vilivyo😢😢 allah atunusuru

  • @Mongamedia
    @Mongamedia 4 года назад +18

    Tia like zenu hapa ili twende sawa na story book yetu

  • @arnoldarichald9452
    @arnoldarichald9452 4 года назад +2

    Nakubal San bro jamal

  • @martinmartinadriantedei4926
    @martinmartinadriantedei4926 Год назад +1

    Watu ety wanapenda story ya kigaidi

  • @kazofikshun4894
    @kazofikshun4894 4 года назад +1

    I like what ths anafanya God bless u kaka

  • @ATHUMANIABDALLA-ku7sc
    @ATHUMANIABDALLA-ku7sc 10 месяцев назад +1

    Kak unatixha xana 🥰🥰🥰

  • @boscomtani1006
    @boscomtani1006 4 года назад +3

    Bora Professor umerudi

  • @ndegeisaac8249
    @ndegeisaac8249 3 года назад +1

    I think they are... God bless... world

  • @GabbyKhats-tv7sh
    @GabbyKhats-tv7sh 10 месяцев назад +1

    Fanya moja ya Iddi Amin dada

  • @yama_virginhairthequeen1065
    @yama_virginhairthequeen1065 8 месяцев назад +1

    Once again Jamal mtu mbad😢 I have. To repeat this today

  • @pkanannoah5071
    @pkanannoah5071 7 месяцев назад

    I'm addicted to this channel 😅😅

  • @ajumaakange1483
    @ajumaakange1483 2 года назад

    Jamali kweli wewe niprofesa nimekuelewa vizuri

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 4 года назад +3

    Naipenda hi jameni tena sana

  • @rayyanabdul955
    @rayyanabdul955 2 года назад +2

    Uyo mmama uyu ngoja ninyamaze😳

  • @AllyMbaga-zf4ku
    @AllyMbaga-zf4ku 3 месяца назад

    Bro hongera kwa cmulizi zako

  • @kennedygordan6796
    @kennedygordan6796 4 года назад +3

    Kazi nzuri Sana bro