WAZIRI SILAA AZUIA UTAPELI WA MABILIONI KARIAKOO | ALIYELIPA BIL 2.25 ILI KUZUIA KUNYANG'ANYWA NA..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 апр 2024
  • WAZIRI SILAA AZUI UTAPELI WA MABILIONI KARIAKOO
    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo na Makazi Mhe. Jerry Silaa amemuelekeza Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Dar es salaam na Msajili wa Hati Dar es salaam kuhakikisha wana mkabidhi hati yake ya umiliki wa ardhi mnunuzi wa awali wa nyumba aliyelipa Shilingi Bilioni 2.25 ili kuzuia kunyang'anywa na muuzaji ambaye amepata mnunuzi mwingine wa Bilioni 4.
    Waziri Silaa ametoa maelekezo hayo ili kuzuia utapeli huo ambao alitaka kufanyiwa mnunuzi huyo wakati Waziri Silaa alipofanya ziara katika Kata ya Kariakoo mara baada ya kupokea malaamiko hayo.
    Aidha, Waziri Silaa alingundua pia muuzaji huyo alileta shahidi wa uongo akidai ni mkewe wakati ni mtalaka wake.
    Waziri Silaa pia amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara yake kuhakikisha yanafanyika marekebisho ya sheria za mikataba ya nyumba ya mwaka 2011.
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 134

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 Месяц назад +14

    Utashangaa kesho kahamishiwa uvuvi hapo ndo mm nitahamia Burundi 🇧🇮

  • @saidramadhan71
    @saidramadhan71 Месяц назад +5

    Waziri wewe ni mtetezi wa wanyonge mwenyezi mungu akulinde.

  • @user-ui5xc6sb5m
    @user-ui5xc6sb5m Месяц назад +10

    Gonga like 30 kwabwana jerry

  • @othmanali7408
    @othmanali7408 Месяц назад +5

    Mzee muogope Mungu kila mgogoro umo dah Rudi kwa Allah .

  • @user-op3lx5ls4k
    @user-op3lx5ls4k Месяц назад +13

    Siraha wewe mungu akuhifadhi akukinge na shari zote za Dunia warehemu wa zee kwako ayafanye makaburi Yao yawe niviwanja vyapeponi wameacha tunda jema Duniani ameen

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy Месяц назад +4

    Waziri Muadilifu ambae hakupata kutokea tokea Nchi imepata Uhuru 👋👋

  • @annamussa185
    @annamussa185 Месяц назад +5

    Huyu Baba asipozeeka huu mwaka sijuwi tu maana anamajukumu yanaumiza vichwa

  • @kimandafukitefu2999
    @kimandafukitefu2999 14 дней назад

    Raha sana kuwa na waziri aliyeisha na watu wa aina wote wahuni na wasomi

  • @HasnutMfuruki
    @HasnutMfuruki Месяц назад +1

    JAMANI MAWAZIRI WETU.TUNAWATIA MUNGU .TUNAWAOMBA.MFANYE KAZI KAMA WAZIRI SILAA.ANAVYOFANYA KAZI.
    MAMA SAMIA.TUNAKUOMBA WATANZANI. MAWAZIRI WOTE.WABADILIKE. KUTENDA HAKI. Wajue nassi tunasomesha watoto wetu.watakuja kuwanyanyasa.wao.amma fsmilia zao.❤.smh.silaa.na mma mungu awe nayiii

  • @ip_header
    @ip_header Месяц назад +11

    Mh. Waziri Slaa Mwenyezi Mungu amzidishie Hekima na Busara.
    Anafanyanya kazi kubwa sana, ataweka alama njema katika mioyo ya watu wengi 🎉🎉🎉

  • @hulukasefu
    @hulukasefu Месяц назад +3

    waziri ufike nahuku wilaya ya chalinze kuna madudu mengi

  • @nyiqatonyiqa7114
    @nyiqatonyiqa7114 Месяц назад +10

    Huyo Mzee ni mwizi wa Miradhi mwanzo na madrassa mwanzo 😮😮😮😮

    • @user-lk3pz6uq6q
      @user-lk3pz6uq6q Месяц назад +2

      Huyu mpuuzi so ndiyo mmoja wa waliotaka kushindwa kutoa nyumba ambayo baba yao alitoa waqfu

    • @salimalesry428
      @salimalesry428 Месяц назад +3

      Huyu ni yule yule wa madrasa Yani anacheza kote kote kumbe hili tapeli

    • @magrethmbangama1199
      @magrethmbangama1199 Месяц назад

      ​@@user-lk3pz6uq6qndo na mimi namuangalia hapa kumbe tapeli hilii dah

    • @abdulsataribashiri8300
      @abdulsataribashiri8300 Месяц назад

      Yeah

    • @omarkhelef7631
      @omarkhelef7631 Месяц назад

      @@user-lk3pz6uq6q Laana ya mungu inamuandama

  • @chrispinrafael3831
    @chrispinrafael3831 Месяц назад +4

    Uko vizuri kiongozi umeonyesha kwamba wewe unamsaidia raisi wetu kwenye migogoro ya ardhi

    • @MACHOYATAI-jk6fu
      @MACHOYATAI-jk6fu Месяц назад

      Hatuna RAISI tunamzululaji tuu shetani msumbufu

  • @alhabibsudi7997
    @alhabibsudi7997 Месяц назад

    Kazi nzuri Mh Waziri Ila huyo ni tapeli ameanzia Kariakoo kuuza nyumba ya Waqfu na bado M Mungu anaendelea kumfedhehesha huyu jambazi weka ndani asionekane Kabisa uraiani maana ataendelea kuumiza watu na haki zao, ingekuwa nipo hapo ningempa kofi moja safi sana la pua

  • @wilsonsigara2969
    @wilsonsigara2969 27 дней назад

    Big Big up wazili yani wewe ni mfano kwa mawazili wengine yani wewe na makonda na Dotto bite ko, na bishungwa mumetisha sana, my God bless you 🙏

  • @badruhote4607
    @badruhote4607 Месяц назад +1

    Waziri Salaa huu uwaziri,sio tu wakuteuliwa na doctor samia bali ni wito kutoka kwa mungu, mungu akupe afya njema,na akupe umri mrefu uwafikie wote wenye changamoto za ardh.🙏

  • @Ushauri235
    @Ushauri235 Месяц назад +3

    Waziri safi sana huyu na wengine wangekuwa hivi tusingekuwa na migogoro

  • @OmarOmar-mu3dk
    @OmarOmar-mu3dk Месяц назад

    Duh! mh:M/mungu akulinde maana katika iman yangu n kua ww unayoifanya n jihadi.ila nna ombi moja kiukwl na huku Zanzibar sis wanyonge tunadhulumiwa sana n wenye uwezo wa kifedha na uwenyeji kwenye mamlaka tutengezeen mazingira ili na sis tuweze kusklizwa maana dhulma iliyipo huku n kubwa tunadhulumiwa cna ardhi zetu.

  • @mehmoodali4509
    @mehmoodali4509 18 дней назад

    We need urgently your help utepli ya familya Dar es salaam properties

  • @user-so9fo5tv3j
    @user-so9fo5tv3j Месяц назад +1

    Isaidie HAKI itande itapakae kila upande (Quran 4:135)

  • @rockyzacharia6947
    @rockyzacharia6947 27 дней назад +1

    Hawa wazee wajanjawanja sana si ndo walio uza nyumba ya baba yao

  • @user-wu2du6jy5c
    @user-wu2du6jy5c Месяц назад +3

    Uyu ndio waziri tunao wataka

  • @brayanjames9953
    @brayanjames9953 Месяц назад +1

    Uyu mzee mwenye mzula i ni mala ya pili ana kutana. Na wazili ana mbaga nyingi. Uyu😅😅😅

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc Месяц назад +2

    Waziri ana moyo kubabake bilioni 4 uyu waziri peponi mana apo anapewa bi moja yake wale bi 2 za mwanzo na bi 1 na kitu 3 izo na mnunuzi wa mwanzo kasharudishiwa chake he 😂

  • @OmarOmar-mu3dk
    @OmarOmar-mu3dk Месяц назад

    Ikiwa mm n mmoja ya walio dhulumiwa nyumba pamoja na kiwanja na bwana mmoja mwenye uwezo hapa dunian

  • @moseshaji1177
    @moseshaji1177 Месяц назад +1

    Waziri please ufike na huku kibaha kata ya kidimu kuna utapeli mkubwa wa ardhi

  • @issaramadhani9141
    @issaramadhani9141 Месяц назад +2

    Ukifatilia migogoro mingi anayotatua mh waziri Slaa unagundua kunamahala watu wenye maamuzi hawatendi au hawafanyi maamuzi ktk hizi kesi ingawa wanaujua ukweli wanapindishapindisha sheria ili hizo kesi ziwanufaishe. Sasa kama hii kesi huyu jamaa hata anachokizungumza unaona kabisa alikuwa na nia ovu na hana hata nguvu ya kisheria kumsumbua huyu mnunuzi ila hela ndio olikuwa inatumika kutaka kupora haki ya huyu mzee. Kwa kweli njaa ya pesa itawatesa wengi nchi hii.

    • @geraldlyimo2859
      @geraldlyimo2859 Месяц назад +1

      Hasa upande wa mahakama wanaminya sana wanyonge

  • @msafirimaulidi5054
    @msafirimaulidi5054 Месяц назад +3

    Akimaliza mm mh anafaa sana kuwa rais

  • @polycarpykavishe9001
    @polycarpykavishe9001 Месяц назад +2

    Huyu mzee wa likofia anaonekana mhuni mzoefu

  • @feisalmwinyi2429
    @feisalmwinyi2429 Месяц назад +1

    Hahahaha Mh huyu si ndo yule alowepo kwenye jumba la mirasi ama sie huyu alokua anagombania nyumba iloekwa kilemba iwe MADRASA kikofia

  • @Josephineexsuper
    @Josephineexsuper Месяц назад +5

    Huyu ni yule mtt wa sheikh Aladini? Ana misala ya majengo

    • @nabilsaid8046
      @nabilsaid8046 Месяц назад +1

      Naona kafanana na yule hii nyumba nyengine au wanazo nyingi 😂

  • @JacksonSeweji
    @JacksonSeweji 16 дней назад

    Mzee uyo kila mgogoro yupo khaaaa😂

  • @frankmlinda1181
    @frankmlinda1181 Месяц назад +1

    Silaaa to me you deserve to be president of my country tanzania.i wish all the best.🎉🎉🎉🎉

  • @abubakarsuleman1983
    @abubakarsuleman1983 Месяц назад +2

    Uyu mzee inaonekana ni mwizi ,kwenye madrasa yumo, kwenye nyumba yumo.

  • @ahmadseaman3487
    @ahmadseaman3487 Месяц назад

    masha Allah
    thanks so much

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 Месяц назад +2

    Anauza nyumba kariakoo bwege huyu si angekula kodi tuu

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 Месяц назад +2

    Waarabu wakuchovya wengi wao nuxi sana akili zao mirungi tu

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb Месяц назад

    Hongera wazuri ungekuwepo kipindi wengine tumezurumika tungepata hakizetu

  • @dr.abdallahngenya9780
    @dr.abdallahngenya9780 Месяц назад +1

    Huyu kaka yake sara mbona migogoro mingi yumo 😂

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 Месяц назад

    Safi sana Slaa.

  • @user-gf1fh2bw4o
    @user-gf1fh2bw4o Месяц назад

    Hongera mheshimiwa Jerry ama hakika unawatendea haki watanzania wanyonge Allah akuepushe na husuda za maadui

  • @HamzaMbasha
    @HamzaMbasha Месяц назад +1

    Huyu mzee ana mambo mengi si ndoo alikuwa na migogoro mingine hapo hapo kariakoo

  • @edithajoseph7675
    @edithajoseph7675 Месяц назад

    Mungu akulinnde waziri

  • @Mwanamkesahihi01
    @Mwanamkesahihi01 Месяц назад +1

    Laana ya madrasa

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 Месяц назад

    Kwa kwell Bunge letu tukufu linahaki ya kukaa kikao cha kupanga hadhabu kali kwa matapeli kama haya

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Месяц назад +11

    Angekuwa lukuvi hapo angehamia kwenye 4

  • @AbuuFarhaan-ri2yj
    @AbuuFarhaan-ri2yj 18 дней назад

    Halafu haka kazee,si ndo kale kaliuza nyumba ya wakfu??

  • @munjy11tutorials
    @munjy11tutorials Месяц назад

    Jamani huyu alotaka apewe milioni 300 si ndio yule yule walouza nyumba ya mirathi wakazuia na madrasa kariakoo?

  • @ahmedseif-cu4ex
    @ahmedseif-cu4ex Месяц назад +1

    Huyu c yule wa nyumba ya waqfu

  • @allyomary2271
    @allyomary2271 Месяц назад +1

    Huyu jamaa si ndiye alikuwa anasimamia mambo ya waqfu pale kariakoo inaonekana huyu jamaa ni mjanja mjanja

  • @nassercurtis9579
    @nassercurtis9579 Месяц назад

    Haka kazee kenye tshirt nyeusi kana ujanja wa zamani sanaaaa, si ndio huyu huyu alieuza nyumba ya marehemu kariakoo wakati marehemu aliacha watoto, hii mpya tena hivi haogopi Mungu huyu hajui nyumba ya milele ni kaburi anatamaa sana dah

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 Месяц назад

    Kila nchi Ina watu ambao wanaweza kurifikisha taifa eneo salama na kwenye uchumi mzuri. Lakini ni wachacge kwenye nchi. Usijinadi kua ummo kwakua haujapimwa. Hata leo hauaminiki kwa watu, ndo utaaminika kwa nchi?

  • @fahadbabuy
    @fahadbabuy Месяц назад +1

    Mbona huyo masharubu alikuwepo kesi ile nyengine ya kariakoo😢😢😢nyumba ya wakf😮😮is this real???

    • @user-lk3pz6uq6q
      @user-lk3pz6uq6q Месяц назад

      Unakumbuka eeeh alikuwa mtatamtata hivihivi

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 Месяц назад +3

    Alafu huyu baba si alikiwepo kwenye ule mzozo wa nyumba yakina she ally huyu anaonekana mjanja mjanja huyu baba

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 Месяц назад

      😂😂😂😂meshangaa

  • @user-wl9lx4fi9q
    @user-wl9lx4fi9q Месяц назад

    Mwanangu mungu akulinde , na ujilinde walimwengu hawapendi haki ikitendeka , umejitoa kwa hali na mali , wazee wa dili wanaumia

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr Месяц назад +3

    Huyu mzee mbona namkumbuka kule ktk lile gogoro la mirathi yenye wasia!?

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Месяц назад +1

    Huyu mzee ndio yule tapeli

  • @silverman6930
    @silverman6930 Месяц назад

    Mara paaaa waziri wa michezo

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu Месяц назад

    Bora hata slaa angekuwa RAISI kuliko huyu mzanzibari mwanamke shetani

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 Месяц назад

    Muongo wewe ulimwacha jamila na kaolewa na raia. Wa dubai ana watoto mume wa dubai

  • @maulidzagu-gb3mc
    @maulidzagu-gb3mc Месяц назад

    Mheshimiwa Jerry slaa unajua ni kwa nini huvaa shati jeupe mara zote ?

  • @KALULUALLI
    @KALULUALLI Месяц назад

    Wazir Jerry rais asikuondowe nafahi hiyo

  • @abumuhammad9615
    @abumuhammad9615 Месяц назад

    2 kwa mwenyewe 2 nifichie

  • @Mwanamkesahihi01
    @Mwanamkesahihi01 Месяц назад

    Mimi nimemjua😂😂😂 kakake sara

  • @XiuKaratu
    @XiuKaratu Месяц назад

    Tony Hussein Jerry Msukuma line up 2025 motomoto

  • @abdulbronzie8609
    @abdulbronzie8609 22 дня назад

    Huyu jamaa sindio wa mali ya waqfu anaongea hatari ni tapeli sio bure

  • @jacobmakono4399
    @jacobmakono4399 Месяц назад

    Waislam mambo ya wake wengi yatawatupa motoni!Mpe Yesu Kristo maisha yenu upewe uwezo wa kushinda dhambi zenu..bila hivyo jehunum inawangoja..haijalishi sura,cheo nk

  • @nehemia397
    @nehemia397 Месяц назад

    huyu mzee janja janja nyingi ....

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr Месяц назад +2

    Huyu mzee hana hata aibu halafu anajiona mjanja. Sijui anajikuta nani kila mgogoro yupo mbele😢😢😢😢😢

    • @ashuraomar4935
      @ashuraomar4935 Месяц назад

      Yupi sasa hapa anaejiona mjanja waziri au huyo anaetaka kumdhumu mtu? Bado sijakupata nifanunulie

    • @elizabethkikoti7265
      @elizabethkikoti7265 Месяц назад +2

      😂😂alievaa kofia ya blue huyo mzee tapeli kweli kila mgogoro wa nyumba kuuzwa yupo

    • @user-lk3pz6uq6q
      @user-lk3pz6uq6q Месяц назад +2

      ​@@ashuraomar4935😅😅😅 ndy nakumbuka ile nyumba ya baba yao nae alikuwa kiherehere

    • @mariamdimosso621
      @mariamdimosso621 Месяц назад

      Dada yao alisema tapeli ana migogoro kibao ndio maana anavyaa kofia kujificha​@@user-lk3pz6uq6q

    • @elizabethkikoti7265
      @elizabethkikoti7265 Месяц назад +1

      🤣🤣🤣 mwizi kweli na slaa kashamjua anachukua pesa za watu cha maana hakuna 😂😂kofia lake kila mgogoro anapenda kuvaa kofia kwenye sakata la baba yao alivaa kofia nyeusi na ni mbishi leo kavaa kofia ya blue mbishi kweli sijui pesa ana peleka wapi kujitafutia laana tu pesa za dhuluma sio nzuri

  • @user-df5mj2ft4w
    @user-df5mj2ft4w Месяц назад

    Ila wazil

  • @user-ui4oh8gf8n
    @user-ui4oh8gf8n Месяц назад +1

    Mwisho wa uongo,aibu😂

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 Месяц назад

    Huyu mh silaa lazima atafutiwe zengwe ili wamkwamishe

  • @pancrasluoga4584
    @pancrasluoga4584 Месяц назад

    Sanaa hizii😂fcm hoye😂😂

  • @victoriambonde8061
    @victoriambonde8061 Месяц назад +1

    uyu sindo yule Alie sema akuna waQfu Kuna sadaka

  • @imranijuma6955
    @imranijuma6955 Месяц назад

    Mwamba kila kona uyu mzee yupo sijui dalali😅

  • @zuwenaharunali
    @zuwenaharunali Месяц назад +1

    Huyu tapel bwna

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Месяц назад

    Huo uso tu inaonyesha ni mwizi

  • @abdillahchikota4303
    @abdillahchikota4303 Месяц назад

    Huyu sindo Yule jamaa au mtt wa Mzee aldini wa kariakoo,,mwizi mkubwa

  • @tobosha3236
    @tobosha3236 Месяц назад +1

    Huyo jamaaa anaonekana n tapeli yani yeye n migogoro ya nyumba tu

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 Месяц назад

    Jamaa anasema waziri mtoto wa mjini hahahahahaha

  • @agustinoezekiel
    @agustinoezekiel Месяц назад

    Sio mzee kipara huyu??

  • @iddihamisi6320
    @iddihamisi6320 Месяц назад

    Waziri tumepata

  • @user-df5mj2ft4w
    @user-df5mj2ft4w Месяц назад

    Elewa frem M2

  • @sajdatomar6025
    @sajdatomar6025 Месяц назад

    Aisee tamaa hizi daah😮

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 Месяц назад +1

    Huku jimbo lake linazama kwenye maji hajui wakati jimbon madaraja hakuna huyu mbunge 0

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 Месяц назад +1

      Huko Endeleeni Simko Wengine Mko Vizuri Huyu Muheshimiwa Mtuachie Kidogo

    • @user-sl1ko9me7u
      @user-sl1ko9me7u Месяц назад

      MBUNGE WENU WA UKONGA MH. WAZIRI ANAFANYA KAZI ILIYOTUKUKA KWA TAIFA LETU...!

    • @dr.abdallahngenya9780
      @dr.abdallahngenya9780 Месяц назад

      Huko pambaneni na madiwani.. kwa maslahi mapana ya taifa anahitajika kwengine

  • @user-hk5mf5jf1d
    @user-hk5mf5jf1d Месяц назад +1

    😂😂😂 Wamechanganyikiwa nadeni Nyamika

  • @froma3732
    @froma3732 Месяц назад

    Halafu tunaambiwa Serekali ilopita nilikuwa ya nyonge lkn hawa nilikuwa mpaka watoe mzigo ndio wamune Waziri Samiha 2030

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward Месяц назад +1

      Hapa suala serikali ipi tujiulize kwa nini raia tumekuwa mumiani kiasi hiki. Nje tunajionyesha kondoo kumbe mbwa mwitu

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni Месяц назад +1

    Weka namba simu hapo waziri slaa nikutumie buku ya soda unapiga kazi sana

  • @thabitally
    @thabitally Месяц назад +2

    Huyu si ndiye Aliyeuza nyumba yao ya urithi Kariakoo yenye Wakfu?

    • @mashejuma2885
      @mashejuma2885 Месяц назад

      Ndio

    • @thabitally
      @thabitally Месяц назад

      @@mashejuma2885, Wallahi mtihani hizi mali hata Aibu hana,
      Ya Allah nakuomba nijaalie subra kama ya huyu mzee aliyetaka kudhulimiwa , Ningekua mimi hapo yaani alivyokubali kweli nimemuuzia,
      Ningemrukia kichwa cha mdomo . Mheshimiwa Unafanya kazi nzuri sana.Hongera.

  • @DayanaSuphian
    @DayanaSuphian Месяц назад +1

    Usitusahau wananchi wako wa Ukonga barabara zetu za ndani ni mbovu sana tena sana na hizi mvua ndo balaa

    • @elizabethkikoti7265
      @elizabethkikoti7265 Месяц назад

      Kashaenda juzi nakaahid kwamba bara bara watajenga so tumuunge mkono kwa juhudi zake

  • @user-ki7hd3lg2q
    @user-ki7hd3lg2q Месяц назад

    Huyu mzee aende jela ni tapeli sana inaonekana ndio ameuza madrasa

  • @nyiqatonyiqa7114
    @nyiqatonyiqa7114 Месяц назад

    Huyo Mzee ni mwizi wa Miradhi mwanzo na madrassa mwanzo 😮😮😮😮