Silaa awasimamisha wapima ardhi wawili Dodoma; aeleza wanavyohonga viongozi viwannja kuficha madudu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 ноя 2023
  • Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amemuagiza Katibu Mkuu Wizara yake, Mhandisi Anthony Sanga kuwasimamisha kazi wapima ardhi Enock Katete na Cleoface Ngoye kwa tuhuma za kuidhinisha na kubadilisha ramani ya eneo linalomilikiwa na Kanisa la Morovian kiwanja namba 1,2 na 3 Block T mtaa wa Itega Jijini Dodoma.
    Waziri Silaa amechukua hatua hiyo Jumatatu, Novemba 27, 2023 jijini Dodoma baada ya kufika eneo la tukio na kujionea hali halisi ya eneo hilo ambalo tayari baadhi ya sehemu zake tayari zimeendelezwa na kuwa na majengo ya kisasa na hivyo kumuagiza Kamishna wa Ardhi wa jiji la Dodoma, Jabiri Singano kuwapa notice ya kuhama eneo hilo wale wote waliomilikishwa eneo hilo kimakosa.
    Aidha Waziri Silaa amebainisha kuwa baadhi ya watendaji sekta ya ardhi wasiokuwa wema wamekuwa wakiwahonga baadhi ya viongozi kwa kuwapa viwanja kama kinga yao mara wanapokutwa na makosa ili hali viongozi hao wanakuwa hawana taarifa kama watendaji hao wana nia ovu.

Комментарии • 31

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 5 месяцев назад +8

    Shikamoo Waziri SLAA, Shikamoo tena na tena Big up sana, Hao watu wa Aridhi kifupi ni WEZI WEZI WEZI WEZI hadi kiama

  • @dollyjohn6811
    @dollyjohn6811 6 месяцев назад +3

    Safi sana waziri wetu MUNGU wa mbinguni akubariki kwa kazi unayoifanya

  • @user-os6sc7is5h
    @user-os6sc7is5h 3 месяца назад +2

    Waziri Akukupenda mungu na wazazi wako na mama wa hiyali samia kwisha Wengine wanafki hao 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 3 месяца назад +3

    Waziri wa mama samia kazi hiendele ❤☝️🤲🙏🙏🙏🙏🙏

  • @deonatusyokta3579
    @deonatusyokta3579 5 месяцев назад +5

    Silaa una chembe chembe za magufuri mw Mungu akubali

  • @user-xn8jh1yw1h
    @user-xn8jh1yw1h 7 дней назад

    Nyoosha Mstari Mheshimiwa! Remmy Ongara alisema..... "Barabara mrefu haikosi kona...." Duh! Sisi wanyonge tulikuwa hatuoni mbele kwa sababu Barabara ilikuwa ndefu na kona kibao!.......God is always Good.

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 6 месяцев назад +2

    Ni kweli hata Mimi nimedhulumiwa kiwanja changu hapo itega BLOC H NO 33, tena nilinyang,anywa Kwa nguvu, na Mtu ameuziwa amejenga nilipojaribu kufuatikia nikatishiwa kupotezwa,,kuuawa, Inauma,

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 5 месяцев назад +2

      Pole sana Haki ya mtu haipotei..Mungu atarudisha kila kitu...enzi za LUKUVI watu walifanya mno uhuni na wizi...SLAA ubarikiwe sana wewe LULU iliyokuwa jalalani..

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 3 дня назад

      Ndo Muda huu ss
      Utapata haki yako

  • @user-xv2sb3ys6z
    @user-xv2sb3ys6z 6 месяцев назад +2

    Majizi Sana Hasa hao wafanyakazi dawa ni kuwafukuza ila uanze na huyo mkurugenzi

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 5 дней назад

    Jerry Slaa- the Magufuli way

  • @bennyinnocent2750
    @bennyinnocent2750 3 месяца назад +4

    HUU MFUMO HAUWEZI KUMALIZA MATATIZO YA ARDHI KWANI MZIZI MKUU NI KUPEANA MADARAKA BILA KUZINGATIA WELEDI

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 3 дня назад

      Mbona watu wengi wamepata haki zao
      Hatuwezi kusuburi mfumo ubadirike,utatukuta
      Tunaomba Arusha Kwa makonda nk....
      Matapeli sugu wenye hela wamenyang'anywa maeneo yamerudi Kwa wahusika

  • @user-kt2mi9zy2j
    @user-kt2mi9zy2j 3 месяца назад +2

    Ko mnaandaa uchaguz au

  • @bennyinnocent2750
    @bennyinnocent2750 3 месяца назад +1

    HALAFU PIA UTENDAJI WA ONE MAN SHOW HAUNA TIJA ENDELEVU, TUTENGENEZE MIFUMO YENYE NIDHAMU ENDELEVU

  • @saidabdillahi8107
    @saidabdillahi8107 3 месяца назад +1

    Utafika mbali kijana sasaki tunaona muheshimiwa Rais allikuwa sahihi kumuondowa yule Lukuvi wengi hatukumuelewa mwanzoni

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 3 месяца назад

    Mafuru ana dhamana na serikali. Lazima.muwatafutie maeneo.mengine

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 Месяц назад

    Hiyo mafuru ni mwizi sana na anapenda honga amewaibia sana huko tanga hata mimi alichukua pesa zangu

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 6 месяцев назад +2

    ILA WALIOUZIWA VIWANJA HAWANA MAKOSA!!
    MAKOSA NI YA SEREKALI KUWAAJIRI NA KUWA KAZI MAFISADI!!

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 3 месяца назад +1

      Kuna siku utasema kosa ni la Mungu kumuumba huyo mtu usitetee hao wezi ukaingiza serikali uwizi ni tabia ya mtu.

  • @chenyakwihela1637
    @chenyakwihela1637 2 месяца назад

    Aisee huyu ndio kiongozi sasa anarithi njia za marehemu magufuli kabisa akiwa waziri wa aridhi daaah slaa piga kazii

  • @allykimu9716
    @allykimu9716 3 месяца назад

    We ni mtu mtu mtu...

  • @user-oh6pc7zd4s
    @user-oh6pc7zd4s 3 месяца назад

    FIDA HUSSEIN NI MWIZI WA WANYONGE ARDHI ZAO NA NYUMDA ZAO DAR

  • @user-oh6pc7zd4s
    @user-oh6pc7zd4s 3 месяца назад

    FIDA HUSSEIN NI BEPARI WA ARDHI MWIZI MKUBWA WA WANYONGE MAJUMBA YA WATU ANADHULUMU

  • @tumainiellyimo4657
    @tumainiellyimo4657 3 месяца назад

    Mh! Waziri u afaa na wizara ho safi wewe kuwepo

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 6 месяцев назад

    KAKA SLAA HONGERA KWA KAZI NZURI MNO!
    LAKINI JICHUNGE NDUGU YETU,HAWA MAFISADI WANANGUVU KUBWA SANA,WASIJE WAKAKUTOA ROHO!!
    MUNGU AKULINDE

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 Месяц назад

    Hiyo mafuru ni mwizi sana na anapenda honga amewaibia sana huko tanga hata mimi alichukua pesa zangu