TAZAMA: WAZIRI SILAA AMKABIDHI NYUMBA MJANE ALIYEDHULUMIWA, "HII NYUMBA INA MWENYEWE PISHA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 апр 2024

Комментарии • 240

  • @user-fi2im7bt5g
    @user-fi2im7bt5g Месяц назад +63

    Ila uyu mwambaa namkubali sana..Allah akuhifadh wazir wetu...Ameen❤

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 Месяц назад +24

    Waziri Slam Baba tutakulinda kwa ghalama yoyote🎉❤Mungu akutunze akuhepushe na mabaya mwanetu Uendelee hivohivo

  • @digitalworld5577
    @digitalworld5577 День назад +1

    Wallahi machozi yananitoka napoangalia hii clip. Kuna watu ni majizi yanadhulumu mchana kweupe...Mungu amlinde Mh Slaa kwa baraka zake.

  • @user-qp5jh6qy3p
    @user-qp5jh6qy3p Месяц назад +18

    Ushetani una mwisho wake.Waziri big up sana

  • @herberthatibu8439
    @herberthatibu8439 Месяц назад +13

    Mhe. Slaa Mungu aendelee kukulinda na kukubariki kaka, endelea kuwapigania wanyonge kaka kwani matapeli wa ardhi ni wengi sana. Umeamua kujitoa mjhanga kwa ajili ya wanyonge. Nakukubali sana bro

  • @frankrobert9706
    @frankrobert9706 Месяц назад +34

    Hii nchi ingekuwa na mawaziri kumi tu kama hawa tungefika mbali sana

  • @hamismasoud8306
    @hamismasoud8306 5 дней назад +4

    Watu washadhurumiwa sana mjini hapa na hawa watu hongera waziri kwa kazi nzuri

  • @josephpaul2103
    @josephpaul2103 Месяц назад +21

    KATIKA WATU NINAO WAKUBALI NI HUYU WAZIRI KWANZA ANATATUA MIGOGORO KWA UZURI SANA MAMA SAMIA AHSANTE KUTULETEA HUYU WAZIRI .

  • @happinessvuriva922
    @happinessvuriva922 Месяц назад +21

    Waziri nimekupenda sana Mungu akubariki na kukulinda

  • @athumanijuma3085
    @athumanijuma3085 Месяц назад +21

    Huyu Mzee kwanza afungwe kwa kufanya kitu makusudi kabisa

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 Месяц назад +36

    hawa maafisa arithi ndo wanachochea hii migogoro

  • @BibieMakame
    @BibieMakame Месяц назад +24

    Dhuluma mbaya malipo hapahapa duniani

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 Месяц назад +11

    Hongera waziri. Kuna familia nyingi na watoto yatima waliozulumiwa na mijitu kama huyu na vyombo vya haki asilimia kubwa ni hovyo sana

  • @mbwanaabdallahbwadalizo8779
    @mbwanaabdallahbwadalizo8779 Месяц назад +5

    Mungu akujalie maisha marefu kwa kazi nzuri unayoifanya

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 Месяц назад +23

    Waziri slaa weka namba tukuchangie 1000 buku tu watanzania wote uendelee na hilo zoezi

    • @joshuamuro9494
      @joshuamuro9494 Месяц назад

      Kbsaa!!

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 Месяц назад

      haki ya mungu na Mimi nitamchangia yaani Aishi milele

    • @veronicamokiwa4315
      @veronicamokiwa4315 7 дней назад +1

      Tumwombe Mungu ampe ulinzi wa Malaika zake kwa kuwa kuna wenye chuki wataleta wanayoyajua

    • @AshaHaruna-ie2iq
      @AshaHaruna-ie2iq 7 дней назад +1

      Watamlogaa au wa mbambikie kesiii Tanzania hiii

  • @CharlesElias-zh5hz
    @CharlesElias-zh5hz Месяц назад +7

    Hongera sana wazir. Manyang,au wanatuonaga paka tu wanyonge. Mfano mzur ili yeyote akiona clip hii afikirie siku ukifika kwake

  • @hamisikwangaya1911
    @hamisikwangaya1911 13 часов назад

    Asante mheshimiwa waziri mungu akupe afya njema

  • @bilid4128
    @bilid4128 Месяц назад +19

    Huyu wa leo anahisi njaa ,,,yule wa juzi alikuwa analilia miguu imemuishia nguvu anaumwaaa😂😂😂

  • @yusuphibrahim-yq9mv
    @yusuphibrahim-yq9mv Месяц назад +4

    Allahu akulinde waziri

  • @radjabudjuma5542
    @radjabudjuma5542 Час назад

    Wao ndio watumishi wa Mungu Silaa na Makonda awo ndio maa nabii wa kweli

  • @josephminja7953
    @josephminja7953 3 дня назад

    MUNGU akuepushie yote yashar MH silaa🙌💐

  • @mangiclaus
    @mangiclaus Месяц назад +8

    Waziri kwa namna yoyote Ile naomba nikuone ..Mimi ni mfuasi wako mpaka nakuota ndotoni . Nakukubali sana kazi yako. Waziri namba 1 mchapa kazi

  • @LeahMwalwis
    @LeahMwalwis Месяц назад +4

    Wewe ni kiongoz wa kuigwa safi sana

  • @sameeral-ghafri627
    @sameeral-ghafri627 Месяц назад +2

    Simple and clear. Hadi raha tena kwa kinyonge “mpishe kwenye nyumba yake” 🤣🤣🤣

  • @user-uh7to2kw2z
    @user-uh7to2kw2z Месяц назад +5

    Wazili mungu atakulipa 😢mtetezi WA wanyonge 🙏mungu akulinde kila shari nakupenda nakuombea kila siku😭🙏

  • @husseinmkungu1166
    @husseinmkungu1166 Месяц назад +11

    Sema anawakamata utamu mh waziri

    • @swahilifashion2206
      @swahilifashion2206 Месяц назад

      Watanzania hatujui sheria tunatapatapa hasa kwakua dhulma imetushika kwenye nafsi zetu

  • @DominicKani-ri9le
    @DominicKani-ri9le Месяц назад +5

    Desition with action.lkn Mkuu hawa maafisa wadogo na wakubwa ukimpeleleza mzee Massi utakuta kuna vinjema vimekula hela yake kupata nyumba hiyo ndo shida ya hela inawasha utatapeli swa lkn uongozi unabadilika ni swala la muda tuu ikifika thamani ya hela yko haipo tena.😂

  • @user-ii6gs2jg4g
    @user-ii6gs2jg4g Месяц назад +27

    Ila pia mheshimiwa kua makini na watu wa dizain hii kuwapa nafasi kama kukusogelea kwa ukaribu kiasi hiki. Pia kuwapa nafasi ya kwenda ndani peke yao wanaweza kutoka na bunduki au bomu akaamua afe na wewe kua makini mheshimiwa

    • @user-uf6oe3qi6v
      @user-uf6oe3qi6v Месяц назад

      Wazo zuri

    • @stunt_games_
      @stunt_games_ Месяц назад

      @@user-uf6oe3qi6v WELL SAID, Nilihisi angetoka na cha moto!

    • @stunt_games_
      @stunt_games_ Месяц назад

      @@user-uf6oe3qi6v WELL SAID, Nilihisi angetoka na cha moto!

    • @user-ur7pw9ek6s
      @user-ur7pw9ek6s Месяц назад

      🎉🎉🎉🎉

    • @user-ur7pw9ek6s
      @user-ur7pw9ek6s Месяц назад +1

      Hata mie hua ninafiria kwakweli ni hatari sana hapo huyo mzee anaumwa uchungu hauelezeki 😂😂😂

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 Месяц назад

    Allah akulinde kwa kazi unayo ifanya muheshimiwa Waziri. Utapata maadui wengi maadui wadhulumuji. Nakuombea ulinzi na zidisha Dua .

  • @Kinabojokatv
    @Kinabojokatv Месяц назад +3

    Kazi nzuri unayofanya wewe kiongozi imara

  • @goodluckkiget6359
    @goodluckkiget6359 Месяц назад +3

    Safi sana! Mwisho wa dhuluma ni aibu.

  • @kihangaboymsafi3455
    @kihangaboymsafi3455 20 дней назад +1

    Uyu mzeee kilicho mponza ni neno Nina njaaaaaa😅😅😅😅😅

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 Месяц назад +2

    Hongera sana kiongozi.

  • @Emiliachambo
    @Emiliachambo 4 дня назад

    Duh Waziri ana hekima sana

  • @inocentdenis4980
    @inocentdenis4980 Месяц назад +1

    Mawazir wangekua na mahamuzi kama hayo ya kiume tungefika mbali Sana Sana hongera Sana kaka mkubwa .

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Месяц назад +3

    Nakupenda sila

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 3 дня назад

    Dua njema nakuombe A WAZIRI KAZI YAKO NI NGUMU SANAAAA

  • @user-ml5tq8hj2x
    @user-ml5tq8hj2x Месяц назад +11

    Mheshimwa uwe unaenda na maaskari wenye chamoto wasije wakakudhuru hawa watu wenye ulaku wa ardhi hna hawajui vyote vinapita?

  • @mishiabdu7478
    @mishiabdu7478 4 дня назад

    Khongera sn mungu akuweke

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Месяц назад +3

    Silaa tunakupenda sana tunakuombea kwamungu

  • @fadhilikyandofadhilikyando5666
    @fadhilikyandofadhilikyando5666 6 дней назад +1

    Mim napenda sanaa mtu anaye jalii haki ya mtuu bigap sanaa wazilii

  • @drisayaambulatoryvetclinic1514
    @drisayaambulatoryvetclinic1514 Месяц назад

    Mheshimiwa hongera kwa kazi nzuri ,inabidi uongezewe ulinzi na wewe mwenyewe tafuta fulana za kuzuia risasi hii kazi unafanya ni nzuri sana sana inabidi ulindwe kwa gharama zote ni watu wachache sana wasioweza waonea aibu wadhulumishi wa ardhi

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Месяц назад +1

    Mungu amlinde Silaa anafanya mambo ya ibada

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 3 дня назад

    Huyo mzee ataua mtu walahi 😂😂😂 ataua mm nawaambia anaonekana anatamaa sana na hiyo nyumba

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 Месяц назад +1

    Duniani Kuna mapito.. Duniani Kuna Binadamu wanatamaa sana aiseeee!!!!

  • @ecabelmwai3474
    @ecabelmwai3474 Месяц назад +6

    Yaaani wazee wa kichaga sijui wana nini asilimia 90 wanapenda ardhi na dhuluma

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 Месяц назад

      ni matapeli wa kutupwa hata mashetani wanawajua ni Mimi ni mchaga siteti mbali wachaga ni matapeli alafu wanapenda dhuluma sanah akome mbwa huyu

  • @MohamedMkota
    @MohamedMkota Месяц назад +3

    Safii sn

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Месяц назад +2

    Nakupenda sana sila

  • @user-xn8jh1yw1h
    @user-xn8jh1yw1h Месяц назад +2

    Good Job Waziri.

  • @AshaHaruna-ie2iq
    @AshaHaruna-ie2iq 7 дней назад +1

    Mpeni ulinzi wa kiroho mana Tanga hii

  • @user-jt7uv6vu1d
    @user-jt7uv6vu1d Месяц назад +2

    Nakupenda san unatrnnda haki

  • @user-gh6bh2uj4q
    @user-gh6bh2uj4q 5 дней назад

    Waziri naipenda kazi yako

  • @OmaryKaniki-hs5mz
    @OmaryKaniki-hs5mz Месяц назад

    KAZI kazi brother

  • @ChristianMboya-ye4qh
    @ChristianMboya-ye4qh Месяц назад

    Mungu atakulipa kharamaa yako mkuu. Unafanya hakiii pasipo kupendelea na wapuuzi kama huyu mzee ni wengi na wanakataa macho makavuu kabisa kana kwamba wao ndio wenye haki,Tungepata vijana 6 kama tu nchi hii kama silaa ingekuwa tumemsaidia mama sana.
    Hongera mno mheshimiwa.🙏🙏🙏

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 3 дня назад

    Jaman huyo mzee atakufa siku c zake kwa plesha😂

  • @abdullahmbishi3435
    @abdullahmbishi3435 Месяц назад +1

    😂😂😂😂hiii njaa ime kujaje sasa

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n Месяц назад +1

    Mzee janja janja full docoment za kugushi

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Месяц назад +8

    Zee halina aibu,achia mchuma.

  • @SaidiMiraji-lk3vm
    @SaidiMiraji-lk3vm 24 дня назад +1

    Ila we jamaa nikiboko akiamungu we tungepata watu kama kumi hiv aisee nchi ingenyooka

  • @user-xq9dh7hi1x
    @user-xq9dh7hi1x Месяц назад +1

    Waziri jembeeee sana hadi nasikia aman

  • @josephminja7953
    @josephminja7953 3 дня назад

    Haki haki ninzur 😊

  • @user-jp9tf5nw9l
    @user-jp9tf5nw9l Месяц назад +3

    Jamaa jizi kweli

  • @SaidSaid-ef8md
    @SaidSaid-ef8md Месяц назад +2

    Huyu ndo waziri ambae ana sifa hata kua raisi wa nchi kudadadeki. Nyumba sio yako leave or more process see you later. Police inakuhusu ✔️🤷🏾

  • @momylaviel
    @momylaviel Месяц назад

    Huyu baba Mungu amlinde sana

  • @noorhassan8409
    @noorhassan8409 Месяц назад

    Allah akulinde popote ulipo mtenda haki kama mungu.

  • @dominickchristopher1669
    @dominickchristopher1669 Месяц назад +2

    Uyu ni kiongoziiiiiii , wale wengine walalashwa ni ndio mawaziri

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni Месяц назад +1

    Hahahaha kawekwa lupango na pesa zake dunia bwana usijione umefika😂😂😂😂😂

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 Месяц назад +4

    Yaan huyu mzee ukimwangalia kwa mbali na ukimsikiliza utangundua nitapeli hasa ukimsogelea kalibu

  • @user-sm7gj4mn5n
    @user-sm7gj4mn5n Месяц назад

    Waziri mimi sio mnafiki Mungu akubariki kwa haya machache

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 Месяц назад +6

    😂😂😂😂Mzee mmasi kapatikana mzee ni jeuri uyu na nimkorofi,Mungu nimwema mama wawatu kapata haki yake,anasema ataenda wapi siande nguvumali kwenye nyumba ya mke mkubwa au aende kwenye gesti zake barabara ya 9😂😂😂

    • @user-ii6gs2jg4g
      @user-ii6gs2jg4g Месяц назад

      Kumbe unamjua vizuli

    • @marthageorge5043
      @marthageorge5043 Месяц назад +2

      @@user-ii6gs2jg4g Namjua alikuwa bossy wangu nawajua familia yake yote,mzee mkorofi sana uyu🤣🤣

    • @marthageorge5043
      @marthageorge5043 Месяц назад +3

      @@user-ii6gs2jg4g Kamsumbua mama wawatu kila wakati wanaenda mahakamani kwasababu yeye anazo hela uwa anashinda,ila Mungu nimwema mama wawatu ameshinda,kweli haki ya mtu haipotei

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya Месяц назад

      ​@@marthageorge5043👍👍

    • @TunuAdam-gc9rc
      @TunuAdam-gc9rc 5 дней назад

      Duuh kweli Mwenzi Mungu nimwema amepata haki yake.

  • @user-po6nj7hn4w
    @user-po6nj7hn4w Месяц назад +1

    Mm na njaa alafu nimechokaaaa😅

  • @ManuuNgingo-cs3hx
    @ManuuNgingo-cs3hx Месяц назад

    Safi sana wewe ndie kiongozi Bora

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 Месяц назад +2

    Ivi ni kwa nini udhulumu

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 Месяц назад +3

    Mangi kawekwa kati! Mamangi kaeni sawa na Slaa atawamaliza!😂😂😂

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 Месяц назад +1

      😂😂😂😂😂kwel kabisaa

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 Месяц назад +3

    13:06 kuna kitu nimejifunza
    Nihivi
    Matapeli wengi wanajua utaratibu wakufatikia au wanawatu wao wanawapa maelekezo sahihi yakupata hati na tunao tapeliwa tunauelewa mdogo au uoga wataratibu zakupata hati

    • @user-ur7pw9ek6s
      @user-ur7pw9ek6s Месяц назад +1

      Mtu kwenda bank kuchukua hati ya marehemu bila woga na akajimilikisha kama vile yeye ataishi milele ogopa huyo anaeza kukuua kabisaaa 🎉🎉🎉

  • @imanimussa6256
    @imanimussa6256 2 дня назад

    Huyu wazir ni mwanamme kweli kweli hana uoga ata kdg

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 Месяц назад

    Uyu mzee mwizi kbs

  • @EdnaMuro-tx8os
    @EdnaMuro-tx8os 15 часов назад

    Iv jins wazir anasema amemaliza MGOGORO unadhan inakua ivyo kwel ?

  • @neemarosedawson3154
    @neemarosedawson3154 Месяц назад

    Mh. Waziri upewe ulinzi wa Damu ya Yesu

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 Месяц назад

    Huyu waziri mungu ampe nguvu na afya,

  • @mishiabdu7478
    @mishiabdu7478 4 дня назад

    Mm mpia tume dhulimiwa mweheshimiwa na mama wadogo.naitaji msaada wako

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 21 день назад

    SEREKALI ZA ZAMANI MABABU MABIBI VIZEE VYETU VIMEZULUMIWA SANA MPAKA NA VIONGOZI WA SEREKALI WOTE WALIKUA WANAZULUMU KUTUMIA VYEO NA PESA MASIKINI 😢😢😢

  • @jacksonmichael799
    @jacksonmichael799 Месяц назад

    Safiii👏👏👏 team JPM Forever.

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 Месяц назад

    Safi

  • @idybwoytz8485
    @idybwoytz8485 Месяц назад +2

    Daaaah waziriii unakaziii kubwa San so pw 😂😂😂😂😂😂😂

  • @vero57
    @vero57 Месяц назад +2

    KWENYE BIBLE WAMESEMA KUA USIMZULUMU , AU KUMTESA MJANEE

  • @azizimyavilwa8199
    @azizimyavilwa8199 7 дней назад

    Jamaa anajifanya hasikiii

  • @JudithMaziku-os3ws
    @JudithMaziku-os3ws Месяц назад +1

    Hii dunia kunawatu wanaroho mbaya sana

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 3 дня назад

    Machozi ya mtu hayaendi hivi hivi hongera sana .

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 Месяц назад

    Mzee Mmasi na wewe pole lakini mjifunze kuwa dhuluma sio jambo jema. Tanga maeneo ya wazi yapo kanunuwe kiwanga kwa halali ujenge . Msipende vitu vya dhuluma. Dhuluma haina mwisho mwema . Tumuogopeni Mwenyezi Mungu.

  • @katabaroonlinetv9688
    @katabaroonlinetv9688 2 дня назад

    Umeambiwa hama vizuri hutaki mmenza kupelekana polis binadamu bana yafanywayo gizani siku yakikaa kwenye Mwanga unaumbuka vibaya

  • @mwanaidikhamis5430
    @mwanaidikhamis5430 Месяц назад

    Mm naingia you tube kumuangalia Silaa tu

  • @tabiafataki6896
    @tabiafataki6896 Месяц назад +1

    Njaa Tena🤣🤣

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Месяц назад +1

    Kumbe ni mpangaji subukhan llah hee kam mim ninavyo teseka hiv kujenga et mpagaji aje ajimilikishe w mbon nitamumaliza wallah mjinga huyu

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 Месяц назад

    Kazi nzuri muheshimiwa ila hao wasaidizi wako wambie izo fail watafute namna yakuzibeba siyo kwenye mifuko kama hiyo nimaoni yangu

  • @bedsonjohn2051
    @bedsonjohn2051 Месяц назад +2

    Mheshimu na Dodoma

  • @fadhilikyandofadhilikyando5666
    @fadhilikyandofadhilikyando5666 6 дней назад

    Utaenda wapi nyumba yakooo?

  • @thuraiyathuraiya401
    @thuraiyathuraiya401 Месяц назад +2

    Huyu mama asije kuuliwa tu

  • @imaf3st336
    @imaf3st336 Месяц назад

    Nyerere

  • @tumainiellyimo4657
    @tumainiellyimo4657 Месяц назад +1

    Kamshina anataka mzuia mzee asilete hati.Vp hapo?