Tuna mshukuru mama alie kuzaa jaman wanawake wenzangu msitoe mimba mnaona vichwa hivyo je angetolewa akatupwa, Mungu awalinde sana ww na Makonda Mungu amuongezee umri Mama yetu Samia kwa kuwaona vijana mnafaa
Silaa Mungu akubariki kwa busara ulio itumia kwa Mzee kajuna umeonyesha utu hata Mimi nakupongeza maana umeonyesha uwezo wako na huruma zako navilevile Mzee huyu moyo umejaa unyenyekevu
Wewe kinyesi cha nguruwe hasa wakati wa mvua hukijui ,hatufu yake siii mchezo ila kwa vile uko mbali utafulai ,lakini uyo mzee awe makini hao nguruwe atawakosa wote na huyo wazili hato msaiidia kitu ,,,cha msingi awahamishe tu
Mheshimiwa Waziri hongera sana na Mungu Baba akulinde uje na huku Tabata wengine maeneo ya makazi ya watu wamebadilisha matumizi na kujenga shule na viwanda ni makelele tuu mtu akilalamika kuhusu makelele wanamwona mkorofi na matusi juu. Wenye viwanja huwapangisha wengine na siyo wenye viwanja. Kwa kweli Mheshimiwa tunaomba Wizara yako ifanye ukaguzi wa kupitia viwanja hivyo muone jinsi vinavyotumika. Mara nyingi watendaji wa Mitaa na Kata hawatimizi wajibu wao kiuaminifu wanakuwa wagumu kutoa maamuzi sahihi utaona mara nyingi wanawaunga mkono wanaovunja sheria hapo ndipo ninaposhindwa kuelewa sasa tutafika wapi maana hakuna sehemu pa kukimbilia.
Mungu mb'arik sana uyu waziri dogo umpe Longlife slaa..tunataka viongozi hawa.. kujenga taifa n cyo ubavu .. wisdom it's hard to b,, gombea urais 2030 na nakupa urais wa Tanzania 2030 .Makonda wazri mkuu 2025.na makam rais 2030.tundu lisu waziri mkuu.zotto waziri fedha.etc..ni mda tuijenge Tanzania kwa umoja dam changa.. Magufuri yupo hai ndani ya vjana wenye thamana ya nchi
Kiukweli nimependa unyenyekevu wa huyo mzee kuna somo la kujifunza kwake inaonekan ni boss mzuri San kw wafanyakazi wake..Mungu ambariki tuzidi kutenda wema jamani hata kama kw kiasi kidogo
Busara na hekima mingi mingi.....Mwenyezi Mungu akuzidishie hekima ktk kazi zako muheshimiwa waziri....viongozi waelewe kila jambo liamuliwe kulingana na mazingira yake.
@@sakinaomary7207 nadhani hata hazitoshi kugharimia ujenzi wa mabanda na miuondo mbinu ya kutosha hiyo mifugo sio mchezo kwa bajeti ambayo hukuwa na mpango nayo ... tunaijua adha lakini myonge mnyoneni...................
Waziri Slaa yuko makini sana na anatumia haki na sheria. Pia ni pole hatumii kiburi kutatua mambo. Anafaa kuendelea na uwaziri hata katika serikali mpya itakayoongozwa na CHADEMA or any other chama kama itatoka 2025.
Hapo sawa mheshimiwa,aanza saa hii usifukue makaburi utaharibu sifa yako,ulianza vibaya kutaka kufufua makaburi,ila nakupongeza ni kama umesoma upepo ulivyo,huu ndio uongozi bro,sio kuwa harsh na vitu ulivyovikuta
Katika Waziri ambaye Raisi yoyote atakayekuwepo madarakan hatakiwi kufanya kosa la kumtoa ni Jerry Silaa,ana hekima sana huyu mtu,mchapakazi na hana tamaa na hela!
Huyu afisa mpuuzi, ina maana ufugaji ama kilimo siyo biashara? Kasomea wapi huy? Asante waziri kwa kuliona hili. Huo ulikuwa ni wivu tu na wala sio kitu iingine, wanataka biashara yake ikwame!
Muheshimiwa tunakupenda sana kwa utendaji wako,lkn kuna ambao wanakurejesha nyuma wako,hasa kadhia ya pale kariakoo kitalu 8 nyumba no.4 kiwanja no. 10 mtaa wa manyema inakuchafua sana kwayale yanayotendeka pale,Wanasema bila kujali kwamba kauli zako nisiasa
Sasa BAR SI BIASHARA. BASI nyumba nyingi zitafutiwa umiliki maana never music halls nyingi kwenye makazi yenye watoto na familiar wagonjwa hawalaliiii he nazo zitachukuliwa hatuna gani
Ni sehemu nyingi ya makazi ya watu wanafuga hao wanyama katikati ya jamiii inakera saana harufu nyingi ukiwa nyumbani lazima ufunge MILANGO na madishira ukuongea unaonekana una wivu
Huyo Mzee naye ana laaana, anashindwa kufuga mbuzi, ng'ombe au kondoo hadi aamue kufuga laana katika Makazi ya Binadamu. Huyo Waziri naye akili zake hazina akili ana kwenda kutetea laana,wakati huku mitaani watu wanadhulumiwa majumba yao ya halali! Hayo manguruwe hata Yesu mwenyewe aliyalaani kwa kumtoa yule mtu mapepo na kuwatupia nguruwe, na nguruwe wote wakazama mtoni!
@Maneno2023ukishakuwa mji yeye ndio anatakiwa ahame na wala c wakazi coz yy anakiwanja kimoja wakati maeneo yalibaki ni mengi na mji umeshakuwa mkubwa, kunamaenei zamani yalikuwa madampo lkn baada ya mji kukuwa ilibidi yafukiwe kuendane na mjini na dampo kusogea mbele zaidi
Hata maamuzi yetu kwenye uwekezaji kwenye nchi makosa yake ni sawa na hayo hayangalii kizazi kijacho kitaishije kiakili kitechnoloji tumekazana na kupata kodi na ajira,tuwe macho
Huyu ndio kiongozi ambae nimeanza kumkubali mungu akusimamie kwenye haki uweze kuifuata
Tuna mshukuru mama alie kuzaa jaman wanawake wenzangu msitoe mimba mnaona vichwa hivyo je angetolewa akatupwa, Mungu awalinde sana ww na Makonda Mungu amuongezee umri Mama yetu Samia kwa kuwaona vijana mnafaa
Umefanya la mana .ingekua sio vizuri kumnyang'anya kiwanja chake.mungu akulinde
Safi sana, ukimaliza hii kazi wakupe uwaziri wa madini, Alafu waziri Mkuu, makamu wa rais
Hongera sana Mh. Slaaa kwa Hekima kubwa inayoonesha kwenye maamuzi magumu, kuna sehemu nakuona ni muda tu Mungu akubariki sana.
Hingera gani hao nguruwe uyo jamaa awatoe tuu ,kama hawakupuliziwa sumu sijui,,sasa serkar ya eneo husika,,wananchi uyo atahama baada hasara,
safi sana waziri pia mzee anabusara sana mungu mbariki waziri wetu aendelee kuwa na busara kama hizi 🙏☝️
Mzee ana busara kanifanya nmejisikia amani😊
Big up mheshimiwa silaa kazi yako nzuri sana mwenyezi mungu akubariki sana
Silaa Mungu akubariki kwa busara ulio itumia kwa Mzee kajuna umeonyesha utu hata Mimi nakupongeza maana umeonyesha uwezo wako na huruma zako navilevile Mzee huyu moyo umejaa unyenyekevu
Wewe kinyesi cha nguruwe hasa wakati wa mvua hukijui ,hatufu yake siii mchezo ila kwa vile uko mbali utafulai ,lakini uyo mzee awe makini hao nguruwe atawakosa wote na huyo wazili hato msaiidia kitu ,,,cha msingi awahamishe tu
Walio fanikiwa kimaisha wanaonekana wanaroho mbaya kumbe wanapitia mitihani migumu sana🙏🙏🙏🙏
Hakika!
Kweli
Kweli kabisa..
Very humble, Mzee anabusara sana,
mashalllah mungu azidi kumpa afya na hekima zaidi anaubinadamu amempa coice ya kubadilisha biasara haja mfutia hati miliki
Hongera mh.Rais mama yetu Samia umetulelea jembe .mh.Jerry anatumia busara nyingi na hekma Mwenyeeezi Mungu awape maisha marefu
Hekima ya Jerry ni tofauti sana!! Mungu akulinde kiongozi wetu
Asante sana kiongozi, mtu abaki na umiliki wake, atajua la kufanya
Mheshimiwa Waziri hongera sana na Mungu Baba akulinde uje na huku Tabata wengine maeneo ya makazi ya watu wamebadilisha matumizi na kujenga shule na viwanda ni makelele tuu mtu akilalamika kuhusu makelele wanamwona mkorofi na matusi juu. Wenye viwanja huwapangisha wengine na siyo wenye viwanja. Kwa kweli Mheshimiwa tunaomba Wizara yako ifanye ukaguzi wa kupitia viwanja hivyo muone jinsi vinavyotumika. Mara nyingi watendaji wa Mitaa na Kata hawatimizi wajibu wao kiuaminifu wanakuwa wagumu kutoa maamuzi sahihi utaona mara nyingi wanawaunga mkono wanaovunja sheria hapo ndipo ninaposhindwa kuelewa sasa tutafika wapi maana hakuna sehemu pa kukimbilia.
Mungu akulinde waziri. Uschoke kutusaidia wanyonge.
Kiongozi ameonyesha uwezo wake wenye kujali utu lakini pia anazo busara nyingi. Mungu ambariki.
Mungu mb'arik sana uyu waziri dogo umpe Longlife slaa..tunataka viongozi hawa.. kujenga taifa n cyo ubavu .. wisdom it's hard to b,, gombea urais 2030 na nakupa urais wa Tanzania 2030 .Makonda wazri mkuu 2025.na makam rais 2030.tundu lisu waziri mkuu.zotto waziri fedha.etc..ni mda tuijenge Tanzania kwa umoja dam changa.. Magufuri yupo hai ndani ya vjana wenye thamana ya nchi
Waziri Silaa Mungu akubariki kwa kazi yako iliyotukuka na Mungu akuepushe na maadui katika kazi yako unayoifanya kutoa haki za Wa Tanzania
Kiukweli nimependa unyenyekevu wa huyo mzee kuna somo la kujifunza kwake inaonekan ni boss mzuri San kw wafanyakazi wake..Mungu ambariki tuzidi kutenda wema jamani hata kama kw kiasi kidogo
Mzee Ana busara wazir Ana busara ndomana muafaka umekuwa mzr.
mheshimiwa silaa nimekukubali sana karibu nadodoma tunazulumika nahatuna pakukimbilia njoo utusaidie ndanci tunashida sana namigogoro yaaridhi
Mzee kakiri kosa japo alifanya makosa, waziri muungwana sana tena sana, kwa hii familia wote kura kwa mama samia❤
WAZIRI SLAA! WEWE MUNGU AKUJAALIE KUTENDA HAKI. HAKIKA WEWE NIKIELELEZO CHA KIONGOZI BORA. SIO BORA KIONGOZI. MUNGU AKUPE AFYA In Shaa Allah.
Waziri hongera sana kwa msimamo wako , karibu yambo vituka mzambarauni Temeke kuna kiwanda kimejengwa kwenye makazi ya watu tunakuomba mheshimiwa.
Hekima za ajabu kabisa,,, Sasa jamani mama tuachie huyu kwenye ardhi jmnii, huku kwenye ardhi inahitaJika mtu wa namna hiii,, hongera Sana HON JS
Saiv huyu jamaa ndo icon yangu
huyu mwenye koti jeusi kafanana na Waziri, atakuwa ndugu yake ila WAZIRI YOU ARE THE GREAT
Wamefanana vichwa makomwe wapo vzr
Tangu tumekua na mawaziri huyu ndio waziri niliyemkubali na ninakupa nyota 5 waziri slaaa
Kbsaa
Busara na hekima mingi mingi.....Mwenyezi Mungu akuzidishie hekima ktk kazi zako muheshimiwa waziri....viongozi waelewe kila jambo liamuliwe kulingana na mazingira yake.
Kazi nzuri ngeshimiwa
90 days is reasonable. 30 days sio fair hata kama kakiuka mkataba but ni mfanya biashara mzuri
Hujui kitu
ungeishi karibu na hiyo harufu usingesema hivyo
@@sakinaomary7207 nadhani hata hazitoshi kugharimia ujenzi wa mabanda na miuondo mbinu ya kutosha hiyo mifugo sio mchezo kwa bajeti ambayo hukuwa na mpango nayo ... tunaijua adha lakini myonge mnyoneni...................
umelszimishwa kuishi hapo? kama unaona busara za waziri hazifai basi hama wewe, msitusumbue na mambo ya udini@@sakinaomary7207
Hongera sana MH Jerry slaaa yaani inaboa hata mbezi Luis watu wanafuga mikuku sehemu zenyewe ndugo yaani magonjwa kila siku
Nguruwe ni watamu sana jamani tuacheni utani
Kwenye makaz ya watu ni mateso wallahi
Watamu ww acha mateso kila mtu anauhuru wa eneo lake
Kwakweli kwenye makazi ya watu n mateso sana kelele na harufu acha kabisa lakini nyama yake sasa ule sio utamu weee
haram. faida yake ukishakufa
Makafari wanakula nguruwe
Asante doctor slaaaa
Wa kwanzaaa nipeni like
Huyu waziri namuombea MUNGU ajekuwa hata Raisi kumbe viongozi Bado tunao🙏👍
Yaani Nami naamini hivyo, WAPO, WAPO, WAPO.
HUYU JAMAA AKIENDELEA HIVI, ATAFIKA MBALI KIUONGOZI
Unakuta kajirani kanakereka mwenzie kupata maokoto kenyewe kana mbuzi mbili
Nini mbuzi pengine kana paka shume jeusiiii
@@desolz3809😂😂😂😂😂eti kana paka shume jeusi
@@JennyJma 🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Kweli kabisa
Rais Samia Anajua watu wanaoweza ndio maana akamteua Mbobezi J. Slaa. Mama Samia you're the best president
Waziri wa namna hii ni nadra sana nchi.Jambo limeisha kirahisi tu.HEKIMA tu.
Pana udini hapo ubalikiwe sraa uko vizuri mawazili igeni hii
Fafanua udini gani???
Very diplomatic 👏👏👏
Yani Jerry nimejikuta nampenda kwa ungwana wake yani kazi yake ansitendea haki kwakweli
Huyo wazir ndie alikuwa ahitajika tangus siku nyingi Mungu akubariki wazir . Ameonyesha njia hata kwengine
Jerry unaongea kaka kwa makini kweli nakupenda sana yaani wewe umesoma kweri jimbo lako limepatia sasa
Tunao mkubali Waziri slaa gonga like hapa🎉🎉🎉❤
Kama tatizo harufu hata hapa mazizini harufu mbaya sana aseey pande za Dar salamu mliangalie ngozi zinatema sana aseey hamulioni dah😢😢😢
Harufu ni tattoo lkn kubwa ni kuwa Sehemu sio ya kufuga mtu anakosa hlf Sheria ikiamua unasema umeonewa
MAMA SAMIA ASIKUBADILISHE KABISA.
Waziri Slaa yuko makini sana na anatumia haki na sheria. Pia ni pole hatumii kiburi kutatua mambo. Anafaa kuendelea na uwaziri hata katika serikali mpya itakayoongozwa na CHADEMA or any other chama kama itatoka 2025.
Hapo sawa mheshimiwa,aanza saa hii usifukue makaburi utaharibu sifa yako,ulianza vibaya kutaka kufufua makaburi,ila nakupongeza ni kama umesoma upepo ulivyo,huu ndio uongozi bro,sio kuwa harsh na vitu ulivyovikuta
Huyu mtumishi wa serikali anaetoa maelezo anaonekana anawivu tuu😅😅😅 udini😅😅
Katika Waziri ambaye Raisi yoyote atakayekuwepo madarakan hatakiwi kufanya kosa la kumtoa ni Jerry Silaa,ana hekima sana huyu mtu,mchapakazi na hana tamaa na hela!
Huyu afisa mpuuzi, ina maana ufugaji ama kilimo siyo biashara? Kasomea wapi huy? Asante waziri kwa kuliona hili. Huo ulikuwa ni wivu tu na wala sio kitu iingine, wanataka biashara yake ikwame!
Tukipata watu 100 kama silaa na 100 kama makonda basi tutanyooka zaidi ya rula!
Viongozi kama hawa ni wachache sana Tanzania, endelea mkuu, Mungu ndo peke take atakayekulipa
Barikiwa mh
Mbunge wangu na Waziri Mungu aendelee kukutunza na kukuongoza Amina
Ila kiukweli nguruwe na hata kuku wengi wa biashara wana harufu mbaya sana.
Awapeleke mbali tu huko
Mungu akubariki
Safi sana nyote mmeongea kwa Busara sana
Bila shaka we ndo waziri pekee wananchi wanaoona unachokifanya
Sijui uzazi bado ninao nibahatishe kuzaa uenda nikapata mtoto wa kiume nimuite jerry
Machinjio nazo zikae kando na makazi maana harufu mbaya sana aseey
Waziri Silaa ana utu ni muungwana
Aweke chokaa kwenye mabanda harufu itaisha. Wivu tuu mnataka akaibe?? Kila mtu afuge nguruwe bana. Alaa!!!
Kuda kudo mnama
Umeongea kama watu mia
Utajiri simchezo nivita kubwa
Muheshimiwa tunakupenda sana kwa utendaji wako,lkn kuna ambao wanakurejesha nyuma wako,hasa kadhia ya pale kariakoo kitalu 8 nyumba no.4 kiwanja no. 10 mtaa wa manyema inakuchafua sana kwayale yanayotendeka pale,Wanasema bila kujali kwamba kauli zako nisiasa
nguruwe hawana muda wanainjo tuu kwa raha zao
😂😂sio shida zao
Safi sana Waziri wapo wengi kama hao apeleke polini huko
Kazi iendelee
Mimi nak uombea tu uishi miaka 10000😊
Mm ninajilani yangu alikuwa ananguruwe wawili tu walikuwa nishida asikwambie mtu tena kama kipindi cha mvua nihatari
Huyu slaa huyu ni kiongozi kwelikweli
Lugha ya taifa kiswahili hati ni ya kingereza
Lugha ya kingereza bado ni lugha ya kiutendaji serikalini, sheria nyingi na nyaraka nyingi bado zimeandikwa kingereza
Nchi yetu popote tunaishi ujirani mzina baa utasikia mtaa ule umechangamka😂😂😂😂
😅😅😅kabisaa
Sasa BAR SI BIASHARA. BASI nyumba nyingi zitafutiwa umiliki maana never music halls nyingi kwenye makazi yenye watoto na familiar wagonjwa hawalaliiii he nazo zitachukuliwa hatuna gani
Ni sehemu nyingi ya makazi ya watu wanafuga hao wanyama katikati ya jamiii inakera saana harufu nyingi ukiwa nyumbani lazima ufunge MILANGO na madishira ukuongea unaonekana una wivu
Ivo kwenye ufugaji kibari Chann. Mimi. Sijui chochote
Tulia bac
Anafuga vipenzi vyetu ndio maana msamaha umetoka Kwa udhamini wa ndizi rost😂
Zitungwe sheliya huu ni sawa na ubakaji
Moja ya Waziri nayemkubali kwa Sasa asaidie watu
Huyu mzee ni msstaarab na mnyenyekevu
Mfugaji anahitaji msaada wa namna ya kufuga nguruwe bila kutoa harufu akijenga mabanda ya kisasa na njia sahihi ya kuosha mabanda harufu itaisha
Na kelele nazo,tuelekeze pia njia za kuondoa kelele.
List ya viongozi wangu hyu wa pili wakwanza majaliwa wapili silaa
Kweli kabisa
Huyo Mzee naye ana laaana, anashindwa kufuga mbuzi, ng'ombe au kondoo hadi aamue kufuga laana katika Makazi ya Binadamu. Huyo Waziri naye akili zake hazina akili ana kwenda kutetea laana,wakati huku mitaani watu wanadhulumiwa majumba yao ya halali! Hayo manguruwe hata Yesu mwenyewe aliyalaani kwa kumtoa yule mtu mapepo na kuwatupia nguruwe, na nguruwe wote wakazama mtoni!
Una laan wewe unaemshutumu binadamu mwenzio muombe Mungu akusamehe
Msaada no ya waziri
Mheshimiwa slaa naomba uje kiwalani kwa dingu kzna watu wameweka.
kanisa katikati ya kiwanja cha makazi kelele masaa yote watoto hawalali
Tusaidie maana kuna baadhi ya makanisa yako sehemu sio sahihi yanatupigia Sana kelele.
Nimefurahisana mh waziri Kwa hatua uliyochukua, ubarikiwe Kwa hekima uliyotumia.
SHERIA Z NCHI HAZIRUHUSU UFUGAJI MIJINI.
@Maneno2023ukishakuwa mji yeye ndio anatakiwa ahame na wala c wakazi coz yy anakiwanja kimoja wakati maeneo yalibaki ni mengi na mji umeshakuwa mkubwa, kunamaenei zamani yalikuwa madampo lkn baada ya mji kukuwa ilibidi yafukiwe kuendane na mjini na dampo kusogea mbele zaidi
@Maneno2023 kariakoo pale big bon.mtu aweke zizi la ng'ombe mia 500
Kama tungekuwa na mawaziri wa namna hii nchi ingesongambele sana
Waziri Bora Tanzania
Hata maamuzi yetu kwenye uwekezaji kwenye nchi makosa yake ni sawa na hayo hayangalii kizazi kijacho kitaishije kiakili kitechnoloji tumekazana na kupata kodi na ajira,tuwe macho
Ukweri nguruwe wanakera jamani
KUNA WATU WNAAJENGA MAKANISA KTK MAKAZI, Wanageuza Majumba Yao Makanisa Tunaomba Uvunje hizo KANISA zinaKera Kinoma
Safi muheshimiwa hiyo haitoshi itungwe Sheria yakuwasfirisha usiku maana hayomavitu yanaharufu mbaya sana yakipitishwa na magari mijini
FIDDA HUSSEIN NI MWIZI NA TAPELI WA NYUMBA ZA WATU
Kwakweli Ngulume hapaswi kukataa la na watu.wananuka.
Safi sana Kaka silaa