usinunue, usijenge kwenye kiwanja cha urithi viwanja vya urithi viuzwe serikalini then serikali ndio iuze hivi hivi hawa watu wa urithi wanakuwa na mipango yao ya kudhulumu wengi ukifuatilia kesi nyingi za ardhi au nyumba ni za urithi
Mwisho nalisikia kajaume moja linainua mikono juu likishangilia" Samia oyeee! Sasa samia kafanya nini hapo mpaka unamshangilia alikuepo hapo au? Ifike kipindi tujitambue pia tujali yetu.
Hata Mheshimiwa Wazir Silaa Kamtaja Mama Samia. Sasaw Yeye Kumtaja Rais Wa Nchi Wewe Umekasirika. Sasa Si Mama Samia Kumteuwa Waziri Huyo. Haki Hiyo Ingepatikana.
Askari nyuma ya Dr Slaa anaENJOY mazungumzo, kichwa kinanesa tu 😎
usinunue, usijenge kwenye kiwanja cha urithi viwanja vya urithi viuzwe serikalini then serikali ndio iuze hivi hivi hawa watu wa urithi wanakuwa na mipango yao ya kudhulumu wengi ukifuatilia kesi nyingi za ardhi au nyumba ni za urithi
Mzee unamachok
police nae anarespect kwa kichwa
Mauwa yako mh slaa🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹✌️✌️
Nakuelewa sanaa afande
Silaa udumu Milele
Mgao wa Moja ya saba, kwa tano ya saba, then moja ibaki ina heng...
Mwisho nalisikia kajaume moja linainua mikono juu likishangilia" Samia oyeee! Sasa samia kafanya nini hapo mpaka unamshangilia alikuepo hapo au? Ifike kipindi tujitambue pia tujali yetu.
Hata Mheshimiwa Wazir Silaa Kamtaja Mama Samia. Sasaw Yeye Kumtaja Rais Wa Nchi Wewe Umekasirika. Sasa Si Mama Samia Kumteuwa Waziri Huyo. Haki Hiyo Ingepatikana.
Me nimempenda huyu jama yuko vizuri kutetea wanyonge maskini 😢
Afande Chawa anakubaliana na wewe Waziri! 🤣🤣
Yaani unakula kodi ya jengo zima kwa miaka 25 kariakoo halafu unazawadiwa 1/7 kwa miaka yote hapa duniani
Jery unafraid sana
Haki haizami hata iweje
Awalipe fidia ya miaka 27 iliyokuwa akikusanya kodi
Kwaushauli wangu mm huyo mzulumu musameheni2 Hana chakujieleza atatutia hasira bure
FIDA HUSSEIN NI TAPELI MKUBWA WA ARDHI
Miyaka 26 kawa dhulumu amon wewe sio vizuri huyu mzee haki yake mlipe
Kwakua viongoz wapo kazn basi masikini tusipende kujazachumvi kwa kumkomoa mtu, nyakati zingine ni namnatunavyo dai hakizetu hatuziwasirishi vzr
S.H.amon wewe???? Shame of youuu