I can't stop smoking until the last day, the soul cools, pleasure enters the heart, false thoughts disappear, understanding increases, I love you marryjane
I’ve smoked weed for 7yrs and I’ve never experienced sudden side effects other than feel so good and intelligent. Weed is for the chosen not for all people
Its not the breed difference tofauti ni kwamba if its good for you and never harm you use it either way others i agree it can harm cause not all brains are the same
Ulaah..... Tujuane bhan stim ya bangi ila wanasayansi uwa sio wakweli huwa wana mambo mengi alafu hayatikei tayari bangi ilikuwa tiba sasa kwann tusivute..... Ebu dondosha like apo
Bangi inategemea na kichwa cha mtu ukiwa mawenge inakufanya uwehukeee zaidii ila ukiwa na akili timamu, very focused person, ambitious to achieve greatness ukiivuta inakupa majibu kamili ya maswali na what you want to achieve in life, tatizo linaanza pale umekumbwa na msongo wa mawazo umevurugwa uko na stress alafu unavuta lazina uwehuke, "Anything you do in a small amount is not harmful, but excess use is harmful" We smoke as a medic, we are safe. 20th anniversary years of smoke we are very healthy and focused on our things no side effects we encounter.
Wow finally prof is back ....we love you bro from kenya if you come to Nairobi I will give you 4 cows.....Plz don't go away again ...em happy now 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bangi sikufunzwa na mtu! Nilifanya research na nikaanza mwenyewe bila ya kupewa na mtu! Kikubwa niliomba kunyongewa nikajivuta beach nikaanza msumari wa kwanza!!! Kuanzia hapo life imebadilika….imenifanya niwe na uwezo tofauti wakufikiria na utulivu wa hali ya juu! This thing is like a “breating space” for me!!! Though sometime inazinguwa😂😂since kujiamini kunakuwa juu zaidi! Matter of fact, weed inanifanya niwe “i dont care” kwa kila angle!
This is the first time in my life to watch a Swahili documentary, and I must say it is amazing 🤩, the flow🙌🏻, swahili has never felt this beautiful, 👏🏻, good job watanzania, love from your English speaking neighbors Kenya 🇰🇪
Tumeelewa sana hii asili ya bangi. Asanti sana Ila nataka kusema kwamba bangi huvutwa Kwa sababu Fulani .... Kwa hivo kusema kwamba mtoto huwa mbumbumbu darasani ,, si kweli .. Kwa maana mvutaji bangi huwa sana na nawazo makubwa .. Wanaotazama hii wakiwa juu juu Kwa mawingu... Big up . Ziwahi tu Kwa shughuli safi. . alafu kumbuka meditation Kwa Kila siku ... Huamsha hisia ya mtu kijitambua💯💥na kukupa Imani .. Kwa jambo unalofanya
Anyway bangi siyo mbaya bhana… me nimeanza kuvuta since niko na 10 years tumekula bangi na ugali kama mboga and sijapata madhara yeyote am now 25 na focus vizuri na kazi zangu sijawa teja and I’m a girl ❤… bangi mi 5 tena 😊
Uyu mzimbiting adi yy amemedi, hajui pia kina mokoro uku njei huji nwais na ki gode mpaka anaanza na disadvantages bana....... Wacha nivutie plug wa mi.
Uongo kabisaa kabisa mimi nilituma bangi nikiwa high school nakupata grade ya B+ high school bangi ni vile utaionyesha na usitumie kila siku 3 times daily freshii kabisa. It's a herb full of confidence and happiness 💯💯
lemmy tell you, its hard at first, you cant differentiate reality and imagination but once youre out of the intro stage youre clear, you become able to distinguish the two and gain the ability to plan reality from a point of imagination. As the narrator said, at number 10, it gives you great imagination. The other aspect i can confidently say is that it brings out the real you. If youre a thinker youl think, if youre paranoid, youl be paranoid. The narrator said that it sharpens whatever direction it is you take as a person(when he spoke of the rastafari) . If you are at a point of creativity in life 26-35 this holy hemp will give you the most prolific ideas, you reason from a different point, a parallel universe.
Nakukubari sana Jamar. Naomba uandae story ya mtu wa MBUYU, hii ni Kwa sababu napingana sana na wahenga waliosema "HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA". Kwa kweli sijawahi kuona mbuyu unaolingana hata na mche wa mchicha uliokomaa.
I do my creatives design while using bangi and it gives me appetite....kma vnye amesema ukiitumia kw njia sahihi bci itakupeleka stimu yke unafaa kuicontrol ju n kali#marijuana nlivuta since nko age 15 till now nko 25 nko swa...cjawai kulazwa hospitals thnx to my LORD tunatumia yeye anatibu
Tumeelewa sana hii asili ya bangi. Asanti sana Ila nataka kusema kwamba bangi huvutwa Kwa sababu Fulani .... Kwa hivo kusema kwamba mtoto huwa mbumbumbu darasani ,, si kweli .. Kwa maana mvutaji bangi huwa sana na nawazo makubwa .. Wanaotazama hii wakiwa juu juu Kwa mawingu... Big up . Ziwahi tu Kwa shughuli safi. . alafu kumbuka meditation Kwa Kila siku ... Huamsha hisia ya mtu kijitambua💯💥
Hongera Jamal kwa kujaribu kubalance mzani usifungiwe kipindi... ila bangi jamani its something great. Its the best thing. Sijawahi kusoma mahali kuwa ganja inasababisha cancer... i wonder. For illusination hii kitu ni balaah. For meditation acha kabisa. Hongera jamali... umefanya kipindi kiume.
Prof umewahoji watu wasioruhusiwa kwa familiar zao njoo uwahoji maskankin, ukivura kush una get so high, skiliza dreams of brighter day's , sisi tunavuta since child na tumesoma na tulikuwa na akili kuliko wasiovuta
Kiukwer bangi Mimi nilijikuta natumia hata sijui nilianzia wapi kiukwer haijawah nizuia katk kufanya focus zangu ao nione aibu yakuomba dua kwa mungu wangu
Bangi hufai kuvuta mingi, vuta kidogo once per day, tena jioni kabisaa, Mimi nafuta kidogo naskia rahaa, naskia kutulia tu kwa nyumba na kufurahisha bibi wangu❤
Prof jamal nimekubaliana na hili swala la bangi,maadamu umekosea kwa kuhoji mateja wanaotumia mihadarati mbalimbali ilhali wako wanaotumia bangi na wanaishi maisha mazuri,tafadhali rekebisha hapo
Umeongea mambo mengi ya uongo kuhusu bangi. Nimevuta bangi tangu nikiwa kidato cha pili, kidato cha nne nilikuwa mwanafunzi wa kwanza mtihani wa NECTA shule nzima, mpaka sasa nafanya kazi katika moja ya taasisi kubwa tu nchini na bado navuta bangi, wakati mwingine fanya utafiti wa kutosha kabla ya mada.
Unapotosha! Unapotosha sana jamii... Acha ujanja ujanja kwakuwa wanaangalia wengi, unaisigia halafu unasema mbaya pia, bangi ni mbaya tu! In the beginning ulikuwa bora ila sasa umeanza chuja! Elimisha jamii na usiwe nusu nusu! Aseh be straight.
BANGI leo hii inastory yakufanana na story ya Eid Amin Dada, dunia iliaminishwa kuwa Eid Amin alikuwa ni muuwaji katili na mtu asiyefaa kabisa kwa binadamu wengine, lakini ukimsikiliza mwenyewe kwa umakini unagundua ni kiongozi tu mathubuti na mzalendo, hata bangi iko hivyo, wazee wasiokuwa na maarifa nikimaanisha wazee wetu waliaminishwa kuwa bangi ni kilevi hatari sana baada ya KUKOMESHWA KWA BIASHARA YA UTUMWA na hii ni baada ya INDUSTRIAL REVOLUTION ambapo mashine ziligundulika na kuanza kufanya kazi za binadamu, na binadamu kukosa kazi mashambani na viwandani...... Nchi za Caribean wanastory tofauti na sisi juu ya BANGI, wao walipoambiwa BANGI ni kilevi msitumie, walihoji kwanini wakati wanafanyishwa kazi kabla ya kukomeshwa biashara ya utumwa walipewa BANGI na kufanyishwa kazi? .... Basi walikataa kuacha bangi na kwao bangi inatumika kwa njia nyingi zaidi ya kuvuta moshi, wao wanatengeneza mpk juice ya bangi, na wanaishi maisha yao na hawana maradhi yoyote...... Watu duniani wanaACCEPT matumizi ya BANGI alafu mwandishi mmoja mpumbavu anashika kalamu kuandika uongo kuhusu bangi, BANGI sio kilevi, thats why ukivuta hulewi, ila kinachofanya wabongo wajione wanalewa ni LAANA ZA WAZAZI WAO, yaan mzazi anakwambia ukivuta bangi utakuwa chizi, utavua nguo, utachanganyikiwa au vinginevyo, mzazi ni mungu wa pili, atachokwambia kinaweza kukukuta usipokuwa makini, sasa ukivuta na laana hiyo ilitamkwa na wazazi aidha baba yako aliambiwa na babu yake au babu yako aliambiwa na baba yake, itakutafuna mpk wewe....... Lakini BANGI sio mbaya kabisa tena sigara ni hatari bora bangi kuliko ciggarete..... Cause Bangi moshi wake ni mwepesi na unapeperuka easy tu, lkn moshi wa ciggarete ni mzito na unakaa ktk mapafu unatengeneza kiza kama cha jikoni ambapo ni hatari kwa afya.
aiseeee.....Wewe jamaa nimekuelewa sana na kutokana na maelekezo Yako nimeelewa Kwanini inakuwa mtu mumoja anavuta bangi anakuwa Smart mwingine anakuwa chizi.alafu kwetu Kuna jamaa alikuwa anavuta bangi analima sana anafanya kazi sana....nilivyopeleleza wakaniambia yeye bangi yake aliinuia akivuta alime sana
Bangi inakomaza ubongo🧠 hata muonekano wako wa asili🧟♂️ unapotea tujiulz ni nzur au ni mbay na yote hay ni kutoka na pupa la kutaka mamb kwa harak katik maisha ...🏃🏻tusisahau haraka haraka haina baraka faida yako ni kujifupishia kila kit katika maisha yako hiy ndio 🔭🔬research niliyoifany kuwa makin na mlanduko 🧨💔.......thanks for your lecture Mr.PHD
Bangi haikufanyi kuiba, kudhuru watu wasio nahatia, bangi haikufanyi kua mchafu,na wala haikufanyi kuchelewa kuamka kwenda kazini,ila hao wanatumia aina ya vilevi nyengine tofauti na bangi aina ya watu hao wanatumia unga pamoja na ulevi wa kupitiliza
I can't stop smoking until the last day, the soul cools, pleasure enters the heart, false thoughts disappear, understanding increases, I love you marryjane
bana!!!! kuna true love kushinda ya huyu mary jane kweli?
Bangi inautamu wake bwana
@@flown945 Hakuna
😂😂😂
As for me it makes me happy
@@veronicairungu1864 😂😂😂😂
I’ve smoked weed for 7yrs and I’ve never experienced sudden side effects other than feel so good and intelligent. Weed is for the chosen not for all people
true say ... sometimes i ask myself like or we smoke something differ from weed??? coz what people say and the experience is sooo different🙌
Its not the breed difference tofauti ni kwamba if its good for you and never harm you use it either way others i agree it can harm cause not all brains are the same
Baas wellspoken
@@veerah-mimz4305This is so true. You dee things from a different perspective, you feel some typpa way you cannot put it into words.
👌👌💯
Ulaah..... Tujuane bhan stim ya bangi ila wanasayansi uwa sio wakweli huwa wana mambo mengi alafu hayatikei tayari bangi ilikuwa tiba sasa kwann tusivute..... Ebu dondosha like apo
Bangi inategemea na kichwa cha mtu ukiwa mawenge inakufanya uwehukeee zaidii ila ukiwa na akili timamu, very focused person, ambitious to achieve greatness ukiivuta inakupa majibu kamili ya maswali na what you want to achieve in life, tatizo linaanza pale umekumbwa na msongo wa mawazo umevurugwa uko na stress alafu unavuta lazina uwehuke,
"Anything you do in a small amount is not harmful, but excess use is harmful"
We smoke as a medic, we are safe. 20th anniversary years of smoke we are very healthy and focused on our things no side effects we encounter.
yarr💯
Jamal anasema nini? Niko chuo kikuu nafanya udaktari na nimevuta bangi kutoka secondary
I agree with you on the section of ganja giving you ideas, when I take it I become a dictionary yani vocabulary zinanijia kibao🔥🤣🤣🤣
Appreciate my bro
Bangi iko sawa
Wow finally prof is back ....we love you bro from kenya if you come to Nairobi I will give you 4 cows.....Plz don't go away again ...em happy now 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Na sio story za JABA Bana ...😅😅😅🎉❤
Tupo
Hamna kuacha bangi, uvutaji wa sigara ni hatar kwa afya yako,ila bangi ni dawa kwa afya yako❤️❤️❤️ one love blood
Kama wewe ulimisi the story book kama Mimi tujuane hapa ❤ Welcome back the story book 📚
Sana
From 🇰🇪 am here ✌️
Tumemisi sana
Sure. Wot tnpend san
Saaaanaaaa aiseee
Bangi sikufunzwa na mtu! Nilifanya research na nikaanza mwenyewe bila ya kupewa na mtu! Kikubwa niliomba kunyongewa nikajivuta beach nikaanza msumari wa kwanza!!! Kuanzia hapo life imebadilika….imenifanya niwe na uwezo tofauti wakufikiria na utulivu wa hali ya juu! This thing is like a “breating space” for me!!! Though sometime inazinguwa😂😂since kujiamini kunakuwa juu zaidi! Matter of fact, weed inanifanya niwe “i dont care” kwa kila angle!
Bangi Ni sumu tu
Budder 😂✌️
Aseee cha arusha ni hatr ....ogopa mkli
Wanaoipinga bangi hawaijui bangi yenyewe...Bangi haipew heshima inayostahili
Me husema achana Nao watajua wenyew 😂😂
Mpira mbele
This is the first time in my life to watch a Swahili documentary, and I must say it is amazing 🤩, the flow🙌🏻, swahili has never felt this beautiful, 👏🏻, good job watanzania, love from your English speaking neighbors Kenya 🇰🇪
My exact reaction
Me naskia Nikama nasoma mstahiki meya 😂😂😂 🇰🇪
I'm addicted to this channel. Kiswahili kitukuzwe.
Tumeelewa sana hii asili ya bangi. Asanti sana
Ila nataka kusema kwamba bangi huvutwa Kwa sababu Fulani .... Kwa hivo kusema kwamba mtoto huwa mbumbumbu darasani ,, si kweli .. Kwa maana mvutaji bangi huwa sana na nawazo makubwa ..
Wanaotazama hii wakiwa juu juu Kwa mawingu... Big up . Ziwahi tu Kwa shughuli safi. . alafu kumbuka meditation Kwa Kila siku ... Huamsha hisia ya mtu kijitambua💯💥na kukupa Imani .. Kwa jambo unalofanya
Kweli kabisaa , 💯bangi ni dawa
Bangi nzuri ukiwa na kula vizuri
mbuniii
Waaah hii storry book imenipata wakati niko meditation
Kama unaangalia huku unasoma comment gonga likes ya Nguvu 😅
❤❤❤❤❤bangi tangu nifute am strong woman
you're the best
@@sarahwilly9025 umeona madhara ya bangi hayo tangu "ufute"
Nimeielwa sana bangi
🎉
Jamal April miss you 💯 welcome back professor more love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hi Aisha
❤❤❤❤
Alikua wapi long time
Huyu jamal awache mchezo kusepa sepa 😂
❤❤❤
Msidanganywe, the more you smoke wisdom weed... the more Babylon fall... Uprising 🙏😊🐏
I can't stop to meditate marryjane it's keep my soul comfort &relaxation💭💭💭💭💭
Weed and meditation hits sweet😂
You can only meditate when you are high?
The one and only king of The Story Book!! Your fan’s we have missed your amazing voice n story telling skills ❤
Tuelezee na punyetoo Jamal
punguza kizungu dada
@@fesal5302 alafu nikipunguza itakusaidia aje kwa maisha yako au kipi wapungukiwa nikitumia kizungu nijuwe where you’re hurting braaa 😂
@@fesal5302 😃😃😃🖖
Nimimi alafu sielewi narudisha nyuma kila saa ilinielewe kiundani zaid😅😅😅😅
Anyway bangi siyo mbaya bhana… me nimeanza kuvuta since niko na 10 years tumekula bangi na ugali kama mboga and sijapata madhara yeyote am now 25 na focus vizuri na kazi zangu sijawa teja and I’m a girl ❤… bangi mi 5 tena 😊
Prof Jamal April we miss you..... The story book is back again na furaha imerudi Tena
Kama mm hapa ss hv huku nasikiliza😂😂😂
Kama uko high watching piga like😂
😂😂😂
Awa ni walevi sio wavuta bangi😂😂
Umejua aje 😂😂
Uyu mzimbiting adi yy amemedi, hajui pia kina mokoro uku njei huji nwais na ki gode mpaka anaanza na disadvantages bana....... Wacha nivutie plug wa mi.
Uedeleye nashauri
Uongo kabisaa kabisa mimi nilituma bangi nikiwa high school nakupata grade ya B+ high school bangi ni vile utaionyesha na usitumie kila siku 3 times daily freshii kabisa. It's a herb full of confidence and happiness 💯💯
lemmy tell you, its hard at first, you cant differentiate reality and imagination but once youre out of the intro stage youre clear, you become able to distinguish the two and gain the ability to plan reality from a point of imagination. As the narrator said, at number 10, it gives you great imagination. The other aspect i can confidently say is that it brings out the real you. If youre a thinker youl think, if youre paranoid, youl be paranoid. The narrator said that it sharpens whatever direction it is you take as a person(when he spoke of the rastafari) . If you are at a point of creativity in life 26-35 this holy hemp will give you the most prolific ideas, you reason from a different point, a parallel universe.
Me reading this and I'm high asf.
Damn true
daw kumbe bang oya weeeee pig keleleeeee wanang
k srbo
@@vidy254
Let's TANZANIA proudly to have this talents.. JAMAL
Nakukubari sana Jamar. Naomba uandae story ya mtu wa MBUYU, hii ni Kwa sababu napingana sana na wahenga waliosema "HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA". Kwa kweli sijawahi kuona mbuyu unaolingana hata na mche wa mchicha uliokomaa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahaha😂😂😂😂😂😂ulevi taabaani
Wanangu wa bangi tujuane Kwa like jaman Mana bangi ni tiba😂😂😂
.Yeyoooo kitu
😁
bangi noma ina toa ka motisha flan safi sana
Owa kuna story za uongo kibao usha wah sizi ukashindwa kutambua majira 😂😂😂🙌
bangii tam ww
Prof ,,much respect 4u,,,, bro!! #tulikumiss sana aise welcome come back prof, jaman weka like ya upendo kwa mtalamu prof jamal April
😭😭😭
Leo wakwanza naomba like japo zifike japo 1000 tu
Love you my brother extremely non stop ningekuwa na uwezo ningekupa zawadi isiyo hesabika love you bro!!!!!!! Umepanua akili kweli kweli
Favorite story tulio Dubai tujuane kwa like❤❤❤❤❤❤
Mwandishii umeongopa ss hiyo ndio tu imetufanya tutoboe kwenye maisha
TUNAO VUTA BANGI KWA SIRI BILA KUBUGZA WATU NA KUCHAPA KAZI BILA KUKABA MTU TUJUANE KWA LIKE CHINI NA TUKIFA PEPONI HATUNA BAYA OYOOOO😀😀
Wakwanza nikofiti naeshima pia
Oyooooooooooooo
Wahuni wote peponi oyooooooooooo
Wasiovuta bangi ni wezi wa Kenya oyooooooooooooo#politicians
@@saidaliswaleh3216 hakika iko bomba sana
Watching this while stoned 🤣🤣🤣
I do my creatives design while using bangi and it gives me appetite....kma vnye amesema ukiitumia kw njia sahihi bci itakupeleka stimu yke unafaa kuicontrol ju n kali#marijuana nlivuta since nko age 15 till now nko 25 nko swa...cjawai kulazwa hospitals thnx to my LORD tunatumia yeye anatibu
Nakubali sana huyu jamaa anjuwa kuhadithia yanii nafeel kama nipo kwenye story mungu akuweke
We missed you professor, much love from 254🇰🇪❤️❤️
It's 254 dear 🎉
@@salimmohamed5232 ni Story ya bangi imenichanganya😅😅🤭
@@peshkaris1801 it was there since creation..
Plz next time consider story chapa
Sijui kama mnafahamu story chapa uko Tz
@@stonedestone2050 you're wright Brother 👌
Tumeelewa sana hii asili ya bangi. Asanti sana
Ila nataka kusema kwamba bangi huvutwa Kwa sababu Fulani .... Kwa hivo kusema kwamba mtoto huwa mbumbumbu darasani ,, si kweli .. Kwa maana mvutaji bangi huwa sana na nawazo makubwa ..
Wanaotazama hii wakiwa juu juu Kwa mawingu... Big up . Ziwahi tu Kwa shughuli safi. . alafu kumbuka meditation Kwa Kila siku ... Huamsha hisia ya mtu kijitambua💯💥
Hongera Jamal kwa kujaribu kubalance mzani usifungiwe kipindi... ila bangi jamani its something great. Its the best thing. Sijawahi kusoma mahali kuwa ganja inasababisha cancer... i wonder. For illusination hii kitu ni balaah. For meditation acha kabisa. Hongera jamali... umefanya kipindi kiume.
Let us date aki😂😂we are twins❤
Umechungia!!
Umechungulia!
Welcome back dear jamal hatunge weza kwendeyea pasipo wewe welcome back professor April ❤🇨🇩
Ah! Jah bless☝bangi djamani❤🌴🌍 tuvute wanangu🎉
The truth attaching to this piece is enough evidence that the speaker is one of us😆
He's just a reporter, doing his job
No😂😂
He's making it sound worse
Sasa mbumbu ndo gani
Kuna mengine anasema lakini sio kweli
😂😂😂seriously
humor at its best😂
Sisi wote ni mastoner ama😊😊😊songa na like 👍
They're all here😂
Ausio
😂😂😂😂😂😂
Stonner forever
Meanwhile smoking
Bangi inafanya ufikiri mara mbili ya mtu wa kawaida na kufanya jambo kwa usahihi au kupata majibu ktk kitu kinachokusumbua gonga like kama tupo pamoja
Yeahman
Expansion of mind and consciousness.....unaexperience maisha kuliko akili enye imeekewa limits na society
Pamoja sana, alfajiri na 5 ucku
I get deep interpretation of the world and complex things 😅😅
Prof umewahoji watu wasioruhusiwa kwa familiar zao njoo uwahoji maskankin, ukivura kush una get so high, skiliza dreams of brighter day's , sisi tunavuta since child na tumesoma na tulikuwa na akili kuliko wasiovuta
Nimevuta Bangi kwanzia Darasa la saba paka 4m 4 na sijawehuka kama inavyodhaniwa Ila Bangi ni kilevi cha Aina yake 😂😂😂
😂
Kiukwer bangi Mimi nilijikuta natumia hata sijui nilianzia wapi kiukwer haijawah nizuia katk kufanya focus zangu ao nione aibu yakuomba dua kwa mungu wangu
Bangi hufai kuvuta mingi, vuta kidogo once per day, tena jioni kabisaa, Mimi nafuta kidogo naskia rahaa, naskia kutulia tu kwa nyumba na kufurahisha bibi wangu❤
😊😊😊🫵🏻😊
Mafuta mara mbili 5 alfajiri na 23ucku
Ati unatulia Kwa nyumba nakufurahisha Bibi,...mbona watafiti wanasema inamaliza nyuvu za kiume..😅😂
Wavuta bangi wote gonga like hapa! Nikutumie kete moja fasta🤦
TUMMMAAA
Acheni bangii jamaaaniiii😅😅😅😅😅😅
Nangoja
Tazama hii ruclips.net/video/xvMVWfLWMxk/видео.htmlsi=9iuWNBYekeYtjFMz
Bangi ni bora kuliko pombe
Jamal the real goat ,,huyu ndie professor wa kweli
Prof jamal nimekubaliana na hili swala la bangi,maadamu umekosea kwa kuhoji mateja wanaotumia mihadarati mbalimbali ilhali wako wanaotumia bangi na wanaishi maisha mazuri,tafadhali rekebisha hapo
Kweli wale ni mateja mm navuta bangi tangia na miàka 15 sijapata tatizo lolote
Jamaa anawahoji wathirika wa cocain chafu ya bo go ,mm navuta tangu 2008 still OK and I'm high leader with more followers
Story za Bang uwe na Bangi kichwan Nainjooiii🚬😞
Tunaoangalia huk tumevuta Like hp
😂😂😂
😂😂
Dahh kwl
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Great that professor is back, fan mkubwa kutoka Kenyan!
Tz tunanyimwa kutumia madawa ya kulevya😄but i can't stop bangi,u a from tz gonga like🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Huku Kenya 🇰🇪 tunaita hizo bangi zenyu bongo haishiki hata kidogo, Ethiopia ndio yenyewe
pamoja wana
I waited for this season 3 for so long Bro,Thanks.
Nipeni like zangu jamn 2limc professional professor 😜🤩🤗
Kumbe filauni alikua anavuta bange ndomana alikua miyayusho🤣🤣🤣
Kama unavuta uku una angalia gonga like
Welcome back professor we miss you alot❤❤❤❤
We back again. Thanks for brilliant lecture, our professor 🙏
Tazama hii ruclips.net/video/xvMVWfLWMxk/видео.htmlsi=9iuWNBYekeYtjFMz
For us wenye tulikuja class high hit that like button😅😂😂
😂😂😂😂😂😂
2:10 2:10
One of best storytellers I know
Profesa iz back tumpe maua yake akiwa hai salute kwake
Me bhangi nikivuta yanipa Akili mara mbili zaidi ya Akili ya kawaida isitoshe bhangi yanipa ujasiri na uwezo mkubwa WA kufanya kazi.Bhangi kiboko✌️
Kenyan ganja smokers well represented😂😂
KIPITISHE 😂
Bakach bakik ooh
Mapedi ndo hutuchanganyia Mali 😂😂
@@stephenkagirijr6088 🤣🤣🤣 walai
From Kenya we are back to story book again
Hahaha much respect to shadaah Wana eeeh shadaah ni kitu ingine kuacha cwez pamoja sana masmoker wenzangu
Thank you Jamal for coming back, i am happy for you brother always
Finally you are back previously RUclips was not of any important to me when you were away 🤣🤣🤣🤣
Allah atufanyie wepes Inshaallah Ila inauma kuon mtu wak anatumia bangi Allah
wakwanza leo nipe likes zangu kama unamkubali professor jamal
Unafuata kwanza ndio uombe like 😂😂😂😂
We missed u professor, Ramadhan Karim! Stay blessed and much love❤❤❤️
Bangi siez acha manzeee💨💨like 👍
Umeongea mambo mengi ya uongo kuhusu bangi. Nimevuta bangi tangu nikiwa kidato cha pili, kidato cha nne nilikuwa mwanafunzi wa kwanza mtihani wa NECTA shule nzima, mpaka sasa nafanya kazi katika moja ya taasisi kubwa tu nchini na bado navuta bangi, wakati mwingine fanya utafiti wa kutosha kabla ya mada.
Nakubali 👍👍
Sikupingi #CADASaidSo 👌
Mbona sikujua hili?
Where have been professor?we have missed your stories, welcome back don't leave us alone without your stories every week Friday.
Sawa the story book nakubali... kwa somo nzuri🤩 ila lazima na professor alishawai vuta... katika hii life..😘😂😂🤣😎
Seus fãs, estávamos apenas esperando por você, JAMAL Bem-vindo a Moçambique🇲🇿
karibu msumbiji🇲🇿
Ulikua wapi professor 😢 kila siku na Ingia sikuti story book
Kitu cha Arusha
Unapotosha! Unapotosha sana jamii... Acha ujanja ujanja kwakuwa wanaangalia wengi, unaisigia halafu unasema mbaya pia, bangi ni mbaya tu! In the beginning ulikuwa bora ila sasa umeanza chuja! Elimisha jamii na usiwe nusu nusu! Aseh be straight.
Msalimie kaka yangu said uko msumbiji
proffesor jamal,the best storyteller.well researched stories.
With this he is so off though 😂😂
Holy plant ☘️☘️...turuhusu jameni wafrika❤❤
We miss u bro thanks u for coming back
Ur welcome again prof jamal thank you for coming back
Mungu atulinde na kizazi chetu inshaaallh
BANGI leo hii inastory yakufanana na story ya Eid Amin Dada, dunia iliaminishwa kuwa Eid Amin alikuwa ni muuwaji katili na mtu asiyefaa kabisa kwa binadamu wengine, lakini ukimsikiliza mwenyewe kwa umakini unagundua ni kiongozi tu mathubuti na mzalendo, hata bangi iko hivyo, wazee wasiokuwa na maarifa nikimaanisha wazee wetu waliaminishwa kuwa bangi ni kilevi hatari sana baada ya KUKOMESHWA KWA BIASHARA YA UTUMWA na hii ni baada ya INDUSTRIAL REVOLUTION ambapo mashine ziligundulika na kuanza kufanya kazi za binadamu, na binadamu kukosa kazi mashambani na viwandani...... Nchi za Caribean wanastory tofauti na sisi juu ya BANGI, wao walipoambiwa BANGI ni kilevi msitumie, walihoji kwanini wakati wanafanyishwa kazi kabla ya kukomeshwa biashara ya utumwa walipewa BANGI na kufanyishwa kazi? .... Basi walikataa kuacha bangi na kwao bangi inatumika kwa njia nyingi zaidi ya kuvuta moshi, wao wanatengeneza mpk juice ya bangi, na wanaishi maisha yao na hawana maradhi yoyote...... Watu duniani wanaACCEPT matumizi ya BANGI alafu mwandishi mmoja mpumbavu anashika kalamu kuandika uongo kuhusu bangi,
BANGI sio kilevi, thats why ukivuta hulewi, ila kinachofanya wabongo wajione wanalewa ni LAANA ZA WAZAZI WAO, yaan mzazi anakwambia ukivuta bangi utakuwa chizi, utavua nguo, utachanganyikiwa au vinginevyo, mzazi ni mungu wa pili, atachokwambia kinaweza kukukuta usipokuwa makini, sasa ukivuta na laana hiyo ilitamkwa na wazazi aidha baba yako aliambiwa na babu yake au babu yako aliambiwa na baba yake, itakutafuna mpk wewe....... Lakini BANGI sio mbaya kabisa tena sigara ni hatari bora bangi kuliko ciggarete..... Cause Bangi moshi wake ni mwepesi na unapeperuka easy tu, lkn moshi wa ciggarete ni mzito na unakaa ktk mapafu unatengeneza kiza kama cha jikoni ambapo ni hatari kwa afya.
hajui utamu wa bangi uyu,story yke kama inakuja af inatoka kaiweka neutral ilikuchanganya watu😂😂😂
Nina miaka 15 na niko fresh ni kiongozi wa family na kanisa na nina amani tosha meditation lazima
aiseeee.....Wewe jamaa nimekuelewa sana na kutokana na maelekezo Yako nimeelewa Kwanini inakuwa mtu mumoja anavuta bangi anakuwa Smart mwingine anakuwa chizi.alafu kwetu Kuna jamaa alikuwa anavuta bangi analima sana anafanya kazi sana....nilivyopeleleza wakaniambia yeye bangi yake aliinuia akivuta alime sana
niseme tuu kuwa kama mzazi wako atakunenea vibaya khs bangi itakuzuru lkn akikunenea vizuri utapigwa kazi
Asante
Ipo wazeeee shada ni ogy enyew wambieee chugamaican na dashaaa♥️
Thanks for sharing this massage.
The story book 📖 return ✌️ huku ijumaa kuu na karume day 🎉 the long waiting is over season 3 .......😍
Hiy ni moj ya staleh nzul
@@willsonmadinda6985 🤣🤣🤣 endelea kuharibu akili Yako tu
I never miss the storybook from🇰🇪
Sio vizuri kuzungumza kitu ambacho huna uhakika kusoma ni kusoma tu kwan neno ni binadam na bangi ni bangi nakataa asilimia 100
Thank you for the brilliant lecture mr professor🫶🏾 hit that like if you’re watching while stoned😂😂
😂😂
👊😂😂😂
Keep the fire blazzing
Damn 😂🙌stoned
Am really high on weed cookies 💯
Nakubali sana jamali kwa kutufundisha kuhusu bangi mim leo wa kwanza nipeni zangu
Bangi inakomaza ubongo🧠 hata muonekano wako wa asili🧟♂️ unapotea tujiulz ni nzur au ni mbay na yote hay ni kutoka na pupa la kutaka mamb kwa harak katik maisha ...🏃🏻tusisahau haraka haraka haina baraka faida yako ni kujifupishia kila kit katika maisha yako hiy ndio 🔭🔬research niliyoifany kuwa makin na mlanduko 🧨💔.......thanks for your lecture Mr.PHD
Jamal April on fire your so talented brother keep it up professor
Nipo fresh kwa kujiamini na utulivu wa fikra sababu ya bangi,
Ni moto🔥🔥
Mbona mm narauka sana, napiga maisha kwa bidii zaidi...hii ni bangi ya kenya....tunatia bidii ya maisha
The teacher of all professors , eventually he is back with beautiful story
Holy herb ❤️my love for you will never fade💥❤️💕
BEST OF THE STORY'S WE LOVE U JAMAAAL
Bangi raha
San
Nice story teller@✓big up2023
Great job Jamal 👍👏💪🤛🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bangi haikufanyi kuiba, kudhuru watu wasio nahatia, bangi haikufanyi kua mchafu,na wala haikufanyi kuchelewa kuamka kwenda kazini,ila hao wanatumia aina ya vilevi nyengine tofauti na bangi aina ya watu hao wanatumia unga pamoja na ulevi wa kupitiliza
Kumeongea point wewe chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
The legend is back ,u so talented .best of the best story teller
Always love your story book Professor from 🇰🇪