KIJANA ALIYELAWITIWA NA WATU 60 ZANZIBAR ATOA USHUHUDA (Episode 04)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 мар 2023
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

Комментарии • 45

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du Год назад +8

    Bi Amina anahitaji na anastahiki kila ya aina ya support yetu wazanzibari na wote walioguswa na mporomoko wa maadili Zanzibar. Tusiseme na kuweka comments peke yake. Tusilalamike tu, tuanze wenyewe. Kila mmoja kwa uwezo wake. Allah atakamilisha. Kwake ni kun fa yakuun.

    • @mamuumamuu1623
      @mamuumamuu1623 Год назад +1

      Yaan aungwe mkono haswa Rais muangalie biamina anikitu huyu bibi plz

    • @khayratsultan8812
      @khayratsultan8812 Год назад

      Kwa upande wangu nahisi hawa waharibifu wa watoto wa watu ni wakunyongwa tu hao dawa yao kubwa

  • @oii6zlaboshelby17
    @oii6zlaboshelby17 Год назад +4

    Swadakta sheikh hatujuelewi sisi Wazanzibar ni watu gani.

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 Год назад +2

    Allah ailinde znz na watu wake na kila shari

  • @user-mx1gj3cp3l
    @user-mx1gj3cp3l 11 месяцев назад

    Allah akupe ulinzi wake inshalah uwe chachu mabadiliko wakat naandika haya machozi yanimwagika😢 huzuni kwa kweli chanzo kikuu hamjakijadili ikiwemo uvunjivu ndoa ,,mayatima na majiran baadh yao mbaya zaidi chimbuko la hili tamaa za kitajiri watu kuingia uchawini na ufreemason naweza kusema maagano ya kishetani ni mengi mim nilihusudika kwenye familia angu hadi leo nakosa mke kwa hili

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 Год назад

    Mungu yupo nawewe mama na atakulinda kwakila shari pesazao zitawajutisha wanataka kuiharibu zanzabar wajinufaishe wao lakini hizo pesa zitawapeleka pabaya

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 Год назад +3

    Nasemajee tutabakia kusoma historia tuu maisha yetu ilikua hivi ilikua na masheikh wakubwa baas mchawi wetu mkubwa ni Muungano wa Tanganyika hatuwezi kujiamulia wenyewe mambo yetu hapo ni viongozi tuu kujipanga na kuamua lkn jee? wanaweza kuamua hivo na ajiaribu kiongozi km hajaafutwa kazi amr itatoka kwa wenye nchi, na mifano ipo ya hivo kibao tuendelee tuu na maisha mpk Allah atakapotufikisha.

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du Год назад +1

      Hali ngumu lakini tusivunjike moyo. Muislamu anatakiwa daima awe na imani kuwa the future will be brighter than the present. Hata jaa ukilisafisha chini yake unapata ardhi yenye rutuba inayofaa kwa kilimo. Tunahitaji kuwa na nia sahihi, planning na priorities. Tuanze sisi wenyewe halafu Allah atatupa tawfiq. Mfano hai ni huyu bi Amina, kaanza as an individual na kaitoa mhanga nafsi yake. Kila mzanzibari anatakiwa awe bi Amina. Allah amhifadhi na ampe umri mrefu azidi kutufungua macho - amin.

    • @zaytunhijja6771
      @zaytunhijja6771 Год назад +1

      Unahasira zako na muungano, kwan hao wafiraj wanatoka muungano,thibitin vijana wenu laana ni nying zanzibar

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 Год назад +1

      @@zaytunhijja6771 ustadh hapo kazungumzia ilivokua zanzibar ya zamani yenye heshma yke na haiba isiyokua na mabaa na ss hivi ilivo sizungumzii kuf** alimradi sms sent huo ndio ukweli.

    • @salma0000
      @salma0000 Год назад

      Zanzibar inatawaliwa na makafiri

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 Год назад +2

      @@salma0000 🤣🤣🤣Asante

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 Год назад

    Sahihi mzee mzungu ndio anae dhaminiwa hayo kila pahala laana imeenea huko kwetu piya huo uchafuu watu wanaupigia debe viongozi wa siasa n. Baadhiyao ndio wanata yawepo

  • @Salhiya-hr7dy
    @Salhiya-hr7dy Год назад

    Allah atustir wallah hiii kuwa na uhuru wa kuingia kila mtu kutoka ppt kuongozwa na watu tu tunaongozwa yaaaan znz aaaagh Allah atustir wallah hkun tn kuirudisha znz saiv ibakie story tu

  • @mamuumamuu1623
    @mamuumamuu1623 Год назад +3

    Rais Mwinyi tizama hik kipindi mwite huyu mama anamaarifa megi kuokota hawa vijana wetu jaman unaona askar katudhalilisha Rais tizama hik kipindi 😭😭😭😭😭

    • @rastafare878
      @rastafare878 Год назад

      Tayari ameshakutana nae kwenye kongamano la mambo ya udhalilishaji, kipindi mwanzo mwanzo anapata uraisi akamuelezea kinaga ubaga , lakini hatujaona mabadiliko , hebu jaribu kutafuta hiyo clip utaona jinsi alivyomueleza raisi mwinyi

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 Год назад

    Ttzo uzinzi na wazinzi wamezidi. Isistoshe na w’me wengi wamevamia ndoa za mke zaidi ya mmoja hali ya kua hawana sifa wala uadilifu wa kuongeza. Wanatupa sana wtto kwa mamama. Unakutq baba hana ukqribu wa wtto haswa wa kiume yy anabadili nyumba tu siku kalala kwa mke huyu siku kwa yule hana habari za wtto. Wtto wa kiume wanahitaji zaidi ukaribu wa baba na hawapat. Matokeo yake wtto wanaharibika.

  • @salumuhamissi3492
    @salumuhamissi3492 Год назад

    Huyu mama tunaomba mutupatie namba zake tumuunge mkono kwakile kidogo tulichojaaliwa. Hii vita nikubwa sana kaamua kupambananayo. Tusitegemee matajiri watamuunga mkono laa

  • @zainabumilanzi2909
    @zainabumilanzi2909 Год назад

    Bii Amina waangalieni wafundaji wa ndowa watoto zetu wanaambiwa ukampende mumeo ukipata hedhi mpe nyuma manesi wanalalamika kwenye kujifungua wanaume wanatuumiza tusaidie musiangalie Zanzibar tu na huku Tanzania bara tunateseka

    • @hamidmweusiii35
      @hamidmweusiii35 Год назад

      Hahahhaah ety ukiwa na hedhi mpe nyuma apo kila mmoja na akili zake

  • @aminaalabri4170
    @aminaalabri4170 Год назад +1

    Mtihan wallah 💔

  • @biubwasalim3460
    @biubwasalim3460 Год назад +2

    Ni ngumu sana ndugu yangu kurejesha hadhi ya znz .

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du Год назад +2

      Si ngumu biidhnillaah. Tutekeleze maamrisho ya Allah. In tansurullaha yansurukum, wa yuthabbitu aqdaamakum.

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 Год назад +2

      ​@@Ali-nl2du naam sio ngumu kabisaa nia tuu na malengo ni nani wa kuweka hio nia viongozi kutuonjesha njia na sie raia kuzifuata

    • @biubwasalim3460
      @biubwasalim3460 Год назад

      InshaAllah biidhni llah MMungu atufanyie wepesi lkn imevamiwa sanaa

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du Год назад

      @@biubwasalim3460 Zanzibar ilikuwa kama pepo. Sasa imekuwa kama jaa. Sababu zake tunazijua. Allah habadilishi hali ya watu mpaka hao watu wenyewe hali yao waibadilishe. Jukumu letu tubadilishe hii hali yetu kwanza. Halafu Allah atatunusuru kama alivyotuahidi. Na Allah hana tabia ya kuvunja miadi!

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du Год назад +1

      @@nailamohd7693 Sisi kama raia pia tuna jukumu. Tusitarajie wala tusitegemee viongozi peke yao. Hii inahitaji grassroot approach. Ianze chini halafu itapanda juu. Viongozi wa serikali wana maslahi yao. Mara nyengine maslahi yao hao viongozi yanawazuia kuona ufisadi uliotandawaa. Ikija naqama tutaangamia sote. Viongozi ni kizazi cha jamii, jamii ikikaa sawa itatoa viongozi wema na wenye maadili.

  • @Salhiya-hr7dy
    @Salhiya-hr7dy Год назад

    Na shangani uko nenda libanoni pal pana saloon ya shoga anafanyia w.wke kil ktu nashangaa mtt wa kike mke wa mtu anakwenda kushikwa shikwa na shoga 😥😥😥😥

  • @ShakiraBakari-qq3hh
    @ShakiraBakari-qq3hh Год назад

    A, alykum Mimi ushauri mngeanza na hao ambao Wana waharbu watoto coz hao ndo chanzo.

  • @AshfatCpeezy-jc9fw
    @AshfatCpeezy-jc9fw Год назад

    Tatizo nikuwa hao viongozi nao pia wamo 😢ss hapo ndipo panakuwa na mtihani mkubwa

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Год назад

    Duh

  • @hidayamwinyi974
    @hidayamwinyi974 Год назад

    Zanzibar ni ya watu wanatoka peponi ni ya watu wapeni. Peponi ni Zanzibar 🤔

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 Год назад

    Shida yenu WA znj mnajufanya sn mnauwa dini alafu ukiangalia zanj na daer zanj ndo kumeanxa ushoga na WA dar baada YA Kuja uko ndo na wao wmeanza ushoga ila uko ndo ungeanza ushoga alafu mnasemaga dar ndo umeanza ushoga

  • @ramirezsaane7444
    @ramirezsaane7444 Год назад

    hivi hem lichambueni nahili sakata la yule Askari aliejitoa mshipa wafaham

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 Год назад

    Ndio maana mnajisifu sana na znz yetu ndio maana ikataka fyekwa isiwepo

  • @user-mq6lu2po3y
    @user-mq6lu2po3y Год назад

    Me nahisi hivi vipindi viendee kwa Wingi japo kua mtangazaji utakutana na vitisho hivi Sasa viongozi wa kiislam waafrika mashariki wote wapinga ubaradhuli maybe waliona vipindi vya mwanzo ulivyorusha

    • @user-mq6lu2po3y
      @user-mq6lu2po3y Год назад

      Hivi Sasa wahadhiri wanakemea kwa nguvu lkn mwanzo ilikua kimnya