MAGUFULI AIBUKIA SITE, Ambananisha MKANDARASI - "Nyumbani kwako kuna Lift?"
HTML-код
- Опубликовано: 5 сен 2024
- MAGUFULI AIBUKIA SITE, Ambananisha MKANDARASI - "Nyumbani kwako kuna Lift?"
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Leo Novemba 22 ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Uhuru katika eneo la Maduka Chamwino....
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:
www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEW:
www.youtube.co...
God bless you 4 everything my president live long
Lkn Mh lift ni muhimu kwa watu wenye uhitaji maalum...
Saaaafi.. mh Rais.
Tanzania kwanza 🇹🇿🇹🇿
Nimependa sana majibu ya mtu wa TBA,hajatetereka.
Jamaa kiboko
Safi
Kwahiyo wagonjwa mahututi na walemavu ,utawabeba mgongoni ,lift ni mhimu kweny ghorofa nahasa hospital.
Tumempoteza mtetezi wetu
Huyu rais ni mwisho wa reli, Mungu azidi kumlinda, kumtunza, na kumuongoza rais wetu mpendwa na serikali yetu yote! Mungu azidi ibariki Tanzania.
P
😅Up
Ljl😮 so
P lic lpp
L
Kokop
Safii baba tunaendelea kukukumbua
Hatari
Lkn lift kwa upande wangu ni muhimu coz kuna watu wengne ni walemavu itawasaidia san
Tambua Luna vitema wanatumia wheelchair hawawezi kupanda ngaz hivyo lazima watumie lift
Fire
Watu wenye Mahitaji Muhimu ni vyema wakafikiriwa Lifti ni muhimu sana kwao
🙏😭😭🇹🇿🇹🇿
Hahahahahah huyu jamaaa vipi et weka Lokapu kidogo duuuuh
Jpm ni moto usioximika
walemavu watapandaje ????
Golofa moja hakuna haja ya lift jaman