Kweli umempa Mbosso heshima ya ukweli 🔥! Kutoka yatima penzini mpaka kumiliki 'Ova' na kutoa hits bila presha 🙌🏾. Anaendeshaje game kama fundi wa muziki safi! Ukiskia Bongofleva, jina lake lazima litajwe 🎶."
Kaka mbosso tupe hii verse Maumivu ya mapenzi ujenga sugu,ku share siwezi vuruguvurugu, shamba la mapenzi wakala wadudu, moyoni makwenzi ukanisurubu iwe ova part 2 naomba sana maana hii verse kali sana kuliko shilingi nta shukuru sana @mbosso
Mbosso mzee wa ndege , Kunguru ulimfukuza, na hapa kwa ova hiyo sauti ya huyo ndege imenifanya nije huku tena... S 2Kizzy atafute na sauti ya Njiwa uendelee kutupa Buruda 😂😂😂❤❤❤❤ Mbosso Khan a.k.a The Ostrich King of Birds
Kuazia. Nitakuita. King mbosso na sio mbosso Kahn NI NI king Ngoja nikupe sababu uitwe king mbosso Kwa sababu amapiano zako NI tofauti na piano nyingine Ngoma zako NI Kali Sana kisema ukweli huu haupingi na kama mm nimuongo naomba hii comment is like na MTU. Mmoja na kama unaniunga mkono kwamba mbosso SASA tunamvua ukhan na tunampa. King dondo like
Kweli umempa Mbosso heshima ya ukweli 🔥! Kutoka yatima penzini mpaka kumiliki 'Ova' na kutoa hits bila presha 🙌🏾. Anaendeshaje game kama fundi wa muziki safi! Ukiskia Bongofleva, jina lake lazima litajwe 🎶."
Kweli umempa Mbosso heshima ya ukweli 🔥! Kutoka yatima penzini mpaka kumiliki 'Ova' na kutoa hits bila presha 🙌🏾. Anaendeshaje game kama fundi wa muziki safi! Ukiskia Bongofleva, jina lake lazima litajwe 🎶."
Mbosso
@@MwamtumElenest-l6xty6y🎉ujq\1. o😅pxgub8😮B😮yh
🥹💓💓💓
🥹💓💥
❤❤❤❤
Huyu ndie mbosso kwelikweli, achana na amapiano hapa umechukua kijiji cako🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Team mbosso likes zetu kwa hapa❤❤
Waooo
Mbiso Anajua Kuliko Ata Bos Wake
Walioirudia nyimbo zaidi ya mara moja tujuane hap
Mara kumi mimi
@@KhadijaChonanga😅😅😅😅mara mia wasema
Wa kwanza kutoka kongo nipe like zangu kama unamupenda mbosso 🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩🇧🇮🇧🇮🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mboss jin unajuwa san brother
Nilijua tu Wakenya mshafika huku haya tujuane Kwa likes ❤😅🇰🇪🇰🇪
sasa likes ni kitu ya kuomba kama mkenya
@@AnthonyKaisa-j7p pigwa mti
Twakosaje kwa mfano
Tuko rada 😂😂😂kila mahali
😂
Fundi wa mapenzi mboss Khan gonga like apa kama ngoma umerudia zaidi ya Mara moja
Team wasafi from kenya tujuane kwa likes👍
TUKO HAPA LIVE!!!!!!
Karibu Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
*Good job bro mbosso ontrending jamani shabiki wa damu atupiti bila like mimi nahanza na ya kwangu*
Mbosso kma mbosso Khan..mshedede....selemani...yni kila idara upo sw mungu akulinde na husda 🎉🎉🎉🎉
Alijidanganya ukiwa ulimpenda sana, muache ateseke, Love you from Burundi bro 🇧🇮again it's a good and hit song
Wa kwanza leo mimi Ngolo_comedian naombeni like zangu
Ngoma kali my mwamba mbosso never disappoint ❤❤ from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩 wanangu wa Drc Congo tujuwane kwenye commenti 🎉🎉🎉🎉
Za ndaniiiii kabisa huu wimbo unapendwa sana na brother RICARDO MOMO sijui kwanini
It’s ova the king has done it 😌kama unaamini gonga like ya yammi 😂
Tanzanians have no idea how much we Kenyans love their music
Mbona wAtu mko hivyo. Views n mingi na likes ni kidogo jameni tunasupport kaka yetu mbosso❤❤
Harmonize Mzee Popo kazi ya kuroga anayo... WCB Hit after Hit😭🇹🇿🔥🔥🔥🔥
Mlikutana kwa mganga
Harmonize kaingiaj hapo
Ach shob kuma ww
Ukiwa maskini unatapatapa sanaaaa
Nimeipenda hiyo kunawatu wakikosa Cha kufanya Huwa wanaongea bila kujua wanaongelea nn@@ManenoPapalu-ku3vl
Eeeee bwana weeee mbosso wew 🙌naomben like hata tatu tu
usiwaze
Munipee Like wapenzi kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮♥️♥️♥️♥️
Burundi oyeeee 🎉🎉🎉🎉
@@armandestyle24 poa sana
Ok
❤❤❤oye
@@zarinangoyzarina-xi1in Yes
Huyu ndo Mbosso Mshedede Khan nyimbo kali kama hizi ndo zinabamba sana
Wa kwanza toka Lubumbashi DRC🇨🇩🇨🇩
Mkitaja bongo, mbosso unigusa moyoni. I think this man is underrated. So sweet 🥳🥳
Naombeni Likes zangu kwakuwa namba moja😂😊
Like zanini sasa😅😅😅
Inakusaidia nn
@@mariahshechambo4034 kamuulize Baba ako
@@francisdhefrenmpunga3079 za Bibi ako
Za nini
Mbosso the Ivorian public is looking forward to seeing you in concert in Côte d'Ivoire 🇨🇮 🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮
Watanzania mna talent nyingi mno na mnajua sana in east Africa love from Kenya
Dah hii ngoma huiskilize kwenye AirPod au subwoofer ni hatari bonge ya beat, best poem👌🏼🇹🇿🚀🚀❤
Ukiwa kama mimi kwenye mausiano muenda pole pole njoo tujuane kama na wewe muenda pole pole apa sehemu yetu moja tu
Any Nigeria in the house 🥂❤️
🇳🇬🇳🇬🇳🇬
Wow Aaaah Hya Nakuabli mbosso Nice ❤️❤️❤️😂👌🤗🤗❤️❤️❤️😂👌🎉🎉🎉🎉
Mboss jin 🙌
Kilungi hugusa wengi sana na hizi ngoma zake haswa hii🌹🌹🌹
😂dah Yani Jana nimetoka kumwambia ex wangu hivi Leo jini Khan kaachia au ulinisikia navyomwambia respect broo🤜🤛
Mboss @mbosso dah Broo umejipata kinoma Sasa ongea na big
Amchukue aslay na kayumba juma wasafi pale pls Broo 😭😭
mmejaza comment zenu Sasa ndio Mimi nicoment wapi,au hamkujua nitafika uku😂😂😂
mbosso wee hatari sana , keep going bro 💪💪
Salute kwake Producer💥 🙌
Mbosssso 😘😘😘 msanii aliyebarikiwa na sauti na mistari much love from south africa❤
Fundi wa mafundi hamna wa kukupinga 🎉🎉🎉maua yako
Kaka mbosso tupe hii verse Maumivu ya mapenzi ujenga sugu,ku share siwezi vuruguvurugu, shamba la mapenzi wakala wadudu, moyoni makwenzi ukanisurubu iwe ova part 2 naomba sana maana hii verse kali sana kuliko shilingi nta shukuru sana @mbosso
Hit ya kufungia mwaka
Hii ngoma inadeserve kuwa one on trending chaajabu mbk sasa hata kwny top ten haipo kwl bongo jau
Burundi 🇧🇮 ndagukunda cane Mr love ❤❤
Hii ngoma umeeleza mambo ya bby mama wangu kabisa asante sana mbosso sai ova ova kabisa imetosha
kama wewe ni mtanzania Na una penda Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 like hapa👇
🇨🇩🇹🇿🤗😁💃🏽🔥
Kwasababu ya team ya yanga Kuna miamba ya congo imepita na bado tunao wacongo wengi Sana I like 🇨🇩
Mbosso mistari unayo ❤. I have this song on replay. Can't get enough. 🙌🏾🙌🏾
Big up Khan kazi safi sana full support from Noisemeka nikiwa Kenya 🇰🇪
Hapa ndipo tulipokuwa tumepamiss yuleeeee Mbosso Khan na sio Selemani 😍😍😍 such a banger 🔥
Waliorejea hii nyimbo zaid ya mara. Moja tujuane kwa like hpaa😂😂😂
Msani bora kwangu nakupenda sana mbosso much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ngoma Kali sana nakusikiliza mbosso toka Moçambique 🥰🇲🇿🙏
Mbosso mzee wa ndege , Kunguru ulimfukuza, na hapa kwa ova hiyo sauti ya huyo ndege imenifanya nije huku tena... S 2Kizzy atafute na sauti ya Njiwa uendelee kutupa Buruda 😂😂😂❤❤❤❤ Mbosso Khan a.k.a The Ostrich King of Birds
Mbosso est trop talentueux, depuis la côte d'ivoire, merci pour tout.
Etes vous capables de comprendre le Swahili en Côte d'Ivoire?
🇹🇷Kama mturuki nausikiliza kwa raha, ni wimbo mzuri sana kaka🇹🇿
Ngoma kama hizi hutokea ukiwa heartbroken😢
Uko wap mamy tuyajenge😢
Uko wap mamy tuyajenge😢
@@MbaruKhan nairobii
Mbosso raisi wa mapenzi East mapenzi.....imetisha broo....kazi swafii
Wewe Hya Sawa Sana mbosso 😘😘😘🥰🥰😂😂🖐️🖐️👏👏🔥🔥🔥
Love this song so so much ..love from Nigeria
jamni naombeni like hii ngoma ni kali au wadau mnasemaje
Ova kote kwa madem wasio na akili or future kwa ujumla respect bro mboss
Nanenepa Nanenepa Kamwili Kananona 🫡🫡🫡🫡🥰🥰🥰🥰🥰🥰
HAPA MBOSSO UMEIMBA KAKA DAAH😢😢 NIMEGUSWA SANA NA NYIMBO HII THEN ACHANA NA AMAPIANO KABISA
Mbosso Khan fundi wamuziki❤❤
Huyu mshkaji noma sana daaaah....mbosso unaimba jmn kongole kwa mama mzaa mbosso❤❤
Me cjui wangap ila najua ni shabik wa mbosso nawe kama shabik wa mbosso gonga like hapa
Unapomsifia mboso n mkali..msisahau kua zombie amefany hii beat ijiimbe yenyew 🏃♂️💥💥💥 anaitw salmin zombie anajua kutofautish beat🦃
Endeleeeni kuombeni likes ...Mimi Nishapata sababu ya kulia😢🥺😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😓
Tulie sote weh
Wewe mzee😂
mbosso khan mshedede jamnii wew mtoto unabalaa so mchezoo
Second to comment,,,I deserve more likes .big fun from Rwanda🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Mbosso❤ ila uliwezaje kuiachia hii verse
Ngoma kali mnoooooooo. Mbosso 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
I have listened to the songs more than 5times... Nice song... Would love to attend his live shows....
like me
Mbosso🎉🎉
Mbosso will be forever my favourite from Tanzania much love from kenya 🇰🇪 ❤️
1:50 my fav line😢😢
Kuwacha bongo flava ni ngumu much love from Kenya
Nanili kupenda sana ❤❤❤
He always deliver what is best for his fans 🎉
Nimekuwa wa kwanza jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢😢😢❤❤❤😂😂😂😂😂😂
Du apa jay melody kazni kwake kuna kazi uyu mbosso balaaa lingine
umetisha sana brother
Nazani ni time ya kumkumbka aslay, ata kumpiga support muumchukue kwenye wasafi festival 😢
Kussen from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nakubali❤❤❤❤
Ova by mbosso Khan ni hatariiii 🔥🔥🔥🙌
wakwanza kusikiliza hili goma
Ulilitoa kabla ya ridhaa yake
Weeeeeee!! zombi unarahanaaaaaa Nini hichi Tena umefanya na Sere😮
Kuazia. Nitakuita. King mbosso na sio mbosso Kahn NI NI king
Ngoja nikupe sababu uitwe king mbosso Kwa sababu amapiano zako NI tofauti na piano nyingine Ngoma zako NI Kali Sana kisema ukweli huu haupingi na kama mm nimuongo naomba hii comment is like na MTU. Mmoja na kama unaniunga mkono kwamba mbosso SASA tunamvua ukhan na tunampa. King dondo like
Sipendagi BONGO FLEVA ila hizi za Mbosso Zina maazii Fulani hivi lazima uzipendee❤❤❤
Verse moja tu jmn🙌🏻 mi nyimbo za siku hizi zinanikwaza yaan muda mwingi unaimba ova ova ova hadi nyimbo inafika ova 💔
Aisee mbosso ni mwendo wa fire on the mountain 🎉🎉🎉🎉chukua mau yako
Ukimkubali Mbosso eka tik❤
Huyu fundi sana daaah...i love more mbosso
King Khan ❤ I'm the first ❣️👉🏿
Kweli umempa Mbosso heshima ya ukweli 🔥! Kutoka yatima penzini mpaka kumiliki 'Ova' na kutoa hits bila presha 🙌🏾. Anaendeshaje game kama fundi wa muziki safi! Ukiskia Bongofleva, jina lake lazima litajwe 🎶."
Khan mwenzie nipo apa na OVA OVA😅 i wish mbosso angekuwa brow wa damu.akuna nyimbo inanipita.well rep from planet kenya ❤❤❤
Mon boss position alors mbosso ❤❤
Ilaaa mbossooo ni 🔥🔥🔥🔥🔥 Kila wakatiiii
Mbosso never disappoint
Mbosso to the world. Kijana mtana shati huyu. 🥰
Nashukuru mboso haujatusahau sisi tunaolizwa na haya mapenzi😂...kama gundu vile
Pole sana
Hadi kufikia sasa hii ndio ngoma kali zaidi afrika mashariki mwaka huu.