D Voice Ft Lava Lava - Turudiane (Official Lyric Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2023
  • Get #SwahiliKid Album 👇🏼
    dvoice.lnk.to/swahilikid
    Swahili Kid is an album that encompasses various musical genres, including Singeli, Bongo Fleva, Amapiano, Afro Pop, Zouk, and it delves into social themes, love, pain, life's hardships, and more, showcasing D Voice's songwriting and singing talent. This album offers a fresh and captivating sound in the world of Swahili music and can appeal to music lovers of various genres.
    Track 07. Turudiane feat Lava Lava:
    -This song highlights the lives of young people and the challenges they face in their relationships, as well as how poverty can lead to feelings of humiliation.
    / @itsdvoice
    For Bookings:
    dvoice@wcbwasafi.com
    Follow D Voice On:
    Instagram: / dvoice_ginnii
    Facebook: / dvoice_ginnii
    Twitter: / dvoice_ginnii
    TikTok: / dvoice_ginni
    #DVoice #Music #Wasafi
    Copyright ©2023 WCB Wasafi. All rights reserved.
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 464

  • @MafooMkenya
    @MafooMkenya 6 месяцев назад +480

    Hii ngoma inafaa kua juu kwa hii album nzima.... sema Lavalava hajakuangusha kama hao wenginee..... kama unamkubali lavalava nipe likes tuu nitashkuruu❤❤❤❤❤

    • @evance_tz
      @evance_tz 6 месяцев назад +17

      Naungana na wewe

    • @MafooMkenya
      @MafooMkenya 6 месяцев назад +17

      Hao wengine hawajaimba vile tunavyowajua

    • @OmmyBrand
      @OmmyBrand 6 месяцев назад +14

      Namimi pia

    • @bahatikatunzi3313
      @bahatikatunzi3313 6 месяцев назад +10

      Me nampedraaaa bhna eeeh❤❤❤❤

    • @MafooMkenya
      @MafooMkenya 6 месяцев назад

      @@bahatikatunzi3313 sana tuuu

  • @IrChrisanteMumbere
    @IrChrisanteMumbere 6 месяцев назад +71

    Lava lava ameuwa umu ndani jamani naomba like za lava lava

  • @user-og7cj5zc3u
    @user-og7cj5zc3u 6 месяцев назад +15

    Broooo lavalav sarut umetisha na hili goma lipo juuuu zaid%100

  • @fadhilially7357
    @fadhilially7357 6 месяцев назад +17

    D VOICE ULIINGIA KWENYE MFUMO WA LAVALAVA MELODY IZI AKUACHI SALAMA UYO LOVE BITES SARUTI LIKE TWENDE SAWA

  • @chizashungu8364
    @chizashungu8364 6 месяцев назад +47

    Lavalava ni artist ambaye ana uwezo wa kubadilika kubadilika,na hii ndiyo sifa mojawapo ya Wasanii wote wa WCB.Sikilizeni Muziki mzuri kutoka kisima cha Buradani hapa East Africa.

  • @user-xv1cz4lj8i
    @user-xv1cz4lj8i 5 месяцев назад +3

    LAVALAVA yupo kwenye kila sekta anuja sana kwenye nyimbo ya mapenzi yuko vizur sana ila hiii kaua sana jmn sijui kwann hapandi chat kama mafala wengine 😂 lavalava ni fundi

  • @melikiadesfanuely1730
    @melikiadesfanuely1730 6 месяцев назад +10

    Lava lava ndio kaandikaa ngoma hiii.... Duuuuuuh Mr love bite anajuaa xanaa🤜🤛🤜🤛

  • @nizzoclassic1166
    @nizzoclassic1166 6 месяцев назад +51

    Lava lava izi ndo nyimbo zako sasa kwa style hii Kenya 🇰🇪 tuko nyuma yako👏

    • @sharonanisha8949
      @sharonanisha8949 6 месяцев назад

      Aliyem heart break alifanya vzur jaman😅😅maana izi nyimbo za hivi lavalava anazijulia sanaa ata sitaki apendwe maana hatotuimbia hivi😂😂😂😊

    • @josephmuthusi7009
      @josephmuthusi7009 4 месяца назад

      ❤❤❤❤always l treasure Mr love bite nakuthamin kaka❤❤❤

  • @mikdismas9981
    @mikdismas9981 6 месяцев назад +2

    Oy ,,bigapu ,,xna blo lavalava ,,,umetixha kweny hii ngoma ,,,

  • @salmahussein8076
    @salmahussein8076 6 месяцев назад +13

    Mimi nyimbo yangu hiii jamani...lavalava umeibeba hii nyimbo❤

  • @charitedragonlwayi3154
    @charitedragonlwayi3154 6 месяцев назад +2

    Nime ona huuu kijana Ana enda Ku zima wengine wasani

  • @Sean_vicker89.
    @Sean_vicker89. 6 месяцев назад +2

    Lava lava the king💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @Caroloo6
    @Caroloo6 6 месяцев назад +16

    Lava lava to the world he knows what his doing❤

  • @mevicesifuna2134
    @mevicesifuna2134 6 месяцев назад +13

    I thought mbosso is fire I didn't know lavalava is more fire 🔥 🔥 lavalava ft dvoice on top

  • @eliezachilagane8317
    @eliezachilagane8317 6 месяцев назад +2

    Katika album nzima mwamba hii ngoma umeua mwamba amini lavalava anajua ajakuangusha kabisa.

  • @mettybee6152
    @mettybee6152 6 месяцев назад +36

    Best song Kwa ngoma zoteee....lavalava vocals zimeenda shule Yani utamu mtupu,,,I salute you brvh

  • @JAYCLASSICMEDIA
    @JAYCLASSICMEDIA 6 месяцев назад +2

    NILISEMA BEFORE HUYU ANA ULAVALAVA MWINGI SANA

  • @hannahgodsonjoseph7457
    @hannahgodsonjoseph7457 6 месяцев назад +4

    Lava² n muster wa maumivu ,kwenye nyimbo za maumivu hakoseagi😂

  • @vadohswahili3648
    @vadohswahili3648 6 месяцев назад +11

    Lover bite lavalava,,Huu wimbo umezidi Zote🔥🔥🔥🔥🔥

  • @vanchillahvanchillah7691
    @vanchillahvanchillah7691 6 месяцев назад +2

    lava lava wewe ni jinn we ni balaaa

  • @dennislungunga5686
    @dennislungunga5686 6 месяцев назад +38

    These three young stars Mbosso,Lava Lava and the New guys will be the big thing for Tz

    • @xuperansu
      @xuperansu 6 месяцев назад

      Mbosso 33 yrs and he is still a young😂😂😂

  • @twahiryusuph7792
    @twahiryusuph7792 6 месяцев назад +11

    Lavalava kwenye melodi anazozipendelea..🔥🔥🔥

  • @MwamibarakaMtg
    @MwamibarakaMtg 6 месяцев назад +2

    Uyu dogo ana imba kama mbosso kama usha sikiya ni like zangu

  • @ramadhanimussa2625
    @ramadhanimussa2625 6 месяцев назад +2

    Mondi unabania lavalava ila najoua sana huyu boy

  • @visionstudios6804
    @visionstudios6804 6 месяцев назад +20

    Lava lava upande huu unaweza Sana, weka juhudi kwenye hii aina ya muziki.

  • @agnesepete3367
    @agnesepete3367 6 месяцев назад +38

    How i wish this could be number one it sounds different 👌❤️

  • @Barakacomedian.
    @Barakacomedian. 6 месяцев назад

    Nipeni lik zangu Kwa huu mwamba sio poa ni Mimi hapa baraka commedy

  • @JAYCLASSICMEDIA
    @JAYCLASSICMEDIA 6 месяцев назад +1

    Laizer anamjua sana lava2

  • @jumanassoromzee5417
    @jumanassoromzee5417 6 месяцев назад +1

    We lava lava Unajua Sanaa eti nimezunguka kote buza na yombo dovya sijambulia chochote zaidi ya kuchovya chovya

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 6 месяцев назад +1

    Lavalava toka huku' twende katika ulimwengu wa Kiislam

  • @levocatuspjohn8638
    @levocatuspjohn8638 6 месяцев назад +9

    Ila Lava Lava anajua sana jamani nyimbo nzuri sana ila me siwezi kurudiana na EX bora nile andazi

    • @warda3458
      @warda3458 6 месяцев назад

      😂😂😂

  • @KiyumbiEmmanuel-zc4hv
    @KiyumbiEmmanuel-zc4hv 6 месяцев назад +2

    Nimependa kila kitu kwenye hii ngoma 👍ila kurudiana na X 🤔🤔bdo kidog 🤣😅

  • @josephdida4329
    @josephdida4329 6 месяцев назад +8

    HII NDO KALI KUSHINDA ZOTE🤤

  • @ramadhanimussa2625
    @ramadhanimussa2625 6 месяцев назад +3

    Mondi unambannia huyu dogo ila anajua sauti ya madrassa❤

  • @visionstudios6804
    @visionstudios6804 6 месяцев назад +28

    Nimesikiliza Album nzima Ila hii nyimbo imenivutia zaidi

  • @jamesjohnface
    @jamesjohnface 6 месяцев назад +1

    Lava lava katishaa saan jaman Kama unamkubal naomba like yako 👊💪

  • @zachariahsanga1798
    @zachariahsanga1798 6 месяцев назад +15

    Lavalava the best ever artist🔥🔥🔥🔥you made a hit collaboration again👏👏👏

  • @MoneeMusic-ql2xs
    @MoneeMusic-ql2xs 6 месяцев назад +6

    LAVALAVA HAJAMUANGUSHA ❤❤

  • @youngbeeofficial4474
    @youngbeeofficial4474 6 месяцев назад +69

    Lavalava never disappoint🇰🇪 🇰🇪

  • @user-lv8nh6oz7w
    @user-lv8nh6oz7w 5 месяцев назад +1

    Nyimbo za kustikika achiwe lava lava na J moledy tu

  • @sharmy8521
    @sharmy8521 6 месяцев назад +67

    Lava lava has the best songs. It relieves your stress. His message is direct to the ponit

  • @Musanasibungombo3808
    @Musanasibungombo3808 6 месяцев назад +3

    imba hivi kila siku lavalava....kaka apa uliweza ...

  • @SaidSaid-rb3jw
    @SaidSaid-rb3jw 6 месяцев назад +2

    Mh lavalava ndo mwenye nyimbo au 😂

  • @robertmasha173
    @robertmasha173 6 месяцев назад +1

    Jamaaan au shida n nini!!!!! Mbn uliopaswaa uwe juu ndy upo chn jaman... Au ndy ya DULLAH MAKABILA YANATIMIA.... ata lavalava aimbe vp aonekani

  • @Ngotethipa
    @Ngotethipa 5 месяцев назад +7

    From Malawi 🇲🇼 but Tanzania 🇹🇿 that's where my heart ❤️ belongs ♥️

  • @HabibaKarisa
    @HabibaKarisa 6 месяцев назад +2

    Nani kama mr love bite😍

  • @rays_one1
    @rays_one1 6 месяцев назад

    kama umeskia vocal ya diamond na mbosso weka like apa

  • @user-xf9cs6ii7h
    @user-xf9cs6ii7h 5 месяцев назад +1

    Lava lava,Mbosso na Dvoice wako Sawa love these young stars

  • @othmanmusilm
    @othmanmusilm 6 месяцев назад +2

    Hii nzuri mnoooo, lava lava kwenye nyimbo za kuumizwa wallah huzitendea haki Daaah!

    • @abduljembe6608
      @abduljembe6608 6 месяцев назад +1

      huyu wajina wangu sijui ana gundu gani maana anajua sana Lavalava lakini sio gumzo

    • @othmanmusilm
      @othmanmusilm 6 месяцев назад

      @@abduljembe6608 Kwa kweli

  • @ZikiMfalme-ty2fe
    @ZikiMfalme-ty2fe 5 месяцев назад

    Lavalava all time the best mganga ana sauti yani uyu ndogoo pia Ngoma zake zinaeleweka mtaarabu sana .pia wewe d voice kaza kamba safari ndo unaanza .maana ujue tupo mashabiki tunaimani uta fifia Kama Yule ndogooMac voice insha'Allah utakwenda far

  • @stevensilungwe41
    @stevensilungwe41 4 месяца назад

    Ex wangu ataka turudiane . She dedicated this song ♥️♥️ I will take her back . 🇿🇲🇿🇲♥️

  • @justinestrizhak6961
    @justinestrizhak6961 6 месяцев назад +5

    Lava lava gave you 💯 percent connection ya sauti ,,,,just learn from him na utasonga juu kimziki

  • @shimirimanaakili2588
    @shimirimanaakili2588 6 месяцев назад +3

    Hi lava lava kaua kuliko kina diamond 😂

  • @mundetvchannel0
    @mundetvchannel0 6 месяцев назад +1

    Lavalava humu kamfunika d voice kinoma

  • @zedkaz001
    @zedkaz001 6 месяцев назад +1

    Lavalava 😂😂😂 kwenye nyimbo za kuachwa una balaa🎉🎉🎉🎉🎉 Anyway mababu wameipitisha hii imeenda kwa album yote😢😢😢😢

  • @user-nn2it7le4y
    @user-nn2it7le4y 6 месяцев назад +1

    Umu umeuwa sana lava boy unatixha

  • @chunnysuleishy9186
    @chunnysuleishy9186 6 месяцев назад +3

    ❤❤katika zote hii ndo Kali jomon

  • @user-pt3jr1pf8d
    @user-pt3jr1pf8d 6 месяцев назад

    Ila mimi sijapenda nilivyomuona anabweka kama mbwa baada ya kutunzwaa 10M na Diamond katika mitandao ya kijamii anabweka tuuuuuu❤ jau kijana mama ndi kila kitu simebweka kwa niaba ya mama pia😂😂😂😂

  • @boazabron5389
    @boazabron5389 6 месяцев назад +1

    Sasa huyu ndo lava lava ninaye mjua 🎉

  • @maryamsaid17
    @maryamsaid17 6 месяцев назад +4

    Hii ngoma ni fire lava lava anajua tena yani .

  • @DerickOdhiambo-ht1ou
    @DerickOdhiambo-ht1ou 6 месяцев назад +10

    Lavalava is always underrated😏

  • @user-bo7cm7ud3b
    @user-bo7cm7ud3b 6 месяцев назад +2

    I always think lavalava is best in this group l don't why he is always silent plz lava we love you bring up songs as we pray for you

  • @SOS_VILLA
    @SOS_VILLA 6 месяцев назад +9

    I had missed this version of lavalava....love bite hizi ndio zako

  • @estherjoseph7258
    @estherjoseph7258 6 месяцев назад +2

    Lava lava umeweza❤❤❤❤❤🎉

  • @SuleimanBaluch-et7et
    @SuleimanBaluch-et7et 6 месяцев назад +2

    Lav lava🔥🔥 kaja maeneo y lovebity hatoboi lava lv kwa mawimbi kaa mbl

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx 6 месяцев назад +2

    Hili Ngoma Lava Kalifanyiya Haki Kbs 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jabbarytrelloy4118
    @jabbarytrelloy4118 6 месяцев назад +2

    Hii katika zote imebamba i miss the old lavalava

  • @Vetexenterprise
    @Vetexenterprise 6 месяцев назад +1

    Hii ndo nyimbo kali tuuu zingine holaa

  • @carlitoswilson7197
    @carlitoswilson7197 6 месяцев назад +16

    Masterpiece ✍️. Mozambique🇲🇿 appreciate ✊

  • @ivanvago3347
    @ivanvago3347 6 месяцев назад +1

    Lava first time alisema mi naona bora tuwachane leo analia ati turudiane

  • @BlaqBobby
    @BlaqBobby 6 месяцев назад +18

    The Lava I new before 👏👏 big up For this one 🔥🔥🔥🔥

  • @user-so5do3dn4u
    @user-so5do3dn4u 6 месяцев назад +21

    Good music indeed lavalava never disappoints

  • @maxlynx9734
    @maxlynx9734 6 месяцев назад +2

    lavalava the mistari master

  • @KhadijaKajoli-wm5rc
    @KhadijaKajoli-wm5rc 6 месяцев назад +4

    Lava lava 🔥 ♥

  • @nafsinafsi1932
    @nafsinafsi1932 6 месяцев назад +2

    ❤❤lala lala❤❤❤

  • @OmaryKagwiza
    @OmaryKagwiza 6 месяцев назад +2

    Lava lava ❤Ni Bongo fleva

  • @annjoyadeba5562
    @annjoyadeba5562 6 месяцев назад +1

    Fanya hii nyimbo video ikiwa ya kwanza upate soko poa ya muziki kwanza kaka❤

  • @ErickBenard-ru1bc
    @ErickBenard-ru1bc 6 месяцев назад +2

    Lavalava anaandika jamani

  • @salimnondo740
    @salimnondo740 6 месяцев назад +1

    Lavalava alisema bora tuachane ila leo ameomba turudiane 😂

  • @givenchande5285
    @givenchande5285 6 месяцев назад +3

    hii nomaa kuliko zote

  • @diamondglobal_
    @diamondglobal_ 6 месяцев назад +2

    This song deserve 100M views hii ndo ngoma Kali kwny album

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 6 месяцев назад +9

    love ❤ from mozambique 🇲🇿🇲🇿 WCB together we can

  • @vivianluvuka6573
    @vivianluvuka6573 6 месяцев назад +1

    THE PERSON THAT HEARTBREAK LAVALAVA GOD IS WATCHING ❤❤❤❤😂

  • @yusufbakari7331
    @yusufbakari7331 6 месяцев назад +12

    This one deserves the first video

  • @tonniewriting712
    @tonniewriting712 6 месяцев назад +3

    LavaLava remains my favorite artist from TZ.

  • @zuheilarama6233
    @zuheilarama6233 6 месяцев назад +3

    Lavalava uko juu jamani ❤❤❤

  • @wangulaedga7445
    @wangulaedga7445 6 месяцев назад +13

    Lavalava did me proud on this alafu this new guy is something else ❤

    • @HajiMiraji-hn1dq
      @HajiMiraji-hn1dq 6 месяцев назад +1

      Lava lava balaaaaa unajua kaka d voice fundiiiiiii

  • @user-fz3qj1gn8w
    @user-fz3qj1gn8w 6 месяцев назад +2

    Hii ngoma ya mOtO sana

  • @paulnjoroge8779
    @paulnjoroge8779 6 месяцев назад +2

    Moto sana

  • @festozmgogotz2120
    @festozmgogotz2120 6 месяцев назад +1

    Festoz nitatoka lini na Mimi daah@

  • @nurkintv5815
    @nurkintv5815 6 месяцев назад +2

    ❤iko vizur sn ngoma hiii

  • @em_vee_josh
    @em_vee_josh 6 месяцев назад +24

    Another one for the lovers❤❤

  • @albomsafi9183
    @albomsafi9183 6 месяцев назад

    Yaani ninavyompenda lavalava

  • @djimikamabu64
    @djimikamabu64 6 месяцев назад +3

    Wcb hajawi tuangusha sisi mashabiki wake 💪🙏

  • @youngresearchkenyalimited3183
    @youngresearchkenyalimited3183 6 месяцев назад +1

    methinks this kid does magic with love byte tone. no doubt, wasafi invest in talent and not jokes. next mleteni founder tz.

  • @shidoboy8687
    @shidoboy8687 6 месяцев назад +1

    Minawapa pongezi kwahii song kweli mmeweza sana mpa nahisi nimimi nnaeimba

  • @AndreyChrispine-rk3qg
    @AndreyChrispine-rk3qg 6 месяцев назад

    Yan lava lava sema ana baniwa na diamond kwa ndumba anazo tafta pengine hamshilikishi lakin we mwamb hatakama hutumiii ndumba we d voice mwamba wee mwanangu daah lakin upo sehemu salama ujuwe

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 6 месяцев назад +2

    We mbuzi lava unajua sana wewe💪🏽😎

  • @KevinHavi
    @KevinHavi 6 месяцев назад +19

    Now this is one hell of a song😊❤

  • @2pacofking
    @2pacofking 6 месяцев назад

    Iyingoma ifike mbalisana kama TAJIRI kwanza ipite tajiri bila kumsau D VOICE