Chino Kidd, Mbosso, S2kizzy & Dj awakening - BongoMan Remix (Official Music Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 1,8 тыс.

  • @StalonTeo-jb2td
    @StalonTeo-jb2td Месяц назад +416

    Oyaaa na mbosso khan tena aaah. Chembe chembe za India humu kauwaaa sanaaaa team mbosso like hap🎉🎉🎉🎉

  • @simba_dangote
    @simba_dangote Месяц назад +153

    Wanaoelewa tu muziki nzuri ndiyo watakaopiga like hapa🔥🔥

  • @RoyAshuma
    @RoyAshuma Месяц назад +55

    Mbosso Kaua aisee...Mbosso ameshindikana...Kenya tumekubali Mbosso♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @beatboy30
    @beatboy30 Месяц назад +83

    Wangapi walijua hii remix atakuepo diamond platnumz baada ya kuonekana aki challenge clipe na hii nyimbo ya bongo man gonga like apa ila mbosso pia Kaua!!!!

    • @mickylamar4625
      @mickylamar4625 Месяц назад +1

      hii ndo kama tulivomuona criss kweny clip afu remix akaja jason

  • @Inspectordogocomedy
    @Inspectordogocomedy Месяц назад +40

    Chino This is big I say ,, Sending love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kenya we love this hit banger is another level ,

  • @jumerrashyd2766
    @jumerrashyd2766 Месяц назад +235

    Am from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ila mbosso kashindikana wapi likes zangu tafadhali.

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 Месяц назад +18

    Hii umeuwa mwaka vizuri. Hata usiongeze tena Chino. Kenyan 🇰🇪fan🫶💞🥂💥💥💥💥💥

  • @SaudaKhamisi-vb8uv
    @SaudaKhamisi-vb8uv 14 дней назад +1

    Bro kzi safi sna❤

  • @raylenjo4660
    @raylenjo4660 Месяц назад +24

    Khan atareee sana. Kapewa verse kavamia. Sele umetisha. Mob ❤from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @RinusMwami
    @RinusMwami 21 день назад +1

    Hapo ungemuweka na ibra akasemaa ooyaah oyaaah kama nimetoroka mirembeee chiziiiiii kama tuko congo

  • @melkiadgangai5271
    @melkiadgangai5271 Месяц назад +20

    Mziki mzuri unajiuza, hii ngoma ni kali ki kinoma Bongo Dsm

  • @eloitz17
    @eloitz17 Месяц назад +35

    Huyu mbosso khan apewe ulinzi Guyz kama unamkubali gusa like hapa

  • @BINTIFAKI
    @BINTIFAKI Месяц назад +16

    Mbosso umeuwa big love from 🇰🇪

  • @CelinaantoniolinhetaAntoni-x3j
    @CelinaantoniolinhetaAntoni-x3j Месяц назад +17

    Moto ni moto nawakubali sana nilikua natamani kifanyike kitu kama iji🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @mkombozimkinde7554
    @mkombozimkinde7554 Месяц назад +56

    Wakenyaa hawataki hizii rahaaa #kama uko bongo like hapana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @Qqambaa
      @Qqambaa Месяц назад +1

      Ile siku mbosso atasema tutaamini but wewe ni shabiki 2 hatuna tofauti

    • @kybtzearthmoney9984
      @kybtzearthmoney9984 Месяц назад +1

      Mbosso Khan ni wetu sote😂😂😂

    • @mkombozimkinde7554
      @mkombozimkinde7554 Месяц назад

      @@Qqambaa 🤣🤣🤣

    • @mkombozimkinde7554
      @mkombozimkinde7554 Месяц назад

      @@kybtzearthmoney9984 🤣🤣🤣🤣

    • @cathbetsolomon3151
      @cathbetsolomon3151 Месяц назад

      ​@Qqambaa achaneni naee asiponze wasanii wetu bado wanahitaji support yenuu❤

  • @Jovialesperance
    @Jovialesperance 19 дней назад +1

    Oya mbosso Congo utakuja lini big artistes from africa

  • @Bighopethb1
    @Bighopethb1 Месяц назад +28

    Nime sikia iyi kitu Tokea Congo Drc Bukavu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @PeterGmbabe
    @PeterGmbabe Месяц назад

    Noma Noma Noma ngoma ya mwaka

  • @Loppingking
    @Loppingking Месяц назад +22

    Mboso khan, huyu jamaa hafai, nyimbo zima narudia kipande chake tu duh!😮🙌

  • @SwalehMohammed-v8c
    @SwalehMohammed-v8c Месяц назад +26

    MBOSOO KHAN baba inatoshaaaa💥💥💥💥💥👊👑

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 28 дней назад

    Kazi nzur kijana"!!!!🎉🎉🎉🎉

  • @yuzkid7729
    @yuzkid7729 Месяц назад +17

    Mboso khan umetisha sana mzeee.big up chino bongo piano international

  • @BarakaChibo-u9c
    @BarakaChibo-u9c Месяц назад +2

    Ni mungu na masela😊😊😊😊😊kwa tuko Bongo man......

  • @HusseinMwampesse-oq9qs
    @HusseinMwampesse-oq9qs Месяц назад +10

    Oyaaaaa woteee mtulie mwenye mji kaki chafua acha tupite iviiiii 🔥 baruzaaaa

  • @luciamagohacosmass8359
    @luciamagohacosmass8359 Месяц назад +11

    Bongo dar es salaam we muhindi wa kusini umeua🎉🎉🎉

  • @ErickChanga
    @ErickChanga Месяц назад

    nginja nginja

  • @Mrishowalengamina-bx2to
    @Mrishowalengamina-bx2to Месяц назад +36

    daah ila mbosso kila akipewa colabo aweke vesi yeye waga ana uwa mapema san nikama nikipindi ana tunga vesi yake waga ana kutana na malaika tu sio kwa hali iyo toeni like bas

  • @Stevenithagu
    @Stevenithagu Месяц назад

    Motoo 💯🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @BadruRashidy
    @BadruRashidy Месяц назад +7

    Huyu mbosso atengwe jamn dahh😢,nyimbo nzuri na yyy kja kuingiza kitu imekuwaj balaa

  • @trillavic1988
    @trillavic1988 Месяц назад

    bassline 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nasakahela9613
    @nasakahela9613 Месяц назад +5

    Msakahela naona mbosso kashindikana pamoja na chino wapi likes zangu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @LauryMupassa211
    @LauryMupassa211 Месяц назад +2

    Oyaaaa

  • @danielmacharia9603
    @danielmacharia9603 Месяц назад +3

    Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mbosso ni mkali sana

  • @AyoubMagenge-o3c
    @AyoubMagenge-o3c 5 дней назад

    Audio 100%🔥🔥
    Music Video100%🔥🔥
    Definition of Good Music🔥🔥
    Keep it up you will reach on Top one Day

  • @barakakarisa1533
    @barakakarisa1533 Месяц назад +23

    wenye tunasubiri vituko vya mbosso kwa hiyo video tugonge like hapa

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 Месяц назад +36

    Tunao sabu dkiki tujuane wapi like za chino ft mboso mshedede wapi like za 🇴🇲🇧🇮🇹🇿🇰🇪🇸🇦 bila kisahau Congo

  • @MelyBoyote
    @MelyBoyote Месяц назад

    𝐍𝐨𝐦𝐚

  • @huslymaarifa
    @huslymaarifa Месяц назад +4

    Huyu mwamba uandishi wake ni Og. Hatari sana... wapi likes zangu manze

  • @saidizuberiissa7286
    @saidizuberiissa7286 Месяц назад

    Balaaaaaaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉

  • @neymarjrthevinch9872
    @neymarjrthevinch9872 Месяц назад +9

    Yaan ukisha sikia mbosso bs ujue utamu ni mwingi🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿team mbosso dondosha like ap

  • @Torres-ku4fw
    @Torres-ku4fw Месяц назад +2

    Mungu ni mkuu sana shabiki Tangu mkubwa na wanae Adi ivi mungu akuzidishia kk yangu

  • @AhmadBey-r4u
    @AhmadBey-r4u Месяц назад +3

    Nikipiga salute namaanisha imeenda comando team Chino ft mbosso weka like hapaa.. .

  • @hakunakubakisha
    @hakunakubakisha Месяц назад +4

    Kali sana 🔥🔥

  • @rogerbwami9434
    @rogerbwami9434 Месяц назад +1

    MBISO 🙌🏾👑🇹🇿

  • @esikingamrperfume1997
    @esikingamrperfume1997 Месяц назад +19

    Likitokea jema kenya 🇰🇪 uzalendoo aaaaa😅🎉🎉🎉🎉❤❤ 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 MBOSOOOOOOO

  • @kamanguumba7392
    @kamanguumba7392 Месяц назад

    BongoMan Doopest hit in town🔥🔥🔥🔥

  • @JustineSichimata-w9s
    @JustineSichimata-w9s Месяц назад +2

    Bongo😊

  • @LindaChelangat-h8v
    @LindaChelangat-h8v Месяц назад

    ❤❤❤ Mboso khan Moto sana

  • @ahmedlatif3516
    @ahmedlatif3516 Месяц назад +10

    Yaani tupo kaka mbosso khan basi yatosha kaka mamanguuuuu weeee

  • @IreneIrene-rj7rl
    @IreneIrene-rj7rl 11 дней назад +1

    Ngoma kali san❤❤❤💞💞💞💞😋😋😋😋😋😋💘💘💘💘👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊

  • @MohdChicha-e6g
    @MohdChicha-e6g Месяц назад +14

    Mbossoo khani kafunika wote

  • @nellya2059
    @nellya2059 Месяц назад

    I like the tune❤

  • @Yohanankwabi-e9o
    @Yohanankwabi-e9o Месяц назад +3

    Fundi khani baba 🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 18 дней назад +1

    Nafikiri mmoja anatafuta ngazi ya kupandia juu akishafika juu ndio kwa heri ivo

  • @AlonaAfc
    @AlonaAfc Месяц назад +8

    Chukuweni tu maua yenu waaaazeee mumetisha sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉From south Africa

  • @AbdallahandF
    @AbdallahandF Месяц назад

    My fav 🎉

  • @MJmusictz
    @MJmusictz Месяц назад +11

    ila mbosso duh mwaka unaufunga mwanetu dah ukigusa imo qaqa watakuroga qaqa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @IddBussely
    @IddBussely Месяц назад

    Mbosso khan ni🔥🔥🔥🔥

  • @joycekuku1909
    @joycekuku1909 Месяц назад +8

    Tulio sikiliza tukiwa china like hapa

  • @abdulrahiimimam3148
    @abdulrahiimimam3148 Месяц назад

    We're going 💪

  • @PierabuDahanny
    @PierabuDahanny Месяц назад +7

    Ôzââ yani mbosso auna baya 🙌👏🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @daudimwanza
    @daudimwanza Месяц назад +4

    Mbosso Kaua🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AffemoAbelly
    @AffemoAbelly Месяц назад +12

    Aisee mbosso khan hauwa,, mwamba ni balaa kwenye mistari. Anaujua mziki mwamba,, dondosha kopa kwa mbossoooo khan ❤️❤️❤️❤️❤️❤️♥️♥️👍

    • @jayhamso9902
      @jayhamso9902 Месяц назад

      ...Fanya kunicheki kaka japo dakika3. Usikilize wimbo wangu

  • @BoyFlames258oficial
    @BoyFlames258oficial Месяц назад +4

    Big love. Its good. Forma Mozambican 🇲🇿

  • @BraysonFrancis-gl2ry
    @BraysonFrancis-gl2ry Месяц назад

    Kubabake!..

  • @MukizaFab-s4k
    @MukizaFab-s4k Месяц назад +9

    Wakwanza Toka Rwanda

  • @MussaibrahimGhalib
    @MussaibrahimGhalib Месяц назад +10

    Silali mpaka niisikilize hii Ngoma np china like zenu bc nduguzangu wa bongo

    • @jayhamso9902
      @jayhamso9902 Месяц назад

      Fanya kunicheki kwa link unisikilize japo dk,3

  • @DoriceFrenk-x9t
    @DoriceFrenk-x9t Месяц назад

    Ila mbosoo🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥

  • @ChristinaTina-l1o
    @ChristinaTina-l1o Месяц назад +2

    Baruzaaaaaaa!!!!🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿

  • @JanvierLwango
    @JanvierLwango Месяц назад +7

    S2KIZZY zombi weye utatuuwa n'a raha kwetu 🇨🇩🇨🇩. Mbosso Khan inatosha ❤❤❤

  • @RaziminaRajab
    @RaziminaRajab Месяц назад +1

    Mshedede hajawah muacha mtu salama 🎉

  • @bekaboysurce
    @bekaboysurce Месяц назад +8

    Mbosso Khan 🔥🔥🔥

  • @gabejamainey6100
    @gabejamainey6100 Месяц назад

    Chino one man 🔥🔥🔥

  • @Shejazi_tz_official
    @Shejazi_tz_official Месяц назад +8

    mbosso umeua sanaa

  • @Comedianlevinkenya
    @Comedianlevinkenya Месяц назад

    Mbosso khan 🎉

  • @MuhammadJuma-r7t
    @MuhammadJuma-r7t Месяц назад +5

    Chino chino wanaman kama una mkubali weka makopa ❤

  • @SalamaJohn-h9f
    @SalamaJohn-h9f Месяц назад +5

    Yani wameua nimelike vibaya

  • @FatmaAbduly-m2q
    @FatmaAbduly-m2q Месяц назад

    Hongera ziend kwa mboss khan a.k.a mshedede❤❤❤❤

  • @JEANS-TZ
    @JEANS-TZ Месяц назад +6

    Katika huu wimbo mbosso khan dio kaua sanaaa wangapi tuna muku bali mbosso like hapa

    • @jayhamso9902
      @jayhamso9902 Месяц назад

      Fanya kunicheki kwa link ukaniskilize japo dk3

  • @SaleheHashimu
    @SaleheHashimu Месяц назад

    Unyama 🔥

  • @NoelyTz
    @NoelyTz Месяц назад +25

    Wanamani dondosha like 🇹🇿

  • @ALLCONTENTSRECAP
    @ALLCONTENTSRECAP Месяц назад +7

    Tuipeleke trend namba moja hii wazeee🔥🔥🔥🔥

  • @JumbeAlawi-q7l
    @JumbeAlawi-q7l Месяц назад

    Mbosso 🔥🔥🔥🔥

  • @RamaAbdhallah
    @RamaAbdhallah Месяц назад +6

    mbosso umetisha

  • @Quarexdemozplaybeatz
    @Quarexdemozplaybeatz Месяц назад

    Mbosso❤❤

  • @TarimboClassic254
    @TarimboClassic254 Месяц назад +8

    Kama tuko kenya gonna like

  • @bradleymerlin4989
    @bradleymerlin4989 28 дней назад

    Vijanaa wa maana kabisa kumama zenu

  • @AlexiSimba-s5b
    @AlexiSimba-s5b Месяц назад +7

    ila Daaaaah mbosso King 👑🤴🏿

  • @Leylahyaasin-z4d
    @Leylahyaasin-z4d Месяц назад +2

    Yaaaah

  • @mbossopage4092
    @mbossopage4092 Месяц назад +3

    ANKOOOOO⛽️⛽️⛽️⛽️⛽️⛽️🙌

  • @crysuntaipan
    @crysuntaipan Месяц назад

    Noma sana mbosso🍾💥

  • @KhayruniMussa
    @KhayruniMussa Месяц назад +4

    Mboso khan🎉🎉🎉🎉🎉

  • @sabatoager
    @sabatoager Месяц назад +2

    ngoma za mwaka

  • @FadBoy-io6lg
    @FadBoy-io6lg Месяц назад +5

    Zombi we n mbwa manyoko ...unajua HD unakera

  • @FranciscoSamuelMbidy
    @FranciscoSamuelMbidy 23 дня назад

    Yi ni noma❤❤❤❤❤

  • @ChaloWeke
    @ChaloWeke Месяц назад +2

    jamani mbosso aaah yani uko on another level walai🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪much respect

  • @Diamond_platinumztz
    @Diamond_platinumztz Месяц назад +1

    Good Music tunangoja video sasa

  • @DjSwedi-b5t
    @DjSwedi-b5t Месяц назад +2

    Ngoma Kali sana mbosso kwani iyi ma neno ume kuwa una itowa kwa mungu aula

  • @Newsoundsworldwide
    @Newsoundsworldwide Месяц назад +1

    Bongo dar es salama #lyzee ✊✊

  • @hopxzbahati
    @hopxzbahati Месяц назад +7

    Hii ngoma ni nyoko kabsa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌