MAAGIZO ya WAZIRI SILAA ARUSHA YATEKELEZWA kwa 99% na KAMISHNA wa ARDHI - APITA MTAA kwa MTAA....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 11

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 месяцев назад +1

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @VictorNdeoya
    @VictorNdeoya 7 месяцев назад

    Yesu tusaidie hawa nindugu inamuuniza sana mungu jaman

  • @victormbagga1821
    @victormbagga1821 7 месяцев назад +1

    Hiik kivumbi na jasho usipokuwa makini unabak ukiduwaa tu maana mabishano ya dk 5 tu yanakifanya unapata stress

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 7 месяцев назад

    Haitoshi! Fukuza hao. Huu ni wajibu wao, haikubidi usafiri na kuharibu pesa za raia. Hii nchi ndiyo maana umaskini hautaondoka! Angekuwepo nyani kwenye kugombea kura za urais, ningempigia nyani!

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 7 месяцев назад

    Hatua sita kwa hatua nne 😢😢ndo mna taka kuuana😂😂

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 7 месяцев назад

    Dakika 5 😂😂😂

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 7 месяцев назад +2

    Namuona yule afisa alipewa dk 5😂😂😂

  • @YunisJerald
    @YunisJerald 7 месяцев назад +1

    Hii Arthi ya Arusha ina shida kila sku ni vituko

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 7 месяцев назад +2

    Wanajisafisha baada ya Kupewa dk 5 na Makonda😂😂

  • @ProsistaTarimo
    @ProsistaTarimo 7 месяцев назад

    Hahaha wee zubaa tu utapigwa spana. Dk 5 zilikutoa jasho. Huyu mamayangu ameteseka sana. Mpeni haki yake haraka.