nashukuru sana wasafi kwa kuniletea kilevi kipya THE STORY BOOK yaani bila kusikiliza usingizi hauji.shukran WASAFI shukran J.APRIL.P.kwa kunipa kinywaji hiki kitamu.
Kuna vipindi napenda kuskiliza ila kwa mara zote nashindwa kumalizia kipindi. Najikuta moyo wangu ukiniuma hivi afrika mashuja wetu ni lini wataanzisha Vita nawakaishinda vilivyo.Mungu zilaze mahala pema roho za mashuja wetu wote Na wanyonge woote
0:09 "Mwaka 1978 Steven Biko alisema...." 4:31 "1977 Kifo cha Steven Biko..." Hapa umechanganya kidogo Prof. ila katika yote, Hongera kwa kazi nzuri.🤝🏾
Black consciousness Thank you so much Kuna uhitaji mkubwa sana wa kusikia ukweli wa haya maovu ya wazungu maana bado wametutawaka kifikra. Historian irudishwe darasani la sivyo wataendelea kututawala .we are not Free
mimi ni congolese but thanks a lot for the story book asante sana kwa Proffesor JAMAL APRIL , ila mimi nina tatizo ya kuelewa wakati anasemezeya kuhusu miaka katika story book iyo salasini, sitini, elfu fulani yani sielewi kabisa ukuwe nasema mu english ni bora zaidi ili nasi tuelewe . asante sana na naitji the story book ya 50cent
Steven Biko, Simba wa Afrika aliyejitoa kafara ya kifo mwaka 1977 ili kupambania sera ya Ubaguzi wa Rangi Appatheid Policy iliyolenga kunyonya haki za Watu Weusi. Nukuu za Steven Biko 1. "Black is Beautiful." 2. "Change the way people's thinks, things will never be the same again.' 3. "It's better to die and let the ideas lives rather to live and let the ideas dies."
Mungu katubariki kutupa rangi nzuri lakini ndo tumekuwa watu wa kwanza kunyanyaswa na hawa viumbe wa langi ya nyeupe na njano wanajiona wao ndo watafuka peponi sijui kwann ewe mwenyezi mungu tujaalie akili na ujasiri kwa kweli 😢😢
kama mwalim wa somo la historia... uwa napata ving vya kudisplay kwa wanafunzi kutoka hapa mjongoni, current issues on cold war, African Great hero na black american great hero na wanaharakat wengi... mpaka somo linapendwa kweli... Great man much appreciations
Professor Jamal April... Hongera sana Mimi napenda sana story za harakati hasa hawa kina Steven Biko waliojitoa kwa ajili ya kuwaambia waafrica wajitambie
Inasikitisha Sana Leo hii unamuona mtu mweusi Tena msomi kiongozi akiwakumbatia wazungu wapumbavu,magaindi, washenzi...sio kwamba wazungu wote ni wabaya No
Kaka Jamal hamini ya kwamba kwa hakika wewe ukifa Mimi kama Mimi Nita latalalamika kuliko ata wazazi wako .pya nakuombea kwa mungu mlezi akulinde kwa malezi makubwa,na ata ikitokea mim na wewe Kufa nitangulie mim syo kessi
I would like to remind the black ministry and indeed all black people that God is not in the habit of coming down from heaven to solve people’s problems on earth 🌍. Kwa mtu mwenye akili atakuwa ameshaelewa alikuwa ana maana gani!
Dah! Ila watu wa Afrika kusini mnamoyo wa uvumilivu sana, ndio maana mlichelewa kupata uhuru, Nyerere wa Tz alikua na akili myingi sana pia alianzisha misingi imara kwenye Taifa letu, ila sasa kwemyeu mwendelezo ndio cjui lamda mungu mwenyewe asimame.
🙏🙏Mungu azidi kukupa siku za kuishi ili uendelee kuitumikia jamii yako ya kitanzania kupitia huduma ya simulizi kupitia digital platform kama you tube mimi ni mdau wako since day one and i hope we will be collaborative as per required tutakusaupport for any means maana tunapata vitu vizuri kupita hata hitaji letu you are beyond the creativity
Nimekuwa nikiomba story ya steve biko hatimae umesikia maombi ya wengi Mungu akubariki sana
Much love from kenya🙏
Huyu ndo professor nimeupenda muundo wa story toka mwisho kwenda mwanzo that's great Jamal thanks bro
Mimi naamini kabisa huyu jamaa alicheleweshwa na mtiga abdalah lakini siku zote muda uonaongea !!! Jamal you're the best aiseee!!!!
Mtiga ana punch za hatar..uyo jamal mwenyew anamuapreciate..ad leo..
Mtiga ni next level kwenye sauti 🔥
Jamal ni mtunzi ila pia ni msimuliaji mzuri ila mtiga ni msimuliaji2 tuelewane kwa hili jmn
@@dynachriss5126 yeah sema ana deserve sema kwa upande wa sauti ya kusimulia, mtiga ni the best
nakubali mzee kazi
nashukuru sana wasafi kwa kuniletea kilevi kipya THE STORY BOOK yaani bila kusikiliza usingizi hauji.shukran WASAFI shukran J.APRIL.P.kwa kunipa kinywaji hiki kitamu.
Kuna vipindi napenda kuskiliza ila kwa mara zote nashindwa kumalizia kipindi. Najikuta moyo wangu ukiniuma hivi afrika mashuja wetu ni lini wataanzisha Vita nawakaishinda vilivyo.Mungu zilaze mahala pema roho za mashuja wetu wote
Na wanyonge woote
Yan me mwenyewe kifatliaga taarfa za kuteswa kwa waafrika wenzetu naishiaga tu kdg nilie kwakwel.
uko sahihi.ndio maana mungu aliumba MOTO na PEPO.huu ndio ukweli wa msemo haki mbinguni.sheria duniani.lala salama mpambanaji STEVEN BIKO
Pole dear Mimi kwa siku nasikiliza our story book hata mara kumi kwa story tofauti tofauti
Alafu bado kuna wapuuzi wanatuambia wazungu wanatupenda sana wametuletea chanjo ya corona tuikubali aisee usiniambie mambo ya mzungu mimi R.I.P BIKO
0:09 "Mwaka 1978 Steven Biko alisema...."
4:31 "1977 Kifo cha Steven Biko..."
Hapa umechanganya kidogo Prof.
ila katika yote, Hongera kwa kazi nzuri.🤝🏾
,😂😂😂😂
Black consciousness
Thank you so much
Kuna uhitaji mkubwa sana wa kusikia ukweli wa haya maovu ya wazungu maana bado wametutawaka kifikra.
Historian irudishwe darasani la sivyo wataendelea kututawala .we are not Free
mimi ni congolese but thanks a lot for the story book asante sana kwa Proffesor JAMAL APRIL , ila mimi nina tatizo ya kuelewa wakati anasemezeya kuhusu miaka katika story book iyo salasini, sitini, elfu fulani yani sielewi kabisa ukuwe nasema mu english ni bora zaidi ili nasi tuelewe . asante sana na naitji the story book ya 50cent
It's good to be of this era, being in Tanzania, being part of Wasafi never leaves a person with regrets. Thanks @Jamali April#Amaizing story
Steve Bantu Biko!!! Mashujaa wa Afrika wakiamka na kukuta hali tuliyonayo watalia sana, tumesaliti damu zao😢😢
Exactly
One day they'll pay.
Iyo nikweli
Haifa hata kumuona kaburu africa ya kusini nahata ikiwezekana Africa nzima
Kiukweli wazungu hawafai hata kuwona au kuwakaribisha Africa nzima niwanafiki
"I write what I like"-biko
📌 nakubali sana prof yani huyu jamaa nilisoma story yake mwenyewe ila kuna vitu umeongeza 💪🏼💪🏼💪🏼 kiongozi nakubali sana
𝑜𝒉𝑜𝑜𝑜 𝑗𝑢𝑓𝑎𝑛 𝑦𝑜𝑢𝑛𝑔
Good professor
Ongeza na wew vyako
Steven Biko, Simba wa Afrika aliyejitoa kafara ya kifo mwaka 1977 ili kupambania sera ya Ubaguzi wa Rangi Appatheid Policy iliyolenga kunyonya haki za Watu Weusi.
Nukuu za Steven Biko
1. "Black is Beautiful."
2. "Change the way people's thinks, things will never be the same again.'
3. "It's better to die and let the ideas lives rather to live and let the ideas dies."
Naomba the story book ya time travel irudiwe🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Great story.. I've always wondered who will tell me about this Biko
This man is a really African with humanity heart to protect the rights of the oppressed Africa, IN SOUTH AFRICA.
Im from kenya,i love n do love story book ,be blessed sir
It is better to die for an idea that will live ....Long live the King...Thanks to you Mr Professor 🇹🇿🇿🇲
Story nzuri sana Ila kiukwel Hadi Leo wa south Africa bado wanaogopa wazungu bado hawawezi kusogea popote pale kwenye mzungu yupo
Napenda sana simulizi zako ubarikiwe sana mstafaa proffer Jamaly.
Mimi sitowai kumupenda ama kumuowa mzungu 😭😭😭 RIP Steven Biko
Mungu katubariki kutupa rangi nzuri lakini ndo tumekuwa watu wa kwanza kunyanyaswa na hawa viumbe wa langi ya nyeupe na njano wanajiona wao ndo watafuka peponi sijui kwann ewe mwenyezi mungu tujaalie akili na ujasiri kwa kweli 😢😢
kama mwalim wa somo la historia... uwa napata ving vya kudisplay kwa wanafunzi kutoka hapa mjongoni, current issues on cold war, African Great hero na black american great hero na wanaharakat wengi... mpaka somo linapendwa kweli... Great man much appreciations
Leo wa kwanza jamani Profesa hongera sana kwa The story Book
You keep on educating and imparting knowledge from known to unknown thank you Jamal keep going😊
100% nakukubalii sana professor Jamar April
I like this guy jamal he is very smarter guy very genuine I admire u bro God bless u jamal💓💓
Leo Mimi wakwanza apaah nipeni like ila Majambazi tunaomba watuachie Dar yetu hali ni Tete mhhh
Professor Jamal April... Hongera sana Mimi napenda sana story za harakati hasa hawa kina Steven Biko waliojitoa kwa ajili ya kuwaambia waafrica wajitambie
Wa ishirini na moja gonga like team wasafi for life 🔥🔥🔥🔥🔥
Watching you always from Kenya.Napendezwa sana na makala yako kaka.Nakutambua sana wewe na Ananias Edgar
Nakubali 👌👌👌👌👌 sana prof yani huyu jamaa nilisoma 📝📝📝📝 story yake mwenyewe ila kuna vutu umewongeza💪💪💪💪 kiongozi nakubali sana ✊✊✊✊✊
Inasikitisha Sana Leo hii unamuona mtu mweusi Tena msomi kiongozi akiwakumbatia wazungu wapumbavu,magaindi, washenzi...sio kwamba wazungu wote ni wabaya No
Kweli kbs mimi najisikia izistor uwanaumia saana wazungu washenzi😭
Tatizo viongozi wetu kuwaaabudu wazungu
Ongera sasa kaka nakupata vizur nikiwa Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Wow thank professor it's a long time I've heard about Stephen Biko and please can you give us a story book about "bonnie and clyde"
Namuona shujaa wa Africa mwngne R.I .P MAG
acha kufananisha majambazi na wanamapinduzi
Ayaa😱 Nimechelewa kidogo jaaman naomben like zenu twende pa 1
Professor number one
You really inspire me
Is better to die for an idea that will live than to live for an idea that will die 🤘🤞🤗
Ninashangaa Sana tz bado kunamambo yanayofanana Sana hapa TZ,ukifatilia vizuri unaona niafadhari yawakoloni wakizungu kuliko weusi wenzetu, kwasabbu wazungu walituua vilevile wafrika wenzetu wanatuua pia, inatiaaibu Sana,
Profes nimekubali wewe mkali kwa story from 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦
Mnaomfananisha Prof Jamal na hayo mamtiga mtulize makomwe yenu kidgo😂😂 Jamal is 🔥
This is the hero south Africans have forgotten.
😢Apumzike kwa amani, Shujaa mfuata HAKI kifo cha kuuliwa n kawaida tu
Wewe kweli ni professor unajua kinoma mzee nakukubali sana Jamar Mustafa
Steven Biko and Nelson Mandela are one of the most hustlers in the world
Rtw
Why Africa 😭😭😭😭😭🇧🇮🇧🇮🇧🇮from Burundi in Cape Town 🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Professor big up the story book nice from wasaf media
Africa is not free
ALUTA continua
Mapambano bado yanaendelea
RIP JPMagufuli
Asante kwa ukweli wa Steve Biko.
Africa is not Free
Ipo safi sana hii documentary ya huyu shujaa.. ningependa ku request mtoe video ya #Julian_Asange na harakati zake za kupigania uhuru wakuongea
somo la history tunalipata kwako hasa kwa yale tusiyoyajua na kujificha africa imepambna sana
Kaka Jamal hamini ya kwamba kwa hakika wewe ukifa Mimi kama Mimi Nita latalalamika kuliko ata wazazi wako .pya nakuombea kwa mungu mlezi akulinde kwa malezi makubwa,na ata ikitokea mim na wewe Kufa nitangulie mim syo kessi
R.I.P shujaa wa Africa! Hivi hawa kitimoto weupe wa South Africa kwa nini wasizingirwe na kuchomwa Moto??
hahahahah kitimoto
Where are young people like mbiko nowadays??
Turudi darasan turejee history coz wengi hatukusoma history bali tuli kariri vita vya maj maj na world war wala atukuelew kiundan
Good work 👍 you are my mentor Jamal
Professor 🇰🇪🇰🇪💗
Mwamba we ni noma mungu akusaidie na kazi yako❤❤😅
Kwa kweli hawa mashujaa wetu hatuwatendei haki, ivi kweli kweli kijan wa kiume anaposti kwenye insta anakata viuno.. RIP mashujaa wetu.
Nakuelewa Sana kwa madini yako Professor
Wakwanza Leo wapi like za wakenya
I want the story Book to narrate about the Great wall of china
Ninachopenda Profeser ni mtu wa fact sana
My all time srory listening God bless you jamal april the professor
From Congo Brazzaville watching now
Niliaza kusikia mwalimu wangu wa history kuhusu steveni biko leo kwako kaka ninafulaha
Mapema leo nipo 👏👏🔥
The first person to like this video.. I need some likes too 😍👍
The story book to the world🌏
Your The Best 🔥🔥🔥🔥🔥♨️
Sure''''Jamal!!!respect bro,Africa story......📚📚😢
What a revolutionist.....
Iam watching from Buguruni city centre Tz Dar
Professor 🔥🔥🔥🔥
Tunao mkubari jamal naombeni like200
Leo nimewai nakubal sana jamal
Wa kwanza apa nipeeni likes
Hongera sana....ila ungeeka na subtittle za kizungu ili wafatiliaji waongezeke...
Na Mimi nataka kuwa Kama stiven Biko katika nchi yangu ya Tz alafu jamaly utakuja kusimulia hapa
Ww una kicha kweli jalibu uwone iyo ndo Tanzania bhana
Unatak utekwe Leo wew😂😂
from kenya kindly bring the story about bomb blast in hiroshima
Mungu na akulinde uzidi kutujuza mengi,
Kindly do one for micheal jackson
I would like to remind the black ministry and indeed all black people that God is not in the habit of coming down from heaven to solve people’s problems on earth 🌍. Kwa mtu mwenye akili atakuwa ameshaelewa alikuwa ana maana gani!
Daah Biko
professeur nakukubali wenimkali Sana
asanteni Sana wasafi huyu ndiiye profersol
Jamal again 🔥🔥
Wa kwanza leo
Professor biko🙏🌏
The story book ibaki forever..!×
Prof Jamal ❤️🇧🇮
Nakukumbuka.sana.brother.stev.biko
Professor sina chakusema ila ninakukubali sana. From South Africa Cape town
Dah! Ila watu wa Afrika kusini mnamoyo wa uvumilivu sana, ndio maana mlichelewa kupata uhuru, Nyerere wa Tz alikua na akili myingi sana pia alianzisha misingi imara kwenye Taifa letu, ila sasa kwemyeu mwendelezo ndio cjui lamda mungu mwenyewe asimame.
🙏🙏Mungu azidi kukupa siku za kuishi ili uendelee kuitumikia jamii yako ya kitanzania kupitia huduma ya simulizi kupitia digital platform kama you tube mimi ni mdau wako since day one and i hope we will be collaborative as per required tutakusaupport for any means maana tunapata vitu vizuri kupita hata hitaji letu you are beyond the creativity
🔥🔥🔥 anajua sanaa huy mwamba
Best story teller.
Bro upo vizuri sana
Kizazi chetu tuna akina mwijacu, doto,sitivu, na huyu nani wa hapahapa kikanga🤣🤣🤣🤣
wengine malizia mwanaharakati mwenzangu
Mtaalam wa the story book gonga like kma unmkubali
Asante nimejifunza kitu