VUTA NI KUVUTE YA STAND, JERRY SILAA AMVAA DC NIKKI, ATAKA WAZIRI KUINGILIA KATI "HAIWEZEKANI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 230

  • @sylvestermitanda3502
    @sylvestermitanda3502 9 месяцев назад +4

    Mh.Jerry Slaa ni mwadilifu,mchapa kazi na ni nuru ya Uongozi kwa Nchi yetu.Hongera Mkuu kwa kazi yenye vitendo,kutatua kero za Watanzania

  • @edsonoisso4271
    @edsonoisso4271 2 года назад +14

    Unawaza vizuri sana mheshimiwa ila uswahili utakuponza babu.

    • @millegodfrey1373
      @millegodfrey1373 2 года назад +1

      Jerry hakuna haja yakutukana mtu mngekaa mezani muongee akiwepo waziri sasa siasa haisaidiii

    • @expert5898
      @expert5898 2 года назад

      Yaani umeongea kitu cha kweli kabisa! Karopoka saaaaaana

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 2 года назад +8

    Sijapenda kwakweli

  • @lenoxbuhanza4926
    @lenoxbuhanza4926 2 года назад +12

    Acheni mambo yakuitana kaka yangu/mdogo wangu sijui ndugu yangu au vinginevyo fanyeni kazi eti mdogo wangu Niki,dada yangu Jenifer,rafiki yangu mwana FA.acheni hizo adres mtu kwa nafasi yake bila kupepesa macho

  • @MsNajma-e6e
    @MsNajma-e6e 9 месяцев назад

    Anatuletea sanaha kwenye maisha ya watu na kwenye siasa msomi Gani anaewapelekesha watu kiwendawazimu

  • @benjamingilles9462
    @benjamingilles9462 2 года назад

    Jerry silaa umekosa busara to the moon and back

  • @henrickmbilinyi6231
    @henrickmbilinyi6231 2 года назад +6

    Kwani Jerry huwezi kukaa na mkuu wa wilaya meza moja kutatua changamoto , ikishindikana hakuna mamalaka ya juu ikaingilia kati kuona uwezekanao wa kutatua changamoto, siwezi kumlaumu sana jerry slaa kwani yeye ni mbunge ,mwanasiasa nijukumu lake kuongea ,halafu ndio suluhisho lianze

    • @dennismtatiro8230
      @dennismtatiro8230 2 года назад

      Hizo ni wilaya 2 tofauti kwa hiyo lazima awepo mtu wa kuwakutanisha, ambaye ni WNORT

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 Год назад +1

    Huyu jamaa kazi itamshinda mapema sana. Anapenda sana uswahili kufanya kazi na media.

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 10 месяцев назад

      Mbona haijamshinda leo ni waziri ,ulitaka afanye kazi kimya kimya ofisini halafu sisi tutajuaje anachokifanya?

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 10 месяцев назад

      Tunataka watu jamii yamakonda

    • @billgussy6099
      @billgussy6099 10 месяцев назад

      changa la macho unalijua?? hao watu wanajuana nyie wananchi ndo mnao danganyika

  • @dominickjohn1128
    @dominickjohn1128 2 года назад +23

    Kama ulikua unayajua hayo kwann usiende kuongea nayeye ofcn wewe bwana jery kumbuka hata huyo mkuu wa wilaya anapokea amri toka kwa waliomuwekaadarakani ajipangii

    • @Farminghustles
      @Farminghustles 2 года назад +1

      Safi sana hili angeongea nae yakaisha sasa hii kutafuta sifa tu

    • @josephluther6431
      @josephluther6431 2 года назад

      Ilo tatizo lipo tokea Jokate awepo na stand ilianza kujengwa Kisarawe, chuma alishatolea maamuzi alivyokufa tu yameibuka tena

    • @godiegodie1336
      @godiegodie1336 7 месяцев назад

      Silaa anaongea na wanachi hapo ulitaka akaongea na nikk ofisini afu wananchi wawe wanabaki bila kuelewa chochote. Acha kukumbatia umbu mbumbu.

    • @HashimYahaya-hd3zm
      @HashimYahaya-hd3zm 6 месяцев назад

      Jer uko poa mku wawiraya asijichukurie maamzi nchi yetu .sote

  • @cleverkifaluka4337
    @cleverkifaluka4337 2 года назад +15

    Slaa unakosa hekima kama kiongozi hutakiwi kumsema mwenzako tena wa chama kimoja kwa maneno ya dharau hivyo. Mashimo yakutosha stand hakuna nick wa pili kakusaidia magari yako yanaenda kwake unamdhalilisha?

    • @matataoneproduction5355
      @matataoneproduction5355 2 года назад +2

      Kalewa madaraka na sifa zimemzidi

    • @japhetjoseph1772
      @japhetjoseph1772 2 года назад

      Niikazi ya mbunge bila kuangalia chama. Shida sis tumezoea kabushara cha wabunge kusifia wakati wao kaz kuu n kuongelea wananchi either kukosoa au kushauri pia mbunge siotendaji wa serikali akaongelee ofisini kaz yake upimwa na waajiri wake ambao n wananchi kwaio lazima aongelee changamoto zao bila kupepesa macho bila private lazima wananch wajue mbunge wetu katuongelea ndio maana bunge liko live ili wananchi wapime kaz ya wasemaji wao. Shida wabunge wengi awaongelei wananchi wanaongelea chama ndio maana wananchi wana changamoto nyingi lakini hakuna wakuwasemea wao kaz kusifia sifia kusifia sio vibaya sema zikizidi wakat huo huo Kuna changamoto za kusemea hiyo ndio mbaya

    • @steveprosper4084
      @steveprosper4084 2 года назад

      Mwenyewe ashawahi kuwa mkuu wa wilaya hapa kinachomtesa Jerry ni ubunge ccm hapo tu ukichaa unaanza

    • @luperbukuku2659
      @luperbukuku2659 2 года назад

      Kwanini nikki maeneo ya Dar aseme ni pwani

    • @godiegodie1336
      @godiegodie1336 7 месяцев назад

      Silaa anaongea na wanachi hapo ulitaka akaongea na nikk ofisini afu wananchi wawe wanabaki bila kuelewa chochote. Acha kukumbatia umbu mbumbu.

  • @chrispinrafael3831
    @chrispinrafael3831 2 года назад +5

    Umeteleza mheshimiwa uyo ni mteule wa raisi acha zalau

    • @chizashungu8364
      @chizashungu8364 9 месяцев назад +1

      Hapana ukikosea utaelezwa tu.Rais anakuteua ili uchape kazi na utumie akili.Oooh mteule wa Rais na hiyo ndiyo inawadanganya,Jerry slaa waeleze hao watulize vichwa vyao wakipewa Mamlaka.

  • @Omary-p3e
    @Omary-p3e 2 года назад +8

    Haina maana ya kuongerea hapo umekosa busara huyo ulipaswa kukutana nae myamalize

    • @godiegodie1336
      @godiegodie1336 7 месяцев назад +1

      Silaa anaongea na wanachi hapo ulitaka akaongea na nikk ofisini afu wananchi wawe wanabaki bila kuelewa chochote. Acha kukumbatia umbu mbumbu.

  • @kefajoseph158
    @kefajoseph158 2 года назад +5

    Uswahili wenu huu ndo samia kaleta hata maendeleo hatuoni kila siku mipasho mara macho YANGU yamelegea lakini yanaona mbali ukinitekenya nitakukunanakukupuliza kakopa wee hamna chochote ulikuwa mkuu wa wilaya hapo ulifanya nini nsikama kikwete tu miaka kuni hamna chochote uswahili mwingi maneno milioni kazi hamna acheni uswahili hautusaidii chochote

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 2 года назад +8

    Jerry tutengenezee barabara kitunda ni mbovu kupita maelezo

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 2 года назад +2

    Kiasilia Nikki sio mtu wa hapo na pia ni kweli kabisa "unaweza ukawa na Elimu lakini huna akili" ..
    Faida kubwa ya Elimu ni KUKOMBOKA KIFIKRA ila Kuna uwezekano mkubwa mtu kuwa na Elimu ya vyeti ila bado akawa ni mjinga(HAJAKOMBOKA KIFIKRA)

  • @michaelfutakamba9360
    @michaelfutakamba9360 2 года назад +2

    Jerry Slaa jipime nidhamu yako unapotaka kuwasilisha hoja yako, unamapungufu Sana kwenye kauli kinywa chako kichafu, tumekuona sana sio mara ya kwanza wala ya pili.

  • @rasiaelnicholaus9286
    @rasiaelnicholaus9286 Год назад +1

    Usimchambe Kiongozi mwenzio ...kwanini Msikutane Mkayajenga B4 hauajaja kwa Wananchi

  • @mizumo6935
    @mizumo6935 Год назад

    Uyu Jamaa Kanasifa sana alafu atumii Busara Unamsema Kiongozi Mwenzako Hadharani kama hivyo Sio poa

  • @mamakoku5123
    @mamakoku5123 2 года назад +3

    nyumba ni moja mzee usipoteze fito zake

  • @momylaviel
    @momylaviel 8 месяцев назад

    Uishi maisha marefuuu khaaa jamn wakihamisha stend hiyo tutafanyaje

  • @frankmalimi5863
    @frankmalimi5863 2 года назад +2

    Mheshimiwa Jerry, ule mpango wa ujenzi wa barabara kiwango Cha lami kutokea PUGU SEKONDARI MPAKA VIWEGE umeyeyukia wapi ?

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 2 года назад +1

    Ndo maana inafaa mkuu wa wilaya awe mzawa na achaguliwe na Wana nchi wenyewe "katiba mpya"

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 2 года назад +1

    1.Nick amezaliwa Arusha,amekulia Arusha tena siyo Town centre hukoo mitaa mitaa isiyo kuwa na mipangiliomji.
    so me naona makosa ni aliyemchagua kwanini akampe cheo km hicho mkoa mji asiye ujua chochote kuhusu kisarawe?
    2.Jerry kwanini usimfwate office kwake huyo nikki? Km alileta ukahidi huko ccm hamna watu wazima?

  • @IsmailAlly-u3l
    @IsmailAlly-u3l 9 месяцев назад

    Sio vizuri kumsema mwenzako.... Af wote nyie ni ccm

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 9 месяцев назад

      Vipi kuhusu alipojisema mwenyewe kiwa tena inawezekana Niki amesoma kuliko yeye hapo hukuona ee, hapa anachofanya huyu ni kusaidia wananchi sio mihemko tu

  • @fahamumbava3702
    @fahamumbava3702 2 года назад +1

    Unakosea sana kma kweli unabusara ungemfata ofisini huo ni huchonganishi

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu 2 года назад +2

    Viongozi wanajipendekezaga Sana, Hadi mumtaje Raisi ktk kila kitu hata vitu vidogo vidogo

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 9 месяцев назад

    Muheshimiwa ulianza vizuri sasa unaanza kuharibu kwa kumchafua kiongozi mwenzako hadharani, kwanini uongelee elimu yake, eti ni bongo flavor umekosea sana, jihadhari huwezi kupanda juu kwa kumkashifu mwenzako

  • @Tango696
    @Tango696 2 года назад

    Kiukweli mh Nikki kakosea.lakini slaaa hukupaswa kuongea ktk LUGHA hiyo .

  • @chief4Real
    @chief4Real 2 года назад

    viongoz ni dar tu nimezkia mwenyekit wa wasafirishaj Tanzania sjui alchaguliwa vip ad na akna sie wa mikoan

  • @johnchuwa2888
    @johnchuwa2888 2 года назад +2

    Hasa nyie wote ni viongozi hauitaji kutoa mapungufu yenu kwa wananchi.mnatakiwa kuitana wenyewe mmaluzane bila wananchi kujua

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 2 года назад +1

    Toka afe magufuli nchi imekuwa ya hovyo sn hii kila mtu anajiamulia yeye tu kumamake walai

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 10 месяцев назад

    Matunda ya ziara za makonda sasa kero zinasikilizwa,zamani wafanyakazi walikuwa wanakaa ofisini tu hawajui shida zawananchi.wakitaka kujua chochote waliuliwa watendaji ambao siku zote waliwadanganya kuwasema mambo mazuri tu kumbe kiuhalisia niwongo. Leo hii wananaulizwa wananchi wenyewe viongozi kimya watakuja kujibu tu bac

  • @esombommambelwa6809
    @esombommambelwa6809 2 года назад

    Jerry aujatumia hekima na busara hata kidogo kwa nini musiamalize officeni,, ukiona mwana siasa anawasifu sifu wanasiasa wezake ili kupiga oja ya mtu mmoja jua ajiamini

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 года назад +2

    Yaani nilifikili huyu jamaa anaakili kumbe 000. Suala hilo eti anamuita Waziri aje asuluhishe wewe na wenzako mnafanya nini wewe.? Acha Siasa kama hamuwezi pisheni. Nimempenda Nick wa Pili kaamua Jambo hata kama amekosea kaamua.

  • @MsNajma-e6e
    @MsNajma-e6e 9 месяцев назад

    Mewaweka wauni kwenye huongozi watu wa mahana mnawacha ndio matokeo yake hayo sitilesi za mkewe Niki anatuletea wananchi mtoeni uyo hafai

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 2 года назад

    Umemkosea sana mkuu wa wilaya....kamati ya maadili ya CCM imuite huyu bwana slaa...
    Kwann usimfuate dc oficin?...slaa umezingua..umemzarau sana dc

  • @expert5898
    @expert5898 2 года назад +1

    Hayo mambo wangeanza kuyaongea wenyewe huko huko... Na kama anajua Nikki kamzidi elimu kwanini anakataa kuwa hayo maeneo sio Kisarawe?

  • @Marjeby
    @Marjeby 2 года назад +1

    Mheshimiwa Mainge Kijana wangu huyo!

  • @capantermkugwa7650
    @capantermkugwa7650 2 года назад +2

    jeli apo umeongea pwent sana kaka

  • @daudwilliam2326
    @daudwilliam2326 2 года назад

    Tatizo ni elimu et kah

  • @thomassalvatory8303
    @thomassalvatory8303 2 года назад

    kuondoa hili mipaka ya kisarawe inaanzia wapi na kuishi wapi na mikapa ya ilala inaishia wapi unajuu huku ubungo kuna sehem ni ilala ila jina ni moja

  • @gaomariwa7637
    @gaomariwa7637 2 года назад

    Niki yupo right sana

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 Год назад

    Slaa piga kazi kaka, watanzania huwa hawaishiwi maneno na hawana jema.

  • @captenndunga6745
    @captenndunga6745 2 года назад +4

    Hahahaha mkuu wa wilaya haijui mipaka yake kama hali ndio hii ipo siku utasikia TEMEKE ipo KINONDONI.

  • @angelnicholaus9248
    @angelnicholaus9248 2 года назад +1

    Sijaona cha maana hapo,ikihamia Kisarawe ni bora maana ndio kuna connection nzuri ya mabasi.Sijaona unachong'ang'ania hapo mr Slaa.

  • @OdenBidili-lj5qi
    @OdenBidili-lj5qi Год назад

    Huyo Jerry silaha mpuuzi sana maneno mengi kazi hakuna

  • @fatumangalomba4749
    @fatumangalomba4749 2 года назад

    Uwo uswahili ungekaa nakiongozi mwenzango ukaweleshana halafu unaonekana una busara hata kidogo nahao unaowaongoza sidhani kama wanakufurahia kwa stahili hiyo (huo ni uchawi wa madaraka)💯

  • @HishamAbdull
    @HishamAbdull 8 месяцев назад

    kwa nn usianze na mkuu wa mkoa aje atatue kero unaenda 1 kwa moja aje waziri

  • @sharifuamuri4638
    @sharifuamuri4638 2 года назад +1

    Ukweli pugu hapo hakuna stendi wala kituo sema iyo pugu kaliakoo aliokaimba Mr Nice niya treni na so ya dala dala au stendi choole

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 Год назад

    Slaa itaneni ofisini mjadili haya badala ya kuzodoana huku mtaani, mnatia aibu nyumba moja kutoana ngeu!!

  • @jestonelazaro6543
    @jestonelazaro6543 2 года назад

    Yaani Jerry c kiongozi Kabsa yaani vitu Vya kiuongozi mnaitana sasa wanaokupgia kelele apo

  • @karloladislaus45
    @karloladislaus45 2 года назад +2

    Why kila kitu lazma atajwe Rais!??....Hawa viongozi ni wa ajabu sana.Serikali moja lakini wanabishana utadhani hawakai meza moja.

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 Год назад

      Vwanamtaja Rais kwa sababu hawajiamini katika maamuzi yao!!

  • @LidyaKagondi
    @LidyaKagondi Год назад +1

    Mama hajakosea kukuweka apo alikuona kua unaweza my brother

  • @fauzibinzoo6563
    @fauzibinzoo6563 Год назад

    Waziri unapenda sana kiki haki ya nani

  • @daudinyanda2499
    @daudinyanda2499 2 года назад +3

    Jerry Slaa huna displin na ethics za uongozi unaleta chuki binafsi huwezi zungmza maneno kama hayo mbele ya umati swala la usaniii limeingiaje hapo huna akili wewe kwa staili hiyo sjui hata hao unaowaongoza maana umekaaa kimajungu majungu na uchawa tu.

  • @evelineurassa3642
    @evelineurassa3642 2 года назад +2

    Jerry Slaa Ameiva mnooo

  • @ramadhanimkude5744
    @ramadhanimkude5744 2 года назад

    Kiluvya ni kweli IPO kisalawe,na maanisha Mloganzira na viunga vyake.

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 Год назад

    Mkuu wa wilaya huyo mhuni tu .Rais samia amuondowe .inawezekana ni chadema kabisa

  • @kombafocus6996
    @kombafocus6996 9 месяцев назад

    Mnaona wasanii Wana akili ccm vibiongozi

  • @Tanzaniayangu-g8v
    @Tanzaniayangu-g8v 2 года назад

    Jerry ni mbunge kwahiyo anachofanya yuko sahihi maana kuna 2025, ila pia watu wengi wa dar walalamishi sana, kuna kero kwangu naziona ndogo kulinganisha na zilizoko mikoani ila kelele nyingi..mf. barabara yakutoka Geita kwenda Kahama, Ushirombo-Katoro, Nyarugusu-Geita ni mbovu sana makorongo mengi, vumbi mpaka gari ndogo tairi zinazama kwenye vumbi, na ni makazi ya watu ila hatuoni makelele ya hivi na mapato yapo kutokana na migodi ya ggm na bulyanhulu, kama vp na sisi huku serikali kuu ije ijionee hali ilivyo

  • @bahiyalumelezy3016
    @bahiyalumelezy3016 2 года назад

    Ndy tatizo ya kuwapa watu kuongoza sehemu wasozijuwa

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 10 месяцев назад

    NDO MAANA MI NAULUZA , HIVI HAWA WAKUU WA WILIYA , MAMA SAMIA ANAWACHAGUWA MWENYEWE?. AU ANAPEWA MAJINA TUU. KUSOMA SIYO AKILI AU KUELEWA KAMA ULIVYOSEMA, WENGINE WALIBURUZWA TUU MPAKA HAPO WALIPO KAMA WAKUU WA WILAYA.

  • @nr8782
    @nr8782 9 месяцев назад

    Unachukua wasanii unawafanya viongozi wa nchi untegemea nini...mtu mwenyewe katokea arusha na kichwa kibovu....wasanii waache wawe wasaniii wa bongo fleva...eti kiongozi...du bongo ni shida

  • @HusseinHussein-hl5eh
    @HusseinHussein-hl5eh 2 года назад +2

    Tatizo mji inaongozwa na wageni ambassador hawajui Romania halisi ya mji wanayoiongoza

  • @jestonelazaro6543
    @jestonelazaro6543 2 года назад

    Yaani jmn ramani ya kisarawe tunaiomba maana naona Kuna mtu kavuka redline huku

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 2 года назад

    Kwani anamuogopa nn kumfata ofisini kwake wakajadiliana kuliko kuongea kwenye media Yani siasa kitu cha ajabu

  • @emmanuelchejo7154
    @emmanuelchejo7154 2 года назад +1

    Acha dharau wewe usiseme maneno hayo c ushasema kakuzid elim bongo fleva inaingiaje hapo bhanaa

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 10 месяцев назад

    Yeye ameshindwa kuuza viwanja vya makazi Visegese kupitia kiluvya.

  • @MsNajma-e6e
    @MsNajma-e6e 9 месяцев назад

    Joketi ndio kiongoz mzuri hakukuwa na migogoro uko

  • @musason1680
    @musason1680 2 года назад

    Huyu anaongea ongea sijui hata anaongea nn na mtu anaemwongelea anamkosea heshima. Na hana pointi za msingi n siasa siasa t za kisanii anaongea ongea

  • @babupeter7049
    @babupeter7049 2 года назад

    Wala Kwa Nick wewe huingii hata kidogo ..tatua mgogoro ACHA siasa

  • @musason1680
    @musason1680 2 года назад

    Huyu leo anaongea t hajui anaongea nini yule n mteule wa raisi hakurupukiwi hivyo n kumkosea hata heshima alimweka

  • @rasheedabby2871
    @rasheedabby2871 Год назад

    Nikki akatupwa Kibahaaa

  • @fadhilngaona3685
    @fadhilngaona3685 2 года назад

    Viongozi wengi wanaokuja kisarawe wanaburuzwa na huyo mwenyekiti wa ccm wilaya kisarawe inapataga Viongozi wazuri tatizo huyo,kwanza ana roho mbaya hapendi maendeleo ya vijana na Ina muuma roho sana vijana wa UMAMMU kuwa na magari roho inamuuma sana anafikiri watu wamepata magari Kwa Ajili ya stend. Anafanya roho mbaya alafu akiwa na shughuli za chama anakuja kuomba hayo hayo magari mbona Huwa hawafuati madaladala ya kisarawe.haitoshi wanaenda Mpaka Ratra kuzuia tusipewe leseni hivi hawa wanawatakia mema wananchi wa kisarawe. Haya umemzuia mfanyabiashara wa basi asifanye shughuli ya usafirishaji raia wako anasafiri vipi?

  • @mayaally2512
    @mayaally2512 2 года назад

    Personal Attack kwa DC haikusaidii ubunge wako huo ni utoto

  • @aminarashidi5649
    @aminarashidi5649 2 года назад

    Jerry Acha usnichi kama unaona changamoto ya muda mrefu kwani usimfate ofisini kwake mkapngea mkayamaliza na mkawapa wananchi muongozo uliosahihi . Hapo unataka mwenzio aonekane si chochote 🙉🙊

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 10 месяцев назад

    TUNGEKUWA NA MAWAZIRI KAMA WEWE KUMI TUUU, TUNGEFIKA SEHEMU.

  • @essenceonlinetv217
    @essenceonlinetv217 Год назад

    Careful,tables turn brother

  • @brunoonenjemu3674
    @brunoonenjemu3674 2 года назад

    Mhe. Slaa barabara za mtaa zinatakiwa, gongolamboto hadi chuo Rada.Hatuna barabara.

  • @josephmugala1970
    @josephmugala1970 2 года назад

    Hiyo ndo ccm
    Wananataka kujenga inchi Ili tuwe namaisha mazuri.
    Inamaana hampangani mambo yenu?

  • @peternyambo1439
    @peternyambo1439 2 года назад

    Kisarawe kuna stand nzuri mnooo, wahamie huko, pili hata wenye root za complex to Kisarawe waongezeke ndio maana ya biashara. Kiongozi ni kuona fursa.

  • @ahmedkhatibu5387
    @ahmedkhatibu5387 2 года назад +4

    Mambo yenu ya ofisini hayo

  • @Yona-f3k
    @Yona-f3k Год назад

    Hivi huwezi ...bila kumtaja...

  • @chichahamis635
    @chichahamis635 8 месяцев назад

    Mkuu wa wawilaya chizi

  • @gaomariwa7637
    @gaomariwa7637 2 года назад

    Stand ya kigogo mbovu sana

  • @KarataKarata-ue4cs
    @KarataKarata-ue4cs 9 месяцев назад

    Hauna busala hata kidogo haufai kua kiongoz

  • @givensanga3524
    @givensanga3524 2 года назад

    Kwani wew ni mbunge wa ilala au ukonga kitunda kivule msngola kibeberu magole nyantira bombambili nk zimekushinda nan atakupe ubunge tena.

  • @abdallahabdu8194
    @abdallahabdu8194 2 года назад +1

    Hako ka dc huwa kabishi sana hakuna asiyekajua hata kuna wakati kaliwavuruga wasanii wenzake

    • @thomassalvatory8303
      @thomassalvatory8303 2 года назад

      watu wanaishi kiukweli wengi wetu tunaishi kwa feelings inawezeka mipaka aliyopewa inaonenya ni eneo lao na hata huyo mzee anasema kibali cha lessen wanaenda kata kwao sasa sijajua jerrry anabisha based on feelings or paper on the records

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 9 месяцев назад

    FIDDA HUSSEIN NI MWIZI NA JAMBAZI WA NYUMBA ZA WANYONGE DAR

  • @masseaali3564
    @masseaali3564 Год назад

    DC anashindwa na MTU asiesoma how to reason

  • @stellamartin5106
    @stellamartin5106 2 года назад

    Kiukweli mbunge umekosea sana kuongea Kwa wananchu eti anaelekea kweli. Umemdharirisha Mkuu wa wilaya. Hayo mambo ya ndani mnamaluza mkija nje wote wamoja. Mkuu wa wilaya anajuwa anachokufanya na sio kumpangia wewe. Nenda ukonga angalia barbara. Unakaa kuongea utopolo tu . Muachie Mkuu wa wilaya afanye kazi yake.

  • @charlesdionisesanguapo7159
    @charlesdionisesanguapo7159 2 года назад

    Huyu jamaa hovyo sana ukwanini ana attack mtu badala ya hoja

  • @willedavson1572
    @willedavson1572 2 года назад

    Kiutaratibu ilipaswa Jery uwasiliane na mwenzako hicho unachofanya ni mihemko....niki ni mtulivu master mind wewe ni mropokaji

  • @cmantz8837
    @cmantz8837 2 года назад

    Mbona kama unamkashifu mheshimiwa DC sasa swala lakuongelea adi fani yake ya mziki ndiyo nini kiongozi bule sana

  • @Michaelfulgence
    @Michaelfulgence Год назад

    Ajaze vifusi mashimo hayo aoni aibu

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 9 месяцев назад

    Nikweri kwenda school sio kuelewa

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 10 месяцев назад

    HAO HAO VIONGOZI WENU WANAPEWA PESA NA WATU , ILI KUPINDUSHA SHERIA.

  • @meshackgerald4032
    @meshackgerald4032 2 года назад +1

    Sas hap pugu kuna stend jaman 😂😂 hapa elewiki kbs

  • @selemanjulius2877
    @selemanjulius2877 2 года назад +1

    Upumbavu tu ndo unawasumbua ,viongozi wahovyo kama wewe

  • @abdulymsafiri6463
    @abdulymsafiri6463 2 года назад

    Mpumpavuu unamkosea kiongoz