Mzee huyo Dogo Ally kamwe anaonekana hata hakuheshimu huyo 😢😢anaonekana tu roporopo sana yan afazal YANGA pale wamuweke mzee mweny utimamu wakuongea vizur
Ahmed Ally hajawah ropoka kumsema GSM hata siku 1 na yupo club kubwa SIMBA SC ambayo Boss mkubwa MO Dewj yupo lakn halopoki hovyo Kuwasem brand za watu, ila huyu Dogo anaropok sana ajifunze maneno hii ishu itamfundisha
Sina hakika ila inavyo onyesha huyu mzee hana maelewano mazuri na ali kwa kauli zake na inaonyesha tangu udogo wa ali hakuwa na ukalibu na mtt so inaonyesha hata ali hana mahaba na baba kihivyo,NB mnao kataa mimba na kukana watt wenu muwe na misimamo hata wakifanikiwa msiwahitaji na kukaza mafuvu
Ila Simba wa kuwaangalia sana kwa sababu ukifuatilia kiundani ni maafisa habari wengi wa Yanga wamefungiwa kipindi cha nyuma kwa ajili ya Simba apate ubingwa kwa kutumia nguvu. Nakukumbusha,Jelly alifungiwa akiwa Yanga kwa kumdhihaki Manara,na Bumbuli alifungiwa wote tunakumbuka,na Manara alifungiwa nazan hamujasahau bado,ebu niambie ni Afisa habari gani wa Simba unakumbuka alifungiwa na tuambie kwa mazingira gani,ila wataumbuka.na jinsi ya kuwazindua ni kushinda Kila mechi na haijalishi ni mashindano gani.
Ally yuko sawa ndio utani sisi sote tumekuta simba na yanga zinataniana viongozi wa simba ayo mambo muyaangalie kitakuja kuwaka apa mkaaribu kila kiru izi timu 2 zimekamata nyoyo zawatu mara ngapi pande zote mbili zinasema vibaya jezi yamwenzie wote wanasemana vibaya kupitia Kwa wasemaji wetu
Wengne hamuelewi ila mngejua ally kamwe aliisema kampun cyo kuwasema simba kama wengne bali ally amitaja kampun ya watu hebu kabla hujakoment fikiria kwanza
Kwan ww hujui km mwezi huu joto kali,au unaangalia hii interview upo kwenye AC nini😊,wenzio wapo nje wamekaa sehem ndo maana unaliona Hilo gari la mchanga.
Kwani uongo si zimeandikwa Sanda, ndio nisanda mbona jezi za yanga waliziita vitenge, vijola, mala yanga ya vibakul alie washtak ni nan ila sawa utani wa jadi ndio unaisha hivo
Mzee kamwe sijawahi kukuelewa unaiongeleaje hiyo habar ya mwanao unasema.katumwa mbona kama una chuki na mwanao sijawahi kukuelewa mahoniano Yako mengi unonyesha taswila Yako huyo mtoto ,hatuishi hivo unakuwa lahisi kutabiliwa mahusiano Yako na mwanao
Haja shtakiwa na Simba ana shtakiwa na mfanya biashara Kwa kumchafulia biashara yake.lakini vyovyote mnavyoona nyie Sawa tu, saa hizi unamtoka ushuzi wa majuto.
Kama utani umekwisha uwishe mangapi msemaji wa simba anaongea mambo ya yanga kama utani umeisha uwishe mtu kafiwa na mzazi anafika mtani anakuambia kuwa umemla nyama maneno nimengi sana wanakuongelea mwisho wasiku niutani Ally yuko sawa waende wakatae utani maakamani na yanga wanayo mengi tu maneno machafu ila vimefunikwa na utani
Anayeshtaki NI mmiliki wa Lebo sio timu ya Simba na ana haki ya kushtaki kwasababu ana athiri jina la biashara yake utoto ume mzidi hajui mipaka, Simba iko poa tu haina neno naye Wala hawapi shida mropokaji huyu, apambane na msala wake.
Mbona ahmed ally huwa anaongea maneno machafu kuhusu yanga na hajawahi kumshitaki hata hata mara wewe sandaland kama unatafuta njia ya kupata pesa mijezi yako imekudodea hupati hata shilling
Kuna mjinga mmoja kasema eti ally kamwe kawazidi kiutani hivi ally kamwe ana utani na kampuni ya sandalend? Acheni ujinga nyie waambieni wasemaji wenu wavisemee taasisi zenu na sio kuingilia taasisi zisizo wahusu
@hindusullu3900 Mimi naomba kuuliza, kuna sehemu Ally kamwe kasema viongozi wa simba wamemtukana mbunifu wao wa jezi kama amewaletea jezi mbovu? Maana clip ninayoiona mimi nikwamba " nasikia viongozi wamemtukana bwana sanda kwamba anawaletea mzigo mbovu nawamesusia kwenye uzinduzi kaamua kuzindua dukani kwake" kama kuna nyingine tofauti nahii niambieni niwapi nikaisikilize yote, lakini kama ni hii hii inayozunguka niksei nyepesi sana kwa Ally, akienda mahakamani atawauliza tu mawakili wa sanda kwamba, ' mimi niliposema viongozi wamekaa kikao nakumtukana bwana sanda ninyi mlijua niviongozi wapi? Wakisema niwasimba Ally atakataa sikuwataja wasimba, nilimaanisha viongozi wa vicoba au upatu, na bwana sanda ninayemwongelea hapa nisanda tupi? Watasema ndo huyo mteja wao atakataa atasema mimi nilimaanisha bwana sandakalawe sasa kama ninyi mnalazimisha nibiongozi wa simba na sanda ambaye nimbunifu wa simba hiyo mnajua ninyi" kesi nyepesi sana hii inapigwa asubuhi tu
Mzeee anaonge vyema Sana Allah akuzidishie busara mzee wwtu
Ally Kamwe amemzidi nani zaidi ya uropokaji unaomponza. Mzee Kamwe nashukuru sana
Mzee huyo Dogo Ally kamwe anaonekana hata hakuheshimu huyo 😢😢anaonekana tu roporopo sana yan afazal YANGA pale wamuweke mzee mweny utimamu wakuongea vizur
Wewe mwenyewe baba yake alikuita my 😂😂😂
Ahmed Ally hajawah ropoka kumsema GSM hata siku 1 na yupo club kubwa SIMBA SC ambayo Boss mkubwa MO Dewj yupo lakn halopoki hovyo Kuwasem brand za watu, ila huyu Dogo anaropok sana ajifunze maneno hii ishu itamfundisha
Ally kamwe nahis karogwa mtu hauwez ropoka hovyo kias hiko
Kwani uwongo kwanza mm ndugu yangu akija amevaa jezi imeandikwa sanda walai simkalibishi kwangu maana ana niletea uchulo
Baba ana hekima sana hii ni kwakuwa yupo simba washabiki wa simba waungwana sana
Huyu mzee ana hekima sana sio kama mwanae mropokaji ovyo
Mzee yupo sahihi kabisa 👏👏👏👏👏
Sahihi ya nn ya mkataba au
Mwanao anahisi Engeneer ni bora zaidi kuliko wewe baba yake kwa vile ww ni Masikini wa kipato
Sina hakika ila inavyo onyesha huyu mzee hana maelewano mazuri na ali kwa kauli zake na inaonyesha tangu udogo wa ali hakuwa na ukalibu na mtt so inaonyesha hata ali hana mahaba na baba kihivyo,NB mnao kataa mimba na kukana watt wenu muwe na misimamo hata wakifanikiwa msiwahitaji na kukaza mafuvu
Kunywa soda nakuja kulipa chap
Kunywa soda nakuja kulipa chap
Hatugombanii nenò sanda tunagombania ally kaisema ķampun ya watu BRAND YASANDALAND
Ally Kamwe kawazidi utani mpaka wanataka kukimbilia mahakamani
Elewa simba hahusiki hapo hiyo ni biashara wa watu siyo timu ya Simba
@@zunyagapeter4647kwa kuwa anaisapoti simba ni lazima utani utamuhusu kama hawezi hayo angekaa pembeni
Kamzidiii mama yakoooo
Mzeee vipiiii unamteteeea mwanao achaa ujingaa hapo sio utaniii mtt wako mshenziiiii
@@zunyagapeter4647Wewe ujifanya chizi msemaji wenu alisema GSM katengeneza vitenge leo mnalia
Kamwe ni watu wa chuga unyunyu😂😂
Bas ukiona hivyo hizo jez hazijatoka kwa wingi maaana hizo jez wananunua makolo wenyewe sasa kunashida gani
Mzee mtoto wako kibuli sana na jeuri na masifa anapenda sana muache ampe adabu sand
Wee nae pwagu kweli, kwahiyo unazan atalipwa
Yatawarudi TU makolo mliyo wafanyia wachezaji wa yanga mkishiriiana na mabosi wa Azam Kwa dube naamini sio mda itajukikana tu
Sindano zenu ziliwaponza camera zilionyesha😂😂
Mpira hsuna mahakama sbb ni utani bd watajuta
Kauli mbaya Sana ilotolewa na baadhi ya washabiki wa yanga yakwamba wanataka waletewe Malaika wachezenao!!!
Mtoto wakho jeuli sana 😄😄😄😄😄
Jamani mtoto ni mama sio baba
Mzee una hekima sana
Ila Simba wa kuwaangalia sana kwa sababu ukifuatilia kiundani ni maafisa habari wengi wa Yanga wamefungiwa kipindi cha nyuma kwa ajili ya Simba apate ubingwa kwa kutumia nguvu.
Nakukumbusha,Jelly alifungiwa akiwa Yanga kwa kumdhihaki Manara,na Bumbuli alifungiwa wote tunakumbuka,na Manara alifungiwa nazan hamujasahau bado,ebu niambie ni Afisa habari gani wa Simba unakumbuka alifungiwa na tuambie kwa mazingira gani,ila wataumbuka.na jinsi ya kuwazindua ni kushinda Kila mechi na haijalishi ni mashindano gani.
Kwani musemaji wenu katukana jezi zetu mala ngap
Mzee kaongea Ukweli
Ally yuko sawa ndio utani sisi sote tumekuta simba na yanga zinataniana viongozi wa simba ayo mambo muyaangalie kitakuja kuwaka apa mkaaribu kila kiru izi timu 2 zimekamata nyoyo zawatu mara ngapi pande zote mbili zinasema vibaya jezi yamwenzie wote wanasemana vibaya kupitia Kwa wasemaji wetu
kwel kabisaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅
Kila jambo lazima afatwe babake dah bongo yetu hii
Aly kamwe kapiga kwenye mshono
Mzee ko unamshitakia kwa mwandish wa habar!?
Nawewe mzee achana na kuingiza mambo ya watoto ayo unashindana na mwanao njoo uwe msemaji wa namungo
Ali kamwe ni mshamba kwanza kwanni niwani kila wakati huyu ni macho yamemwishia
Mzee .tutakupa heshima .
Ww mtangazaji hovyo kabisa,,,wapi ally ametamka sandalady au ametamka simba? nendeni mahakamani itafasili sheria,,,mtangazaji hovyo kuwahi kutokea
Wew Acha mihemko nenda ukaangalie video
Wengne hamuelewi ila mngejua ally kamwe aliisema kampun cyo kuwasema simba kama wengne bali ally amitaja kampun ya watu hebu kabla hujakoment fikiria kwanza
Mzee yuko uko vizur
Ila mimi nirisema mapema kama anaropoka sana hayo yasha mkuta huyo mtoto kautaka mwenyewe huyo bi bi bi 😄😄😄😄😄😅 birioni tatu 😅😅😅
😂😂😂😂atu atu atu atu
Anavimaneno vya ajabu sana alikamwe et Panyaroad ila ahmedally humkuti na vimaneno vya ajabu zaid zaid anapenda kutumia neno nyuma mwiko
Ahamedally si alituita maiti ama umejizima data
Sasa mzee kifua wazi ndio maana yake nini 😂😂😂
Kwan ww hujui km mwezi huu joto kali,au unaangalia hii interview upo kwenye AC nini😊,wenzio wapo nje wamekaa sehem ndo maana unaliona Hilo gari la mchanga.
Muache huenda yupo njombe chitohori uko😂@@JustinMwakalukila
@@laurianopius2411 🤣😂😂😂😂
Baba kama baba 😂😂😂😂
Aaaaa sio vizuri Ali hata kama unamaisha yako kila siku umulizeee hali baba
Bb hongela cn Mungu akubariki kwa hekima bb
Kwani uongo si zimeandikwa Sanda, ndio nisanda mbona jezi za yanga waliziita vitenge, vijola, mala yanga ya vibakul alie washtak ni nan ila sawa utani wa jadi ndio unaisha hivo
Ungeshitaki na ww
Ni kweli kama ndo Ivo utani usiwepo tena utakuwa ni mwendo wa kushtakiana tu
Mzee kamwe sijawahi kukuelewa unaiongeleaje hiyo habar ya mwanao unasema.katumwa mbona kama una chuki na mwanao sijawahi kukuelewa mahoniano Yako mengi unonyesha taswila Yako huyo mtoto ,hatuishi hivo unakuwa lahisi kutabiliwa mahusiano Yako na mwanao
Wewe hayo maneno Yako yatamponza Ally Kamwe
Jamani jezi za Yanga ziliitwa vijora mmepelekwa mahakama gn nyinyi acheni ushamba uwo
Hatukuchafua brand....sandaland ni brand . Na investor
@@flova7022hakuchafua brand?? Kwani hizo jezi za Yanga zilitolewa na nani???.....Tatizo huu mpira umevamiwa na wacheza nsunsumia....
Kichwa kimba ww uliskia Ahmed Ally kuongea kuhus jez za Yanga kusem vibaya au kuharibu brand ya jez za Yanga ushawah kuskia?? Ach uzuz boya ww
Mzee wa hekima kabsa
sanda mpeleke mahakamani huyu njiti
HAHAHHAHAH
Asa nyie kwan hzo co sanda c amendika yeye
Hizo jezi ni sanda tu maana ndivyo zilivyoandikwa, hizo ni sanda sanda hakuna mjadala.
Hakuna kesi hapo
Mbona sisi jezi zetu za vitenge
Haja shtakiwa na Simba ana shtakiwa na mfanya biashara Kwa kumchafulia biashara yake.lakini vyovyote mnavyoona nyie Sawa tu, saa hizi unamtoka ushuzi wa majuto.
hivi mtu akivaa sanda ukamwambia kavaa sanda umemtukana?
we mzee wa ovyo sana msemaj wenu amewah sema jez zetu vitenge mbona hatusemi?
Mukitaka tuanze kushitakiana kwa sababu ya utani wa simba na yanga mahakama zitakuwa hazitoshi kama utani umewashinda museme sio mnaleta njaa zenu
Kama utani umekwisha uwishe mangapi msemaji wa simba anaongea mambo ya yanga kama utani umeisha uwishe mtu kafiwa na mzazi anafika mtani anakuambia kuwa umemla nyama maneno nimengi sana wanakuongelea mwisho wasiku niutani Ally yuko sawa waende wakatae utani maakamani na yanga wanayo mengi tu maneno machafu ila vimefunikwa na utani
Ni ni maana ya utsni mbona jezi za yanga ziliitwa vijora namajina mengi tu sioni kama hiyo inamantiki.
BASI NANYIE NENDENI MAHAKAMANI ILA ALI KAMWE ALIPE TU BILIONI 3 ANAJITIA USEMAJI HAJUWI LOLOTE
Anayeshtaki NI mmiliki wa Lebo sio timu ya Simba na ana haki ya kushtaki kwasababu ana athiri jina la biashara yake utoto ume mzidi hajui mipaka, Simba iko poa tu haina neno naye Wala hawapi shida mropokaji huyu, apambane na msala wake.
Kwa aliyo yasema Ally kamwe sio utani huo
Du mahakamani Tena nendeni kamwe chapakaz
Baba mwenyewe anajua mwanae jeuri sanda mpe adabu
dogo kakosea kutaja jina la kampuni wakati yeye yuko kwenye kampuni shindani
Ninacho Juwa kwenye mpira utani nimwingi lakini naona nyinyi penye mnafikiya mwisho mtauwana na mkumbuke mpira niharamu japo kuwa kunashabikiya
Elewa kampuni ya mtu na mpira
Simba na YANGA ni watani sasa munapoelekea munataka iwe vita.
MWANAE ANAROPOKAGA SANA ACHA APIGWE FAINI
Acha mambo ya ushoga wewe buana utani ni mwingi Ahmed ally amekashifu Sana mambo ya Yanga
Ahmed huwa haongei maneno kama hayp
Tatizo mzee nae kolofc Sasa atasemaje kuhusu jambohilo
Nimekuelewa mzee kamwe kama ni hivyo Ally anakosea san san mmh
👏👏👏👏👏👏🦁🏆🏆💪💪💪💪💪🙏🙏
Wewe mzee vipi mtoto wako ndio amtafute sandalend
Bahadhi yenu mlio koment humu wote hamna kauli nzuri
Mwandishi katumwa!
Sio umemtuma wewe babake ?
Akutaja nembo wala jina la mtu
Kitu zima huereweki nilizani unahekima
Huyu baba ni mchaga?au nauliza
Mbona ahmed ally huwa anaongea maneno machafu kuhusu yanga na hajawahi kumshitaki hata hata mara wewe sandaland kama unatafuta njia ya kupata pesa mijezi yako imekudodea hupati hata shilling
Hiyo ni kuhusu yanga yeye aly kamwe analopoka
Atoto snadharau katukana wazee wa Simba hanaadabu
Huyo kamwe katukana mpaka wazee
Sand land fala aliye mwambia afanya biashara ya mpira ni nani? utani ni sehemu ya michezo
Yule mwanao ana laana ya wazee kamtukana mgunda mamaake fei akome
Wew mwenyewe unalana chizi nini acha kumtukana msemaji wetu
Kuna mjinga mmoja kasema eti ally kamwe kawazidi kiutani hivi ally kamwe ana utani na kampuni ya sandalend? Acheni ujinga nyie waambieni wasemaji wenu wavisemee taasisi zenu na sio kuingilia taasisi zisizo wahusu
Jamani eleweni biashara ya mtu na utani wa simba na yanga
Watu hawaelewi wanadhan makolo ndowameenda kushtaki...wakati hata hawahusiki
@hindusullu3900 Mimi naomba kuuliza, kuna sehemu Ally kamwe kasema viongozi wa simba wamemtukana mbunifu wao wa jezi kama amewaletea jezi mbovu? Maana clip ninayoiona mimi nikwamba " nasikia viongozi wamemtukana bwana sanda kwamba anawaletea mzigo mbovu nawamesusia kwenye uzinduzi kaamua kuzindua dukani kwake" kama kuna nyingine tofauti nahii niambieni niwapi nikaisikilize yote, lakini kama ni hii hii inayozunguka niksei nyepesi sana kwa Ally, akienda mahakamani atawauliza tu mawakili wa sanda kwamba, ' mimi niliposema viongozi wamekaa kikao nakumtukana bwana sanda ninyi mlijua niviongozi wapi? Wakisema niwasimba Ally atakataa sikuwataja wasimba, nilimaanisha viongozi wa vicoba au upatu, na bwana sanda ninayemwongelea hapa nisanda tupi? Watasema ndo huyo mteja wao atakataa atasema mimi nilimaanisha bwana sandakalawe sasa kama ninyi mnalazimisha nibiongozi wa simba na sanda ambaye nimbunifu wa simba hiyo mnajua ninyi" kesi nyepesi sana hii inapigwa asubuhi tu
@@hindusullu3900nahawawezi kuelewaaaa maana wenye akili wapi wawili tyuuuuu
Baba ana busara kubwa kuliko mtoto
Acha usenge hiyo ndiyo kazi yake kuma wee
Kweli ni kazi lakini amezidisha sana. Kama angekuwa yuko ulaya angepata shida zaidi ya hiyo
Kuwa na akili wewe
Kama baba mtu anasema haya; wewe naani usiseme, too much is harmful.
Ally Kamwe utoto mwingi! Wacha sheria ifuate mkondo