naipenda saana the story book ila hamna kitu kinanikosha zaidi kama maneno ya busara na visa unavyotupa kaka jamali mwishoni au mwanzon kabla au baadaya the story book 🙏🙏🙏🙏
Naqubali sana Mtu wangu we unafanyaga sana ubongo wangu ufikirie sana baadhi ya mambo yanayonipa imani kubwa ya siku moja mm pia nweza kuja kuwa makumbushoni baadae
Professor Jamal April amerejea... Shukrani nimekungoja sana 😃😃 nimetega masikio, kalamu ya wino mkononi, kiswahili ended 🤕(keenly concentrated and ready to learn new perspectives)
"Wanatembea kwa might minne kama babu zetu''. Pole babaaa, sio babu zetu, ni babu zako wewe! Mashambulizi ya wazungu dhidi ya vitabu vya Mungu hayana ukweli.
M/mungu amesema amemuumba mwanadamu katika umbile lililo bora na hakusema kamuumba mwanadamu katika umbile la sokwe wa lamnyama jamal unakufiru nawakati wewe ni muislam
Hilo lakwamba binadamu wa kwanza alikua sokwe siokweli,huu niukafiri na msimamo uliwazi wa kupingana na Mwenyezi Mungu aliposema sisi wote tumetokana na wazazi wawili yaani Adamu A.S na mama yetu Hawaa
Wanadamu hawakutokana na sokwe. ila sokwe wengineo walitokana na wanadamu, ambao hawakuishi sana baada ya kulaaniwa walipokataa amri za Mungu. Watu wa sabato ndio waliogeuzwa sokwe. Ila hakuna mwanadamu aliyenzia na sokwe, Allah alimuumba Adam kwa umbile bora sana.
Tunashukuru sna KAKA JAMAAL kwa kutuelimisha.....sijui nawaza nini lakini vip kama hii familia ni mpango tu wa watu fulani kutaka sisi tuamini kama tulitokana na sokwe...lbda mpango uliofanywa kwa njia ya kibaiolojia au vyovyote...ila anyways MUNGU AKUTUNZE KAKA TUZIDI KUELIMIKA.
Kaka Jamal mimi nawaza ikiwezekana utuandalie darasa ili tupate vijana kadhaa watakaofanya kazi kama hizi. Maana naamini wakipitia kwenye mikono yako watakuja kua wari saana. Nipo tayar kua mwanafunzi mmoja wapo baina ya watakao kua wanafunz wako mkuu. Naomba saana kaka ulifikilie hili coz unachokifanya hkuna anayefanya mkuuu zaidi yako.
Ajali hazina kinga but pia we need to take preconceptions tukiwa tuko kwa barabara... naongea kwa niaba ya wenye driving lincens.... vifo tunatembea navo mikononi walai
Mimi mtazamo wangu naona sio laana maana hawa wamezaliwa ivo ivo sasa laana hiyo walipata kwa kosa gani walifanya tokea utotoni mwao kama laana bas wangepewa wazazi wao na si watoto ambao wamezaliwa wakiwa ivo ivo daa Mungu awe nao kalbu msaada uwafikie na ulinzi juu yao
Watching from Canada.. Chilling with ma tea cup coz Jamal april awalys got the☕thenx to our professor.. Likes zangu even if am late but rait on time😊
😂😂Canada Rait on time
Kweli Jamal hâta uku Congo tuna kupeda saana,maisha marefu kwako jamal
Bwana Yesu asifiwe,
Mwanadamu ameumbwa hakutokana na nyani bali tumeumbwa kwa mfano na sura ya Mungu.
Mwanzo 1:26.
naipenda saana the story book ila hamna kitu kinanikosha zaidi kama maneno ya busara na visa unavyotupa kaka jamali mwishoni au mwanzon kabla au baadaya the story book 🙏🙏🙏🙏
Hii story nimeisearch hii week yote yaani kila siku dah finally is here
We ni mimi kabisa
@@yusufuheri6524 ww ni ww na yy ni yy acha ushamba
@@yakoboesenga5754 🤣🤣🤣
@@yakoboesenga5754 😅😅😅jinga weeee
@@yumnasuleiman
Mambo
Bro Jamal hii kazibyaufaa yaani kweli professionisto ukiongea uateka akili za watu kukuelewa vizuri
Maashaallah kaka jamali Allah akupe umri mref ili uzid kutupa tusiyaoyajua
Watching the story book from kenya 🇰🇪🇰🇪
me too
Hata mimi
Wakenya munanini kidogo from kenya
Mungu ni mkubwa wala sio laana..watching from Burkinafaso
Leo nimekuwa wakwanza nipen like zangu jaman
Like zinakuingezea pesa au acha ushamba
@@nailamimi20 🤣🤣🤣🤣🤣 nashindwaga kuelewa maana yake nn
@@mtzhalisi2232 ii kitu ina nishanga zaga sana namimi nusu nianze fikiri zangu wenda waga wana pata pesa yaku tosha kumbe ujinga
Tafuta kazi acha uvivu like itakusaidia nini?
@@mtzhalisi2232 🤣🤣🤣
Aaah friday si friday tena usipowatch story book ya jamal april 😁😁😁
Asante.kaka.ndio.mana.uwaga.nakupenda.unatufunguwa.akili.zetu.san
Mungu yupo jamaniiii tudumu kwenye Imani ya kweli mungu yupo
Andika Mungu siyo mungu
Naqubali sana Mtu wangu we unafanyaga sana ubongo wangu ufikirie sana baadhi ya mambo yanayonipa imani kubwa ya siku moja mm pia nweza kuja kuwa makumbushoni baadae
Professor Jamal April amerejea... Shukrani nimekungoja sana 😃😃 nimetega masikio, kalamu ya wino mkononi, kiswahili ended 🤕(keenly concentrated and ready to learn new perspectives)
Umekuwa ukizifungua akili na fikra zetu katika kila somo lako professor Jamal ❤
I waited Jamal finally 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kiambu Iko ndaaaani
Every time I think I've listened/watched a unique story,there's always one that's better👊
An enjoyable watch🤗
When I watch the story book I enjoy it 😊
Kumbe ndio wewe ,God bless you,
We love u from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏 God bless u.
Kweli kabisa tunafichwa
"Wanatembea kwa might minne kama babu zetu''.
Pole babaaa, sio babu zetu, ni babu zako wewe! Mashambulizi ya wazungu dhidi ya vitabu vya Mungu hayana ukweli.
Jamal nakupenda sanaaa... Huja wai kufeli
M/mungu amesema amemuumba mwanadamu katika umbile lililo bora na hakusema kamuumba mwanadamu katika umbile la sokwe wa lamnyama jamal unakufiru nawakati wewe ni muislam
ASOME SURAT (TIN)
Siku zote utabaki kua professor number 1 asante Kwa kazi safii ❤️❤️❤️❤️
❤❤ ni story nzur sana professor jamal April jamal mustaphar
Kama unamkubali professor nipe like🔥❤️🔥
Like bb yako
when I watch the story book it makes me to learn something intresting
Hilo lakwamba binadamu wa kwanza alikua sokwe siokweli,huu niukafiri na msimamo uliwazi wa kupingana na Mwenyezi Mungu aliposema sisi wote tumetokana na wazazi wawili yaani Adamu A.S na mama yetu Hawaa
Thats accord'n to the holy books lakn scientifically mwanaadam alitokana na sokwe historia ipo hvo nadhan hata shulen ulifunzwa hvo
MORE RESPECT PROFESSOR...THIS IS NOW MORE THAN THE "A STORY BOOK",THIS IS AWAKENING CONSCIOUSNESS..KEEP GOING BROTHERS #MYTRIBE🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Jamal tunashukur maana tunajifunza mangi sana💖💖💖💖💖💖
The story book 📖 kila ijumaa💪
Yeah Kwa hewa🔥🔥🔥🔥🔥
Je suis ton super fan depuis Kolwezi République démocratique du Congo touche mon commentaire svp
Napenda sana story blo
Nakukubali sana djamali professor
The story i've been waiting to hear for a long time
Wanadamu hawakutokana na sokwe.
ila sokwe wengineo walitokana na wanadamu, ambao hawakuishi sana baada ya kulaaniwa walipokataa amri za Mungu. Watu wa sabato ndio waliogeuzwa sokwe. Ila hakuna mwanadamu aliyenzia na sokwe, Allah alimuumba Adam kwa umbile bora sana.
WAMBIE WASOME SURAT WATIN WA ZAITUNI SURAT (TUN)
Hzo ni story bro tukikuambia lete ushahidi mbl na maandishi ya hcho kitabu chako unayo???,acha uvivu tafuta ukweli
We minima mzee Mungu kakupa big brain mzee baba goga like kama tuko sambamba
Hata ue kilaza kiasi gani lazima umfahamu tu jamal mashallah hii n hazina ya taifa
Hakuna history kwenye qu'ran inayosema kuwa bina'adam aliwahi kuwa sokwe. Hilo sio kweli.
Nilkua nakuchukulia powa sana ila wewe ni ginias kaka love you my young brother
I am number one .i cherish prof Jamal.
Naipenda Sana the story book kila siku unajifunza Jambo lipya
Jamal tufungue vichwa tunaiyomba iyo man in black au matrix maan czielew naomba sana 🙏🙏
The love I have to this Man is non-stop
Subhana allah
😢😢😢😢laaaaaa!!!! Niatari
Wanasayasi wanamkufuru mungu na kutuzarau kusema tulikuwa sokwe wanambuka
WAJINGA SANA
Jamaaaaaaaaalllll🙌🏻
Jamaa anajua sana yan
We mwamba unajuwa mpaka naanza kukuogopa. Nakukubali sana🌝
Maisha yalikuwepo Muda tu ila kuna vitu vilitokea dunia ikaanza upya..
From Kenya with love .. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Story book inaelimisha inafundisha mungu akupe uzima zaid ili tuwe tunaelimisha na story book together
SubhanaAllah
Wow nice teacher
Mungu na kazi yke t
Nafurahi kusikiliza the story book....you Are the Best Jamal😍😍
Mungu akuweke sana
Safina ya Nuhu imepatikana huko milima ya Halalati 💥💥
Kweli
Mimi ni team storybook ila sivumi nimo tu Hongera sana
Tunashukuru sna KAKA JAMAAL kwa kutuelimisha.....sijui nawaza nini lakini vip kama hii familia ni mpango tu wa watu fulani kutaka sisi tuamini kama tulitokana na sokwe...lbda mpango uliofanywa kwa njia ya kibaiolojia au vyovyote...ila anyways MUNGU AKUTUNZE KAKA TUZIDI KUELIMIKA.
Wewe ni noma aiseee
Kaka Jamal mimi nawaza ikiwezekana utuandalie darasa ili tupate vijana kadhaa watakaofanya kazi kama hizi.
Maana naamini wakipitia kwenye mikono yako watakuja kua wari saana.
Nipo tayar kua mwanafunzi mmoja wapo baina ya watakao kua wanafunz wako mkuu.
Naomba saana kaka ulifikilie hili coz unachokifanya hkuna anayefanya mkuuu zaidi yako.
Nakubali 🙌
Leo nmeipata mm kwnza
🙌✌✌✌
Thes is good story😢😢😢
Salamu za Mwaka mpya . Bado nakufuatilia sana.
Una faoya vizuri sana
Kaká nakukubali sana tena sana
Ajali hazina kinga but pia we need to take preconceptions tukiwa tuko kwa barabara... naongea kwa niaba ya wenye driving lincens.... vifo tunatembea navo mikononi walai
Nakukubar brother mungu akupe zaid uzdi kutufungua
Wanao penda the story book nyingi wewe ni moja ya watu wenye ushawishi mkubwa sana
Hi familia iko Turkey ,nilishaisoma hii historia miaka miwili iliyopita.
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nakukubali professor🎉🎉🎉🎉🎉
Jamal Mungu akubari from Kenya
I always watch the story book from Finland 🇫🇮
check me on instagram
@@hammylove1268 why should I check you there’s something
I watch this video in December 2023 🙏🙏
Asee Leo nimewahi kiasi 2022💯✔️
Minapenda msimliaji yukomakin
Nakukubali kabisa BIG UP
Thanx bro🙏🙏🙏
What nice story
Ila mimi sijatokn n mabadiliko ya sokwe mm nimeumbwa na Allah muumbaj wa kila kitu ....
Hata mm pia 🤣🤣🤣
ANAEJIFIKIRIA YEYE KATOKANA NA SOKWE AKAPIMWE AKILI.
Bro unajuaaa👐👐
Naomba siku moja Jamal uje na the story book inayohusu hasa "GATEWAY" nataka kuijua na kuelezwa kiundani kabisa
Mimi mtazamo wangu naona sio laana maana hawa wamezaliwa ivo ivo sasa laana hiyo walipata kwa kosa gani walifanya tokea utotoni mwao kama laana bas wangepewa wazazi wao na si watoto ambao wamezaliwa wakiwa ivo ivo daa Mungu awe nao kalbu msaada uwafikie na ulinzi juu yao
NI MARADHI KAMA MARADHI MENGINE WATU WENGINE HAWAJUWI NINI LAANA.
BASED ON ACTUALITIES. 👊 JAMAL.
We facing àearthquakes and natural calamities ........each and then mob lov from 🇹🇷🇹🇷🇹🇷🇹🇷
Nakubali Sana Brother
Endelea kutupa elimu professor..uko vizuri sana
Hizo like mnazo Lilia mnapelekaka wapi😏😇
Kabisa Jamal April moja moja iyo
Unajua sanaa
Very good My brother
Kuowana bunamu kwa sheria ya dini ya kiislamu inakubalika
Jamal u should make a season of this mysterious and unique story. This man is genius for real....
Mashaalah kwa hakika umetisha nazipenda sana hizi video ndio maana nimehifadhi video zako zaidi ya mia tano. Walahi ubarikiwe sana mpaka ushangaa
Mmh mbn hata 100 hazifiki hzo 500 umezpata wap
Khaaaaaa 500 mbona hazifki jaman🤔🤔🤭🤭
@@toastresskiwanja221 ndugu hapo ni jumla na video za Ananias Edgar na mtiga abdala
@@toastresskiwanja221 asante studios
@@stellah3844 hapo ni jumla ya video za Ananias Edgar na mtiga abdalah
Pamoja Sanaa 💪💪 jamaal