BINTI FORM 4 AACHA BARUA YENYE UJUMBE MZITO 'SOMA PEKE YAKO' - ATOROKA -FAMILIA YAHANGAIKA KUMTAFUTA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 апр 2024
  • BINTI FORM 4 AACHA BARUA YENYE UJUMBE MZITO 'SOMA PEKE YAKO' - ATOROKA -FAMILIA YAHANGAIKA KUMTAFUTA
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 163

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 месяца назад +2

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @user-mv2ou6jw7p
    @user-mv2ou6jw7p 2 месяца назад +32

    Mtoto wa mwenzio kazi sana kumlea,kila unacho fanya kibaya kwao yani mimi kilanga koma sirudii tena

  • @totonata5384
    @totonata5384 2 месяца назад +16

    Huyu mama ana upeo wa mbali. She is very smart.

  • @user-me5qu5kw4u
    @user-me5qu5kw4u 2 месяца назад +16

    18yrs anajuwa anachofanya kabisa tena keshachezwa mwali atarudi akisha jifungua

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 2 месяца назад

      😂😂😂😂 kwani anamimba

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 2 месяца назад +18

    Mm huyu mm mlezi ananiumiza sana maana anaonekana kabisa alitaka kumpa mafundisho mema❤❤❤

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 2 месяца назад +32

    Huyo mama anaonekana ni mwema sana sema kulea mtt wa mtu ni kaz sana

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 2 месяца назад +4

      yaani mama mlezi ni mzuri mno jamani ana moyo wa utu kumlea mtoto Miaka mitatu mpaka form four

    • @amoonatnzani9834
      @amoonatnzani9834 2 месяца назад +2

      Maana kumlea mtoto wa mtu kuanzia miaka mi 3 mpaka unakua mkubwa si mchezo

    • @EddahBure-te7ft
      @EddahBure-te7ft 2 месяца назад +2

      Me ndo man najikatalia, akuh..

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 2 месяца назад +1

      ​@@josephineokama2200yaani picha inayo onekana huyo mtoto ni mshenzi mno kiburi mno mungu atamzalilisha mno na yeye ni mwanamke atakuwa yatamkuta naye, mtoto shetani huyo mwacheni akatobwe mtaani Ili yakishamkuta ndio atatulia

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 2 месяца назад

      @@ziadasalimu1730 alafu mama yake pia ni boya mtoto anamuuliza ulikua wapi anasema kakuta mama hayupo kalala kwa jirani yaani Mimi nguu wangu mguu wake mpka kwa jirani na viboko analamba eti mama akaridhika tu akatulia jamani

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 месяца назад +7

    Zari ushungi umekupendeza mashaallah 💕👍

  • @joshuac.mashida1378
    @joshuac.mashida1378 2 месяца назад +7

    Anajiona amekua angekua amateswa angefikia umri alionao hanashukrani aende zake katafute maisha yake asichonganishe wazazi

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 2 месяца назад

      Mtoto huyo shetani kabisa Malaya huyo mtoto Tena jeuri huyo kukaa na mtu hawezi

  • @happybryce1269
    @happybryce1269 2 месяца назад +15

    Awa watoto wa wanawake wengne ukiishi nao hata uwabebe mgongon utaonekana mgongo wako una misumari. Ata uwapende vip awa watoto utaonekana tu huwapendi. ivyo kila mama akiona mama wa kambo awez ishi na mtoto wake bas kwann mama umwache mtoto kwa mama mwingne??? pambana na mwanao

    • @sleeprelaxation8431
      @sleeprelaxation8431 2 месяца назад +7

      sio watoto wote, nime lelewa na mama yangu wa kambo, yule mwanamke ni zaidi ya mama alie nizaa.

    • @shamzone388
      @shamzone388 2 месяца назад +5

      Kweli tumelelewa na mama yetu wa kambo lakini mungu amrehem….. alikuwa ni mtu mzuri sana mungu amrehem amjalie jannat firdous ulya…. Allahuma ami.

    • @happybryce1269
      @happybryce1269 2 месяца назад

      @@shamzone388 mi pia namshukuru sana nilikaaa nae kwa kutulia na baada ya kumfaham tu baba angu nilimomba mama nikakae kwa baba na nikipendwa kama wanae had naolewa nimetoka kwa mama wa kambo. na wote walikuja harusin nikawatambulisha kama mama zangu

  • @gracemsaki1561
    @gracemsaki1561 2 месяца назад +7

    Sari vip mambo yule dd wa zanzibar aliezaa na mzungu kesi vip asant

  • @mamasalhat
    @mamasalhat 2 месяца назад +4

    Angekua mama muhongo basi alivyo ulizwa sofi ana boyfriend angesema ndio mladi kumkandia mtoto ila huyu mama kakataaa kasema hajui huyu dada anaonekana mtu poa sana tena sana mtoto wa miaka 3 kamlea mbaka 18 si mchezo

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 2 месяца назад +6

    Mama anaonekana hakuwa na shida maskini

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 2 месяца назад +7

    Zari kumbe mzuri
    Unapendeza ukiwa ivyo ulivyovaa

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 2 месяца назад +1

      Kapendeza sana sio akiwa anaweka kichwa wazi

  • @gracebrenda1199
    @gracebrenda1199 2 месяца назад +5

    dah wazaz wanasababisha matatizo sana ya kifamilia .kuachana kubaya sana

  • @khamisjina8833
    @khamisjina8833 2 месяца назад

    Daaah, da Zari nimekupenda bure ulivyo jistiri MashaaAllah🙏🙏🙏

  • @user-vm5go5jy3x
    @user-vm5go5jy3x 2 месяца назад +5

    Kweli sauti inazingua.

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 2 месяца назад +20

    Na kina sophy tuna shida jamani?haya majina mlitupa ya nini?

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 2 месяца назад +1

      Pole kipenz usiseme hivyo Mungu atakuvusha

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 2 месяца назад +1

      Sio uwongo ni kweli mna mitihani sana

    • @user-bt3wt6nt4z
      @user-bt3wt6nt4z 2 месяца назад

      Hayo majina yanalaan

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 месяца назад

      ​@@fatmaally7252
      Sema wewe wajina

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 2 месяца назад +12

    Acha nikae na mwanangu nitakacho kula mimi nayeye atakula

    • @happybryce1269
      @happybryce1269 2 месяца назад +4

      ndo inatakiwa ivyo unampa mwanamke mwingne mtoto akulelee wewe ukiwa wap

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 2 месяца назад

      Yani ni mtihani mkubwa wallah

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya 2 месяца назад

      Kabisa wajina ​@@happybryce1269

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 2 месяца назад +1

    Dada kanyosha maelezo fresh kabisa

  • @janethdavid1026
    @janethdavid1026 19 дней назад

    Kulea mtoto wa mtu nikazi hata uwe nwema kiasi Gani Bado watasema unamtesa Bora ukae na wanao😢

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 месяца назад +1

    Mhhh aise bint Hawa wanamitian Sana huyu mama malez Ni MTU powa sana SEMA kivumbi huyo mtoto

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 месяца назад +2

    Huyu mama wa kambo anamapungufu yke , na katoto ndio kanamapungufu zaidi . mm na mama yangu wa kambo niliona kanizidi mapungufu nikagundua siwezani nikamkataa , nikajifunza kuishi kivyangu ni miaka sasa na ananitegemea saa hii na tupo sawa tu hamna tatzo nikiwa fresh namcheki nikiwa pabaya namwambia next time.

  • @attunelson8828
    @attunelson8828 2 месяца назад +1

    Mtoto hata akosee vipi usimnyime chakula,mama ninakuelewa sana ila hiyo adhabu ya kuwanyima chakula cha mchana ulikosea.

  • @SofiaJumbe-px7sg
    @SofiaJumbe-px7sg 2 месяца назад +3

    Huyo mama Hana shida shida mtoto

  • @dianamollel7839
    @dianamollel7839 2 месяца назад +1

    Huyo ni mpuuzi kabisa hana ata shukran

  • @rehemaadam4102
    @rehemaadam4102 2 месяца назад +1

    Mmh!! Kutowapa chakula watoto kwa ajili ya deni hii sio poa

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 месяца назад +1

    Mama wa kambo ni mzuri tu MAMA mzazi anapotosha bint yake.

  • @esterabonga7947
    @esterabonga7947 2 месяца назад +2

    Hawa watoto wakulea wana vituko sana . Ukimlea vizuri anakuwa na mambo ya ajabu ajabu na ukiwa namtesa kanakuwa kapole Sijuwi wanataka nini

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 2 месяца назад +1

    Hapana kwakweli kulea mtoto wa mwingine ni kazi sana.

  • @daudymlauletv8489
    @daudymlauletv8489 2 месяца назад +1

    Kwenye maelezo tu Sofia anaonekana amebeba ujauzito ndio maana hataki shule
    Mbili mama yake mzazi anayajua mahusiano aliyonayo Sofia
    Tatu huyo mtoto anahalibiwa na mama yake

  • @rahmakawtharylupande6972
    @rahmakawtharylupande6972 2 месяца назад +1

    Kama mmemcheza unyago ameenda kufanya practical.😂😂😂😂 Yupo anaikeshea huko.

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 2 месяца назад

    Mmmhhh kazi iendelee

  • @sauda4505
    @sauda4505 2 месяца назад +3

    Huyu mwanamke aongea hamezi mate heeeeee

  • @user-ml5tq8hj2x
    @user-ml5tq8hj2x 2 месяца назад +1

    Mama mzazi ndio mshenzi wa washenzi ndio maana aliachwa na huyo baba ni mshenzi wa tabia kuna mawanawake hayafai ni makurumbembe na mtoto litabia la mamake haloo ningemnyuka akae sawa pumbavu

  • @user-ft2vq5on6l
    @user-ft2vq5on6l 2 месяца назад +3

    Lkn jamani kisaikolojia tu huyu mama anaonekana wamo na Ana mdomo wa kutosha tena anaonekana anasema uongo kujitetea tu hasemi ukweli

    • @Chakol682
      @Chakol682 2 месяца назад +4

      Kama unajua ukweli ita wakuhoji

  • @COMPASSIONMEDIA
    @COMPASSIONMEDIA 2 месяца назад +1

    WakinaSophy wanashida sana

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n 2 месяца назад +4

    Watoto wengi wakike ni wapuuzi hawaleleki mi mtu akinambia anamtoto ndo kashanikosa

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 2 месяца назад +1

      Kwahiyo kama anamtoto akufiche aseme Hana mtoto? Jaribu kuwaza vizur

  • @angelamgale3228
    @angelamgale3228 2 месяца назад +3

    Mama wa Kambo Maneno Mengi sana ni shida

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 2 месяца назад +1

    Age yake anayo yafanya ni sawa kabisaaa,Dunia itamfundisha

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 2 месяца назад

    Ila baazi ya watoto wa kike wakianza kubarehe wanatabia za ajabu Kuna mtoto wa mjomba angu yaani alikua anamfanyia jeuli mpaka mama ake mzazi ukaangaka kapata mimba katulia Sasa analea shenzi

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 2 месяца назад +1

    Mwananmke ukiachwa hachika yaani maanayake beba watoto wako wakumbatie naukubali matokeo jamani cha tuu nilee watoto wangu mwenyewe ili kuepusha lawama na matatizo

  • @user-ml5tq8hj2x
    @user-ml5tq8hj2x 2 месяца назад

    Angachagua moja nanyuka au aende kwa mamake bint kama huyo akiishi maisha aliichagua ni hasara ya wazazi sio wa kumuendekeza leeni kimayai ila mnalea mabomu yatakakayokuja kuwaangamiza😂

  • @hamidajabu3324
    @hamidajabu3324 2 месяца назад +2

    Mm nimelelewa na wamama wakambo kiukwel uyu mama ni hapana tena anavyoongea amenifanya nimkumbuke mamaangu wakambo mmoja ivi yn yupo km uyu alikua ana roho km ya huyu mm bana nawachukia wamama wa kambo kishenz yan uyu sijampenda ni muongo tu anaonekana anatunga 😏😏sisi tuliolelewa na wamama wakambo ndo tunaelewa kwakwel mxiiiiuuuu

  • @lilianwaflotina1288
    @lilianwaflotina1288 2 месяца назад +3

    Mmezingua upande wa sauti

  • @angelamgale3228
    @angelamgale3228 2 месяца назад

    Mama Shida, Mtoto Shida

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 месяца назад

    Huyo kapata Bwana sisi tuliosoma Cuba tunaelewa.

  • @victoremanuel29
    @victoremanuel29 2 месяца назад +1

    Chezea pratiko wew

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 2 месяца назад

    Na msikitikia nje huko kuna vijana wana upwiru ukikosea akikosea step atarudi na kibendi😢😢😢

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 2 месяца назад

    Zari umependeza sana. Pia mama mlezi yuko vzr ki busara.hakuwa na ubaya kwa sophi.basi tu mtoto wa mwenzio habebeki hata umbebeje. Mama mzazi atakua anajua mwanae alipo hii ni njama ya kumkomoa mama mlezi na baba sophi.

    • @MariamTufi-iv5vx
      @MariamTufi-iv5vx 2 месяца назад

      Ungemsubiri babake arudi ndio be mimgukuxe

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n 2 месяца назад +1

    Tatizo ni mamake mzazi amtafute malaya mwenzie

  • @humaidalnaamani7859
    @humaidalnaamani7859 2 месяца назад

    Yuyo sophia kisha ujua ukubwa mwenyekuonja asali huchonga mzinga wamuache andelee na maisha yake anayo ya hitaji shule kisha ishindwa

  • @gracemsaki1561
    @gracemsaki1561 2 месяца назад +1

    Sharifa na Rose vio sari? 😊

  • @barakambisecr
    @barakambisecr 2 месяца назад +1

    Mbna hamsikikiiii kampuni kubwa hvo

  • @nellyfrancis7433
    @nellyfrancis7433 2 месяца назад

    Duh

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 2 месяца назад +4

    sema kama mtoto sio wako kila anachokifanya ni kosa, mbona wakwako husemi, kwamba wako hajawah kukukosea😢

    • @claudiajames2003
      @claudiajames2003 2 месяца назад

      Hapo sasa

    • @salmasaidy87
      @salmasaidy87 2 месяца назад

      Anamsema sophia tu hapo ni kwenye camera ila mama nae anaongea sana hatuwezi jua ila angepatikana na sophia tungejua ukweli

  • @user-jz2su4co4d
    @user-jz2su4co4d 2 месяца назад +1

    Umenikumbusha kelezange na misitu zimepakana nilisoma hiyo shule

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 2 месяца назад

    Yaani ukiishi na mbwa ni shida sn.

  • @upendomumba4827
    @upendomumba4827 2 месяца назад

    Kuishi na mtoto wa mtu yataka moyo wazazi jitahidi kulea watoto wenu wenyewe kuepusha lawama mimi siwezi kwa yaliyonikuta

  • @Chakol682
    @Chakol682 2 месяца назад

    Mwacheni huyo sofi akikua ataelewa yan dunia ya sasa bila mateso kuvumilia tu kila jambo na wakat wake siku mamake akifa huyo malezi atabaki kuwa mlez wake tu haina kukumbia

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 2 месяца назад +1

    Staki mwanaume mwenye watoto 😂😂😂

    • @Chakol682
      @Chakol682 2 месяца назад

      Unachekesha omba mungu ukiolewa usiachike maana nao wanasema hawataki mlozaa

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 2 месяца назад

    Watoto wa kambo kuwalea kwake uwe na moyo hata akinya kwenye sahani inabidi uridhike tu ukisema umwambie ukweli anakutangazia ubaya

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 2 месяца назад +2

    Mtoto wa mtu sikio la mbwa

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 месяца назад +1

    Soma barua wewe usiongee mambo ya kichwani mwako eboo...... Kama huna habari kausha hatutaki porojo na maandiko unayo mikononi

  • @gracemsaki1561
    @gracemsaki1561 2 месяца назад +1

    Yule sharfa ip ile kesi yake na yule dd wa kisambaa?

  • @elizabethbwakila3982
    @elizabethbwakila3982 2 месяца назад

    Mruguru plus mzaramo😂😂😂 weeeee patamu hapo

  • @angelinamwakilufi8881
    @angelinamwakilufi8881 2 месяца назад

    Huyu dada hajamtesa huyu mtoto, huyu binti ni jeuri na mama yake mzazi hajawajibika kulea mwanae na kuwaachia watu lawama

  • @halimarahma7450
    @halimarahma7450 2 месяца назад +1

    Kulea mtoto wa mtu puuuu

  • @user-jz2su4co4d
    @user-jz2su4co4d 2 месяца назад

    Yupo kwa jamaa

  • @Ambeniwatano
    @Ambeniwatano 2 месяца назад +2

    Haya nayo ni magazijuto ( ) / * + - = 👪👪👪👪👪👪👪👪👪👪👪👪👪

  • @victorianganyagwa2467
    @victorianganyagwa2467 2 месяца назад

    Binti akiondok nyumbn cy wakumtfuta kbx kshchachaw n wnaume akipt mimb mwenyew tu atrd tu wazzi kuen na amn mmalizie Ramadhan mkisubiria Kula Iddy

  • @aminachoga9266
    @aminachoga9266 2 месяца назад

    Kwakwet mtoto wa mwenzio ni mtihani mimi yamemkuta ayo

  • @gracemsaki1561
    @gracemsaki1561 2 месяца назад +2

    Sari nipigie pkse

  • @user-xo8hc7cz7o
    @user-xo8hc7cz7o 2 месяца назад

    Muongo huyo wanawake ndiomaana mmeambiwa mtakuwa wengi moton wanawatesa watoto wakambo

  • @jescamillanzi
    @jescamillanzi 2 месяца назад

    jamani kulea mtoto wa mwenzako ni kazi hata umpe malezi gani ni lawama

  • @Official83640
    @Official83640 2 месяца назад +3

    Mama mlezi nae ana maneno ya nyodo kah hana brek ya maneno yakuongea kwenye interview mmhh kz ipo

    • @Louessentials
      @Louessentials 2 месяца назад +2

      Wewe nae una shida kaongea vibaya wapi?khaa

    • @Official83640
      @Official83640 2 месяца назад +1

      @@Louessentials Mm nina shida au ww wapi nimekwambia kaongea vibaya raaplay ukielewa comments sio kukurupuka usingizini

    • @EddahBure-te7ft
      @EddahBure-te7ft 2 месяца назад

      Na amejiachia anaona kama anapija story na shogaage apo wakati sheria iki mkomalia atalia

    • @joycemhana2018
      @joycemhana2018 2 месяца назад

      ​@@EddahBure-te7ftsheria!!!kwan kafanya nini kinyume na sheria??

    • @EddahBure-te7ft
      @EddahBure-te7ft 2 месяца назад

      @@joycemhana2018 unamfukuzaje mtoto wa mume wako baba ake akiwa safarini na mpaka sasa mtoto hajulikani alipo, ukiambiwa umekula njama na mtu utasemaje !?

  • @HappyBuffalo-yt7wf
    @HappyBuffalo-yt7wf 2 месяца назад

    Mimi nilikataa kulea mana wana vitabia vyaovyo sana mm stakii kabisa

  • @user-up2kg1wm9p
    @user-up2kg1wm9p 2 месяца назад

    Pole mama mlezi

  • @amoonatnzani9834
    @amoonatnzani9834 2 месяца назад +1

    Kama kashawahi kufumaniwa basi Kahifaziwa uyo anakula maisha

  • @BhokeMombia
    @BhokeMombia 2 месяца назад

    Kila anaeitwa mama alee watoto wake msiwape wenzio mizigo,

  • @asiasalim9323
    @asiasalim9323 2 месяца назад

    Ni mtihan wallah

  • @thomassalvatory7905
    @thomassalvatory7905 2 месяца назад

    ww unasema mama huyu, mm na jamaaa amezaaa na mwanamke mama mtoto anasumbua jamaaa kaamua kumsusa mtoto anasema hivi mama naye anasema lile akimwambia haya sikiliza ya mama yako akiharibika wanamletea yule jamaaa yaaan wanamuharibu mtoto akishaharibika mzigo analetewa jamaaa jamaaa kachoka kaachana na dogo wamama miyeyusho kinoma

  • @user-pd2ib7kj4w
    @user-pd2ib7kj4w 2 месяца назад

    Hajapotea huyo wamuache ale raha zake huko

  • @beatricemwakasyuka699
    @beatricemwakasyuka699 2 месяца назад

    angekua wakwako ungefukuza

  • @simonsonelo1467
    @simonsonelo1467 2 месяца назад

    Was it necessary kuweka introduction ndeeefu!?

  • @gracemushi3668
    @gracemushi3668 2 месяца назад +3

    Yaani malezi ni magum sanaaa jamani,, hasa kwa watoto wa kufikia,, ila Namshukuru sana Mungu, mie nimelea watoto watano na kwa uwezo wa mwenyezi Mungu wote wamevuka salama, na kwa sasa wana maisha yao,

    • @memoryngambi7570
      @memoryngambi7570 2 месяца назад +3

      Mushukuru Mungu kwakua uliweza

    • @memoryngambi7570
      @memoryngambi7570 2 месяца назад +3

      Hongera sana Mungu alisimama nawe.

    • @ikokijuma-zv7wd
      @ikokijuma-zv7wd 2 месяца назад +1

      Barikiwa mama

    • @gracemushi3668
      @gracemushi3668 2 месяца назад

      Ila ni kwa uwexo wa yeye Aliye mkuu wa vyote

    • @gracemushi3668
      @gracemushi3668 2 месяца назад

      Haikua kazi rahisi my ,ila kwa uwexo wa MUNGU nimeweza

  • @thomassalvatory7905
    @thomassalvatory7905 2 месяца назад

    wamama miyeyusho wanawajaza watoto maneno

  • @annamussa185
    @annamussa185 2 месяца назад +1

    Yani mimi siwezi olewa na mwanaume mwenyewe mtoto never 😮

    • @Official83640
      @Official83640 2 месяца назад

      Endelea kuchagua mwisho uwe km Diva ukaangukie pua kilingeni hakuna mtoto mdogo wakukuoa umri wako wote washazaa😂😂😂

    • @annamussa185
      @annamussa185 2 месяца назад

      @@Official83640 mahi mume nimaye na ninatamba naye

    • @Official83640
      @Official83640 2 месяца назад

      @@annamussa185 Sasa ulivyosema huwezi olewa kumbe ulitaka wakudanga nae

    • @Chakol682
      @Chakol682 2 месяца назад

      Ukiachika utajua umuhim wa wanaume wenye watt tema mate chini usijimalize hii dunia hujipangii history yako ya maisha

    • @annamussa185
      @annamussa185 2 месяца назад

      @@Chakol682 mwenye mtoto marufuku

  • @nassibu-hy5ny
    @nassibu-hy5ny 2 месяца назад +3

    Ukiamua kusoma barua soma yote sio kusema huwez kuimaliza kusoma mbwa ww

  • @kuchiafricancinema
    @kuchiafricancinema 2 месяца назад

    Sasa mbona mnasoma hadharani akati yeye kasema asome baba ake?

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 2 месяца назад +1

    Mwacheni akarithi umalaya wa mamake,wakashee mume na mamake.Mbwa.

    • @user-hk7ot3xy5k
      @user-hk7ot3xy5k 2 месяца назад +1

      Usilolijuwa ni sawa na usiku wa giza

  • @EddahBure-te7ft
    @EddahBure-te7ft 2 месяца назад

    Uyu mama anaongea simple lkn hajui sheria ikimgeukia anafungwa bila chenga, ndo mana me najikatalia kukaa namtoto wa mtu bora nikae na wadogo zangu

  • @hawajohn749
    @hawajohn749 2 месяца назад +1

    Ni kweli lkn mama mwenyewe huyu anaonekana moto kiukweli

    • @Official83640
      @Official83640 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂

    • @hawajohn749
      @hawajohn749 2 месяца назад +1

      @@Official83640 ukimsikiliza anavyoongea ana maneno Fulani ya nyodo mpaka apate MTU mwenye moyo wa kuvumilia,sasa unawanyima kula kisa walitumia hela je,hayo matumizi hayakutumika nyumbani kwako? Kwamba walichezea tu hela?

    • @hawajohn749
      @hawajohn749 2 месяца назад

      @@Official83640 nikimsikiliza kama na mume anamumudu kabisa ndo maana binti aliamua kumkasirikia baba yake maana alikuwa anaona kama hana msaada kwake kwa kukosa maamuzi

    • @hildagabriel1003
      @hildagabriel1003 2 месяца назад

      ​@@hawajohn749😅

  • @joshuac.mashida1378
    @joshuac.mashida1378 2 месяца назад

    Soma peke yako

  • @daudymlauletv8489
    @daudymlauletv8489 2 месяца назад

    Kula ugari na firigisi ni mateso

  • @GloryMsopa
    @GloryMsopa 2 месяца назад

    Kuishi na mtoto wa mtu kazi jmn

  • @user-sn2ef2qt8r
    @user-sn2ef2qt8r 2 месяца назад

    Uyu mama Ana malenzi mazuri tu una baya Dada umeongea ukweli

  • @aquinastera7404
    @aquinastera7404 2 месяца назад +1

    Some pekee Yako kwani ni wasia 😢

    • @eestermos9933
      @eestermos9933 2 месяца назад +3

      Huyo mtoto n jeuri wacha dunia itamfundsha

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 месяца назад

      ​@@eestermos9933toto jinga hilo