MFANYABIASHARA ARUSHA AWAVUNJA MBAVU WATU HAJUI kwa NINI WANAGOMA - VIONGOZI WAMEFUNGUA MADUKA YAO..
HTML-код
- Опубликовано: 25 июн 2024
- MFANYABIASHARA ARUSHA AWAVUNJA MBAVU WATU HAJUI kwa NINI WANAGOMA - VIONGOZI WAMEFUNGUA MADUKA YAO..
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Huyu sio mfanya biashara. Mkitaka kujua muulizeni ofisi yake iko wapi. Yeye angeendelea na shughuli zake awaache wenye jambo lao waendelee.
Huyu jamaa watu wa usa mnamjua huwa anapandaga costa zinaenda kikatiti anahubiri injili akifika tengeru anakusanya sadaka anapanda gari lingine
Huyu kaka ni mganya biashara sawa niulize mm namfaham vizuri sana ni mhubiri lkn pia ni mfanyabiashara biashara Arusha ana saloon barabarani ya stend Arusha anachora wanja pia anasuka pia kuna muda anahubiri
Chawa wao TRA wafungue Duka lao tuone,wanatishia raia na mi police
TRA wafungue maduka yao tuone hayatoboi,kutesa raia,tu kufilisi rai bila katiba haki hakuna vat Tozo petroleum sukar matbab juu maisha magumu
Ntilema hauna hata ofice utajuaje umegomea nini??
hahaha kumbe unamjua
ndo utajua watanzania tuna ubongo wa aina tofauti
Huyu kaka ana saloon anasuka na anachora wanja
We'we mvuta bangi ya arusha
Jamaa hajielewi
Wee kinyozi kanyolee kwako,unajua maana ya mgomo tunahitaji kodi za kijinga zitolewe,,,
Kabisa kaka
T RA wafungue ma Duka yao ili tununue kwao, watoe hizo f d c walishindwa kuendesha RTC,wanatesa rai kisa mi police na wabunge hawana jipya wote CCM, mpina,kawaimbua wametoa bungeni,ili waendelee kupiga mwingi,ubabe una mwisho bila KATIBA itazuia ubabe,, ndiomaana wana kataa katiba,
Huyo anaonekana anatokea Ngorongoro 😅
Huyu Lini kawa mfanyabiashara Muimbaji wa gospel music kwann kaingia mkumbo wa uongo kwann lakin ?
uyu kenge kweli
Itoshe kusema HANA AKILI
Huyu alipi Kodi za TRA ndo maana ajui kituu
uyu mwalimu angu wa.kanisan kigoma kasulu lini amekua mfanyabiashara
😂😂😂
Jamaa anaakili sana
Akili ipo aliyo nayo, mgomo unawahusu wafanyabiashara wanaolipa kodi
Enheee hii ndo Tanzania sasa kweli tutafika tumechoka sana
Huyu mbn km mchora wanja pale kati hana ht frem 😢
Uyo anapakaga wanja anabiashara gn...hana ata ofisi anazunguka anapaka wanja
Uo siyo mgomo wa wanyoa vuzi
Huu ni mtambo wakisukuma kabisa😅😅
Mnmuhoji kinyozi real tafuteni mfanyabiashar
Arusha niwakweli sana😅😅😅I love you
Hana akili
Tena siyo Mtanzania huyo akamatwe ni wa Nch jiran
Kwa nini sasa hukufungua kama humjui nani kahamasisha.
Huyu mwehu.
Hamna kitu wameshafungua kitambo sana Arusha njaa Kali sana
Huyu amesubiri nini Kuvaaar chupi kichwani???
Bangi oyeeee
Akili zako mbaya kama mdomo wako huna hakili
hlf huyu immigration wamfatilie sio mtanzania
Kaongea ukweli
We mbanga huna akili pimbi
Akachore Wanja uko Pumbavu mtumishi acha ujinga FREM hauna ,huu mgomo utaujua vip unapanyuka,embu Chukua frem Kama rahisi ulipe utoboe heshimu mgomo wawafanyabiashara
Sasa mbona huyo boss hapo kafungua duka na ni kati ya viongozi?
Hili jambo lina namna
Ww hufahamu ofisi yake mbona ana ofisi kitambo tuu mtumishi apo apo barabara ya stend kama unaelekea chini ya mti
Huyu hajui anachoongea
Huyu anachezeaha mikono kwenye vichwa vya wanaume wenzie
Kwanza umetokea nchi Gani? Unakibali?
Huyo aliyefungua hajipendi ama siku hizi wadudu hakuna😂😂
Mbona ameongea vizuri sana...
ameongea vzur sana
Huyu mpumbavu kabisa hyo Hali ya kwenda kutafuta Hela ya kula Kwa siku hiyo ndo inasababishwa na mlundikano wa gharama za uendeshaji ikiwa ni pamoja na Kodi nyingi tunazorundikiwa
Mbona kama sio mtanzania
🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu jamani hana office anachoraga watu wanja tena kibarazani haelewi kinachoendelea.
Wewe nimlopokaji unaejifanya mjuaji mpumbavu mkubwa
😂😂😂😂😂😂😂alafu hawa ndouwambiee wandamaneeeee
😂😂😂😂 ajui
Jamn huy kaka anaoffic wap mbona namuonaga anazinguka tu
😂😂😂Uwiiii jaman mbn huyo ni bangi kabisa 😂😂
huyu ni saa Mbovu
Uyo siomtazania uyo nimkenya
Ana duka la nini
Mungu fundi huyu jamaa ana mdomo mkubwa balaaa
Jamani. Uyu. Anafanya. Biashara gan. Muuulizeniii😅
FOLEKIZAMPO😂😂😂😅😅
watu wanatafuta pesa yy anawaza chakula
Mlevi huyu hajui alichogomea😮
Mmmmh kavurugwa jamaa mwongo sana utakuta kwao wameshamfukuza kwa tabia za kigeugeu na uongo
Ukiona hivyo halipi kodi ndiyo maana hajui mgomo ni wa nini?
mfanya biashara bumunda
Nimegundua Arusha wameambiwa wagome Afu hawajui wanagomea nn
Wanagoma wafanyabbishara wanaolipa kodi,
😂😂😂 uyu aelewi ata alichokigomeaa 🚮
😂😂😂
Domo kama beseni unakalia ujinga ujinga tu
Wewe ni mmachinga uelewi kitu,nyamaza
Halafu siyo msawahili
kwendaa arusha saivi mshatufelisha mshakuwa kama wazaramo makonda ashawateka akili ckia watz ee kueni kama wachaga cyo lazima kuishi tz kama mm hapa nko zambia natafuta pesaa tukutane moshi desc wachaga wenzangu og og sna
Watu wako serious alafu Kuna pimbi Moja anakuja kuleta masihara bana .....so stupid
Makonda tupo jayati atawanyosha otee apoo
Acha wagome Kuna mtu yupo nyuma yao hao wagomaji alafu huu mgomo unarushwa ndani yake
HUYO ITAKUWA HALIPI KODI ITABIDI AFUATILIWE
Uyu wakupigwa
PsyOp
Hajielewi mpumbavu huyu
Uyu katumwa
Bange mokoooo😂
Hahaha hahah hahaha
Tuwe na umoja kama kenya makodi yamekua nyingi halafu huyu ng,ombe anaongea ujinga nyambavu huyu
Huyu mpumbavu kwl
Msafara wa mamba na kenge wamo huyu nae ni kenge
😂😂😂
@@saidimkwinzu9106 😅😅 yaani ni shidaaa
@@shijandobehe4953 kweli bana sisi hapa handeni Kuna siku tulifunga maduka tukafanya mgomo lakin Kuna kenge zinauza biashara za kutembeza Bado zinasema wafanya biashara wanazingua kumbe yee ni kenge hajui tunayopitia
0-0=brain ,tzania kila kona comedy
😂😂😂😂😂😂
Mkenya wewe rudi kwenu
Wewe si fara tu kwasababu unajua kwanini harafu kwenye midia unasema hujui 😏😏😏kama sisi tuko Kenya na tunajua kwanini maduka yamefungwa, huoni wewe ni fara tu
fara kabisa huyu hana mwelekeo
Wandishi wa TZ wajinga unamuliza mtu ambaye hajui chochote ni kinyozi ambaye na fala tu
wengi mnamuona kama mwehu iya aliyoongea maneno mazima sana kama ila ameshindwa kufafanua kwa uzuri tu
Brain wash
Wahuni wamewaingiza kingi😂
Mtu wa system utu
mdomo kama madenge
😂😂😂