The Story Book : Biashara Haramu Ya Binadamu Inavyosumbua Dunia (Human Trafficking)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 707

  • @bhavankhantvhd1572
    @bhavankhantvhd1572 4 года назад +60

    Jamal Mustafa professor number one Africa naomben like zenu hapo

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад +1

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html

  • @brianjacks1801
    @brianjacks1801 4 года назад +88

    Napenda maelezo ya Profesa Jamal ..nipeeni likes 100 tafadhalini😥😥

    • @Ric0974
      @Ric0974 2 года назад +4

      We boya kweli izo like zitakusaidia nn kwendraaaa 😂😂😂😂

    • @abou2607
      @abou2607 2 года назад +1

      Pumbavu sana huyu kwani yeye ndio anatusimulia 😁😁

    • @busy968
      @busy968 2 года назад

      Jinga kabisa

    • @jeffgaitho7269
      @jeffgaitho7269 7 месяцев назад

      😂😂?😂😂

    • @saeedmassoud256
      @saeedmassoud256 Месяц назад

      Toa ujinga wko apaa kahare uko😅😅

  • @gadoboytv424
    @gadoboytv424 4 года назад +28

    anae pinga huu ubaguzi wa rang na ukatili dhidi ya binaadam weka like apo chini

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 3 года назад +8

    Jamani embu tumuangalie hata Jamal April wa kujivunia kama unaamini Jamal April ni professor bora zaidi Tanzania na hata Africa gonga like hapa washabiki wa Jamal nipeni like,

  • @dripboy2026
    @dripboy2026 4 года назад +107

    Daah team kuchelea leo nimewah like zenu wadau mnipe moyo ili ijumaa ijayo niwahi zaidi ya hapa 😂

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html

  • @anthonypiusmganule4052
    @anthonypiusmganule4052 4 года назад +22

    mwenye masikio na asikie #jamal the proffesel amehitimisha amenawa---asante braza kwa elimu hii

  • @moshiomarymnyeda8907
    @moshiomarymnyeda8907 4 года назад +57

    Biashara haramu
    Acha tukae maskani 🇹🇿🇹🇿✅
    Dada zetu kueni makini hili ni somo
    Kubwa kuliko 😭😭😭

  • @mikedegast1.
    @mikedegast1. 4 года назад +55

    Jamal anatakiwa apewe tuzo jaman ,he is so creative

  • @cancubitini8774
    @cancubitini8774 4 года назад +30

    Jambo ndugu mimi ni mtumishi wa Mungu kutoka Diarc cong Nili taka sema kwamba ulimwengu ujuwe tuko mwisho wa ulimwengu tuogope Mungu naye atatuepusha nahawa waovu

  • @buruhanitapakilu9343
    @buruhanitapakilu9343 3 года назад +20

    Nakubaliana na wewe asilimia zote bro... Endelea kutoa story nyingi kama hizi kwani wengi huingia katika matatizo hayo kwa kukosa elimu na uelewa mpana.. I salute you Pro. Jamal

  • @alykhan9054
    @alykhan9054 4 года назад +8

    Anajuwa Sana naombeni like 10

  • @letsenjoy631
    @letsenjoy631 4 года назад +25

    Jaman jaman Human trafficking sio kituh ch mchez. Tuomb mungu atulind n vizazi vyetu. Thank you so much Professor for this story...

  • @naifathassan2607
    @naifathassan2607 3 года назад +14

    Me pia nilifanyiwa ivyo ila nashukuru Mungu huku nilipo nikapata mtu akamlipa huyo mtu pesa yake na yeye tukaenda bongo kanioa na tuna mtoto mmoja alhamdulillah 🙏🙏

  • @binjmwinyirain1133
    @binjmwinyirain1133 4 года назад +29

    Nimeina wasafi tv ila nipo hapa kukupa kongole Professor. Kazi nzuri na tunatarajia mengi makubwa

  • @selemanibididas3988
    @selemanibididas3988 4 года назад +28

    Hivi mimi leo hii ni wakutoa machozi kweli kwa sada hussein shikamoo Professor Jamal

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html

    • @coolvertwisa7134
      @coolvertwisa7134 4 года назад +1

      Umjui uyoo lait ungejua kwann alinyogwa daaa ungejua kias gan alionewa na ungetoa ayomachoz

  • @johnsonanthony7435
    @johnsonanthony7435 4 года назад +48

    Professor you're the best

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html

  • @fatimaramadhani8891
    @fatimaramadhani8891 4 года назад +8

    Jamalii upo juu baba ..the story book the one !!

  • @thabitilinolo740
    @thabitilinolo740 4 года назад +21

    Hatari sana WCB 4Life

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html🤔🤔

  • @majamgaya5167
    @majamgaya5167 4 года назад +14

    Waga naishia tu kukushulu @Proffessor jamal April kwa mafundisho yako hakika mungu akupe maisha marefu uzid kutufungulia Dunia🌍kwa yale tusiyoyajua.

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html

  • @othmanmallya8278
    @othmanmallya8278 4 года назад +9

    Daaaah Wewe Jamaa Unajua sanaa Hakika kila Nikisiliza Story zako Unanifungua Sanaa Upeo Wangu

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html🤔🤔

  • @jpmugishapps
    @jpmugishapps 4 года назад +63

    This guy is the greatest philosopher alive. Asante big guy

  • @naomiamon6633
    @naomiamon6633 4 года назад +6

    Ivi nyie ma popoma muna omba like zanini zinawapa hela awuuu 😏😏😏

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 4 года назад +4

    We jamaa, ni zaidi ya Professor Asante kwa service yako. Allah akuweke

  • @sarakasuga2938
    @sarakasuga2938 4 года назад +56

    Wanao tizama huku wanasoma coment kama mm tujuane kwa kugonga like

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html

  • @rafikimyala9322
    @rafikimyala9322 4 года назад +28

    Professor nakukubar sana yan uko v izur sana nimeerewa mwanzo mwisho hakuna arie irudia mara nying kama mim👊👊💪💪🔥🔥

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html

  • @jfmedia1179
    @jfmedia1179 4 года назад +138

    Kama Umeelewa Kama Mimi Nione Like Zenu Hapa

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад +1

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html

  • @rafikimyala9322
    @rafikimyala9322 4 года назад +20

    Tuko pamoja the story book naikubar sana yan💪💪💪

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html

  • @kanickyanderson456
    @kanickyanderson456 4 года назад +11

    Daaaah reo umenigusa sn mpk machozi😭😭😭😭 jmn mungu awanusuli wale wote wateswao

  • @lovelynaynay2316
    @lovelynaynay2316 4 года назад +16

    Hongera 🙏 kwa kazi Njema 🙏

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html🤔🤔

  • @faustinevitalice7792
    @faustinevitalice7792 4 года назад +6

    sema we jamaa uko vizuri sana kwenye kufanya narration. Nakukubali sana.

  • @zclassicfashionz
    @zclassicfashionz 4 года назад +5

    Asante sana kwa kututaarifu... Naamini wengi wetu tumelitambua ili.

  • @ashirievara8542
    @ashirievara8542 4 года назад +16

    Professor Jamal 📖 King of the story in the world 🌎

  • @mariamkilama2266
    @mariamkilama2266 4 года назад +2

    Kwani like mnapeleka wapi jaman maana kila mtu anataka

  • @dripboy2026
    @dripboy2026 4 года назад +249

    Tunaomsikiliza Jamal uku tukisoma comment tujuane hapa

  • @husnasalum9700
    @husnasalum9700 4 года назад +4

    Mwenyezi mungu atuepushe Na janga hili inshaallah

  • @irenenkya659
    @irenenkya659 4 года назад +15

    Dah! Kuna mambo wanafanyiwa binadam na binadam wenzao ambayo hata mnyama hawezi kumfanyia mnyama mwenzie

  • @idrissajuma7308
    @idrissajuma7308 3 года назад +20

    This is true stories .
    More than pain😭😭😭😭

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 4 года назад +5

    Alhamdulillah nipo mwak wa 8 na wadog zangu tunashukuru Allah tumepata sehemu salama hatupigwi hatunyimwi chakula tunalala tunalipwa pesa zetu kwa wakat changamoto ni ndog ndogtuu za kawaida ila wapo wanaonyanyasika

  • @nassornaso6384
    @nassornaso6384 3 года назад +1

    We jamaa ni hatar huna mpinzani unaakili kubwa San watu hawajui tu we ni genius Jamal

  • @janeongala6684
    @janeongala6684 2 года назад +5

    Niliendaga dubai kwenye hotel moja ivi nilienda kufanya kazi kwenye iyo hotel kama muimbaji wa kike Nyimbo za cope d fusions African music nilicho kiona niliacha mdomo wazi kwel izi biashara zipo wasichana wadogo wazuri wanauzwa wanakuwa na jukwaa wana vuliwa nguo zao wanaume wanachagua yoyote anaye mpenda analipa kaunta then anamchukua kwenda kufanya nae mapezi iliniuma sana 😭😭

  • @radiIbrahimnuhu
    @radiIbrahimnuhu 4 года назад +7

    Much respect...nilikua nahitaji hii info

  • @NicholasOuta
    @NicholasOuta 8 месяцев назад

    You are just the best! No less, no more. You also do your research so well!

  • @adelaidemunezero2828
    @adelaidemunezero2828 4 года назад +25

    Alhamudlilah namushukur mungu😭😭😭😭😭😭😭😭niko salama nimesafiri kufanya kazi🙏🙏🙏sijawayi hata kutishiwa panga🙏🙏🙏Yarrab wanusuru waliyokuwa na hali kama iyi🙏🙏🙏hadji nasikiya 😭😭😭😭😭😭🙏

  • @hamadiselemani8665
    @hamadiselemani8665 4 года назад +6

    Kama Unamkabari Jamal Mustafa Naomba LIKE Yako

  • @xmaramoja362
    @xmaramoja362 4 года назад +31

    Leo nmekuwa wa11.
    Asalaam alayqum Mr Prof Jamal
    Asalaa alayqum Wadau wote wa The Story book

    • @fatimawazeer701
      @fatimawazeer701 4 года назад +2

      Waleykumsalaam warahmatullah wabarakatuh

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html

    • @salmaalimusa547
      @salmaalimusa547 4 года назад

      WaAleikumsalaAm warahmatullah wabarakatuh

    • @tibakisunnahnaasili6250
      @tibakisunnahnaasili6250 4 года назад

      Waallaykah Assalaam Warahmmah TuLlaah Wabarakatuh kwema Ndugu

    • @looruaolendere2597
      @looruaolendere2597 3 года назад

      Alekum salaam walahamtulahi rabii Allah Rahim albarakatu vipi hali nduguyangu

  • @redpromediat.o.tstrongteam1679
    @redpromediat.o.tstrongteam1679 4 года назад +19

    Umalizio wa Story ndo nimependa mno. Mwenye masikio na asikie!

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html

  • @gerishownraphael1059
    @gerishownraphael1059 4 года назад +5

    Hapo mwisho nimekuelewa Sana brother jamar

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html🤔🤔🤔

  • @zainabamiri8924
    @zainabamiri8924 2 года назад +1

    Kaka uko na akiri nyingi Sana Mungu akuzidishie zaidi

  • @reginamoraaomwando5733
    @reginamoraaomwando5733 2 года назад +10

    Oooh my God exactly this is what is happening now in Arabic countrys thank you Jamal for the story God bless

    • @luluamin1388
      @luluamin1388 Год назад

      It is happening all over the world. To different ethnicities.

  • @NickoneSunrise
    @NickoneSunrise 2 месяца назад

    Mungu akupe maisha marefu uendelee kutoa siri tusizo zijua

  • @letsenjoy631
    @letsenjoy631 4 года назад +6

    Ani daaaah!! Leo hii story imetufunz mno ani daaaah, ndoto zetu z kwenda Abroad so pow

  • @NickoneSunrise
    @NickoneSunrise 2 месяца назад

    20:38 kazi nzur jamal❤

  • @neemajohn4007
    @neemajohn4007 2 года назад +1

    Inaumiza Sana jamani. Kuna watu wanaishi maisha ya mateso kiasi kwamba wanatamani kufa ili wapate pumziko. Ee MUNGU tusaidie 🙏

  • @fanny7565
    @fanny7565 4 года назад +59

    Kama ww hujawahi kukosa hiki kipindi like hapa

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html

  • @fredrickmakomboti2090
    @fredrickmakomboti2090 Год назад

    Much love from Kenya,jina langu Fredrick Makomboti

  • @arnoldmuta5403
    @arnoldmuta5403 2 года назад +1

    This is the greatest stories of the all...thank u Jamal.

  • @nasoromfaume5676
    @nasoromfaume5676 4 года назад +3

    Mungu akubaliki my work

  • @johnsonkuli7975
    @johnsonkuli7975 4 года назад +5

    Jamal wewe ni hatari sanaaaaaaaa🙌🙌🙌.

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html🤔🤔

  • @Inside0003
    @Inside0003 4 года назад +1

    Tuna shukuru saana na mwenyezi Mungu akupe bidii uendeleye kufanya tafiti kubwa na kubwa zaidi

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html🤔🤔🤔🤔

  • @RoseMarry-r9u
    @RoseMarry-r9u 7 месяцев назад

    Jamal anatakiwa apewe tuzo jaman he is so creative 😊

  • @mayaindeed4864
    @mayaindeed4864 4 года назад +3

    Hii dunia inamambo yakutisha jmn ukiona we umeamka na kulala salama basis sema Allahmdulillah wapo wanao lia na wapo walio kata tamaa na wanao pitia mambo magumu saaana jmn mwenyez mungu siku akiamua kuiangamiza hii dunia m nahisi wengine tutakuwa huru maana wengime hii dunia wapo kama wafungwa

  • @rahemaally274
    @rahemaally274 4 года назад +7

    Mashallah kisa cha kusikitisha lakini funzo kubwa sana kwa watoto wetu

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html🤔🤔

  • @aulidriver3102
    @aulidriver3102 3 года назад

    Tunaziomba balozi zilizo ugenini kufuatilia hasa wadada wanaofanya kazi za ndani kwenye nchi husika kujua kabisa taarifa zao Ahasante profesa J

  • @ayubusanga2325
    @ayubusanga2325 4 года назад +6

    We jamaa ni noma sanaaa🔥🔥🔥🔥🔥

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html🤔🤔🤔

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 года назад +5

    Nimerauka ila kuna walio kesha 🤩🤩🤩. Mimi kama mama inaniuma pale ninajaribu kutafakari nini huwa wanapitia wasichana hawa........ Professor this is very very sad 💔💔💔💔💔 but still ni kitu kinafanyika in real life. Please Keep up opening our eyes 👀 💪💪💪💪

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @mwangiakila8020
    @mwangiakila8020 4 года назад +9

    So much love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 if you are from 254 just like

  • @victorisindu2276
    @victorisindu2276 Год назад

    Ninaipenda sana story yko Jamal mungu akubariki uwendelee hvyo2 bro ilke you r story

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 4 года назад +10

    Professer ni 🔥

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html

  • @emmanuelwanjala2580
    @emmanuelwanjala2580 Год назад +9

    Mara yangu ya kwanza ku comment nipeeni likes hata 10 please 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @EmmanuelTsuma-u3i
    @EmmanuelTsuma-u3i Год назад

    Nakubaliana na wewe kakaa Jamal nakufuatilizia sana nikiwa Kenya.🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu 2 года назад

    Biashara hii sio nzuri Mungu aepushie mbali dunia yangu.

  • @jabirimdoe1982
    @jabirimdoe1982 4 года назад +5

    Tuna mengi sana ya kijifunza kutoka kwako kaka.nilikuwa natumia nguvu nyingi sana kuwaeleza watu wanaotamani kwenda arabuni ila kwa sasa ntakuwa nawaelekeza tu the story book.

  • @fizzojay7441
    @fizzojay7441 4 года назад +29

    Professor ifungue dunia

  • @Tumainimarco
    @Tumainimarco Год назад +1

    May god bless you

  • @uladaonline9630
    @uladaonline9630 4 года назад +9

    Jamal Unajua Sana We Jamaa

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html🤔🤔

  • @almasially6509
    @almasially6509 4 года назад +25

    2M subscribers Wasafi Media🔥🔥🔥

  • @blueeyes5952
    @blueeyes5952 3 года назад

    You are my best journalist in the world.

  • @allykibabe8182
    @allykibabe8182 4 года назад +35

    Human trafficking daaah ndo nimeelwa vzr ...!!!

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html

  • @najalinanyambo3971
    @najalinanyambo3971 4 года назад +9

    Hatare profesa like zenu tafadhari

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html🤔🤔🤔

  • @mshindi5571
    @mshindi5571 3 года назад +1

    Wafundishe Kaka nakubal

  • @zikishikainc2404
    @zikishikainc2404 2 года назад +1

    @abelmutua this is your Tz Replica.... Content huku ni ya wakurugeeeeenziiiii🔥🔥🔥❤️ here from 🇰🇪

  • @brunodemarx9198
    @brunodemarx9198 4 года назад +35

    Like za Proffesor jamani 🔥🔥🔥

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html

  • @mcsailas8328
    @mcsailas8328 4 года назад +34

    Kunadada aliniomba ushauri kuwa kunamtu alimwambia ampeleke Dubai kufanya kazi hakunisikia ila kilichomkuta jamani dah😭😭😭😭

  • @hildaolu
    @hildaolu Год назад

    Mungu atuongoze atusaidie nibora kubaki masikini kuliko mateso kama hiyo siku hizi pesa imekuwa Bora kuliko utu

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 4 года назад

    Allah awape wepesi wote wanaotendewa maovu haya nawapa pole sana kwa mitihani hii

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 2 года назад

    Daaaahhhhh unanifungua hakili sana prof.

  • @audaxmlokozi1653
    @audaxmlokozi1653 4 года назад +1

    Nakukubali saana professa

  • @godlistenmsophe5373
    @godlistenmsophe5373 4 года назад

    Jamal Jamal bas wakupe like zako

  • @Ric0974
    @Ric0974 2 года назад

    Sawa sawa profesa

  • @nasrahsamwely6871
    @nasrahsamwely6871 4 года назад +4

    Subhannah Allah 💔

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 4 года назад +11

    Wadada wa kenya na Tanzania na Zanzibar nawashauri muache kabisa kwenda Oman na Saud shida zenu zisisababishe mpoteze maisha

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html🤔🤔🤔🤔

    • @pembemussa2804
      @pembemussa2804 4 года назад +2

      Usiwaogopeshe wenzio kwani Hilo suala la tegemeana na bahati ya mtu pia, ukiwa na damu ya Kunguni ndo kama hivyo una angukia kwa mdomo wa Mambaa ila wenye bahati zao wanachukuliwa na wanafkia ktk kazi nzuri tu km walivyoahidiwa km kutakuapo na changamoto basi niza kawaida tu,

    • @hallin9561
      @hallin9561 4 года назад +2

      Mwarabu hana utu kwa mtu mweusi ata siku moja

    • @jut1161
      @jut1161 4 года назад

      @@pembemussa2804 ww hayajakujuta. Mm nna watu wawili hali zao taaban baada ya kutudi Oman

  • @salmaalimusa547
    @salmaalimusa547 4 года назад +3

    Husna ALLAH akurehemu tulijua ulijirusha kumbe ulisukumwa

  • @mohammedkhkombo4439
    @mohammedkhkombo4439 3 года назад

    Neno lako la mwisho prof , me bado kidogo niingie mkenge me natokea zanzibar . Asante

  • @indivirabonnymatenje7290
    @indivirabonnymatenje7290 3 года назад

    You are the one and only

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 3 года назад

    Thank so much japo so only oman lakini waswahili wasema samak mmoja utamalizi fro oman 🇴🇲

  • @Ansii806
    @Ansii806 Год назад

    Nakukubalii sana brooo

  • @beatricekaale1832
    @beatricekaale1832 4 года назад +2

    Duuhhh? Mbona dunia imekwisha jamn Mwenyezi Mungu atusamehe cio kwa mateso hayo

    • @thomasnzioki2027
      @thomasnzioki2027 4 года назад

      ruclips.net/video/npcwCL1zTz0/видео.html🤔🤔🤔

  • @hamisimkima117
    @hamisimkima117 2 года назад

    Jamar Hakika unafungua Vichwa vya watu Dah! Mungu Akupe siiha uifahamu Haki Umuabudu Allah 👈

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 2 года назад

    Asante sana,Yani uko sahii kabisa

  • @abdoulkarimmabulu1416
    @abdoulkarimmabulu1416 3 года назад +4

    I love the way you explain clearly with images