🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 май 2024
  • 🔴#Live: KUPOTEA KWA SOPHY KWASHIRIKISHA IMANI ZA KISHIRIKINA | MAPITO...
    Karibu kwenye Kipindi cha KATAMBUGA cha kila JUMATATU hadi IJUMAA kuanzia saa 6: 00 mpaka saa 8: 00 mchana upate kujua nini kinajiri kwenye mitaa yetu...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750 910) ( +255 657 693 210)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 47

  • @user-dx1hz3ow7k
    @user-dx1hz3ow7k 21 день назад +4

    Mungu ataweka wepes kazidishe dua kwa shekhe aya mambo yapo rud kwa shekhe akasome dua

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 21 день назад +1

    InshAllah mungu yupo atapatikana

  • @FatumaMuya
    @FatumaMuya 2 дня назад

    Pole sana Mungu asaidie ila zari ukienda usiende peke yako uende na mtu au police bila ya yeye kujua

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 21 день назад +1

    kweli dada umesema pole, 👏👏👏👏👏

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 21 день назад

    Mtihani wallah

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 21 день назад +1

    Mlimsema bure mama wa kambo mtihani huu kwa watoto wetu

  • @mamymamiza2924
    @mamymamiza2924 21 день назад

    Mmemsema sana mama wa kambo alie mlea tangu akiwa na miaka 3 mtoto amekua amejazwa kiburi na mama ake mzazi mnakuja kumzalilisha mama wa kambo hapo mnamsema vibaya sana mwanamke wawatu ila mungu atazidi kumuumbua huyo mama

  • @KeemDetreson-pj1oj
    @KeemDetreson-pj1oj 3 дня назад

    Mwemdelezo wa sophy

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha 20 дней назад +1

    Inawezekana mama wa kambo anajua sofi yupo na mwanamme na pia mwanaume anamjua mama wa kambo vzr tu yqni kama mchezo umechezwa na ndio mana mama wq kqmbo hana muda wakumtqfuta

  • @MaryamMaryam-wp5yk
    @MaryamMaryam-wp5yk 18 дней назад

    Mama namba ya sheikh please nimepotelewa na mtu waangu jamani

  • @missp-dv6qd
    @missp-dv6qd 21 день назад +2

    Tusikimbiliage kulaumu mama wa kambo

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 21 день назад +1

    Wao walijuajehizo habar

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 13 дней назад +1

    Msingerusha icho kipindi akiona atatafuta njia zakujitoa

  • @KeemDetreson-pj1oj
    @KeemDetreson-pj1oj 4 дня назад

    Mmempata huyo Mwaname

  • @zubedamrutu3156
    @zubedamrutu3156 21 день назад

    Nimecheka

  • @shanibaniyas6308
    @shanibaniyas6308 21 день назад

    Poleni sana😢

  • @asiasalim9323
    @asiasalim9323 20 дней назад

    Daaaah yaliyomo yamo

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 21 день назад +2

    Watoto wakike nibidhaa mbovu

  • @ummuissa5883
    @ummuissa5883 13 дней назад

    Na itwa kulthum niko zanzibar nnashkuru dada zari kwa ushirikhano wako

  • @StellarmamottoFlowersMam-ms1nz
    @StellarmamottoFlowersMam-ms1nz 7 дней назад

    Mnamtafuta mtu live lazima awapange tu.

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 21 день назад +1

    Mama sofii rundi kwa huyo shehe kaombe duaa tena kaweka nia aru di ararundi Qruaani haiongopi rundi kwa shehe mama sofii

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 21 день назад +1

    Muhimu apatikane ili aseme ukweli

    • @rayaomar6299
      @rayaomar6299 21 день назад

      Mtafuteni uyo boss wake waelekeze alopo muende mhakikishe km yupo kweli

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 21 день назад +1

    Akipiga tena mrikodini

  • @mistareagle2398
    @mistareagle2398 19 дней назад

    Mtamgazaji usinge sema maswala yakumu track apo, inge'kua siri sasa apo na yeye si atajipanga

  • @Fatima1234-wl1nu
    @Fatima1234-wl1nu 21 день назад +1

    mmmmh sauti ya mwanafunzi imekomaa hiyo

  • @maymunamakungu6265
    @maymunamakungu6265 21 день назад +1

    Sasa hizo taarifa si atazipata unadhani atakubali kuonana na nyinyi?

  • @irenembura8045
    @irenembura8045 21 день назад +1

    Sasa mkisema atatafutwa na police si ndio atakimbia kabisa!

    • @user-dl1ju4ge3x
      @user-dl1ju4ge3x 21 день назад

      Hata mtu akiamia mkoa mwingine atapatikana tuu kwa kuitrack simu yake

  • @shanibaniyas6308
    @shanibaniyas6308 21 день назад

    😭

  • @jennet6484
    @jennet6484 21 день назад

    Zarina bhana et mamvua vua yamenyesha kwahyo atakua mjamzito😂

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 21 день назад

    Zaari hiwezi juaa katoka pale kwa sababu ngani mwambie arundi kwa shehe akaombe duaa tena atarundi tuu kama yuko haii

  • @Fatima1234-wl1nu
    @Fatima1234-wl1nu 21 день назад

    zari ukipata taarifa km hii jaribu kuwa mpole ili hasije hakandua na amino km kweli hamisi yupo na sofi basi hatakuwa hana simu mkubwa ila hofu yangu wenda hamisi ana marafiki na wanatumia sim kubwa na wakaona kipindi unaisi tutafanikiwa?

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 21 день назад

    Inabidi muitrak hiyo cm

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 21 день назад

    nyinyi mmekosea kurusha hiki kipindi, mnge enda moja kwa moja polisi na hiyo namba, mama sophy kashasema sauti ya mwanae. hivi mnavyo toa vitisho ndo atakuja?

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 21 день назад

    Mm nilimuelewa siku ya mwanzo kabisa mama mlezi hakua muongo alikua anaongea kutoka moyon

  • @fatumamshindo4435
    @fatumamshindo4435 20 дней назад

    Kachagua juma tano kwavile aendi shule

  • @maymunamakungu6265
    @maymunamakungu6265 21 день назад

    Mnatuchezea roho tu. Mtoto mwenyewe hana adabu huyo

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 21 день назад

    Kaona kipindi kaona apokee cm

  • @user-ok4qd7wg7c
    @user-ok4qd7wg7c 21 день назад

    makubwa

  • @rehemahramadhani3428
    @rehemahramadhani3428 21 день назад

    huy huenda yupo kwa mwanaume nimemkumbuka warda kaa zake mbande anaosha vyomb huk ndugu zake kila sik wanalia

  • @Official83640
    @Official83640 21 день назад

    Haya matukio ya wadichana yanafanya tudharau kufatilia mapito ukweli tuseme

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 21 день назад

    Watoto wetu hawa wanatutia ubaya nawazazi wenzetu

  • @khadijachacha3156
    @khadijachacha3156 21 день назад

    Sasa hivyo mnavyoongea na kucheka si atakuja kujua kama sio wakweli na anaweza akazima simu

  • @deadcrush
    @deadcrush 21 день назад

    Well scripted.

  • @nanyangeclara2222
    @nanyangeclara2222 21 день назад

    Duuu! Kama maigizo