D Voice Ft Mbosso - Mpeni Taarifa (Official Lyric Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2023
  • Get #SwahiliKid Album 👇🏼
    dvoice.lnk.to/swahilikid
    Swahili Kid is an album that encompasses various musical genres, including Singeli, Bongo Fleva, Amapiano, Afro Pop, Zouk, and it delves into social themes, love, pain, life's hardships, and more, showcasing D Voice's songwriting and singing talent. This album offers a fresh and captivating sound in the world of Swahili music and can appeal to music lovers of various genres.
    Track 04. Mpeni Taarifa:
    -This song talks about how women pamper and inform men in relationships.
    / @itsdvoice
    For Bookings:
    dvoice@wcbwasafi.com
    Follow D Voice On:
    Instagram: / dvoice_ginnii
    Facebook: / dvoice_ginnii
    Twitter: / dvoice_ginnii
    TikTok: / dvoice_ginni
    #DVoice #Music #Wasafi
    Copyright ©2023 WCB Wasafi. All rights reserved.

Комментарии • 504

  • @Rober607
    @Rober607  +88

    Hiii ngoma ndo nimeikubali kuliko zote kama na wewe umeipenda kama mimi like hapa👊👊👊👊👊👊👊🥂

  • @user-xy4bh4ri8q

    Kama una mkubali dvoice gonga like🎉

  • @jewel4029

    Finally a good song for cheats😂...

  • @ItsAgavaddy

    Because we are Wasafi family, lazima leo ufike 100k subscribers

  • @nesuutvofficial83

    Huyu D voice amekam wasafi na jasho sana good my brother

  • @boughneythegreat009

    Mambo swafi kule wasafi,, soea hizo sauti 😂❤❤

  • @boazmusungu177

    Enyewe wasafi ni viwango vingine tu kivyake anyway we love you bro mkifanya kazi safi lazima kama mashabiki tuseme jambo kifupi nimeikubali❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @esikinga1997

    Matajiri wawili watoto wa Professor Mondy mkuu wa Arts wako kazi hapa 🎉🎉🎉❤❤❤ 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 yote ni wasafi

  • @RhenimTopedy-rh3xo

    🎉🎉 D voice mkali kama wasafi family

  • @ejereadan5201

    Uyu Kenya wanasema ako chonjo. ❤

  • @shariffadhil1767

    Hiii ngoma mbuzi hakupaswa kukosa. Young lunya. Angeipendezesha sana

  • @gamerstech5689

    Huyu mbosso amepita na hii nyimbo 😅😅😅😅 km ya kwakwe😂 ana roho mbaya

  • @user-dc6zi2fi1p

    Dvoice weuh moto wa kuotea mbali banaa

  • @IssaHashimu-xn9gw

    Asilimia 90% ya nyimbo zote zimeingia Trending 🔥🙌 Top 10 sichini ya nyimbo 4 🙌

  • @bebetotembo9899

    D voice anajua Na anajua tena💥💥💥

  • @harisosiharizonevlby

    Mbosso nione me nabonda zaidi ya d voice semenijaman

  • @WilliamNyasulu

    My family 4life Wasafi❤💯🔥

  • @YohanaMusa-hy4gw

    Nomaaaaaaaaaa

  • @PaschalNkuba-cv9bd

    Utakuta mbwa moja inaupinga huu wimbo

  • @Johndestar470

    Hii ngoma kalii kinoma 👏👏👏👏mmetisha sn