KAULI YA ALLY KAMWE BAADA YA MECHI DHIDI YA AL HILAL KWA MKAPA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 ноя 2024

Комментарии • 1,6 тыс.

  • @SesiliaLaga
    @SesiliaLaga 3 дня назад +32

    Kwakweli nimeumia lakini hainibadilishi kuwanaipenda yanga hatakatika maisha kunakuugua kulalanjaa haibadilishi ukweli wakubwa mungu nimungu atabakikuwa mungu👏

  • @MajaliwaAthumani
    @MajaliwaAthumani 3 дня назад +46

    Yatapita TU huwezi kuwa na furaha nyakati zote, Furaha na Majonzi huja nyakati tofauti, kwahiyo huu niwakati mgumu kwetu wanayanga, YATAPITA,, I Love so much yanga 💛💛💛💛

    • @HamzaSuleiman-qo7zn
      @HamzaSuleiman-qo7zn 3 дня назад

      😂😂 ndo mujue sasa kama kuna kifugwa acheni kiburi

    • @HalimaShekhalage-hy4wf
      @HalimaShekhalage-hy4wf 2 дня назад +1

      Ilove you to💚💚💚💚

    • @salamamaulid9114
      @salamamaulid9114 2 дня назад

      Sanna tu

    • @salamamaulid9114
      @salamamaulid9114 2 дня назад

      Kwani alokuwa hajui kama kuna kufungwa nani kwaio kama tumefunga tusifurahie

    • @salamamaulid9114
      @salamamaulid9114 2 дня назад

      Midomo sisi tukifunga tutafurahi na tukifungwa tutasema ukweli tumefungwa wala hatukimbii waandishi

  • @Patriotism-x3v
    @Patriotism-x3v 3 дня назад +28

    Let's take it as a lesson, tukabadilike ktk kiwanja Cha mazoezi turudi imara Zaidi.
    Daima mbele nyuma mwiko 💚❤️

  • @CharlesMillanzi
    @CharlesMillanzi 3 дня назад +19

    Timu imecheza vizuri na imetengeneza nafasi nyingi,leo ilikuwa siku mbaya kazini,naona tumpe kocha muda tutarudi kwenye ubora wetu,mbele daima nyuma mwiko

    • @MR_Global_Media
      @MR_Global_Media 2 дня назад

      Nafasi nyingi zipi walizotengeneza??? timu bado inajitafuta wamezingua kufukuza kocha kipindi hiki

  • @endubi
    @endubi 3 дня назад +32

    The man has answered the questions well and calmed the fanbase. Forget the loss and focus on the next game.

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 3 дня назад +2

      He must learn to talk in the same way before the game he has been much of a superfluous talker that make it harder once the team loose.

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 дня назад

      I second you brother
      Main point is to focus on the next game

    • @adamiddymbali402
      @adamiddymbali402 2 дня назад

      Tatizo anamdomo mchafu anaropoka km sio mtu wa mpira....leo kiko mashsvu yamekuporomoka km paka la baa

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 дня назад

      @@adamiddymbali402 English please😀

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 2 дня назад +4

    Allahamdulillah mimi ni yanga toka nikiwa mdogo darasa la 5mwaka 1973 nikiwa na enda na bibi yangu ktk mikutano ya yanga mpaka nimekuwa mtu mzima ss mengi nimeyaona na mengi nimesikia kikubwa mshikamano pia wazee wameona mengi In sha Allah kazi iendelee Gusa achia twende mbele umoja ni nguvu

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 3 дня назад +40

    KWA MAJINA NAITWA FAIDHAT. FROM OMAN. KIKUBWA TUSHIKAMANE. TUSISIKILIZE WATU. PLEASE. TIMU YETU TUNAIPENDA SANA. 💚💛💚💛💚💚🇴🇲🇴🇲🇴🇲

    • @MatesoGerevas
      @MatesoGerevas 3 дня назад

      Faidhati mambo

    • @asiamakasi5340
      @asiamakasi5340 3 дня назад

      watu wa Oman tunaumia sanaaa,

    • @seifsaid9905
      @seifsaid9905 3 дня назад

      Pole san

    • @minazsaid2470
      @minazsaid2470 3 дня назад +1

      Timu yetu ina maadui wengi hpa Tanzania ila viongozi wanalifumbia macho hili jambo

    • @iddyally1029
      @iddyally1029 3 дня назад

      Faidhat unajua football... Ni check dm

  • @AfnanAlhajri
    @AfnanAlhajri 2 дня назад +8

    Kutoka omani naipenda yanga nakuombea dua msemaji wetu uzidi kuipambaniya timu yetu Inshallah🙏🙏🙏🙏

  • @AminaKissawaga
    @AminaKissawaga 3 дня назад +113

    Yatapita tu swala la muda Mungu yupo tumeumia sana ila nafasi tunayo Mimi yanga timu yangu navipenda toka kipindi cha kuchangiwa na bakuli nipo tumu yangu maneno yenu machafu watakayosema awajielewi 💚💚💚💚💚💚💚💚

    • @yohanaluhende8517
      @yohanaluhende8517 3 дня назад +13

      Ni Mungu anajibu maombi yenu ya kutaka kucheza na malaika

    • @jicholafursa7058
      @jicholafursa7058 3 дня назад +8

      Kumbe dawa ya kiburi imepatikana,mlitukana timu zingine, mlikejeri wengine, mkawa mkiongea kwa kiburi na majigambo kila mlipopata nafasi hamukubakiza akiba ya maneno zaidi sana mkakufuru kwa kutaka kucheza na malaika!

    • @TexnoNames
      @TexnoNames 3 дня назад

      💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚

    • @anthonymilinga8696
      @anthonymilinga8696 3 дня назад +2

      Pumbavu zenu mliomba malaika, Mungu kawapa binadamu wenzenu Sasa mnalia. Kufuru zenu zinalipwa sasahivi.

    • @zigzag4487
      @zigzag4487 3 дня назад +2

      Timu inakufa hii mzee we jipe moyo tu.. wamefanya usenge kumuondoa Gamond.

  • @happinessmwisse1152
    @happinessmwisse1152 2 дня назад +4

    Jamani tushikamane ktk shida huu ndiyo mpira Kuna wakati was kufurahi na wakati wakulia inatubidi tuzipokea sawsaw na wakati utavyo kuja ,,,,Mungu atutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu,,,,tukipiga kelele Sana tutawatoa wachezaji ktk reli ebu tutulie tuwaombee wasipaniki

  • @KayDimosso
    @KayDimosso 3 дня назад +24

    Wapenzi na wanachama wa Dar Young African tusikate tamaa na matokeo ya leo, tuendelee kuwa wamoja, na bado kuna mechi nyingine, inshallah Mungu atajalia

  • @ShabaniKeya-x2k
    @ShabaniKeya-x2k 3 дня назад +24

    Yanga bado tupo imara Sana wananchi msijari tunaanguka Mara moja na tunasimama mara moja kweri tunapitia wakati mgumu Sana ipo siku tunasimama Tena daima mbere nyuma mwiko🕶️🙏💪💪

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 3 дня назад +8

    Kuna wakati wakulia na wakati wa kucheka hivyo yote katika maisha lazima uyapitie Mungu ni mwema ni kipindi cha mpito tu

  • @AmirTumbo5
    @AmirTumbo5 День назад +1

    Haya ifungwe vp sihami yanga naipenda sana by amir from Zanzibar

  • @sumaiyahmwinyiamani2862
    @sumaiyahmwinyiamani2862 3 дня назад +16

    Pole kwasote nimapito yatapita tuangalie wap tumejikwaaa tuinuke maisha yaendelee daima mbele💪

    • @OS-pf6op
      @OS-pf6op 3 дня назад +1

      Mlichelewa sana kumtoa Gamond, amechangia sana kushusha viwango vya wachezaji. Pili matawi yamelala? Au hamuwashirikishi?

  • @MonicaSimon-py3nx
    @MonicaSimon-py3nx 3 дня назад +13

    Inshallah iposiku tutashinda kikubwa tuwape moyo wachezaji wetu tusiwape lawama kwakupoteza mechi marambili mfululuzo naitakia kilalaheri Timu yangu nitazidi kuiombea IPO siku tutashinda

  • @ThuwaibaSleman
    @ThuwaibaSleman 3 дня назад +11

    Tutulie wananchi tusiwe na hasira tuwe watulivu,YANGA MBELE NYUMA MWIKO ❤

  • @JOHAIVENY
    @JOHAIVENY 2 дня назад +3

    #habari ndugu wananchi kama mnavyo jua kila chama au taasisi ina kauli mbiu yake na kazi YA kauli mbiu huwa ni kuboost wakati wa raha na shida kwahiyo kauli mbiu yetu # YANGA AFRICANS DAIMA MBELE NYUMA MWIKO nadhani itafanya kazi sahivi 💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚

  • @AllySaid-w8l
    @AllySaid-w8l 3 дня назад +12

    Kumbe Ali kamwe mda mwengine anakuwaga na akili 😅😅😅😅😅 asanten Al hilali

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 3 дня назад

      Endelea kushukur kwa kuw nyie hamshiriki usitukane mamba ...

  • @julimwai1456
    @julimwai1456 2 дня назад

    Yaani leo ni mara yangu ya kwanza kumuona Ally kamwe akipiga mihayo huku aki hojiwa ila wachezaji mmejua kutushusha moyo hayo sisi tunaendelea kuwaombea Mungu awe upande wenu amen 🙏

  • @PriscaLwezaura
    @PriscaLwezaura 3 дня назад +6

    Nakushukuru sana kwa kupokea nasi tumepokea, Mungu atatupa njia

  • @OlivaMHANDO
    @OlivaMHANDO День назад

    MUNGU ni mwema nyakati zote wanainchi, Ameen

  • @RamaMwika
    @RamaMwika 3 дня назад +12

    Mlikosea Sana Mlivyo Sema Waletwe Malaika Mcheze Nao
    Aisee
    Mlikosea Sana Tena Sana Kaeni Mumuombe Msamaha Mungu

  • @LulyehoMashini
    @LulyehoMashini День назад

    Kwakwel tunaumia wanainchii ila so mbaya tuñazid kujipa Moyo God 🙏 bless us

  • @AmisiKardama
    @AmisiKardama 3 дня назад +15

    😂😂😂😂😂 leo mnajua kuna kufungwa kenge wee miwani haipo leo

    • @abasilihundu200
      @abasilihundu200 2 дня назад

      Miwani ni nzito kwa leo 😂😂😂😂

    • @MariamMarusu
      @MariamMarusu День назад

      Haujaitwa huku..tafadhal
      .kuwa na adabu😂

  • @Hapygideon
    @Hapygideon 2 дня назад +2

    Dah nimeangalia mpira nipo wodini aisee nimeumia sana😢😢,Nan katuroga sisi eeh mungu simama na sisi kipindi hiki kigumu 🙏🙏🙏

  • @Tatty-u8p
    @Tatty-u8p 3 дня назад +8

    Kwanza kabisa natoa pongezi kwa timu yangu kuanzia msimu uliopita mlijua kutupa raha mfululizo haya ni Mapito tuu ya muda mfupi asante msemaji wetu kwa maneno mazuri bado ninaimani na timu yangu naipenda sana yanga yangu💛💛💛💛💚💚💚💚

    • @TexnoNames
      @TexnoNames 3 дня назад +1

      Kabisa

    • @AbdulMgude-iv1ql
      @AbdulMgude-iv1ql 3 дня назад +1

      na sisi ndo tunavotaka muwe na imani hadi mchakae

    • @DavidSemu-gu6wp
      @DavidSemu-gu6wp 3 дня назад

      Sio vibaya kujifariji mwenyewe hata Mtoto wa kubebwa mgongoni hufika muda akajiimbia mwenyewe kisha akalala yatapita tu poleni.

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 3 дня назад

      Atachakaa mamako.​@@AbdulMgude-iv1ql

    • @filbertvictor6159
      @filbertvictor6159 3 дня назад

      Leo siku ya Dube

  • @NeemaDaniel-j3g
    @NeemaDaniel-j3g День назад

    Mungu ni mwema tunamshukuru kwa yote yanayopita kwenye yanga yetu ,dhahabu haiwezi kuwa dhahabu lazima ipite kwenye moto .tutavuka kwa jina la yesu hili daraja.

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 3 дня назад +5

    Fitness level imedrop. Gamond aliwaacha wakajenga tabia ya kujirusha na imekuwa ngumu kwa kocha mpya kuwarudisha kwenye viwango vyao ndani ya wiki 1 na nusu, sio rahisi hivyo! Pili hamkujua kolo walikuja hapo jana? Mnalala sana!

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 3 дня назад

      Kabisa wanajisahau san

    • @nyemesamba8448
      @nyemesamba8448 2 дня назад

      Nakubalian na ww kabisa sie ile yanga na ndio maan wanapat nafas y kusem eti wachezji wanapigw sindano

  • @richardlyula8368
    @richardlyula8368 2 дня назад

    Tumefungwa Sawaaa, lakini dube ni mchezaji wa benchi kuna wachezaji wengi wazuri tuu wakuanza , ni kweli Imani kwa dube ilikuwa kubwa lakini kashindwa kionyesha uwezo wake wapeni wengine nafasi.🙏🙏🙏🙏

  • @Mwajuma
    @Mwajuma 3 дня назад +14

    Tutalejea imara zaidi inshaall karibuni Algeria 🇩🇿 nimeumia ila sio sana ❤❤🙏🙏

    • @flova7022
      @flova7022 3 дня назад

      Dada mwajuma..Amin hii timu itatuaibisha na MC ulger

    • @Mwajuma
      @Mwajuma 3 дня назад +1

      @flova7022 na mc ulgel wamoto tuombe kheri tuu🙏

    • @scorasticaclement6308
      @scorasticaclement6308 3 дня назад

      Chomoa

  • @FemidaYahaya
    @FemidaYahaya 3 дня назад +2

    WANANCHIIIIIIIII Daima mbele mwiko...Kufungwa sio kushindwa ni sehemu ya mchezo...Nia tunayo na matumaini tele.

  • @upendorevocatus8669
    @upendorevocatus8669 3 дня назад +8

    I will always be the yanga supporter..... No matter what

  • @HadijaHsalehe-z4k
    @HadijaHsalehe-z4k 2 дня назад +2

    Mafanikio ya Gamond huko nyuma ndani ya Yanga ndiyo tungeangalia, tungeendelea kumwamini katika mechi zingine chache,yule ni kocha mkubwa sana angeweza kuijenga upya,huwezi jua unapomwondoa kocha ambaye wachezaji walimpenda na kumwamini inavunja moyo wachezaji,au unaweza kutokea wachezaji wasimpende kocha wakacheza chini ya kiwango,unapomwondoa kamanda katika vita vyovyote kwa sabubu zako askari wanakosa kitu muhimu sana.ok maisha bado yapo timu kubwa sana duniani kuna wakati zinafungwa lakini zinakuja kurudi katika reli yake.Makolokolo watu wa ajabu sana unafikiri wametufunga wao hovyooo.YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO

    • @MariamMarusu
      @MariamMarusu День назад

      Yaan muda wote..yamga yanga..yaan me wananikera...tim lao lenyewe bovu..kz kuizungumzia yanga 2..yanga ni tim kubwa lazima waizungumzie
      .ila Wasabi Kichapo kutoka kwetu

  • @HoseaWilson-y4o
    @HoseaWilson-y4o 3 дня назад +5

    We win together we lose together 💙

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 3 дня назад +1

    Duh ila sasa hivi tunafungwa uwanjani mtaani tunazobwa midomo ila ndio maisha mpira now ndio wakati wa kuonesha ukomavu michezoni na uturivu wetu utapunguza panic kwa viongozi na bench la ufundi daima mbele nyuma mwiko

  • @charlesmaduma3960
    @charlesmaduma3960 3 дня назад +10

    Nimekata tamaa na namna ya uchezaji wa timu yetu, hatuwezi kufanya vizuri kwa aina hii ya uchezaji

  • @BahatiAloys-w8l
    @BahatiAloys-w8l 3 дня назад +1

    Tunaamin tuna timu bora, staff bora ni suala la kuendelea kuwa wavumilivu katika kipindi hiki, tuzidi kuwaencourage wachezaji wetu kwenye mechi zinazofuata

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel 3 дня назад +4

    Kwa kweli Young Africa mechi ya leo ilicheza vizuri. Lakini binafsi nadhani bado lipo tatizo katika kusukuma mpira wavuni. Kufunga ni tatizo kubwa sana, nafasi nyingi zimepotea tu. Hata Kona imepata nyingi lakini hazizai bao wakati Timu za Arabuni tuache Ulaya nk. Kona mara nyingi sana zinaleta magoli. Mipira ya kutengwa iliyo jirani na Penalty box huzaa magoli lakini kwa Yanga haina manufaa ! Yanatakiwa marekebisho makubwa.

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 3 дня назад

      Vijana wanacheza vibaya ukifika golini jitahid kutumia nguvu kuelekea golin ili kuwafanya mabek kufanya makosa sasa hawa wachezaji wa Yanga wamepunguza nguvu hiyo kitu ambacho ni hatari sana kwenye ushind

  • @WakiliHaule
    @WakiliHaule 2 дня назад

    Kocha naye pimbi..yule Dube hakupaswa kuedelea kucheza kwa dakika zote zile...Dube ayupo fiti inaonekana kaluka sana nyoka...inauma sana unamuacha Musonda benchi unamuweka yule love boy

  • @yahayagimbu4216
    @yahayagimbu4216 3 дня назад +5

    mmekurupuka kumtoa Gamond,, team ya hovyo kabisa sana

  • @IbrahMoyo
    @IbrahMoyo 2 дня назад

    Leo amejua kuwa kupoteza ni maisha halisi ya mpira du,,,,,, 😭 du,,,, really Life Time to everyone

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 3 дня назад +6

    Ally Kamwe mwambie Dube aache usenge atumie nguvu mbona anacheza mpira soft sana 🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪

    • @minazsaid2470
      @minazsaid2470 3 дня назад

      Kma muoga mpira hautaki mtu muoga

    • @JohnMadaha-lh3xk
      @JohnMadaha-lh3xk 3 дня назад

      Dube kwa macho ya kawaida unaona ni msenge ila ki uharisia dube kuna kitu anashindana nacho km nguvu fulani hivi.inshort dube karogwA na bado mchawi ana mshughulikia vilivyo ht leo mtu anaangua bila sabb ki uharisia kuna kitu dube wamemshika balaa

    • @HappyMsisi
      @HappyMsisi 3 дня назад

      ​@@JohnMadaha-lh3xkPressure

    • @nasekawanga1737
      @nasekawanga1737 2 дня назад

      ​@@JohnMadaha-lh3xknani kamloga

  • @LucaiyaKyaka
    @LucaiyaKyaka 2 дня назад

    Yote ni Mpango wa Mungu lakini some kwaujumla wetu tuseme Alhamndulilah kwauwezo wa M/Mungu tutarudi kuwa sawa Inshaallah

  • @yohanachulila1992
    @yohanachulila1992 3 дня назад +4

    Yatapita tu ni suala la Muda✊, Naamini tutarudi tukiwa imara🧡💛💚💪

  • @abdallahsoud2033
    @abdallahsoud2033 2 дня назад

    Haya nimajibuya mashabiki wa hovyo kufikia kukufuru nakumuomba Allah awaletee malaika wachezenao Dahhh! Mimi Yanga lakini kwa kaulihiyo bado timu itaendelea kufungwatu. NA BADO kuna 6 zinakuja msishangae📌

  • @samweli7985
    @samweli7985 3 дня назад +9

    Asante mungu kwa kututumia malaika, tukacheza nao.

    • @awetumtengera1147
      @awetumtengera1147 3 дня назад

      Mnafiki mkubwa ww. Hayakuhusu nyoooooooooo.

    • @awetumtengera1147
      @awetumtengera1147 3 дня назад

      Msemaji wako aliposema mna streka refu kuliko goli ni kweli Iko hivyo hizo ni hamasa tu acha wafanye kazi zao.

    • @naahjumbe3390
      @naahjumbe3390 3 дня назад +1

      Straik refu ndio Ila sio Malaika aseee. Hiyo ndo zawadi yenu wapuuzi

    • @samweli7985
      @samweli7985 3 дня назад

      @awetumtengera1147 utani tu wakumwagiza mungu alete malaika?

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 3 дня назад

      😂😂😂

  • @JosephBWAGIZO-fs5ig
    @JosephBWAGIZO-fs5ig 2 дня назад

    Maoni yangu, pamoja na marekebisho mengine sawa ila kama hii kauli niliyoisikia kwamba yanga haiwezi kufungwa na timu yoyote labda tuletewe malaika kama imesemwa kweli basi ombeni msamaha kwa MUNGU, mana hii kauli ni ya majivuno ambayo inamchukiza MUNGU, siku zote MUNGU humshusha chini mwenye kiburi na humuinua mnyenyekevu na ikitokea timu imeshinda shukrani apewe MUNGU na si kujivuna na kujiona bora kuliko wengine hapo timu itafika mbali kwenye mafanikio, Asante

    • @johnkikasi7446
      @johnkikasi7446 День назад

      Asante kwa kuikumbusha timu yetu kutubu dhambi hii. Tulimkosea Mungu kwa kutoa kauli hili ngumu ya majivuno. Hata dhambi ya malaika lilikuwa la majivuno ndo kutoka kati yao kukawa na chanzo cha kuwepo mashetani.

  • @HaulaNkyera
    @HaulaNkyera 3 дня назад +5

    Ni swala la muda tu let's stay strong 💪

    • @talhasuleiman5217
      @talhasuleiman5217 3 дня назад

      Ila huo muda ukifuka tutakuwa nafasi ya 10 huko. Aziz Ki anaanzaje kazi yake kupoteza mpira na kuwapa wenzake wakati mgumu

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 2 дня назад

    Kocha Tuko pamoja na wewe hatuna deni
    Wachezaji wetu naomba naomba naomba
    All the best

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 3 дня назад +4

    Yametuuma mno mungu ailinde yanga yetu😭💚💛

  • @WaniaLameck
    @WaniaLameck 2 дня назад +1

    Mimi n mwananchi lakn nimefurahia sana matokeo yetu😊😊😂
    Mabingwa wa Africa 😂💚💚💛💛

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 3 дня назад +11

    Nawewe ali kame punguza kudharau wapinzani mmebadili coach mda mbaya

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 3 дня назад

    Alhamdulilah kwa kila kitu jeshi wamepanbana lakini bahati ilikuwa siyo yetu hatukati tama tutafika safari inshallah daima mbele 💚💚💚💛💛💛💓💓💓

  • @shidymusicofficialtzfami-mz9cr
    @shidymusicofficialtzfami-mz9cr 3 дня назад +10

    mm sito hama yanga naipenda sana 💛💛💛💚💚 wanayanga nipeni like

    • @SalmhAs
      @SalmhAs 3 дня назад +1

      Tuko Pamaj nikipnd kigum ila kitapit

  • @ZulekhaBaksh-ii4fk
    @ZulekhaBaksh-ii4fk День назад +1

    Tupo pamoja inshallah ila yatapita tu hatumlaumu mtu wachezaji wapo vizuiri tu

  • @CatherineMwaikamba
    @CatherineMwaikamba 3 дня назад +4

    Yanga ni yangu nitazidi kumuomba Mungu ili turundi kwenye ubora wetu Ali kamwe pamoja sana

  • @GodwiniFwelo
    @GodwiniFwelo 2 дня назад

    Alikamwe unatuponza kwann wapewe mechi wachezaji. Tunaomba hii sjui nani day isitishwe labda hadi tukikaa sawa apo badae. All in all asante mungu pia hiki ni kipindi kibovu kwetu tukiri na kukubali. Mbeleni tutakaa sawa

  • @Macamp312
    @Macamp312 3 дня назад +6

    Hiv ninyii viongozi hamjatuambiaa tattoo ni lipii la kumfukuzaaa Gamond ni sababu zipiii

    • @DoreenMlay-e8g
      @DoreenMlay-e8g 3 дня назад

      wew ulitaka wakuambie tatizo la kumfukuza kocha ili umumbee msamaha au

  • @mudylipawaga5362
    @mudylipawaga5362 3 дня назад +1

    Kwanza kumshukuru Mungu pili viongozi muwe makini sana hususan kwa wachezaji wetu kuna namna wamefanyiwa ushirikina inatakiwa maombi pili upande wa kibabage unatakiwa atafutwe mtu imara zaid kibabage hawezi kukaba wala kupiga cross hivyo viongozi tufanye maombi bila ya hivyo kila mtu ataonekana mbaya

  • @HassanNdauka-x1z
    @HassanNdauka-x1z 3 дня назад +4

    Kocha wa fitness minywele alikua mzuri sana lakn viongozi wakamuacha ni ujinga

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 3 дня назад

      Alitak mwenyewe kuondoka yule

    • @elvisnzovu8282
      @elvisnzovu8282 3 дня назад

      Pia kufungwa kwa yanga yetu viongozi wanahusika na walaumiwe kabisa. Fitness sio shida ushindi wote tulipokuwa tunaupata kocha wa viungo alikuwa huyu huyu wa sasa, tusimlaumu bure

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 2 дня назад

    Pole kwa Yanga wote,tunaimani Mungu atatupa ushindi mechi zijazo,cha msingi wamaliziaji wawe wanathubutu kufunga si mpaka wasogelee magoli

  • @abdaa800
    @abdaa800 3 дня назад +4

    Washabiki inatuumiza sana mnafeli wapi jamani wachezaji mnafeli wapi 😢😢

  • @nyemesamba8448
    @nyemesamba8448 2 дня назад

    Plz mimi naomba mngekuw mnatup nafasi na ss ya kuongea na wachezaji kidogo.All in all Mungu atusimamie hakuna anaepend matokeo mabaya ila pia sio kil siku ni nyakat za furah mtapitia huzuni pia kikubw kuangalia wap tunapokosea.jamb lngine mimi kiupnd wangu sikupend gamond kuondok ilikuwa n kukaa nae na kumuonya pia kump muda na pale kweny tabak palitakiw kurekebishwa hakun mtu asiepend kupew nafas nyingine mlitumia harak sana.kingine hakun timu itakayofany vizuri misimu yoote na wachezaji wanachok snaa so hay ni MAPITO tujipange upya ili tuwez kusimma imara na pia tumtangulize MUNGU mbele siku zote WE WIN TOGETHER WE LOOSE TOGETHER 💛💚

  • @zainabmikidad791
    @zainabmikidad791 3 дня назад +6

    Daima mbele nyuma mwiko 💚💛🙏

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 2 дня назад

    Daima mbele nyuma mwiko kikubwa ni subra wachezaji wetu watakuwa Sawa insha Allah💚💚💛💛

  • @EmiliaCyprian
    @EmiliaCyprian 3 дня назад +4

    Wachezaji hawajitumi kabisa alafu wachezaji wetu wanapenda sana starehe wanajisahau kbsa wao ni akina nani ,viongozi wetu mjitafakari Kwa hili😢

    • @CatherineJohn-j4o
      @CatherineJohn-j4o 3 дня назад +1

      Sio wale wachezaji tuliowazoea kama Kuna Jini amewaingia kiwango kibovu sana Mungu awasimamie sana

    • @aliferuzi1537
      @aliferuzi1537 3 дня назад

      Wanitume vp kama KUMILIKI mpira WAKIFANIKIWA ukinambia Kuna mchezo WA swahili umechezwa nitakuelewa tuwe na kumbukumbu simba WALIUMIA Sana goli moja tuliwafunga na WZEE wamekua KIAPO kuivuruga yanga leo magoli ya wazi tunakosa wachezaji wanaanguka tu BILA sababu iko namna bro

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 3 дня назад

      ​@@aliferuzi1537umeona kuna kitu siyo bure viongozi waliangalie hilo

  • @AbuuMbarouk
    @AbuuMbarouk 3 дня назад +1

    Mulisema muletewe malaika mujekucheza nao Mungu hazihakiwiiiii kuweli na kauli Mzur museongee kwa Mihemko

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 дня назад

      Nawe Kiherehere Tangu Lini Malaika Wakacheza Mpira. Yale Nimaneno Yakilevi Kama Maneno Yako.

  • @osirroberth
    @osirroberth 3 дня назад +4

    Jaman Kuna sehemu tumekosea yanga tumlilieni mungu tukamtolee dhabihu Kwa wenye hitaji na mungu hatakuwa mbali nasi

    • @piusrweyemamu3900
      @piusrweyemamu3900 3 дня назад +1

      Haikuwa sawa kusema "tucheze na malaika"
      Inatakiwa toba 😢.

    • @zakayovincent4080
      @zakayovincent4080 3 дня назад

      Hii itawatafuna​@@piusrweyemamu3900

    • @geofreykazaula7940
      @geofreykazaula7940 3 дня назад

      Ni kurujuani ya Mzee Magoma, viongozi wamtafute wakae naye.

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw 3 дня назад

      ​@@piusrweyemamu3900 kweli kabisa 😢😢😢....Mungu anatunyoosha...

    • @Joekwid960
      @Joekwid960 2 дня назад

      😂😂😂

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm 2 дня назад

    Tuko pamoja Wananchii najua Bado tuko Bora sanaa! Inshallah tukutane marudiano na hawa Paka fc🎉🎉🎉🎉🎉🎉💛💚✔️🤝🤝

    • @CatherineJohn-j4o
      @CatherineJohn-j4o 2 дня назад

      Mrudisheni kocha msaidizi ili amsaidie kocha mpya yule Musa anawajua wachezaji wake gamond alikuwa anapitia upepo wa Musa yule kocha ni mzuri sana ili tusiendelee na kipindi kigumu pia benchi la ufundi lipambane sana na j mos tunamchezo mgumu mana mgunda anaijua yanga vizuri kwa kiwango Cha Jana wachezaji awajawahi kucheza vibaya kama Jana Mungu awasimamie sana mana Kuna vita kubwa ya kuishusha yanga na dube mumpeleke mlipompeleka mayele kipindi ambacho alikuwa afungi magoli mana dube anahitaji msada mkubwa sana coz ni mchezaji mzuri sana

  • @erickpaschal1639
    @erickpaschal1639 3 дня назад +6

    Mimi ntawasema mpaka siku mtuambie kwanini Gamondi kavunjiwa mkataba, kwa ukweli viongozi msipojitafakari na utaratibu wa kufukuza makocha tu hakuna timu itaenda na tunaweza timu isivuke makundi

    • @agapetarimo7053
      @agapetarimo7053 3 дня назад +1

      Makosa yalionekana mda mrefu sanaa sema viongoz walikua wazembe uwezo umeshuka sanaa wachezaj hawana fitness nzurii kabisa tatizo sio kocha wachezaj starehe nyingi siku hz

    • @RodrickFraiton
      @RodrickFraiton 3 дня назад

      Vitwambieee hatutakii kutiatia huruma

    • @khamisally9559
      @khamisally9559 3 дня назад

      ​@@agapetarimo7053Starehe gani mbona hili neno linarudiwa rudiwa? Hizi sio propaganda tu? Kama wachezaji wanaonekana zaidi kwenye starehe viongozi waliopo wanafanya nini? Wanashindwa nini kuchukua hatua? Waachie ngazi basi lijulikane moja. Huu ni ujinga sasa.

    • @agapetarimo7053
      @agapetarimo7053 3 дня назад

      @khamisally9559 hujaona video zinasambaa mtandaon mara Leo wapo huku kesho kule wanasahau kilichowaleta Tanzania

    • @agapetarimo7053
      @agapetarimo7053 3 дня назад

      @khamisally9559 Timu ilianza kuyumba tangu msimu uanze n Kwakua tu tulichukulia simple Kwa kua tunashinda bas goli Moja mbil bas lakin kiukweli yanga imebadilika sanaa Ile moral ya wachezaj kupambana haipo fitness hamna kabisaa

  • @paulomasesa1785
    @paulomasesa1785 2 дня назад +1

    Timu wampe water halison itafanyika vizuri sana

  • @EspoirBudade-on9ef
    @EspoirBudade-on9ef 3 дня назад +4

    Umetowa mfano mzuri sana Manchester city kupoteza michezo 5 umesikiya wamemtowa kocha?😂😂😂😂kwanini nyinyi

  • @esthercharles-zq1lc
    @esthercharles-zq1lc День назад

    Naamini kuwa haya maumivu ni ya muda tu yatapita tusonge mbele ❤

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 3 дня назад +4

    Mwaka jana Aziz k,alikuwa anachezesha Timu. Azi,i kashuka jamani

    • @franksamuel1398
      @franksamuel1398 3 дня назад

      Wachezaji wa kiafrika sio wakuwaamini kuwaongezea mikataba mikubwa na mishahara, msimu ulivyoisha yanga ilitakiwa wamuache aziz aondoke kama walivyofanya kwa mayele

    • @CatherineJohn-j4o
      @CatherineJohn-j4o 3 дня назад

      Kiwango Cha Azizi nikibovu ana nilitegemea angetolewa mwisho wa siku wanamtoa max imeniuma kutolewa max

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 3 дня назад

      ​@@CatherineJohn-j4owakati Max alikuw anapambana san

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 2 дня назад +1

    Yesss Ni kweli kabisa 💯💥💪

  • @danielelikana2615
    @danielelikana2615 3 дня назад

    Uwanja wa Mkapa nao ni wa kuhama tu...au tuhamie uwanja wa Kwaraa Manyara...aallah!!

  • @khamismakame8944
    @khamismakame8944 3 дня назад

    Kwenye Matatizo Aly Kamwe Anakuwa Mstaarabu sana humble Man na Mwenye kukoseya na kujishusha sasa kwenye kazi yake the fast time unapitiya majaribu haya Ajifunze ka kuwa mkomavu na Mwenye Adabu Asijaribu kumaliza Maneno football ni kuheshimiana kosa kubwa kwa yanga kuchukuwa Maamuzi ya kumfukuza Gamond sasa hii ndo Matokeo waliyoyachaguwa.kwa kutokuweza kuhandal Weekness ya Gamond kumueka chini kuyamaliza without hayo maamuzi waliyoyachukuwa kwa matokeo ya Leo asilimiya kubwa Gamond Amehusika na ni kosa kubwa kwa Yanga litawatesa sana na wataadhirika mwaka huu

  • @rahmaabubakarisaanatu1961
    @rahmaabubakarisaanatu1961 2 дня назад

    Kumbe unajua eee mtoto FEDHULI sana maana unajiona ww ni bora sana ukijiona waweza na wenzako waweza SAANA. Ukiongea jaribu kuweka akiba WALLAH

  • @rukiamadati336
    @rukiamadati336 3 дня назад

    Yani kamwe sikuhizi unaongea Sana Hadi kero punguza mdomo leo umekua mpoleee Ila pole Sana kwetu😭💚💚

  • @hajiliparapate6484
    @hajiliparapate6484 2 дня назад

    Kwa mara ya kwanza umeongea bila kuitaja Simba....Ubaya Ubwela. ❤❤❤❤❤❤

  • @DuduBoysSilvester
    @DuduBoysSilvester 2 дня назад +1

    Tumeipenda Wenyewe Acha Ituue Maan Hata Nembo Ya Yanga Ndiomaana Imewekwa Kwenye Kifua Upande Wa Kushoto Ndo Kuna Moyo Hapo

  • @neemaadam9256
    @neemaadam9256 2 дня назад

    Inauma sana lakini tumshukuru Mungu kwa kila jambo likiwa zuri au baya 🙏🏼🤗

  • @isayaanthon7063
    @isayaanthon7063 3 дня назад

    Taasisi yoyote ikifika boom period huanza ku drop sababu hakuna stage zaidi ya boom. Kwa production coy huongeza matangazo na kubadili brand ili kuleta upya. Ni mtizamo wangu kuwa wachezaji wa Yanga wamelewa sifa na wanaamini wanaweza kushinda hata kama wametokea kasino kuvuta shisha. Timua wengi leta wapya kuhuisha team

  • @DeusKamanga
    @DeusKamanga 3 дня назад +1

    Kibabage hatusubiri kidogo, Chama na Baleke waanze, mtazamo wangu Dude na Azizi Ki hawako sawa yaani utimamu wa mwili kwa sasa hawako sawa

  • @frugensifaustine3889
    @frugensifaustine3889 День назад

    MLISEMA MNATAKA KUCHEZA NA MALAIKA.
    innalillah wa inna ilayh raji'uun

  • @alexchibaya279
    @alexchibaya279 2 дня назад

    Naqubal San WANANCHIIIII YOUNG AFRICAN BINGWA

  • @albertmalenge-cs6zy
    @albertmalenge-cs6zy 2 дня назад

    ALI MTARUDI MKIWA IMARA LINI TANGU MECHI YA AZAM HAMJARUDI IMARA TU😢😢😢

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 3 дня назад

    Musemaji Courage asikubari gushirwa simushindani muda uko tudashindatu Allah nagupenda anatuona hatukatiki ngufu awomafala wanacheka mamba nahawavuka muto asante semaji wetu nagupenda bure💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽🙏🏼🙏🏼🙏🏼🫂🫂🫂

    • @BekaRDaffa
      @BekaRDaffa 3 дня назад

      Mulisema muletewe malayka mucheze nao hii nilaana jipeni moyo hamna tim muna kigenge mutachapwa mpaka mseme poo

  • @CharlesMagabe-t4h
    @CharlesMagabe-t4h 3 дня назад +1

    Dunhh mungu awasaidie mwone mlpo tereza jaman maana alykamwe cyo wa kupoa kias hch

  • @RamaBakaa
    @RamaBakaa 3 дня назад

    Jamani msiturudishe tena kwnye maisha ya kuranda randa tumechoka kusimangwa viongozi fanyeni jambo turudi kwenye ubora wetu. Dah, inauma kwakweli!

  • @MalisianaGido
    @MalisianaGido 2 дня назад

    Kamwe Leo umekuwa mpole Kama sio wewe hivi❤❤❤❤❤

  • @DavidSeny-t1y
    @DavidSeny-t1y 2 дня назад

    Mmeanza kumdhiaki mungu iteni tena malaika mungu adhihakiwi kuweni wapole mpaka mkatubu dhambi zenu

  • @kassimchuo5290
    @kassimchuo5290 3 дня назад

    Hata Madrid man u Barcelona wanapoteza mchezo au kufungwa sembuse sisi yanga kikubwa subraa na kutokata katama coz it's a part of game but naamini we still have chance INSHAAALLAH 🤲🤲🤲🤲🤲 ALLAH BAARIK MUNGU IBARKI YANGA MUNGU IBARKI TZ.....

  • @MauBonde
    @MauBonde 2 дня назад

    Naipenda yanga ila team work ya msimu uliopita na msimu huu tofauti wachezaji wapeane nafasi ,nakumbuka yanga vs mamelody tuache kuchezesha majina na waliolidhika na mishahara tunataka wachezaji wote watumikie mishahara yao,.love u yanga watoto wa jangwani wengine mpira wa kibongo tunaujua....dube vs nafasi ya pasi goli ,nomaa group liko poa ila mipango muhimu wachezaji wenyewe wanatakiwa waifanye naipenda yanga jangwani...

  • @SamilaHuseen
    @SamilaHuseen 2 дня назад

    Kweli nimeumia sna Hila naipenda sna yang yang Bado huki poa sna jna waneupiga mwingi

  • @AmuriWabyakemtambala
    @AmuriWabyakemtambala 2 дня назад

    Mwaka huu yanga atutoboi kwakuwa uongozi wetu umesha changanya mambo, umetowa kocha bora umeleta bora kocha😭😭😭

  • @mohamedrashidi4172
    @mohamedrashidi4172 2 дня назад

    Yani ushindi Hilo sahau mtufungwa San San TU mm naamn hamtashinda mechi yoyote kwakua ulishamkosea mungu san

  • @jacksonbiswalo8360
    @jacksonbiswalo8360 3 дня назад

    Poleni sana watani, timu ni nzuri ila nadhn ni upepo tu unapita.Mmenichania Mkeka wa Mtaji mkubwa ila si mbaya nitawapa tena juma mosi bado naamini mnayo timu nzuri

  • @TatuMzuzuli
    @TatuMzuzuli 3 дня назад +1

    Daima mbele nyuma mwiko llove my team young African