Darassa feat Zuchu - Romeo (Visualiser)
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Music by Darassa featuring Zuchu performing "Romeo" (c) CMG Group 2024
Stream/Download:ziiki.media/Ro...
Listen to Darassa on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/...
Apple Music: / darassa
Boomplay:www.boomplay.c...
RUclips: / @darassamusic
Spotify:open.spotify.c...
Connect with Darassa on Social Media:
Instagram: / darassacmg255
Facebook: / darassacmg
Twitter: / darassa_cmg
Connect with Zuchu on Social Media:
Instagram: / officialzuchu
Facebook: / officialzuchu
Twitter: / officialzuchu
Written & Performed by:Darassa & Zuchu
+For More Information Booking Darassa:
Contact:Darasa.classic@gmail.com
+For Bookings Zuchu:
Contacts -- zuchu@wcbwasafi.com
Digital Distribution by Ziiki Media (PTY)
©2024 CMG.All Rights Reserved
#Darassa #Zuchu #Romeo
Darasa kila siku ni hit song...hachoshi...RESPECT
Mimi ni shabiki wa DARASSA LAKINI SIJAWAHI PATA LIKE KWENYE NYIMBO ZAKE 😢😢😢
Ushapata like nyingi sana
Unatupatia ladha kamili
True story
Juliet 😊
Wewe mu huni
Tunaoamin hii nyimbo unaenda trending nomb 1 na itakaada mrefu sana huko kileleni gonga like hapa tujuane
Làbda watu wasitoe nyimbo,kwanza marioo tukumtoa inawezafel
NYOKO 😂
Kow huyu jamaaa comment
@@hansonjosephat8344 🤣🤣🤣🤣
Ngoma ni Kali sana
Kama unakubali darasa ana style ya kipekee kwenye kuchana na zuchu ni mkali wa sauti GONGA LIKE YAKO
Nmejikuta nafananisha mistar ya Darassa na mistar yangu ya FOREVER pamoja na flow
Kama Unakubaliana Mimi Mr. Burudani Ameuwa Humu Ndani Nipeni Likes Zake 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Who is Juliet
This song mean that three suitors one husband
Always making perfect delivery japo ni kama zuchu kapendezesha sanaaa#Darasaa ndo jina alilopewa na mwana FA
Waw nice song wameuwa kitu tamuuuu na tofauti
Zuchu ni namba nyingine, sema ni vile anakubalika sana na wanaume
Make Love 🎉🎉
Lalalala appreciate your love babe
Sweet chocolate
❤❤❤
Zuchu mtu mbad...love you and watching from Kenya ❤❤❤❤
kenyan from brussel
dood job my jii darasa and zuchu,aki tunawapenda sana
Wow this is a global hit darassa my gee 🌊❤️❤️ plus the queen with sweet vocals and melodies
Mr Classic..CMG ceo 🔥💯🙏Hii ni zaidi ya kazi safii wakuu#official Zuchu 🙏well appreciate
Mbona hamunipagi like kwenye nyimbo za darasa Mimi ni shabiki la darasa
Stay with her
Milele niwe wa kwako
Sijakupendea ela
Nimekupenda msela
Kaz ya moto.sana❤
A nice one from zuchu na darassa❤❤
more love from kenya 🇰🇪🔥🥰
Jamaa umekuwa wa kwanza
@@nkanenoel8357 kabisa🤗😅
@@nkanenoel8357kabisa 🤗
Hii ngoma ni zaidi ya 🔥 🔥 Darassa Zuchu mmeuwaaa
Nyimbo kali sema uongo hatupendi saa ngapi sahizi 😯
Nice one
Wagwan 👊👊 one of the unexpected collabos. Big up boss. Mad ❤ from KENYA 🇰🇪
Darasa ajawah kukosea ila kwa hii ngoma imezidi utamu zuchu ametulia kaimba kiutu uzima ngoma romantic❤❤❤❤❤❤
Anajua sanaa kweny hip hop yeye ndie mfalme
Anabalaa sio poa aseee
Team sio team bila kocha
Sim ni sim bila vocha
Kama naiona daah..ikianguashwa
Effortlessly good 💪🏾💪🏾🔥🔥🔥🔥🔥🔥
You kill it blood, romio ,hit in town
DaRASSA NA ZUCHU are killing me
We killed
Big level
Good banger
Zombie make it perfect
Darassa unajua baba la baba umekiwasha na umetoa darasa you're a living legend 🚀🚀🚀🚀
Nomaa sana
For kenyans who appreciate this two artists lets gather here ... drop that like
😊😊mim nina shida ya best mkenya
Zuchu all the way, tamuu sana
Funga njia penzi langu mbawa litapaa
Kudadadek kudadaganga gang
No second option
Zima taa penzi langu nyota litang'aa
Mahaba niuwe nishut gun
We zuchu🔥🔥🔥🔥
Haujui😅😅
Ni mke wa simba
Na boss
Hii ngoma cyo poa..aisee darasa anajua sana zaidi ya sana
Nomaa sanaa
Much love from congo 🇨🇩
Tunakubali Bi zuhura ameitendea haki, gonga likes 👏
Sana 🎉🎉
Unajua broo
Darasa
Mr butudan
Mr burudan
Definition of Good Music 🎶❤
Another one Good Music from CMG
Darasa Darasani tuliomsubiri kashafika more than genious..kama mbinguni ni kuimba na kusifu Darasa awe kwa list ya watumbuizaji
Hivi unazani kwanini akajiita Darasa,yaani yeye ndo shule,mwalimu na hata mwanafunzi...huyu ndo mkali wao💥
Enjoy good music
Favorite song
New chemist in town
History made
Darasa umeupiga mwingiii team wasafiii mko apiii
Me nawee tuna connection
No second option
Sim sio sim bila vocha
Mahaba niuwe nishut gun
Wangap wameshutkia darasa anapenda sana haya maneno.INFORMATION,CONNECTION,UPDATING,APPRECIATION,KUDADADEKI,PRIVATE
Tangu nimfaham darassa hajawai kosea
Nasikilizia nyimbo zote pasipo kurudia
Uyuuu mzee apewe Dunia yake
Balazi wa amani ya hip hop
Ujengewe sanamu mzee
Zuhura wewe daaah unajua
Darasa forever
mimi ni fan wa Darassa na Zuchu sababu ya uandishi wao.. hii ndio zile nyimbo unaziona na kuclick chap 👏
Najua sanaa
Zuchu anaimba vizuri hadi mwili unasisimka
Xanaaaa zuchu anajuaa
Kaimba xana zuchuuu
Anajua xanaa aa
Zuchuuuu nomaa xana
Fundi kbxaaaaaa
Kutoka Kenya 254🤌What a sweet song😮💙noma kuliko homa😅
Sio siri hii ni hit song i like the way zuch slide on that beat ❤❤❤ kama kweli like zao hapa
Without her can't live
Big collaboration of the year
You did my brother
Never live alone
He can't disappoint me
🎉🎉🎉 mpenii maua yake mwamba huyuu🙏🙏🙏🔥
Zuchu mtu na nusu🔥🔥🔥
Zuchu 😒🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Zuchu ni 🔥🔥🔥
Kali sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Uko juu Darasa best collabo zuchu sweet chocolate 😊
Umetishaaa sanaaa
Nice melody
Ila zuchu🔥🔥🔥
Ngoma kali sanaaaaaa❤
mr burudani take away the pain💥🔥🔥🔥🔥
Unajua sanaa
Good song sana me and Zuu zuuu zuuu
Ngoma imeenda iyoo noma sna
Zuchu kipenzi cangu Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah zuchu akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen
Allahimma Ameen
Allahumma Ameen❤
AMEN ❤❤🎉
Super star
Born to win forever
Daaah huyu zuchu anajua sana wanangu
Kudadeki zuchu ume uwa sana bonge la coras
The type of song we need in TZ. zuchu anajua bana 🎉🎉🎉
Anapaswa kuimba kwa utulivu kama huu so perfect
Im from 254 ngoma yamoto ii haipoi,na nikipata likes tano nitafurahi subs guys
Tulio mfata zuchu weka like❤. Ap
❤❤❤
S2Kizy umepiga instrumentals vizuri sana mnyama ... Good song aisehh.... bongo fleva flani yenye vionjo vya vile vitu vya Africa Kusini ... Salute mzee 😇😇😇
Jamanii na mimi si mnipe like piaa tufurahi wote
#darassa
Anabalaa sio la kitoto
Hajampendea hela mwamba
Wadada kama Hawa wapo wapi
Room of magic
Ngoma ni Kali sana
We zuchuuu
Wale wa gud vibes real melodies na mziki bomba tu gonge like hapa 🎼🎼🎼🎧🎧🎧
Aka kagoma kamenigusa moyo anyway kama wewe ni mpenzi wa muziki mzuri kama mimi gonga like apa tuishi nayo hii ngoma🔥🔥🔥
Love is asset
Thanks for good 🎵
Oooh my baby sweed chocolate
So so romantic ❤
Ngoma Kali sana oyaaaa njooni tuview na tulike
Anamawe ya kutosha
Mwenge hip hop yake😊
Wakenya wanamuogopa sanaa
Darassa rasilimali ya tz🎉🎉🎉 mm shabiki yako na ujawai kuniangusha
Uhakika kaka
Ata mie pia
Hajawai kukosea
We noma😊
Hivii hii nyimbo ni fupi au utam umezidi aisee 🤗🤗🤗 it's perfect hatar fire
Utam umezidi❤
ZUCHU Anajua bhana ❤❤
Huna baya mr burudani haujakosea kumshirikisha dada mwenye maujuzi yake👑
Umeua sanaa
Kituu safii
Darassa never disappoints & Zuchu has nailed it on this jam. Much love for both of you from D.R.CONGO. Give me some likes guys
I am from south Africa but this song number 1 ❤
Kazii safi sana wameua kinomaa hasa zuchuu fund kaptaa Vzr
Itolewe remix na simba, ata ua sana kwenye hii beat. Sweet music sana sana sana sana, soooo mwaaaah mwaaaah... Bravo, uuuuh
Kazii safi sana wameua kinomaa hasa zuchuu fund kaptaa Vzr kweny melody
Melody kali sanaaa, afu kawimbo katamu sana,ila zuhura 🔥
Zuchu kaua sanaaa kwenye chorus ✊🏾✊🏾✊🏾
Hakika huu mwaka darasa anatuonesha mengi sana kwakwel
Kazii safi sana
Big up zuuu zuu
Nice song from darrasa nice melody from zuchu🔥🔥🔥
Walai.naomba like zangu maaan nakufa mimi nahii myimbo apo tu romio please
😊😊😊y is it😅😅😊😊😊😊😊😅t
❤❤❤❤...my
❤❤❤❤❤❤
kweli hii ngoma tamu sana
umapata from brussels
Noma yan
Dope chorus from Zuchu.
Nice song big up 😂😂❤🇬🇧🇬🇧🇬🇧💥💥
Haina noma mzeee
Uhakika
Haina kumbwela
Ila darassa n kiboko yao aseeeee….bonge moja la Mruko ruko
Nomaa.sanaa
Rimix Lunya awemo bro ngoma kali sana
This so biggg just Dayoo angepewa verse ingekuwa so biggg 254 is watching 🎉🎉🎉
Very true aisee